Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mh Jussa wewe ni hero wetu wazanzibari.. may Allah akuhifadhi
Kwa kweli ACT ni tumaini la kila mzanzibari mwenye kutaka uhuru. ACT safiii na inapendeza kweli kweli. Allah atufikishe kwenye uhuru wetu ZANZIBAR
Chagua omo 2025 chagua act wazalendo.
OMO kiboko ya ccm tuko nae 2025 inshallah
Safi wakiambiwa ukweli ccm wananuna ila wazanzibar hata mtukokote miaka mia 5 hatuwakubali kwa dhulma hii
Aanhaaa kumbee mpaka uwe na kadi ya ukiritimbaa uukereketwa saaa sie vijana wa kizanzibariii tunaosota na diploma zetu tumejaa vumbiii
Tuwekenee full pls
Tuwekeeni yote pls kusubiri siku mbili mkatoa nyengine haipendezi huu ni mkutano sio mchozo wa kuigiza si tulokuwa mbali canada tunakuwa siku chache za mapumziko tunakosa raha hayo maoni yangu a digital online mnafanya kazi nzuri sana hongera ni
2:11
+259
@@SaidJuma-gs9ej Hata mm pia napendelea iwe ni video full au kama ni vipande basi waweke viwili tu iwe ni part 1 na 2
@@SaidJuma-gs9ej sawa sawa jambo kama hili muhimu tuekeeni yote kwa wakati mmoja
Naipenda Zanzibar yangu wallah ❤🎉
Vip mbona mumetoaa vipandee na munajua sisi tunafuatilia kwa kina ili wazanzibari tuupate taaaluma
India,inajitawala,ss,????????
KWA HVYO SUALA LA MUUNGANO TUSINGEWEZA KUITWA SOTE . TULIWAKILISHWA NA VIONGOZI WETU KWA NINI HILO HULITAKI?,