KIMBILIO LA TAALUMA NA MALEZI KWA MTOTO WAKO..(IBUN JAZAR)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 28

  • @swaleheswaleheamri5911
    @swaleheswaleheamri5911 Рік тому +3

    Hongereni sana walimu wetu nimeona watoto wetu wapo ktk mikono salama.

  • @iteastafrica1517
    @iteastafrica1517 Рік тому +2

    Maa sha Allah...Allah azid kuwatunza walimu zetu na atie barka zaid katika mafanikio ya shule ya ibn jazar maa sha Allah

  • @shamilahussein5294
    @shamilahussein5294 Рік тому +1

    Mashallalh natani kumpeleka watoto Wang inshaallalh kama ada itakuwa nafuu inshaallalh yaarab ilikuwa ndoto yangu nisomeshe Wang wamjue mungu Zaid kuliko dunia

  • @markazibnjazary3364
    @markazibnjazary3364 Рік тому +1

    Mashallah vijana wa Quran Allah awawafikishe

  • @BalkissKassim
    @BalkissKassim Місяць тому

    Mbona hakina namba ya sim

  • @fatmakhatib2935
    @fatmakhatib2935 Рік тому

    Kumbe vikindu Mashallah ada tukiimudu tutaleta vijana wetu insha'Allah

  • @AminaMomy
    @AminaMomy Рік тому +1

    Mashaaalh

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA Рік тому

    Mashallah 🥰 iko wapi hii shule?!

  • @ashiaabdul887
    @ashiaabdul887 Рік тому

    Mashaallah jamani mngetuwekeaga na bei ya ada ili tujiwekeze kidogo kidogo watoto wetu wasome.

  • @BalkissKassim
    @BalkissKassim Місяць тому

    Sorry namba ya sim

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

    Niko nje ya nchi naweza jua Ada zenu

  • @Zanha582
    @Zanha582 3 місяці тому

    Mwalimu mkuu tunaomba namba ya simu

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 Рік тому +1

    Mnapokea watoto kuanzia umri gani?

  • @issabaruani4433
    @issabaruani4433 Рік тому

    Kuna kidato cha tano na sita?

  • @mohamedrashid140
    @mohamedrashid140 Рік тому

    Naomba mawasiliano ya hapoooo shulenii

  • @AminaMomy
    @AminaMomy Рік тому

    Wanachukua watoto wakiwa chini ya umri miaka mingapi??