mashallah quraan ni sehemu ya maisha.tuwaongoze watoto zetu na tuwasupot katika kujifunza kitabu cha Allah.hongera sumaiya na mwenyezi mungu akujalie akmzidi kukulinda na elm yako na awapenpepo wazazi wako ameen
Ya rabiiiy mjaalie khery na umzidishie wepes ktk masomo yake ya dunia na khery na utujaalie vizazi yetu pia viwe yenye kuhifadhi kitabu tukufu Qur,uan. Allahumma amiiiyn
Allah azidi kukuongoza na awaongoze watoto wote wakiislam aongoze wazazi kwa kuwapa malezi mazuri wa toto Allah awarehem wazazi wako tunawaombea pepo nakuji ombea pia naombeya walezi wako Allah awape malipo mazuri duniyan na akhera🤲
Mash Allah...Allah amuhifadhi amjaalie wepesi .Apate Mume mwema meenye kheri nae wakati ukifika..ili wapate watoto Wema wa Halali wawe kama yeye ktk kuifadhi Quraan
Allah akujaalie kher na Barak tele kwenye maish yako kipenz na awajaalie kher wazaz wako walio tangulia mbele za khaq akujaalie uwe miongon mwa mawalii wake Allah s.w ❤
Allah azidi kumpa kheri na nuru.na Amjaalie aitumike.ktk maisha yke yote.na iwe sababu ya nuru kwa wazee wake huko walipo.na apate mume mwema na kzazi chema.Amina.
Allah awaraham awangazie Noor maqabr yao yaarab mwanangu na ss pia ni wazee wako mama na tunamuombea kher nyinying Allah akujaze mwanangu na uwaombee nduhubzako pia wahifadhi mwNangu
@@fabssaleh7273 tupo pamoja nasema ni mafanikio yetu sote maana sote ni wazazi wa bi sumaia tumpe ushirikiano hata malaika wamemfrahia bi sumaia tuppence, tumlinde,tumuombee duaaana yupo kwenye wakati mgumu kwa karne hii Allah mlinde bi suaia nakila all mfano wake amiina ya rrab
Pole sana kwa kumpoteza mama na hongera pia kwa kumuokoa mama kwa kuhifadhi quraan tukufu.mashaaAllah
Mashaallah, hasbiyallah, Allah akuongoze Binti katika njia iliyonyooka. Nakupenda kwa ajili ya Allah❤
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
mashallah quraan ni sehemu ya maisha.tuwaongoze watoto zetu na tuwasupot katika kujifunza kitabu cha Allah.hongera sumaiya na mwenyezi mungu akujalie akmzidi kukulinda na elm yako na awapenpepo wazazi wako ameen
Ya rabiiiy mjaalie khery na umzidishie wepes ktk masomo yake ya dunia na khery na utujaalie vizazi yetu pia viwe yenye kuhifadhi kitabu tukufu Qur,uan. Allahumma amiiiyn
MAASHA ALLAH 👏🎉
MUNGU akucmamie vyema daima Bint.
Allah azidi kukuongoza na awaongoze watoto wote wakiislam aongoze wazazi kwa kuwapa malezi mazuri wa toto Allah awarehem wazazi wako tunawaombea pepo nakuji ombea pia naombeya walezi wako Allah awape malipo mazuri duniyan na akhera🤲
Mashaallah ❤️
Soma mdogo wangu upate kula duniani na akhera
🎉🎉🎉
Maashaallaah tabaarakallaah ALLAAH SW akulipe kila la kheyr akuepushie na vijicho na husda akuzidishie ilmu Inshaallaah na atujaalie mwisho uliomwema
Maa Sha Allah, Allah akuzidishie ukht Sumayyah,
Mabrouk!
Mash Allah...Allah amuhifadhi amjaalie wepesi .Apate Mume mwema meenye kheri nae wakati ukifika..ili wapate watoto Wema wa Halali wawe kama yeye ktk kuifadhi Quraan
Maashallah allah akufanyie wepes na sisi pia atujalie tuweze kuhifadhi Quran ❤❤❤🤲🤲 inshallah
Mashaallah Jazakumullah khayrah Allah akulinde n mahasid n Akupe kila lenye kheri nawe Amiin
Allah amuongoze katika maisha yake na amuepushe na mitihani na huzuni . Yaa Rabb
MASHAALLAH ❤ jazaka llah kheir
Allah azidi kukubariq mdogo wangu na akumiminie REHMA zake 🤲🤲🤲
Maashaallah Allahu mabaarik,Allah akufanyie wepesi malengo yako yatimie kwa idhni yake,na awafanyie wepesi wazazi wetu waliotangulia mbele zake aamin🤲🤲🤲.
Masha Allah Raby akuhifadhi bint na wazazi wako Mola awazidishie mema ya akhera yao
MashaAllah Allah amuhifadhi Allah tupe ufahamu wa Quran iwe na faida kwetu ituongoze
Ma sha allah pole sana ndugu kwa kuondokewa na wazazi allah akujaalie subra is iyo na mwisho
Mashaallah tabarakaallah Allah akuhifadhi akuzidishie elmu na akuzidishie iman ameen Allah awarehemu wazee wako
MaashAllah Allah akukinge na husda na vijicho vya walimwengu
Mashaa allah Allah azidi kukuongoza ktk quran
Mashaallah mashaallah allah akupe kher za dunia na akhera ndugu yangu
Mashallah mungu ambariki kwakwel
Ma sha allah
Binti uko vzr ma sha allah
Allah akuhifadhi
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah baraaqa Allah warahma
Allah azidi kumjaalia kher nyingii
Yaarab na wakwetu pia wahifadhi yaarabbb
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Allah AWAJAAALIE heri na awaweke kwenye FIRDAUS wazazi wako Bint kwa malezi mema Amiiin thuma amiin 🤲🙏
AMEEN YAA RABB
Mashaallah 🎉
Allah amlehem lnshallah ❤❤
Mashallah Allah atujaalie watoto wetu wawe tahfidh qur-an Kam iliyo Kwa huyu binti na wawez kuifundish kw waislam wengin
Mwenyezi Mungu akuhifadhi na kila shari uwe ni njia ya watoto wenzako kukufanya ktk njia hii ya heri
Mashllah...my dear Allah akuhifadh kama alivokuhifadh tumbon kwa mama Allah akulipe heri ...Allah awarehemu wazazi wako ammmi
Allah akujaalie kher na Barak tele kwenye maish yako kipenz na awajaalie kher wazaz wako walio tangulia mbele za khaq akujaalie uwe miongon mwa mawalii wake Allah s.w ❤
Naomba urafiki
MashaAllah mashaAllah Allah barik ❤❤
Allah azidi kumpa kheri na nuru.na Amjaalie aitumike.ktk maisha yke yote.na iwe sababu ya nuru kwa wazee wake huko walipo.na apate mume mwema na kzazi chema.Amina.
Allah akubariki Sumaiya. Namuomba Allah awalipe pepo wazazi wako wote wawili
Ameen
Alhamdulillah
Mashallah
Mashallah
Mashallah
mashaallah summaiyya may allah grant me a hafizadhat wife like you
MaashaAllah Khabinti jazaka Allah khayra
MaashaAllah Bi Sumaia Allah akuhifadh
Masha allar haki ya mungu nataman kuwa kama ww
Allah awaraham awangazie Noor maqabr yao yaarab mwanangu na ss pia ni wazee wako mama na tunamuombea kher nyinying Allah akujaze mwanangu na uwaombee nduhubzako pia wahifadhi mwNangu
AMEEN YAA RABB
Mashaallah mashaallah yan umepenz zaid Wallah bint ❤❤❤
Alahamdulila da summayyah Allah akulindd namahasidi
Manshaallah,Allah akuzidishie binti.
Maashallah maashallah maashallah jicho la hasad lickupate uzid kua imara mwanang hongera San kwa kuiwakilisha vyema nchi yet
Ma Sha Allah Allah akuhifadhi habipty
Mashallah Allah akupe kila kheri love Frm kenya
Hapo ndio utaona utofauti wa uislamu na ao wengine,hongera sana
Allah akuhifadhi mdogo wngu
Maashaallah Tabaraka Allah
Mashallah tabaraAllah
maashaallah Allah amuhfadh❤
Masha Allah. Allah akuongoze
MashaaAllah tabaraka Allah
Allah azid kukufanyia wepes katika kuiendelea Tanzania yetu 🎉🎉❤
MaashaAllah Allah akuhifadhi na akulinde hasad
Yaa rabb nakuomba mpe mwisho mwema,muondolee hasad,madhila,na yote madhara yanayodhuru mkinge mlinde maadui wadimuone bi sumaoa nawaomba wauslamu wt tusimuite sumaia (BI SUMAIA)
ALLAHUMMA AMEEN WA JAZAKALLAHU KHAIRAN
@@fabssaleh7273 tupo pamoja nasema ni mafanikio yetu sote maana sote ni wazazi wa bi sumaia tumpe ushirikiano hata malaika wamemfrahia bi sumaia tuppence, tumlinde,tumuombee duaaana yupo kwenye wakati mgumu kwa karne hii Allah mlinde bi suaia nakila all mfano wake amiina ya rrab
Ameen
Allahuma aamiin
Ameen
Mashallah Allah akuzidishie ww na walimu wako inshallah
MashaAllah tabarakallah ❤
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Hongera sana ndugu yangu huo ndio muelekeo mwema Mungu akuongoze,sio wale wanaoonyesha mapaja mitandaoni
Mashallah my friend
Mashaallaah, Allaah akulipe kheir zake
Pamoja na walimu wako na wazazi wako
Maashaa Allah Tabaarakallaah.
Allahu aqbaru Allah akuongoze
Allah Akutangulie
Masha Allah🎉
Maa shaa Allah hongera kipenzi ❤
Pole sana kwa kupoteza wazazi wako allahu ni mlezi amekula vema
Mash'Allah!
Mashaallah mashaallah
Masha Allah mdogo wetu
Masha Allah,,tabaarakarahman
Allah amjaalie kher
Mashaallah tabarakallah Allah akuzidishie
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Allah akujaze kher mdgo wetu akusimamie kwa kila jambo
Ma shaa allah mungu akuhifadhi mwanangu
Hongera Allah akuhifadh mwanangu
Ma shaa Allah hongera sana
Mashaalaah❤
May allAh guide ukhty sumayya
ماشاء الله عليك تبارك الله
Allah azidi kukuongoza
Mashaallah mashaallah 🙏
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Masha Allah
Allah amjalie afya njema na masomo mema.
Mama ameacha sadakatul jaliaa.Allah amrehem
ALLAH AKUBAARIK AKUHIFADH HONGERA SANA
AMEEN YAA RABB
Mashalla
Mashaallah❤
MASHAALLAH
MashaAllah❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah awape malazimema wazazi
Wallah musta'anu
Mungu akupe mume mwenyew kher Kama wewe
mashallah Allah amuongeze
Hadi machozi yame nitoka alivyo sema siku ya huzuni sana kwake. Allah amrehem mama yake na Mama zetu walio tangulia mbele za haki
Ma Shaa Allah
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
MáshaAllah
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
❤❤❤ Frm kenya
MashaAllah
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Mashaalaah
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH
Maishallah ❤❤❤❤
SEMA MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH