TOP 5: WACHEZAJI 'BORA ZAIDI' WA YANGA YA GAMONDI KWA SASA | TAKWIMU ZOTE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Je unaupenda unaufurahia na Kuupenda uchambuzi kutoka SoccerData?
    Tusapoti kwenye Ununuzi wa Vifaa Vya uzalishaji;
    TigoPesa - 0710679 388
    Halopesa - 0627 532 401
    (Sekwao mwendi)

КОМЕНТАРІ • 25

  • @abuuasii8487
    @abuuasii8487 Рік тому +2

    Yes leo umenifurahisha Sana kaka hii ndio yanga bwn

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Рік тому +3

    Safi Sana Soccer Data Kwa Uchambuzi Bora Wenye Viwango Vya Kimataifa.

  • @Khamisjafar-v8
    @Khamisjafar-v8 Рік тому +1

    uko vizuri sana 👊 unatujuza mengi mno

  • @alexdjmoviestv3712
    @alexdjmoviestv3712 Рік тому +3

    Hii imeenda😂🎉🎉

  • @BenardoSanga
    @BenardoSanga Рік тому +2

    Apo sawa brother 🎉🎉🎉

  • @abdulkadirnoorhassan4024
    @abdulkadirnoorhassan4024 Рік тому +2

    Hii noma
    Hi 5 niko paleeee

  • @charlesmrutu4621
    @charlesmrutu4621 Рік тому +2

    Yanga ni kubwa daima mbele nyuma mwiko

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 Рік тому +6

    Kuna chuma hujakitaja cha ulinzi, Bacca ni noma sana

  • @malimicharles3212
    @malimicharles3212 Рік тому

    Bacca namwamini sana ni beki imara

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 Рік тому +2

    Usituchonganishe na wachezaji wetu wote wako Bora🤭

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Рік тому

    Mimi naona wote wapambanaji wanajituma sana hawa majembe yetu

  • @PiusPaul-mw4bk
    @PiusPaul-mw4bk Рік тому

    Ukweli mdathir ndo mchezaji Bora hats kwangu ila wapili no Yao tatu nzengeli nne baca Ibrahim Tano aucho

  • @dreamleague-uq2gx
    @dreamleague-uq2gx Рік тому +1

    Muda fundi wa ball

  • @NelsonKaveya
    @NelsonKaveya Рік тому

    Lakin me naona wote wako vizur ase angalia diara golin angalia pakome angalia baca ase angalia pass za mutambala ase utaleta uchonganish kwaujumla yanga msimuhuu yamoto

  • @PeninaMhagama-es2ne
    @PeninaMhagama-es2ne Рік тому

    Yanga tupeni raha maana wee acha kila la kheri mshinde tena tr.30.09.2023 j.mosi

  • @migundarobert4649
    @migundarobert4649 Рік тому

    Bacca

  • @ramboiddrambo3056
    @ramboiddrambo3056 Рік тому

    diara mbona ujamtaja kaka

  • @MohamedKimbwembwe
    @MohamedKimbwembwe Рік тому

    Yanga wamrudishe bangala awe anapokezana na aucho au mudathir wanapochoka

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Рік тому

      Kaka m naona yanga Haina tatizo kwenye eneo la kiungo....maana Kuna Sure boy pale , Kuna Jonas Gerrard Mkude Casemiro home boy, Kuna zawadi Mauya,,,,,eneo la kuimarishwa zaidi ni eneo la ushambuliaj namba 9