innah lillah wainnah ilayhi rajiun m mungu amrehem amlaze pema pepon na waislam wote amiin poleni sana mungu atawafanyia wepesi na na awape subira kwa wakati mgumu kama
😢😢😢😢 mie nashukurutu amefika nyumbani amesitirika nyumbani tumshukuru MUNGU kwakila jambo ALLAH tupemwisho mwema pia mpokee mwenzetu mpumzishe pia tunaomba mlipe hakii yake
Inna lilahi WA inna ileyhi rajiun Allah amrehemu amfanyie wepesi kwenye kaburi 😢😢 Allah tujalie kifo cha kurejea kwako ukiwa umeridhia na kutusamehe dhambi zetu za siri na dhahiri😢😢😢😢😢 🤲🤲🤲🤲🙏
Allah atusaidie na wepesi wa risk zetu kifo kipo na nikitu champata mtu popote cha msingi ni mwisho Bora na Allah aondoe vizuizi na drama kwa mazishi yetu Allah atuhifadhie nafsi zetu na atusamehe sisi wakosefu sio wakamilifu waislamu kumbusho kwenu tuko kwa mwezi wa Rajab tuombe Allah mwelekezo bora na tuone ramadhani na tufunge Allah atwepushe na maradhi waleikum Salaam warahmatulahi wabarakatuh.nawapenda nyote fellow workers in Gulf let us pray for each others na tubarikiwe.
Mimi Niko omani nyumba tatu nimeshughudia kuwa tabiaza za waarabu wengi huku washirikina sisemi katolewa kikoo lahasha bali ninakusudia hawana Imani na Mungu wapo teyari kuuwa na kudhulumu dini wameziweka ktk kanzu na baibui tu , Mungu ampe kauli thabit amswamehe madhambi yake
Innalinlah wainna iraih rajiun sote njia moja kweli watu wasitoe habal za uongo ila uongoz wa oman una feli wapi hawawez kufika kwa huyo boss angalau kuona hilo shimo dada alilofia ili kutupa uhakika inauma maana wamesema ni igonjwa wa moyo lazima familia ikae na huzuni maana hawajasikia kuumwa kwake
Msemaji wa familia ni muungwana. Wewe mtangazaji ulitaka nini? Kuna sheria za maiti.maiti imesafirishwa mpaka Daressalaam. Ulitaka iweje? Acha uchochezi.
Brother endelea na kazi yako wewe ni mungwana na habari zako zna mvuto from TZ
❤❤❤
Pumzika kwamani Dada, sote tusafarini😢
Pole kwa familia our fellow kadama
May her beautiful soul rest in perfect peace.. Ameen..🙏
Asante kaka yetu mungu atupe mwisho mwema shukuru kumuombea from 🇹🇿
innah lillah wainnah ilayhi rajiun m mungu amrehem amlaze pema pepon na waislam wote amiin poleni sana mungu atawafanyia wepesi na na awape subira kwa wakati mgumu kama
Mungu amrehem amlaze mahali pema peponi
Amen
😢😢😢😢 mie nashukurutu amefika nyumbani amesitirika nyumbani tumshukuru MUNGU kwakila jambo ALLAH tupemwisho mwema pia mpokee mwenzetu mpumzishe pia tunaomba mlipe hakii yake
Amina thuma Amina Inshallah ya rabby tujalie mwisho
Poleni kwa famiria
Innalilah waina ilahim rajuhul
Kwanza tena nashukuru sana kwa ile vidio uliwahi kutoa kuhusu wizi kwa mtandao kwa mpesa ulinisaidia sana
Karibu sana😊❤
@CHIPANDE-v6z Asante
Mungu ambariki huyo mzazi,ako kuelewa kabisa pia kwa boss wake pia
Unajuwa wamemuwa huko Oman nasio ajali
@ aminatanzanya UNA UHAKIKA NA UNACHOSEMA
😳
@@shamzone388 Eee mbona ripot za doctor zije tofauti kwamb sio ajali au hufatilii
Bosi kamtoa kafala na mwili umekutwa tofauti
Inna lilahi WA inna ileyhi rajiun Allah amrehemu amfanyie wepesi kwenye kaburi 😢😢 Allah tujalie kifo cha kurejea kwako ukiwa umeridhia na kutusamehe dhambi zetu za siri na dhahiri😢😢😢😢😢 🤲🤲🤲🤲🙏
Ameen
Amiin😭😭🤲
MUNGU ni mwema ameshastiriwa tubaki kusema MUNGU yeye ndio ajuae yote🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nawawepole famila na ndugu mungu ailaze mahali pema palipo na wema rohowake Amen
Inshaallah kaka angu kwa neema ya Mungu tutarejea salama Inshaallah
Mungu ampe kauli dhabit😭😭poleni kwa familia
Poleni sana familie
Lazima waucheck mwili maana wengine wanatia mukhadarat
Mukhadrat ni nini please?
Allah atusaidie na wepesi wa risk zetu kifo kipo na nikitu champata mtu popote cha msingi ni mwisho Bora na Allah aondoe vizuizi na drama kwa mazishi yetu Allah atuhifadhie nafsi zetu na atusamehe sisi wakosefu sio wakamilifu waislamu kumbusho kwenu tuko kwa mwezi wa Rajab tuombe Allah mwelekezo bora na tuone ramadhani na tufunge Allah atwepushe na maradhi waleikum Salaam warahmatulahi wabarakatuh.nawapenda nyote fellow workers in Gulf let us pray for each others na tubarikiwe.
Ameen Yarabi 🙏
Rip dear one.... 😢😢Nikiwa hapa muscat oman
Poleni ndugu zetu
From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun
Allah awape subra wafiwa wote Allah amsamehe marehem makosa yk Ampe kauli thabit
Apumzike kwa amani😢
Poleni kwa family
Let him to rest easy 😢😢😢
Pole kwa familia
Polen kwa family
Pole kwa familia 😢🙏
Kichwa cha Habari sio sawa😢ila Tunamuombea
Amina kaka etu ubarikiwe
Tuweni pole sote😢😢😢
Poleni familiar mungu awatie nguvu siorahisi
MWILI LAZIMA UFANYIWE UCHUNGUZI MAANA WATU WENGI WANATUMIA MAITI KUWA NINJIA YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA KAMA HAMUJUI ULIZENI WANAOJUA
Shukurani brother 😍
Maskini wamungu wainalilah wainnalilahi rjiun 😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔💔
Amina 🙏🙏🙏
mungu akubarik kaka
May her soul rest in peace 😢😢
Mimi Niko omani nyumba tatu nimeshughudia kuwa tabiaza za waarabu wengi huku washirikina sisemi katolewa kikoo lahasha bali ninakusudia hawana Imani na Mungu wapo teyari kuuwa na kudhulumu dini wameziweka ktk kanzu na baibui tu , Mungu ampe kauli thabit amswamehe madhambi yake
Ukweli kaka
Allah ampe kauli dhabit
Rest in peace 😢
Innallilah wainalilah rajiuni tunashkru amefika nyumbn salama
Kwa kweli huyu kaka ana faa kuwa kiongozi wa jamii
Wee watoto leo wamekuona kwa tv , wako mum huyu ni yule wa mombasa 😅😅😂
😀😀
Nimewanis sana🤗
Twakumiss pia , 😂😂😂 salimia huko
Allahuma ameen
Pole kwa family
Innalilah waina eleyh rajiun😭😭
Innalillah wainna illaihi raajiun
RIP dada😢
😢😢😢
Kauliwa huyo mtake msitake
😮😢😢
May she RIP so painful and sad 💔💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭 may God intervene may God strengthen the family.
😢😢😢😢😢
Inalillah waina illah rajiuni 😢😢😢😢😢
Innalinlah wainna iraih rajiun sote njia moja kweli watu wasitoe habal za uongo ila uongoz wa oman una feli wapi hawawez kufika kwa huyo boss angalau kuona hilo shimo dada alilofia ili kutupa uhakika inauma maana wamesema ni igonjwa wa moyo lazima familia ikae na huzuni maana hawajasikia kuumwa kwake
Death is a very painful whenever people give news should be careful rest in peace dear
Innalillah wainna ilayhi rajiuun
Innallilahi wa inna illayhi rajioon
Allah amrehemu
😢😢😢may her soul rest in peace
Tunakuomba MUNGU utusamehe makosayetu yasiri na yadhahir nadadayetu umuweke mahali pemw
Rip dr
Makiwa kwa familia
Pema
Mtangazaji acha ushamba
Msemaji wa familia ni muungwana. Wewe mtangazaji ulitaka nini? Kuna sheria za maiti.maiti imesafirishwa mpaka Daressalaam. Ulitaka iweje? Acha uchochezi.
Polen kwa family
Innalillahi wainna ilaihi rajiuun