Aina Saba za Nguo za Kuacha Kuvaa Ili Kupata Muonekano 'Elegant'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лип 2024
  • Ili kupata mafunzo ya Namna ya Kupata Muonekano Elegant (muonekano maridadi, makini na usio na mambo mengi)
    Bonyeza hapa: selar.co/7m784o
    Ni muhimu sana uwe na sifa za ziada mbali na elimu uliyonayo au bidhaa/huduma unayouza. Ukweli ni kwamba kwenye soko la ajira wako watu wengi wenye elimu kama yetu au hata kutuzidi. Na kwenye biashara wenye bidhaa au huduma kama yetu si sisi peke yetu. Soko tunalolilenga likiwa lile lile.
    Utawezaje kujitofautisha?
    Utaweza kuwa wa tofauti kwa kuonesha ubora kwenye kila unachokifanya. Kuanzia kwenye namna unavyowasiliana, unavyojiamini, uwezo wako wa kutengeneza "connections", namna unavyojiweka (muonekano wa nje) na muhimu zaidi, kwa kuonesha miiko ya kazi uliyonayo (Professionalism). Ukiweza kuboresha maeneo haya, utakuwa kinara kwenye uwanja uliopo kitaaluma na kibiashara na hilo ndio lengo kuu la mafunzo tunayotoa kupitia ukurasa huu.
    Kuweza kupata mafunzo kamili katika maeneo tajwa, tafadhali tembelea link husika na fuata maelezo ili uweze kushiriki mafunzo hayo.
    Mafunzo haya yapo mtandaoni na hivyo utaweza kushiriki kutokea kokote utakapokuwa kwa kutumia simu au laptop.
    Somo: Namna ya kujijengea kujiamini
    Bonyeza hapa: selar.co/5z6o63
    Somo: Namna ya kuwasiliana kama mtu makini anayeweza kuaminiwa na mikoba ya fursa
    Bonyeza hapa: selar.co/z4f7
    Somo: Namna ya kuboresha uzungumzaji wako wa Kiingereza (English language Fluency technics)
    Bonyeza hapa: selar.co/o449aw
    Somo: Namna ya kutumia mitandao ya kijamii kukuza jina, na kupata fursa za kazi na biashara
    Bonyeza hapa: selar.co/678698
    Somo: Namna ya kuvaa kuendana na kazi na malengo uliyonayo
    Bonyeza hapa: selar.co/cr3868
    Somo: Namna ya Kupata Muonekano Elegant (muonekano maridadi, makini na usio na mambo mengi)
    Bonyeza hapa: selar.co/7m784o
    Tunapendekeza utumie mtandao wa Vodacom, (M-Pesa) unapofanya malipo ya mafunzo haya.
    Tafadhali vilevile tumia email ambayo una password yake, kwani link ya kujiunga na mafunzo itatumwa kwenye email hiyo.
    Kwa changamoto yoyote baada ya kulipia darasa tafadhali wasiliana nasi kupitia whatsapp no: +255755640633 (Mirror Etiquette)
    Tafadhali 'follow' kurasa zetu ili kuendelea kupata magumu mbalimbali tunayotoa:
    Instagram: mirroretiqu...
    Facebook: share/wCc7i3...
    Tiktok: www.tiktok.com/@mirroretiquet...
    X: x.com/mirroretiquette?s=21&t=...
    LinkedIn: www.linkedin.com/in/miriam-kw...
    Shukrani!
    #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #Congo #swahili #Somo #elimu #Maarifa #fursa #kazi #biashara
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 49

  • @joyceqpc8639
    @joyceqpc8639 Місяць тому

    Your so amazing my dear I really appreciate you.

  • @rebeccamhando9625
    @rebeccamhando9625 2 місяці тому +15

    Somo zuri kwa mtu anayependa kujifunza atakuwa amepata kitu kizuri cha kuondoka nacho l wish mafunzo yako yangeambatana na picha za kuonyesha unachosema somo lako lingeeleweka zaidi you do good job congratulations

    • @RoseeyRoseey
      @RoseeyRoseey 2 місяці тому +2

      @rebeccamhando: umesema sahii kabisa azingatie ushauli wako itakuwa vizuri zaidi.

  • @suzanmngongo2644
    @suzanmngongo2644 4 місяці тому +6

    All the way from rich aunties here🎉

  • @judithmmari5216
    @judithmmari5216 Місяць тому +1

    Asante sana kwa somo zuri

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 2 місяці тому +3

    Asante sana ❤

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 2 місяці тому +3

    Somo lako zuri,tatizo utumizi wa lugha. Halafu inaonekana Hauna maandalizi. Picha ziko wapi Sasa?

  • @MonicaMsabila
    @MonicaMsabila 2 місяці тому +2

    Asante dadaaa kwa ushauri, i love you so much

  • @nailafashion6473
    @nailafashion6473 2 місяці тому +3

    Skin jeans huwa napenda sana kuivaa na travoter sasa níkiacha travoter nitavalia nini

  • @user-hm1vg9vr6b
    @user-hm1vg9vr6b 2 місяці тому

    Woow Asante dada nimependa mafunzo yako kwa kweli umenifunza kitu

  • @harriethbarnabas4767
    @harriethbarnabas4767 2 місяці тому

    Thanks honey for helping us on this one we pray to get more knowledge of etiquette from you

  • @elizabethkalinga0822
    @elizabethkalinga0822 2 місяці тому

    Hongera Sana kwa Some Zurich sana, la kutufungua Mind sets zetu know husu Mavazi

  • @emmamashobe8969
    @emmamashobe8969 4 місяці тому +2

    I love this content for Africa

  • @richardkayumbo2885
    @richardkayumbo2885 4 місяці тому +2

    Shukrani sana kwa elimu nzuri ya mavazi.

    • @mirroretiquette
      @mirroretiquette  4 місяці тому

      Shukrani, tafadhali tuendelee kuwa pamoja.

  • @naomykenyera1814
    @naomykenyera1814 2 місяці тому

    Asante sana kwa elim nzuri

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 2 місяці тому

    Ahsante sana kwa ushauri Mungu akubariki sana

  • @joanngomuo
    @joanngomuo 4 місяці тому +2

    Asante kwa somo zuri 👏🏾🔥

    • @mirroretiquette
      @mirroretiquette  4 місяці тому

      Shukrani, tafadhali tuendelee kuwa pamoja.

  • @pendogilbert153
    @pendogilbert153 Місяць тому

    Somo zuri

  • @elianmwanga7427
    @elianmwanga7427 2 місяці тому

    I love this.keep it up

  • @NeemaIsaac
    @NeemaIsaac 4 місяці тому +2

    Thank you💃

    • @mirroretiquette
      @mirroretiquette  4 місяці тому +1

      Thanks as well for being a part of our community.

  • @rebeccamsonge6769
    @rebeccamsonge6769 2 місяці тому

    Asante sana,

  • @beatricemnkeni2670
    @beatricemnkeni2670 2 місяці тому

    Thanks dear

  • @mariammlangwa6367
    @mariammlangwa6367 4 місяці тому +3

    A very good content ❤

  • @stellambilinyi5402
    @stellambilinyi5402 2 місяці тому

    Good bless you my sister

  • @naomichamhene7805
    @naomichamhene7805 2 місяці тому

    Safi

  • @janekajoki5402
    @janekajoki5402 Місяць тому +2

    Sijaelewa vazi ulilovaa,kwakweli na wewe uvaaji huo hapana weka pembeni.

  • @hindunassoro9292
    @hindunassoro9292 2 місяці тому

  • @happinessakim2679
    @happinessakim2679 2 місяці тому

    ❤❤❤

  • @NaphySky-oq5sy
    @NaphySky-oq5sy 2 місяці тому +2

    Nmeinunua Jana Jens ya blue nakesho naivaa😂

  • @efrazialovenesshenerico3208
    @efrazialovenesshenerico3208 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 2 місяці тому

    Vaa dera tena utavutia tu

  • @user-xn8jh1yw1h
    @user-xn8jh1yw1h 2 місяці тому

    Maua yako ......

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 2 місяці тому +1

    usinipangie chakuvaa

    • @donathamwangobe2776
      @donathamwangobe2776 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @sarahpeter7773
      @sarahpeter7773 2 місяці тому

      Kwan umepangiwa

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 2 місяці тому

      @@sarahpeter7773 ndio yani anachokiona yeye kizur kwawenzio sio

    • @eshyndibalema1529
      @eshyndibalema1529 2 місяці тому

      Unaelimishwa,halafu unachukia we mshamba kweli utakaa vilevile na ujinga wako

    • @rosemarysulle9288
      @rosemarysulle9288 2 місяці тому +1

      Yaan km mm ndo naongea,sipendagi nguo za hovyo,na ndo maan sina nguo nyingi,chache za maana sana.lkn kuna watu jmn mshahara wote kila mwez nguo