"KISIASA MAGUFULI ALINITANGULIA, NI MKALI SANA/ HANA KIGUGUMIZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @abelsundi6105
    @abelsundi6105 5 років тому +4

    I Love speech from hon.MIZENGO PINDA.

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 років тому +1

    Asante sana Muheshimiwa Pinda na kukubaligi sana kwenye mambo ya kuonyesha mfano mzuri wa kilimo na kuliongoza Taifa letu pazuri,pia nakushukuru sana kwa kusema ukweli kuhusu muheshimiwa Dr.Magufuli......HAPA KAZI TUU
    asivyopenda rushwa na anavyopiga kazi.
    Asante

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 5 років тому +3

    Mzee pinda upo vizuri. Nakukubali muheshimiwa. Mungu akulinde wewe na familia yako.

  • @yusufrajabu8425
    @yusufrajabu8425 5 років тому +3

    Ukweli Anko magu daaaah!!!, Kula yangu sikuunguza ilikwenda mahala pake, nilitaka nispige Kula mwaka 2015 ila nilipoona jina la mweshimiwa nikadondosha moja kwa moja, toka wizala ya ujenzi nilimkubali Mbaya. Ongeza bidii Anko magu ukiisha ondoka madala kani ndio watajua umuimu wako, samani ya mzazi pindi akiwa hayupo.

  • @bwikizobilly5220
    @bwikizobilly5220 5 років тому +7

    Mheshimiwa Pinda wewe nakupongeza sana uko makini ni mstaafu wa kuigwa siyo jamaa wengine bado wana choko choko na kuzengea urais.

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 років тому

    Safiii Mzee wetu unajituma Sana'a Tanzania mbeleee JPM Nambari 1

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 5 років тому +2

    Karen kahabi Nakupendaga Sana na sauti yako tu Jmn

    • @dariusmutalemwa1491
      @dariusmutalemwa1491 5 років тому

      Safi sana Mzee wetu ulikuwa vizuri Mungu akubariki Mungu ibariki Tanzania yetu

  • @nasrialoysi6897
    @nasrialoysi6897 5 років тому +1

    Mungu akuongoze wa nyumbani kabisa mfipa mwenzangu baba yangu

    • @manenoalex7453
      @manenoalex7453 5 років тому

      Nasri Aloysi mpimbwe usimpe kabira ambalo cio lake kibaoni kwao tipimbwe

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 5 років тому +1

    Waliong'ang'ania ndege yetu WAPIGWE TU..hamna namna.

  • @queenandrea3891
    @queenandrea3891 5 років тому

    Safi sana

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 5 років тому +1

    magufuli hajawahi kuwa waziri wa viwanda,rekebisha hapo

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 років тому

    wee dada mtangazaji nakupendaga kinoma

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 5 років тому

    Pinda is ni mtoto wa mkulima kwelikweli. Mtanzania wa kweli.

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 років тому +1

    Asikwambie mtu waziri Sokiine, Mrema, akifatia Majaliwa hawa hasa ndio viongozi watwoacha alama na muhedhimiwa JPM ja Baba wa taufa mr Kambarage👌

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 років тому +1

    Nimekua wa 5 leo nigongee kweli tumepata rais jembee🇹🇿

  • @francecemamba3748
    @francecemamba3748 5 років тому +2

    Hahaha😂😂😂😂😂😂😂😂unaenda nasketi fupi kwenye nyuki

  • @mwamengele
    @mwamengele 5 років тому

    Wasiompenda JPM wapigwe tu, eeeh! tumechoka sasa, maana hakuna namna nyingine! VIVA Magu!

  • @manenoalex7453
    @manenoalex7453 5 років тому

    imeme hukuweka majimoto mpaka xxa barabara kibaoni mamba hadi ilemba mbovu hadi leo

  • @tootumsifu6926
    @tootumsifu6926 5 років тому

    kumrudisha mpenzi siku 3:peteya bahati:0658535229