#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 Місяць тому +3

    Ndugu yangu wewe usilete mapenzi ya ushabiki kwa kulazimisha kitu kama hujuwi ni hujuwi ni nini kinachoendelea Mo alisha mkataa Chama kumpa mkataba mpya kwa makubaliano mapya na Magoli alimtaka bali Mo alimwambia yeye Magoli akimtaka Chama basi yeye amlipe yeye Magoli sasa kwa nini wanam bania ?

  • @ErastoOmari-ij1zs
    @ErastoOmari-ij1zs Місяць тому +1

    Mchezaji
    Anaruhusiwa Kuanza Mazungumzo na Mchezaji Akiwa Kabakizamiezi 6 Bila Kuzungumza Na Timu Husika

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Місяць тому

    CHAMA AMESAJIRIWA NA YANGA JULY 1/7/2024

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Місяць тому

    WEWE MJINGA KUWAHI KUTOKEA,FIFA ITATOA RELEASE LETTER SIO LAZIMA SIMBA WATOE

  • @salumzambwi8941
    @salumzambwi8941 Місяць тому

    Pia alitoa mfano wa Okwi kuwa alicheza Alhilali ya sudani kitu ambacho siyo kweli, OKwi hajawahi kusajiliwa na timu hiyo!

  • @KumbaBoy
    @KumbaBoy Місяць тому

    Ayo ni mazungumzo yakibiyashala katika cmba na yanga akuna biyashara ya mauziano

  • @MrishoMatimbwa
    @MrishoMatimbwa Місяць тому

    Na bado mpaka waseme

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato Місяць тому

    Huyu jamaa anaongea ushabiki sio mpira

  • @KumbaBoy
    @KumbaBoy Місяць тому

    WW muongo ujui chochote kama ingekuwa Ivyo mdawote wachezaji wangekua wanauzwat uyu ajielew

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v Місяць тому

    HUO SIO UHAMISHO,UKISTAAFU KAZI LAZIMA UPEWE KIBALI CHA KWENDA KWENU????

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr Місяць тому

    HICHO KIBALI GANI SI CHAMA ASHAMALIZA MKATABA WAKE SIMBA ? MKATABA UPI CHAMA NI MCHEZAJI HURU

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 Місяць тому

    Morrison..na chama..hivi ni tofauti..nauliza hivi marehemu.na.hayati..kunatofauti..!

  • @EmmanuelMalangahe
    @EmmanuelMalangahe Місяць тому

    Simba haina haja na chiba snapewa displin tu

  • @jacksonsungwana7253
    @jacksonsungwana7253 Місяць тому

    Duuu,kwel Kwan thank you walizotoa waliwapa taarifa kabla ligi hajaisha? Acha kupotosha

  • @salumzambwi8941
    @salumzambwi8941 Місяць тому

    Yani huyu jamaa anaongea kishabiki waziwazi, Iko hivi yanga wamemsajili chama taerehe 1/7)2024 asubuhi, wakati mkataba wake na simba uliisha takrinani masaa 6 nyuma. Je shida Iko wapi? Kwani mazungumzo ya kumsajili mchezaji ni lazima yachukue miezi??

  • @ErastoOmari-ij1zs
    @ErastoOmari-ij1zs Місяць тому

    Msemaji wasima Kashasema
    Chama Nimchezaji Wa Yanga Hawezi Kumzungumzia

  • @MrishoMatimbwa
    @MrishoMatimbwa Місяць тому

    Simba wanaweweseka tu kipigo walichopigwa ni kikali sana Cha kuchukuliwa huyo chama na bado mpaka waseme

  • @MotibaMashana-hv3tf
    @MotibaMashana-hv3tf Місяць тому

    acha kuongea ujinga ww

  • @ErastoOmari-ij1zs
    @ErastoOmari-ij1zs Місяць тому

    7:10 Kipengele Gani
    Kinasema Mchezaji Akimaliza Mkataba Ananyimwa Hakiyake Yakusajiliwa Timu Nyingine

  • @AbdulIsrah
    @AbdulIsrah Місяць тому

    Mbape ametangazwa real madrid kabla ya hapo alishawahi kukataa mara mbili kusaini pale psg kuongeza mkataba.Mara ya mwisho mbape na babake waliomekana kwenye viunga vya madrid prpbably ni mazungumzo ya mkataba wa awali kusain pale Madrid mbona hatujasikia Psg wakilalama kuhusu Mbape kwenda Spain ??????
    Israel Lugano unabumba maneno acha kung'ata maneno

  • @user-dz8ex4fk2x
    @user-dz8ex4fk2x Місяць тому

    Acha uongo hujui chochote, vipi kuhusu morisoni kipindi Simba inamchukua walitoa taarifa kwa yanga?

  • @JackKanyigo
    @JackKanyigo Місяць тому

    Yataisha mbona Fei alienda Azam huku ana mkataba na Yanga?..TFF wali😂 fanya nn?

  • @veelmng7746
    @veelmng7746 Місяць тому

    Tupe hicho kifunga namba ngapi? Mchezaji akibaikiza miezi sita hakuna kifungu kina lazimishi timu inayomtaka kuongea na timu. Simba ni wahuni tuu hakuna hoja yoyote