SHEIKH FARID HADI IFAHAMU ARAFA SAHIHI ALOIFUNGA MTUME S.A.W NA SWAHABA ZAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @Sebola-j4l
    @Sebola-j4l Рік тому +1

    Sawa sawa , mashaallah

  • @MussaSimba-cu7oy
    @MussaSimba-cu7oy Рік тому +2

    Masha Allah shukran saana sasa ukweli tumeufaham

  • @bakaribakari6444
    @bakaribakari6444 Рік тому +2

    Shukran Sana Sheikh....iko wazi sana

  • @alidochi2889
    @alidochi2889 Рік тому

    Maasha Allah
    Maneno Qalla Wadalla

  • @salumjuma9072
    @salumjuma9072 Рік тому +2

    SHEKH FARID ALLAH AKUWEKE SALUM MAQURAN

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh

    Maashaallah shekhe

  • @maulidisaid5475
    @maulidisaid5475 Рік тому +2

    Mashaallah Sheikh Farid kwa maelezo yaliyonyooka kwa kweli wenzetu hufata mkumbo kwa maslahi yao binafsi

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      Maelezo yaliyonyooka!!! Mbona hakuzigusa Hadithi za mtume kabinya kimyaa. Uwezo mdogo Kwa hili haliwezi arudi Kwa mashekhe upya akasome. Huyu nisiasa zaidi.

    • @username62v723
      @username62v723 Рік тому

      ​@@kitosioHadithi gani?

  • @AbuuzuhairMuhammad
    @AbuuzuhairMuhammad 4 місяці тому

    Safi sana shkh

  • @mustafaismail5622
    @mustafaismail5622 Рік тому +1

    Mashaallwa

  • @aliy3303
    @aliy3303 Рік тому +1

    Mashallah umemalizia vizuri..mtu afate mcmamo anaoamini muhimu hataoki ktk mila

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому

    Teknolojia wajipumbaza!!

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 Рік тому +1

    Shehena

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn Рік тому

    Sheikh umeongea sana lakin mm suali langu ni 1:
    Vile mukipeana taarifa kuwa mwez umeonekana sehem fulan Tanzania au Kenya au popote afrika mashariki kupitia sim au tv jee utaratibu huo ndo uliokuwepo miaka mia iliyopita kabla ya teknolojia? Na km sivyo mumetoa wap?

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      Huyu Shekhena hapa atubie kwanza. Anakula KIAPO ovyo

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому +1

      Tuwe wenye kufaham shekh katumia aya na tarekh ya mtume na kasema sio maneno yake na ukiona ni ya haki we fuata km sio fanya moyo wako ulipotulia .

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn Рік тому

      @@mohammedmfamau43 Sawa katumia aya lakin je hiyo aya imetaja kila nchi na mwezi wake? Au hiyo tarekh mbona wanaifanyia kazi kwenye muandamo wa kimataifa tu? Kwanin mwez ukionekana nchi za karibu wapeane taarifa kupitia redio au tv au simu ndio ilivyokuwa zamani hivyo?

    • @muhammadiabassi656
      @muhammadiabassi656 4 місяці тому

      Kishki ameyamaliza yote hayo

    • @muhammadiabassi656
      @muhammadiabassi656 4 місяці тому

      Alhamdullah

  • @AbdulMajid-v1i
    @AbdulMajid-v1i Рік тому +1

    Sheikh huwezi kuikwepa Technologiya kumbuka sharia pia inazingatia hilo
    Kanuni ya kisharia
    inasema: لاينكر تغير الأحكام بتغير الأزمان

    • @abumuhammadmbwana3964
      @abumuhammadmbwana3964 Рік тому +1

      Technology kuturahisishia leo kupata mawasiliano ya haraka sio dalili wala kigezo cha kua arafa ni moja kwani uwezekano wa kupeleka taarifa ktk miji zama za mtume na maswahaba ulikuwepo lkn hawakufanya kwakua mtume alishawafundisha waislamu kufuata miandamo ya mwezi na km ingekua usahihi ni kufunga arafa ya maka basi vipi mtume awache kupeleka habari za muandamo ktk miji ilhali kuna siku 8 kabla ya siku ya arafa?

    • @IbnuAlly-cg2gn
      @IbnuAlly-cg2gn Рік тому

      ​@@abumuhammadmbwana3964hiyo ni kwa sababu uislamu haumkalifishi mtu ila habari zikija hutakiwi kuzikataa

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      *****

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому +1

      Ndio kishakwambieni hayo sio maneno ya ustadh farid fuateni huko mioyo yenu ilipotulia kwa kwani kuna ugomvi?

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому

      Ndgu yangu usione km wewe umefikiwa na teknoloj8a ukaona kila binadamu km wewe .dunia kubwa kuliko unavodhani. Huo mtandao tyri ushakutia imani km kila mtu km wewe lkn haiko ivo kuna wanadam wala usitoke znz kwenda mikoani hawana smart phone wala Ving,amuzi we ushambiwa usifate kwakuwa ksema faridi,lkn pia sheikh kasema ukiona moyowako umetulia huko unokofata basi bakia huko.na allah atakylipa kw Nia yako !!

  • @aliy3303
    @aliy3303 Рік тому +2

    ila upande wangu mm Arafa iko wazi tufate Saudia kutokana na technology tunaona live...ila kuhusu ramadhan kila mtu afate mcmamo wake

    • @ahmeda-6420
      @ahmeda-6420 Рік тому +1

      Jee ndo Alivofubdisha mtume hivo tukiona Live au tuangalie mwezi hio Live ipo kisheria?

    • @el-bahsaanytv985
      @el-bahsaanytv985  Рік тому +1

      Sasa ingelikuwa hakuna Teknilojia jee ???

    • @aliy3303
      @aliy3303 Рік тому

      @@el-bahsaanytv985 kama hamna technology ndio tungekya kizamani

    • @aliy3303
      @aliy3303 Рік тому

      الله يعلم

    • @el-bahsaanytv985
      @el-bahsaanytv985  Рік тому +1

      @@aliy3303 katafute kitabu usome usilete maono yako ambayo hayalingani na waliofanya juhudi kuandika vitabu vya elimu Maana ulipoanza tu kusema kwa upande wako dhahir inaonesha kama una lako rohoni hujakusudia kujifunza ASANTE KWA UJUMBE WAKO NA ENDELEA KUFATILIA CHANNEL YETU KWA MAWAIDHA MBALI MBALI

  • @jumasalafi9886
    @jumasalafi9886 Рік тому +1

    Kwani shekh faridi huyo imam shafi au Ahmad au maaalik anasema Nini kuhusu muandamo wakufuata nchi nyengine?

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      Huyu sijui alipewa nini mara hii. Kila mtu anamshangaa na KIAPO juu. Msiba mkubwa. Sh. Kasimu Mafuta kawaona wengi wanaoitwa mashekh lkn daah tutafika wapi.

    • @kitosio
      @kitosio Рік тому

      Aah!! Huyu siku hiyo kakurupuka 100%. Ishu Hana hoja. Hadithi hakuzitaka. Tena asiachiwe huyu atapotosha. Abanwe. Sh. Msellem na Mohd Bachu wamuekee kitii Moto na jopo lako. Ikitajwa May day wanakubali lkn wanapinga hili ktk dini.

  • @alimaulid9543
    @alimaulid9543 Рік тому

    Kwanini sheikh faradi unafunga mwezi ukionekana dodoma au mwanza au pemba kwanini msifunge mpaka uonekane unguja kwasababu hiyo ndio asili naomba jibu hapo.
    Naungana na wewe ikiwa kila mji utafunga kwa muandamo wake lakini ikiwa tunapewa taarifa kupitia redio kuwa umeonekana pemba kigoma na tunafunga sioni tofauti na wanaofunga wakisikia umeandama mji wowote duniani

    • @Sebola-j4l
      @Sebola-j4l Рік тому

      Zanzibar na Tanganyika ni nchi tafauti ipokua mwajichanganya tuu

  • @MohammadJumah-qk2xc
    @MohammadJumah-qk2xc Рік тому

    Shekh kwan muft anatangaz mwez hatumii tecnologia???,,,, inna lhalala bayn wainna lharaam bayyin

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому

    Sasa shk farid hata hapa tanzania hapo zanzibar na mwanza kwanini wanafuatana pamoja sasa, wakati hakuna teknolojia ilikua hakuna uwezo wa kupeana tarifa..mche allah shk usifuate muandamo hata wa hapo mwanza au kigoma kwasababu ukifuta utakua umefuta teknolojia mche allah...

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому +1

      Sio mwanza chukulia hapo pemba ila alivofahamisha katumia tarekhe ya mtume tabiina na aya za qur an na sio maneno yake.kwaiyo utangalia wapi pa kufuata.

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому

      @@mohammedmfamau43 sio mm hata yy na kama yeye ndio wasifuate hata hapo pemba kwasababu wakifuata itakua wamefuata teknolojia

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому

    Jibu kwa dalili hadis zipo sio jibu waleta masala ya teknolojia wewe jipumbaze

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому +1

      Kwani bila ya teknolojia ungeona wapi km mwezi umshaonekana Saudia au saivi watu wamesimama arafa?