Asante kwa kutummiwa na Mungu kugusa moyo wangu, ilikuwa tarehe 31,12 last year, nimeona wimbo huu nimekesha peke yangu ndani nikililia Mungu nikisikiliza wimboo huu tu, nakili kua Mungu amenisikia ammenifungua na huzuni, namenggine mingi, Kaka yangu ubarikiwe saana, nimesahe tu na Niko huru, Asante❤️🙏🏼
Mungu naomb nitoe kwenyw hili jaribu jmn nateseka mm mwwnyw sitowezaa i think am loosing myself nakuomba Mungu unipe aman yko ili niweze kusamehe mmbo yote
3yrs back I used to listen this song like 10 times a day 🎶 while I was nursing my heart ❤ after a terrible hearbreak 💔 I thank God cz it helped me to know forgiveness is the key though it wasn't easy
napenda sana wimbo huu.nimesamee baki na amani, nimesame ili nisameewe,wala co. kwa ajili ya mtu wala co kwa ajili ya dunia.ila kwa moyo wangu na amani ya kesho.Ameeen Goodlucky
Amen nabarikiwa sanaa mtumishi wa MUNGU kwan ndugu marafki na jamaa wananisemaa na nilikuwa ninesha apa kwa MUNGU KUWA STA KAA NIWASAMEHEE ILAA KUANZIA LEO MOYO WANGU UNA AMAN NA POPOTE WALIPO WAWEE TU NA AMAN
My God bless you... Nyimbo nzri saana inatuongezea Imani na kimia moyoni mwetu Aksant Baba Mungu kwa mtomishi Wako Goodluck Gozbert tumefurahi kwa nyimbo izi. Merci infiniment à Dieu notre Père d'Amour.
Tarehe tangu jana bikama masaha ma inne nasikiliza wimbo huu natafakari naomba Mungu anisaidie,macho imevimva kwa kulia ubarikiwe kijana wa Mungu kwa kuuvunja moyo wangu kama mtoto mdogo nahitaji kusamehe na nisamehwe,nahitaji kupotea Yesu aonekanne maishani mwangu.
mungu akubariki sana gosbert, umenifundisha kitu kizuri ambacho sikuwa naweza kusamehe, niliifadhi mambo mengi moyoni ambayo yamekuwa mateso na kunichakaza kiafya. mungu akubariki sana. HATA NISIPOSAMEHE SIYO KUWA WATAJIFUNZA NIMEAMUWA KUSAMEHE
Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka hautowaona tena . Natafakari wanadamu tunamioyo gani. Hatuna huruma. Very impressive song. Make me feel gud with my heart all the tyme. Bcoz of forgiveness with each others. Samehe saba mara sabiini.cuz This world is not our Hom. NIMESAMEHE.
Hata nisiposamehe...hawawezi jifunza...Sio wote wataomba msamaha....Sijui nitunze vya nini? Naupenda huu wimbo sanaaaaaaaaaaa.....Ujumbe wake ni mzito sana yaaan.....Ubarikiwe
natafakari wanadamu tuna mioyo gani hii kama wanyama haa hatuna huruma.... stay blessed ma brother goodluck gozbert unanibariki sana I can't finish a day without ur songs....
Asante sana Kaka yangu ,Mungu akubaliki kwa uyu wimbo ,nilikuwa nimekoseya mpnz Wang ,ila nakubuka alipo sikiya wimbo uyo akanisameh pia akawunitumiya na mimi ukanijenga sana ukanifunza mengi ivi sasa niko tafauti nazamani nimebadilika ,God bless u
Nimesamehe wote bali wasirudie,sisi wote tuna roho ya damu na nyama sio chuma,thanks brother Gozbert Good luck creating this masterpiece to the world,you are great may God continue upgrading you everyday and live long❤❤❤
Shukran sana kakangu...unanibariki na nyimbo zako...mungu kakupa kipaji...nyimbo zako zote kali. I rank you as the best gospel artist in east africa..I am from Kericho - Kenya
The first time I had this song I really battled with my heart ,,at times it's hard to let it go,,,,am great to God am now free I had to forgive because o peace,,,,I really great full to almighty God because of you good luck,,,you are an inspiration mungu anakutumia kubadilisha the current generation,,,,, thanks to almighty God
amina hi nyimbo imenifanya ni lie sana juu mume wangu aliuliwa na rafiki zake ni liwaju walio fanya ivio sikua na uwezo wa kufanya chochote ila ni limsamehe alio tenda ilo ili ni baki na hamani mimi na mwangu nilie achiea na mume wangu amina mungu abariki kazi yako msamaha peke dio amani ya moyo
nimeisikiliza mara ya kwanza na moyoni mwangu nikitafakari niliyokosewa, nikajisemea hapana hili siwezi kusamehe, lile siwezi kusamehe. Lakini kila ninavyozidi kusikiliza naona moyo wangu unazidi kuachia moja baada ya lingine. Barikiwa sana Goodluck kwa huu ujumbe. #NIMESAMEHE
Hakika nimesamehe nibaki na Amani ya Moyo wangu sitaki tena kusononeshwa na ya Dunia haijalishi Ni wap nani na wakati gani niliumizwa Lakini leo Nimesamehe nibaki ns Amani!!!! Sichoki kukusikiza huu wimbo maana najua kunamengi niliyokosea pengine kuliko niliyokosewa Mungu akubariki kijana mwenzangu kwanyimbo za Matumaini 🙏🙏
yaan ........guys Leo trh ya 23 jumamoc ......staisahau Kwa huu wimbooo....nilitokewa na ttzo but kuhsu huu wimbooo nimejifunzaaa nimesameh bakiii na aman
Yan huu wimbo nikickiliza nakuwa na amani hata kama nina hasira kias gani na wapo wengi niliokosana nao nakuapa cta wasamehewe katu ila kwa huu wimbo nimewasemehe japokuwa cko krb nao ila moyo wng mweupe na umefunguka kwajili yao kifup nyimbo zako zote zinanifanya nickate Tamaa nakumtumainia bwana kwakwel ubarikiwe sana brother
Kila nikiamka lazima niusikilize wimbo huu, umekuwa ukinibariki kwa namna ya pekee sana. Nikipata mtoto nitamwita Goodluck! salaam nyingi kaka toka Mysore India. 'Niliaharibu kwa ndugu zangu, kusimama na huyu mwenzangu baadaee akanisaliti..! akaukana utu wangu, Kuonesha upendo wangu!'
Hii..sauti nazani mungu anafurahishwa nayo sana..hongera sana kijana kwa mungu kuna raha kwelikweli..hebujaribuni mjionee ....I really like ur songs ur da best ever 🤗🤗
Asante kwa kutummiwa na Mungu kugusa moyo wangu, ilikuwa tarehe 31,12 last year, nimeona wimbo huu nimekesha peke yangu ndani nikililia Mungu nikisikiliza wimboo huu tu, nakili kua Mungu amenisikia ammenifungua na huzuni, namenggine mingi, Kaka yangu ubarikiwe saana, nimesahe tu na Niko huru, Asante❤️🙏🏼
I like this song❤, ubarikiwe saana mtumishi wa MUNGU 🙏
Napenda pia huu wimbo unagusa maisha yangu 😢
Mungu naomb nitoe kwenyw hili jaribu jmn nateseka mm mwwnyw sitowezaa i think am loosing myself nakuomba Mungu unipe aman yko ili niweze kusamehe mmbo yote
3yrs back I used to listen this song like 10 times a day 🎶 while I was nursing my heart ❤ after a terrible hearbreak 💔 I thank God cz it helped me to know forgiveness is the key though it wasn't easy
Sorry 😔😞 sweetie 😘
@@Dorismteuledestiny Thanx dear
Hu wimbo unasema maisha yangu kabisa nilipo kuwa sina ila nilipo pata wanitafuta ila #nimesamehe
Vijana wachache sana kama wewe wamemuishia mungu.....keep it up mungu aendelee kukuweka juu
😭😭Nimesamehe ndo nisamehewe🙏🙏😞
Wimbo umenitoa sana nilipokuwa nimekwama japo nililia sana. Mungu akushindie kila hatua zako
napenda sana wimbo huu.nimesamee baki na amani, nimesame ili nisameewe,wala co. kwa ajili ya mtu wala co kwa ajili ya dunia.ila kwa moyo wangu na amani ya kesho.Ameeen Goodlucky
Wazazi au ndugu rafiki mpenz wanaweza kuumiza moyo wako😭😭😭najua nina maumivu ya moyo #nimesamehe
Lucy John pole mungu akutie nguvu
Nko kwenye maumivu makal nkifikiria magumu nayopitia nahc huu wimbo uniinue kiiman😥😥hata wataniomba msamaha lol🙏🙏
Amen nabarikiwa sanaa mtumishi wa MUNGU kwan ndugu marafki na jamaa wananisemaa na nilikuwa ninesha apa kwa MUNGU KUWA STA KAA NIWASAMEHEE ILAA KUANZIA LEO MOYO WANGU UNA AMAN NA POPOTE WALIPO WAWEE TU NA AMAN
You really something am Muslim but i cnt sty without listen yo songs... T such a bless may Almyt grants u millions n millions v succes.. Yo the bst...
heart touching indeed!!!Ooh!!My soul....learn to forgive and forget...
Yaap le shemela.! . U see huh!!
I like your liberal way of viewing things. You are not fanatical. May JESUS CHRIST BLESS YOU
Thanks buddy.. You too.. He may guide you and. Bless u
nimesamehe ili moyo wangu uwe na aman.ahsante Mungu
Thnx Kwa nyimbo nzuri nataman na mim kuimba ila sijui nianzie wapi kwan napenda sana kuimba nyimbo za dini
goodluck kiboko ya stress napenda san uimbaj wake nkisikilz nyimbo zake nafarijik san nyimbo nying znagusa maisha yang mpaka muda huu
My God bless you...
Nyimbo nzri saana inatuongezea
Imani na kimia moyoni mwetu
Aksant Baba Mungu kwa mtomishi
Wako Goodluck Gozbert tumefurahi kwa nyimbo izi.
Merci infiniment
à Dieu notre Père d'Amour.
Mtumishi (sorry)
Ukristo ni kusamehe na kusahau...usiposahau unakuwa hujasamehe bado...😀😀
lovely song....😍😍
hii nyimbo imenifanya nimsame mtu alienikosea miaka minne hatusemezani Asante mungu aendelee kukubariki
Tarehe tangu jana bikama masaha ma inne nasikiliza wimbo huu natafakari naomba Mungu anisaidie,macho imevimva kwa kulia ubarikiwe kijana wa Mungu kwa kuuvunja moyo wangu kama mtoto mdogo nahitaji kusamehe na nisamehwe,nahitaji kupotea Yesu aonekanne maishani mwangu.
Nimesamehe ili nisamehewe is very nice song my dear brother ubarikie sana kwa kazi zako zina ujumbe mzuri kwa jamii
Barikiwa sana... nasi waimbaji wenziyo hapa tuko nyuma, mtukumbuke kwa maombi... barikiwa sana. by Producer Magnifique.
kusamehe ni kitu muhimu iwapo unahitaji furaha ya moyo bless me God my God protect us
mungu akubariki sana gosbert, umenifundisha kitu kizuri ambacho sikuwa naweza kusamehe, niliifadhi mambo mengi moyoni ambayo yamekuwa mateso na kunichakaza kiafya. mungu akubariki sana. HATA NISIPOSAMEHE SIYO KUWA WATAJIFUNZA NIMEAMUWA KUSAMEHE
huu wimbo huwa unanipa sana moyo nakunifanya kuvumilia mengi katika kuishi na ndgu na kunipa power yakuyafikia malengo yangu nakusaidia wazazi Wang
Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka hautowaona tena . Natafakari wanadamu tunamioyo gani. Hatuna huruma. Very impressive song. Make me feel gud with my heart all the tyme. Bcoz of forgiveness with each others. Samehe saba mara sabiini.cuz This world is not our Hom. NIMESAMEHE.
Hata nisiposamehe...hawawezi jifunza...Sio wote wataomba msamaha....Sijui nitunze vya nini?
Naupenda huu wimbo sanaaaaaaaaaaa.....Ujumbe wake ni mzito sana yaaan.....Ubarikiwe
Wimbo huu unanibariki sana
Wimbo huu unanibariki sana
God bless you
Nmesamehe japokuwa unaniumiza Sana😭😭😭😭😭😭ni ngumu Sana kusahau😞
natafakari wanadamu tuna mioyo gani hii kama wanyama haa hatuna huruma.... stay blessed ma brother goodluck gozbert unanibariki sana I can't finish a day without ur songs....
Wakati mzaziiiii anahangaika. .................... Hata nisipo samehe .............. Nimesamehe nibaki na Amani amen
Asante sana Kaka yangu ,Mungu akubaliki kwa uyu wimbo ,nilikuwa nimekoseya mpnz Wang ,ila nakubuka alipo sikiya wimbo uyo akanisameh pia akawunitumiya na mimi ukanijenga sana ukanifunza mengi ivi sasa niko tafauti nazamani nimebadilika ,God bless u
Forgive them,, don't block your blessings..such a great song,God bless you Gozbert
Mungu wa mbinguni haenderee kukutumia km chombo cha sifa nabarikiwa SNA nyimbo Mungu haendee kukujaza mfunuru kila itwapo Leo barikiwa kaka
Ehhh Mungu mbona me nashindwa kusamehe roho ya kusamehe inashindwa kuniachilia
daah barikiwa kaka kwa wimbo mzurii,nimewasamehe wote walinikosea hata kama hawataniomba msamaha..
Always Great Music 🎵🎶🎶.
Am your Number one fan From Mombasa Kenya ...
+254...
It's real blessing. When you forgive you gain much power to move on! Be blessed bro
Mungu azidi kubariki kuna baraka. Na nguvu kubwa kwenye kusamehe ubarikiwe
Nimesamehe nibaki na Aman, nimesamehe ili nisamehewe! moyo Wang ucje pasuka bure, bora nisamehe ni baki na aman!!! Dah nabarikiwa sana na wimbo huu!
Marafiki wengi Waja Ukiwa Nazo Ziki isha Wanaondoka..Nimesamehe, Ili ni Samehewe !!! #Deep.
nambie
+Joshua Matiasi aise kaka wewe unaweza mngu akubaliki
Oko vizuri
Mungu azidi kukupa utakacho kwa moyo wako God bless you
😭😭😭 daaaaaaaaah adi nalia nikisika nyimbo zako
Nabrikiwa sana na song hii na zote Mungu aendeleee kukutunza
Amina Gudruck endelea hivyohivyo kuhubili kwa njia ya mahubiri
Que l'Éternel Dieu te bénisse richement mon frère en Christ 🙏, merci beaucoup pour cette chanson c'est mon cas
mungu akubariki katika kazi yako miaka yoteeeeeeeeeee
Nimesamehe asante Mungu azidi kukubariki...
Mungu akubariki sana wimbo wako unabariki uwa siachi kuusikiliza kila iitwapo leo.
Ni uchungu kweli inauma Sana...lakini tusamehe tu...Mungu atusanehe
nasikiliza this song kila siku...very good song..mashallah..ujumbe mzuri
Still here from Kenya...the song is very Emotion
Ni ujumbe mzuri sana,Barikiwa zaidi Goodluck.
Nimesamehe wote bali wasirudie,sisi wote tuna roho ya damu na nyama sio chuma,thanks brother Gozbert Good luck creating this masterpiece to the world,you are great may God continue upgrading you everyday and live long❤❤❤
Nyimbo naipenda mpaka natoa machozi😢😢😢
Samehe ufunguliwe milango ya baraka welldone goodluck
Shukran sana kakangu...unanibariki na nyimbo zako...mungu kakupa kipaji...nyimbo zako zote kali. I rank you as the best gospel artist in east africa..I am from Kericho - Kenya
Ubarikiwe sana mana nyimbo zako zinagusa moyo wangu mungu azidi kukupa nguvu
Kila ngoma unayotoa ni kali na iko ki modern zaidi kila mtu anaweza isikiliza....... barikiwa
The first time I had this song I really battled with my heart ,,at times it's hard to let it go,,,,am great to God am now free I had to forgive because o peace,,,,I really great full to almighty God because of you good luck,,,you are an inspiration mungu anakutumia kubadilisha the current generation,,,,, thanks to almighty God
amina hi nyimbo imenifanya ni lie sana juu mume wangu aliuliwa na rafiki zake ni liwaju walio fanya ivio sikua na uwezo wa kufanya chochote ila ni limsamehe alio tenda ilo ili ni baki na hamani mimi na mwangu nilie achiea na mume wangu amina mungu abariki kazi yako msamaha peke dio amani ya moyo
jamani my dear polesana😢
daaaah yani mungu awe nawe kwa kila mafanikio yako wimbo mnzur sana
Mungu akubariki wimbo mzur tunabalikiwa wote
Nimesamehe nibaki na aman Lazima ,kusamehe ili nami nisamehewe ...Msamaha ni aman msamaha Ni neema ..MUNGU nipe Neema ya kusamehe ...
nimeisikiliza mara ya kwanza na moyoni mwangu nikitafakari niliyokosewa, nikajisemea hapana hili siwezi kusamehe, lile siwezi kusamehe. Lakini kila ninavyozidi kusikiliza naona moyo wangu unazidi kuachia moja baada ya lingine.
Barikiwa sana Goodluck kwa huu ujumbe. #NIMESAMEHE
Mung akutie nguvu
nyimbo zak zinanijenga mungu akubarik sana gozbert kw kipaj alchokupa mungu
nimesamehe kwa JINA LA YESU amen
Hakika ni wimbo bora s kwa upande wangu bali kwa maisha ya jamii na ya kiroho kwa ujumla maana msamaha ni silaha ya mafanikio
daaah!!!!naipenda sana hii Nyimbo Mungu azd kusimamia kaz zako!!!
Nyimbo zako huwa zina nigusa saaana Goodluck dah..!!! Safi saana napenda saana nyimbo zako
Hakika nimesamehe nibaki na Amani ya Moyo wangu sitaki tena kusononeshwa na ya Dunia haijalishi Ni wap nani na wakati gani niliumizwa Lakini leo Nimesamehe nibaki ns Amani!!!! Sichoki kukusikiza huu wimbo maana najua kunamengi niliyokosea pengine kuliko niliyokosewa Mungu akubariki kijana mwenzangu kwanyimbo za Matumaini 🙏🙏
Iyi nyimbo inani tiya nguvu. Really i forgive too
Yote katika hii song,,,ni ambayo mepitia Mimi,,nikiskiliza naumia Sana,,
wajua Nina maumivu ya moyo mengine siwezi sahauuuu..... hongera sana
mungu akufanye chombo cha sifa kila kuitwapo Leo kak g.
Tunao mkubali goodluck anatukumbushya kwamba Mungu yupo.gonga like
Good song na umenigusa kwel ukimsamehe mtu unakuwa na amaniiiii
duuuh,wimbo mzuriiii,thanx broo barikiwa sana
yaan ........guys Leo trh ya 23 jumamoc ......staisahau Kwa huu wimbooo....nilitokewa na ttzo but kuhsu huu wimbooo nimejifunzaaa nimesameh bakiii na aman
Yan huu wimbo nikickiliza nakuwa na amani hata kama nina hasira kias gani na wapo wengi niliokosana nao nakuapa cta wasamehewe katu ila kwa huu wimbo nimewasemehe japokuwa cko krb nao ila moyo wng mweupe na umefunguka kwajili yao kifup nyimbo zako zote zinanifanya nickate Tamaa nakumtumainia bwana kwakwel ubarikiwe sana brother
Me2
Mungu abariki kazi ya mikono yako nami najifunza kusamehe
Nimesahe ili Nisamehe is very nice xong God bless u my dear brother
Nilitunza mengi moyon visasi. Nimesamehe.keep it up and god bless u more
Nakupenda sn 💕 nimeikubali an goodluck
am blessed with this song kweli inabidi tusamehe ili tuwe na amani uzidi kubarikiwa goodluck
Prisca David David Mndeme mungu amtie nguvu
Wazazi au ndugu rafiki wanaweza kuumiza moyo wangu yeah itx real bt nimexamehe😒😒😒😒😒🙏🙏🙏🙏🙏
Nimesamehe nibaki na amani.... very nice.... you mentor mi 100%
Danny peace bongo moved
As we're close to end this year, I announce this as the bestest song of the year. God bless this servant of Christ.
daaaah Mungu aniongoze had nifikie kusamehe daaah
Kila nikiamka lazima niusikilize wimbo huu, umekuwa ukinibariki kwa namna ya pekee sana. Nikipata mtoto nitamwita Goodluck! salaam nyingi kaka toka Mysore India.
'Niliaharibu kwa ndugu zangu, kusimama na huyu mwenzangu baadaee akanisaliti..! akaukana utu wangu, Kuonesha upendo wangu!'
daaaaaah Godluck ubarikiwe kwel nimeguswa
Nimesamehe ili nisamehewe ni kwa amani yangu ya kesho maneno muhimu sana...
Marafiki wengi huja ukiwa nazo zikiondoka hautawaona tena..... Nasamehe kwa neno LA bwana
nimesamehe ili nisamehewe hii nyimbo imenigusa san mungu akubariki san
Zay Zaytona Ata Mimi pia nimesamee kaka angu
Nice song..... nimesamehe wala siyo kwa ajili ya mtu.... Bali kwa ajili yangu na Amani ya kesho..
kusamehe ni kila kitu hapa dunian. be blessed
Nabarikiwa sana na huo wimbo barikiwa sana G.Gozbert
Duuuuuh gudluck toa nyimbo kama hzi jamn
Hii..sauti nazani mungu anafurahishwa nayo sana..hongera sana kijana kwa mungu kuna raha kwelikweli..hebujaribuni mjionee ....I really like ur songs ur da best ever 🤗🤗
powerful SONG brother!!!!!!
Very POWERFUL!
May the LORD bless you soo MUCH!
Ukwer nakuelewa kaka g andelea kusamehe mungu akusaidie
huu wimbo ulitoka kipindi ambacho nilihitaji kuwasamehe watu wengi kila verse iliyoimbwa nimeona kama ameniimbia mimi
brother God bless u,maana hakuna msamah,pasipo kusamehe kwanza.
Teach me how to forgive oh Lord!😭😭😭
Amen
Mungu akubaliki sana