NITAISHI MIAKA 300.NILIKUWEPO MWAKA-1879. MIMI NDIO NABII MUSA, MJUMBE WA AGANO LA MWISHO NIKO HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @KelvinKimaro-yu1zb
    @KelvinKimaro-yu1zb 10 місяців тому +1

    Wewe unakosea sana maana unamshusha yesu chini wewe unajiweka juu akat musa mwenyewe hakuthubutu kusema ivo ❤❤

  • @MathayoMulumbi
    @MathayoMulumbi 8 місяців тому +1

    NDO MAANA MMI MCHUNGAJI KATEKELA NAMUELEWA SANA

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 8 місяців тому +2

    Kumbe akina Zumaridi wako wengi!!!

  • @ivanf.lekule5618
    @ivanf.lekule5618 10 місяців тому +1

    Kumbe kweli siku ya kusali imebadirishwa, Mungu atusaidie kwa kweli

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 10 місяців тому

    Tunashindwa kukuelewa juu unapenda kutukana sana Watumishi wengine,wale wa kweli unawaita wa uongo,hutaki waseme ukweli unataka wanyamaze, wale wa uongo hutaki kuwasema,kila mmoja ni kiungo cha mwili wa YESU KRISTO, hukumu ni ya Mungu na Hakimu ni Yeye tu pekee yake, ajeni wengine wafanye kadri walivyoitwa

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 10 місяців тому

    Shalom Prophet Amen BWANA wetu Yesu Kristo asifiwe

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 7 місяців тому +1

    Sina shaka kuwa Sasa unabii ni biashara ya udanganyifu. Hata sura tu inaonyesha uroho na ubinfsi uliokithiri kweye moyo wako. KIU ya pesa na umaarufu inatesa viongozi wengi wa kiroho . Sijui wanoongozwa na MTU kama huyu wanafuata Nini huko kanisani kwake. Hakuna dini hapo labda ushirikina.

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 7 місяців тому

      Kwa iyo unajibu kwa kufikiri ndugu mbona unahasira kifupi muombeni Mungu juu ya huyu Nabii ,iko hivi aliongea ukweli hasira zinawaka ndani yenu,likija la dar mtanyamaza tu

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 7 місяців тому

      Hana kiu ya pesa na Wala sio mshirikina na unajua ila tu ila makusudi angetaka pesa angeanza injiri ya mafanikio mbona anaeleweka mmefungwa Nanini ??

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 7 місяців тому

      @@janethmwihumbo1289 Hkun chochote kitaikumba Dar kwa utabiri wa mwongo kama huyu. Kwanza aseme ni tarehe Gani na kitatokea Nini. Ili muone jinsi SGR na mwendo kasi zitakavyoendelea na shughuli zake hapo Dar. Manabii gani wameng'ang'ana na Dar kama kupe na ngozi labda afe yeye . Kwani mikoani hakuna watanzania?

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 7 місяців тому

      Tz bila dar sio tz ndo maana Mungu anaanza na dar ,Mimi nilionyeshwa japo na ishi mkoan, na Dada mmoja rafiki yng alionyeshwa mbona wengi Sana wameomba na Mungu Kawa jurisha,Muulize Mungu ndugu usipinge kwa kuwa Wengi Wana tabiri haya tokei ,utabiri huu uko tofauti Kuna mama wacongo naye kaonyeshwa tz inaenda kupigwa na Mungu ,juzi Kuna mch,huku mikoani amesema alionyeshwa adi akamwambia mkewe ni kweli ndugu

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 7 місяців тому

      @@janethmwihumbo1289 Kama unabii unaweza kuuona mtu wa kawaida kama wewe usiye na unabii ni wazi kuwa hiyo ni mipango ya binadamu na wala msimsingizie Mungu. Kuna watu wanamipango Yao na wanajifanya ni manabii na mitume ndio kwa maana mnawaongelea watu na serikali ya Tanzania. Hao wametafuta njia za kawaida kuingia madarakani ili kujinufaisha wao na sio watanzania. Wao watekeleze Nia zao na wasimtumie Mungu ktk. Zambi hii masna anaweza akawageukia wao ndio wakawa wajanga. Mungu anatupenda watanzania na hatuna mashaka naye wala sio kweli kwamba Tanzania imemuudhi Mungu kuliko nchi zoote duniani kwamba tunastahili adhabu kuliko wengine. Upuuzi mtupu.

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 10 місяців тому +2

    1Yohana 4:1
    Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni.
    2 Hivi ndivyo mnavyoweza kutambua Roho wa Mungu: Kila roho inayokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatoka kwa Mungu.
    3 Lakini kila roho ambayo haimkubali Yesu haitoki kwa Mungu. Hii ndiyo roho ya mpinga Kristo, ambayo mmesikia kwamba inakuja na sasa tayari iko ulimwenguni

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

    • @daudiasajilemwambata6150
      @daudiasajilemwambata6150 10 місяців тому

      Kabisa na kazi ya unabii au nabii Ni kuwafanya watu wamuone KRISTO YESU na si nabii, unabii huwafanya watu watubu na kuwasogeza kwa KRISTO YESU na si kuwachanganya na kumwinua nabii, unabii usiomwinua KRISTO YESU na kuwasogeza watu kwa Mungu Ni wa Kishetani au wa KIBINADAMU kabisa.
      Nami nikaanguka mbele ya miguu yake, ili nimsujudie; akaniambia, Angalia, usifanye hivi; mimi ni mjoli wako na wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudie Mungu. Kwa maana ushuhuda wa Yesu ndio roho ya unabii.
      Ufunuo wa Yohana 19:10

  • @susanilunda
    @susanilunda 10 місяців тому

    Asante YESÚ KWA UFUNGUO huu

    • @emmanuelsunday8325
      @emmanuelsunday8325 10 місяців тому

      ACHA ujinga wewe usimwamini nimuongo

    • @EliaMgagi-in8ds
      @EliaMgagi-in8ds 10 місяців тому

      so aache ujinga mwenzio kapata kitu rohoni wewe hujapata ndiyo maana unahangaika sanaa kupinga

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 10 місяців тому +3

    Duh mwaka huu tutapigwaa mpaka tufee😂😂😂

  • @tagcdcchurch6031
    @tagcdcchurch6031 10 місяців тому

    Shetani mbaya sana, amekuharibu na kukufanya mjumbe wa uharibifu, Mungu akusaidie huyo Mungu tumbo atakupeleka pabaya.

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Unazani una mpinga shetani kumbe una mpinga Mungu na Mjumbe wake

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +1

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @Elecovid
    @Elecovid 10 місяців тому +2

    Msanii ww

  • @KaijageAnneth-jo6ul
    @KaijageAnneth-jo6ul 10 місяців тому

    Mlianza Rohoni mnamalizia mwilini Mungu atusaidie

  • @KanisahalisiLawatakatifu
    @KanisahalisiLawatakatifu 10 місяців тому

    Nakuonya tubu ukabatizwe kwa jina la YESU

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Kwa shuhuda ninazotoa na kuonana na Mungu. UNADHANI NILIBATISWA KWA MAJI NAKUJULISHA NIMEBATIZWA KWA MUTO SIO MAJI, KAMA UPO KUBISHA SIO KUELEWA NAKUBLOK ILI WABAKI WANAOULIZA MASWALI YA KUJIFUNZA

  • @KanisahalisiLawatakatifu
    @KanisahalisiLawatakatifu 10 місяців тому +2

    Asiwaogopeshe sio mtumish huyu wapendwa

  • @marthacharles3872
    @marthacharles3872 9 місяців тому

    Hakuna bora mtumishi wa mungu tengwa

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 10 місяців тому +1

    Wewe ni nani unajifanyisha agano la mwisho acheni kufirisha toka kwenye vichwa na mawazo yenu tena mnatumia mitandao vibaya sana aisee acheni kupotosha watu

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Wana tumia mitandao vibaya kusema kweli ya Mungu,??

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 9 місяців тому +1

    Huyu nadhani akapimwekichwa chake hayupo sawa

  • @marthacharles3872
    @marthacharles3872 9 місяців тому

    Ndugu zangu msidanganyike hakuna mbingu ya wasabato jichanganyeni hao hao walimuua yesu mjue kwa kuihalifu sabato jichanganyeni ,kher wanaomwamini kristo na mbingu ni kwaajili ya watakatifu mm alitaka kunibeba mungu alimtuma mtumishi wake akanieleza huyu sio nooooo

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 7 місяців тому

      Unasubiri kuelezwa ila sio kuomba Mungu akujulishe,na huyo aliye kushauri ana ufunuo wa kiMungu Kama huyu?? Au huyo ndo wa kuzimu anataka muende wote jehnm jifunze kumuuliza mungu

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 10 місяців тому +1

    Kwendraaaaaaa; imeandikwa hakuna aijuae ck wala saaa! Kwendraaaaa huko😮😮😮😮

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv 10 місяців тому

    Aribika kabisa uyo

  • @GeraldAndrew-be9pg
    @GeraldAndrew-be9pg 10 місяців тому

    Jamani

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 10 місяців тому +3

    Mimi siwezi kukuamini hata siku mmoja.

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Kuto kuamini watumishi wanaoleta mageuzi,hujaanza wewe ,unaenda injiri nyepesi kipindi kigumu,ivi ulizani mpaka Yesu atakapo Rudi kunge baki ivi ivi ,bila kuinua watumishi Kama Hawa??je Yesu angelikuta kanisa kweli??shetani anavyoongeza Kasi,kwa wakati huu wa Mwisho,Mungu naye anaongeza Kasi kuinua vyuma ,laiti mngejua kutokea tz mngeshukuru tu

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 10 місяців тому

      @@janethmwihumbo1289 Janet my dear. Niko na Yesu Kristo. Upo. ? Ni mda sasa wa kumsikiliza Yesu Kristo sio hawa watu wako unaowasikiliza. Kwahiyo sorry bby!! Love you sana!!

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      ​@@MichaelMathew-j3fNi kweli huu Ni mda wa kumsikiliza Yesu,umesahau kuwa Yesu Ni ndani ya Mtu,hata we unako abudu ,unamsikiliza Yesu ndani yaani?? Huyu Ni Mjumbe wa kweli wa Mungu omba udhihirishiwe

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +1

      @@MichaelMathew-j3f ISAYA- 30:9 -11 9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @LenkPaul
    @LenkPaul 3 місяці тому

    Wewe ni kichaa. Ulisema Dar itaangamizwa kwa mafuriko kabla ya mwezi wa sita. Leo tuko mwezi wa saba na Dar bado ipo

  • @nesmoskanyuto6715
    @nesmoskanyuto6715 8 місяців тому

    Huyu jamaa bana

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 10 місяців тому +1

    Uchizi sio mpaka mtu avue nguo jaman

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

    Amina amina

  • @WemaMwaikambo
    @WemaMwaikambo 10 місяців тому +1

    Yaani naona unanichanganya tu, mi. Ili nikuamini nasubiri tu ile ya kuangamia kwa dar. Ikitokea tu ndiyo nitakapoanza kukuamini.

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +3

      Wewe unasubili hadi itokee, SISI TUMESHACHUKUA HATUA, KAZI KWAKO TOMASO.

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

    • @nesmoskanyuto6715
      @nesmoskanyuto6715 10 місяців тому

      😂

  • @MerryMhondele
    @MerryMhondele 10 місяців тому +1

    Siku ya kuja Kwa yesu ata malaika wa mbinguni awajui wewe umefunuliwa na miungu

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      yesu ameshafika yuko tarime nenda kamuone

  • @hildageorge1781
    @hildageorge1781 10 місяців тому +1

    Dunia ya sasa sio kuamini manabii ni bora kusimama na imani yako kwa MUNGU na sio kusemana na kuangalia nani kafanyaje na nani kafanya nini maana kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe siku ya hukumu

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Kanisa bila Nabii ,Ni bule usikate tamaa chamgamka Kama Kuna fek origno ipo,Manabii wa kweli wapo

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @AngelMbwambo-ro8xs
    @AngelMbwambo-ro8xs 9 місяців тому

    SI ufanye yakwako na mwingine afanye yake we unalia Nini SEMA ulichoelekezwa na Mungu wako na mwingine hivyo

  • @judicatendengerio-ndossi1583
    @judicatendengerio-ndossi1583 10 місяців тому

    Haya ndiyo yaliyotabiriwa kuwa nyakati za mwisho vitatokea vihoja vya kutisha vikiongozwa na shetani mwenyewe.

  • @MerryMhondele
    @MerryMhondele 10 місяців тому

    Nawaende Kwa Shelia na ushuhuda ikiwa awasemi sawsawa na neno Ilo bila shaka hapana asubuhi

  • @everlinekemunto267
    @everlinekemunto267 10 місяців тому

    Watanzania

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 10 місяців тому

    Amen

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 10 місяців тому

    Nabii wa uongo anayetoa nabii zisizotimia.

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 10 місяців тому

    Kama Kuna kitu kinaua kanisa kwa Kasi Sasa hivi ni watu kupenda unabii, miujiza na ishara soma 1yohana 4:1 Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni. 2 Hivi ndivyo mnavyoweza kutambua Roho wa Mungu: Kila roho inayokubali kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatoka kwa Mungu. 3 Lakini kila roho ambayo haimkubali Yesu haitoki kwa Mungu. Hii ndiyo roho ya mpinga Kristo, ambayo mmesikia kwamba inakuja na sasa tayari iko ulimwenguni

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Mpinga Kristo ange fundisha hivi,kajitofautisha Sana ,nahao wapokea makontena,shetani aliwatanguliza Manabii wengi wa uongo,ili akija wa kweli muone wa uongo,,huyu Ni tofauti haiitaji nguvu nyingiii kumtambua

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Nabii ndio msingi wa kanisa, ukimkataa kanisani utakutanaye nyumbani ukimkataa nyumbani utakutna naye kwenye maisha, makanisa mengi na watu wengi wamekufa kiroho kwa kukataa waonaji,wakisema Yesu aliwapa mamlka zote. Wakati hawana macho. Kama wewe

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

    • @daudiasajilemwambata6150
      @daudiasajilemwambata6150 10 місяців тому

      Kabisa na kazi ya unabii au nabii Ni kuwafanya watu wamuone KRISTO YESU na si nabii, unabii huwafanya watu watubu na kuwasogeza kwa KRISTO YESU na si kuwachanganya na kumwinua nabii, unabii usiomwinua KRISTO YESU na kuwasogeza watu kwa Mungu Ni wa Kishetani au wa KIBINADAMU kabisa.
      Nami nikaanguka mbele ya miguu yake, ili nimsujudie; akaniambia, Angalia, usifanye hivi; mimi ni mjoli wako na wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudie Mungu. Kwa maana ushuhuda wa Yesu ndio roho ya unabii.
      Ufunuo wa Yohana 19:10

    • @daudiasajilemwambata6150
      @daudiasajilemwambata6150 10 місяців тому

      ​​@@unyakuotv.1391:Hapana si kweli, Kanisa limejengwa katika msingi wa mitume na manabii na KRISTO YESU ndio jiwe kuu la pembeni. Kusema nabii pekee ni msingi si kweli, na lengo NI kumjua na kumtii KRISTO YESU kumwinua maana ndiye jiwe kuu la pembeni
      19 Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu.
      Waefeso 2:19
      20 Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.
      Waefeso 2:20
      21 Katika yeye jengo lote linaungamanishwa vema na kukua hata liwe hekalu takatifu katika Bwana.
      Waefeso 2:21
      22 Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.
      Waefeso 2:22

  • @rodamasanja6601
    @rodamasanja6601 10 місяців тому

    Usituchanganye

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 10 місяців тому

    Kaka hiyo Sisi tumezoea, wametoke hata akina yesu huku Kenya, Yohana mpatizaji, Jehova wanyonyi.
    😢😢😢

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Wanafundisha Kama huyu???

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Poleni sana, ndio kazi ya shetan.. Huwa anatanguliza uongo akijua kuna md mchache ukweli unakuja kujulikana.

  • @EmanuelJohn-n6w
    @EmanuelJohn-n6w 10 місяців тому

    Unajuwa asiyekuwa na Roha mtakatifu ndiye atakaye potoshwa na wewe maana wewe ni nabii wa uongo pole Sana utaishi maiaka mia tatu,wakati Neno linasema miaka ya sabini unaweza kuishi Ila siyo hayo unapotosha Uma pole.

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Ndio utajua kwa nini nimetumwa kujenga hekalu la kristo.

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Enock aliishi miaka 360, hakuwa mtu. Labda kama KATIKA biblia yako hakuna MTU Aliishi miaka 500,700,100, 900

    • @hildageorge1781
      @hildageorge1781 10 місяців тому

      Hao nimitume wa zamani dhambi zimezidi Sanà Sasa Hivi MUNGU ametangua hiyo miaka Sasa ni sabini tuu na nyongeza kidogo

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      @@hildageorge1781 wewe ndio unasema zamani Mungu ni jana na leo hata milele Mungu ni yule yule habadiliki

  • @cecilortega9883
    @cecilortega9883 10 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @KanisahalisiLawatakatifu
    @KanisahalisiLawatakatifu 10 місяців тому

    Wapendwa mjumbe ni william branham

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Ajitokeze tumsikie ametumwa nini na Mungu.

  • @emmanuelkube449
    @emmanuelkube449 10 місяців тому +2

    Kwakwel musa saiv unastahili viboko aiseee, upo kwa ajil ya views tu

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому +2

      Utabaki kudhihaki mwenzio ndo anaenda hivyo ,tunataka wahubiri Kama Hawa wanao fumbua Siri na mafumbo ya siku za mwisho,bila kupepesa

  • @QueenethNcube
    @QueenethNcube 9 місяців тому

    Unanifuraisha sana Nabii wangu wewe ni zaidi ya kiboko unaelekeya kuwa Mamba unaishi pande zote majini na Baharini😂😂😂

  • @BarakaKalinga-j3g
    @BarakaKalinga-j3g 10 місяців тому

    prophtet mimi nakuamini ww ni nabii wa mungu nilikuwa naabudu jumapili lakini toka umeonya kuwa jumapili sio ya mungu sisali tena nasali jumamosi

    • @daudiasajilemwambata6150
      @daudiasajilemwambata6150 10 місяців тому

      Wajinga ndio waliwao, umepotea, endelea kuabudu siku na kufwata injili zidanganyazo za mashetani, yaaani Ni ujinga sana

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 10 місяців тому

      Kivipi tena mbona mnatuchanganya

  • @emmanuelkube449
    @emmanuelkube449 10 місяців тому

    Kabla ya Kristo kuja atatangulia Elia kwanza na syo musa

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому +1

      Ata huyo Eliya mngemkubari???

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +1

      Eliya alishakuja na alishaondoka kasome luka na yohana

    • @emmanuelkube449
      @emmanuelkube449 10 місяців тому

      @@unyakuotv.1391 kabla ya kuja kunyakua kanisa Atakuja tena elia kutengeneza then Kristo

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      @@emmanuelkube449 hayo ya kwako

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii 8 місяців тому

    Wewe ni mwongo huna ishara zozote na ni tapeli

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 3 місяці тому

    mwembwe za zumaridi.......

  • @SilvestreGabrielGabriel-sc4vy
    @SilvestreGabrielGabriel-sc4vy 10 місяців тому

    Lakini kaa ukijua yakwamba wewe ni nabii wa huongo sana namba 1 kuliko shetani mwenhewe

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 10 місяців тому

    Mtumishi nifanyeje sina kanisa la kushiriki sahii na huku kwetu watu ni wajumapili na mara nyingi mabos wetu wengi hawaturuhusu kupumzika sabato

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 місяців тому

      Ndenda kaabudu mizimu kamahujui siku ya kuabudu

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Mungu atafanya njia mtumishi maadamu umeelewa kweli

    • @daudiasajilemwambata6150
      @daudiasajilemwambata6150 10 місяців тому +1

      Usidanyike na kuabudu siku, haya Ni mafundisho potofu na ya Kishetani, na pia hamuelewi maana ya kuabudu

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      @@daudiasajilemwambata6150 mh ndugu mbona alifafanua vizuri Sana kha,

  • @MichaelVicent-k7h
    @MichaelVicent-k7h 10 місяців тому

    SASA KWA TAHARIFA USIOIJUA WEW JAMAA,,KUWA RAISI PUTINI KUANZISHA ILE NI KWAMBA IMEBAINI MWAKA 2033,,2036 YESU ATAKUJA NDIPO ATAACHA KUTAWALA UKO MOSCOW NA NDO MAANA UGOMVI UNAENDELEA KULE HILI PASIFANYIKE UCHAGUZ

  • @AngelMbwambo-ro8xs
    @AngelMbwambo-ro8xs 9 місяців тому

    Kwa Kila neno unalolinena utalitolea hesabu siku za mwisho hivyo fanya Yako naye yake hesabu mtatoa tu

  • @christinatiana9623
    @christinatiana9623 10 місяців тому +1

    Duuh

  • @KanisahalisiLawatakatifu
    @KanisahalisiLawatakatifu 10 місяців тому

    Acha kudanganya watoto wa MUNGU

  • @JohnMahu-f1g
    @JohnMahu-f1g 7 місяців тому

    We ni masifa TU hicho kitabu kitasaidia nin biblia hd Leo watu hawajafahm ukwel mjumbe wa agano ni yesu pekee nyie wote watumish hkuna nabii we pia Rudi ktk chumba Cha ndani kwko kweli ni yesu kristo

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 10 місяців тому

    Yani maandiko yaliyokuwa yana muhusu yesu umeyageuza unayafanya yako kwamba yaliandikwa kwaajili yako huna hata aibu embu kafanye kazi ww utauwa familia yako na njaa ukisubiri watu wamwendee musa hakuna atakae kuja na hakuna unabii wako utakao timia

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому +2

      Sijawai muona ana sema habari za Yesu zina muhusu yeye ,yeye ajitambulisha kama Musa uongo uo mh

  • @JacklineMmary-e2h
    @JacklineMmary-e2h 10 місяців тому

    Nawaambia tena ndugu zangu someni biblia, ili Roho mtakatifu awafunulie mafumbo ya MUNGU,ukisoma kitabu cha isaya kinatabiri juu ya ujie wa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI,Na sio MUSA ! jamani hebu someni biblia ndugu zangu msiyumbishwe

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Zile nafsi za wale walio tikisa dunia enzi zile zimerudishwa Tena wenye roho Saba za Mungu Yesu arudi akute kanisa chovu hivi, lazima atume Kwanza miamba,walio soma chuo Cha biblia Mbinguni,wamefunuliwa Agano la Unyakuo kuja kwa Kristo,wameshuhudia muhuri wanne ukifunguliwa,kulishwa gombo la chuo Cha Mbinguni,kupewa Mana iliyo fichwa jina jipya,kushinda mauti na kuzimu,kuvunja Miungu Saba ya dunia,fungukeni

    • @JacklineMmary-e2h
      @JacklineMmary-e2h 10 місяців тому

      Acheni uongo jamani aliyeshinda mauti na kuzimu ni YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI hivyo tulikufa naye tukafufuka naye tukapaa naye na ametumetisha mkono wa kuume wa MUNGU BABA

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +1

      @@JacklineMmary-e2h
      NENDA KAOMBEWE KABLA HUJAFA USIPOFANYA HIVYO UKIFA UTAJIKUTA KUZIM NA HII COMMENT ITAKUKUMBUSHA UPUMBAVU ULIKUFANYA UKOSE MBINGU.

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 10 місяців тому +2

    Ndiyo nakumbuka ulisema Manabii wa Israel wako Tanzania na Tanzania ni nchi ya agano

  • @MamaNolan-c4u
    @MamaNolan-c4u 7 місяців тому

    Acha uongo wako weee jamaaa

  • @mutiembingi-le6kz
    @mutiembingi-le6kz 10 місяців тому

    Musa je? Kuna manabii wengine

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 10 місяців тому

    M!KUMBE SUREMANI YUKO KUZIMU???

  • @damianlupogo8686
    @damianlupogo8686 10 місяців тому

    Konyooo

  • @SilvestreGabrielGabriel-sc4vy
    @SilvestreGabrielGabriel-sc4vy 10 місяців тому

    Lakini kaa ukijua yakwamba wewe ni nabii wa shetani namba 1

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 10 місяців тому

    😂 Nachoka sasa! Maunabii yanaweza kukuchanganya!

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Umechoka unabii tu,kwenye dhiki kuu utaweza???

    • @charlesmbunda6759
      @charlesmbunda6759 10 місяців тому

      @@janethmwihumbo1289 Mbona sina fungu wala sehemu katika hukumu hiyo!? Hujasoma? Wala hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu (Warumi 8:1-2).

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      @@charlesmbunda6759
      Mpumbavu ndio hutumia hilo andiko akisema Yesu amebeba dhambi zetu. YESU HATATUPA MZIGO MWINGINE MAANA MIZIGO YETU ALIIBEBA MSALABANI KASOME
      UFUNUO-2:24-28
      24 Lakini nawaambia ninyi wengine mlioko Thiatira, wo wote wasio na mafundisho hayo, wasiozijua fumbo za Shetani, kama vile wasemavyo, Sitaweka juu yenu mzigo mwingine.
      25 Ila mlicho nacho kishikeni sana, hata nitakapokuja.
      26 Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,
      27 naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami nilivyopokea kwa Baba yangu.
      28 Nami nitampa ile nyota ya asubuhi.

    • @charlesmbunda6759
      @charlesmbunda6759 10 місяців тому

      @@unyakuotv.1391 HUJANIELEWA!!! Nimesema hivi, sasa basi hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu (Warumi 8:1). Vitisho vya hukumu, wape wale ambao hawajaokolewa! Na kama na wewe Huna hakika ya Wokovu, basi unafundisha na kutabiri uongo! Rejea 1Yohana 5:13.
      Habari ya mzigo. Sijaelezea mimi. Maana Msalaba nilionao si mzigo??? Ila ni mwepesi, sawasawa na ahadi ya Bwana Yesu, kuwa, mzigo wangu ni mwepesi (Mathayo 11:29-30).
      Huo mzigo wa hukumu ya dhiki kuu, unaojaribu kunitiishia nao, haunistahili tena jamani, uuuuuwiiii!!!!

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 3 місяці тому

    acha mbwembwe....unazaliwa tunakuona.....Musa unamjua wewee??????????????

  • @SilvestreGabrielGabriel-sc4vy
    @SilvestreGabrielGabriel-sc4vy 10 місяців тому

    😈😈😈

  • @HappyFlowers-ee8ru
    @HappyFlowers-ee8ru 10 місяців тому

    Ana matatizo apimwe afya ya kiroho

  • @nesmoskanyuto6715
    @nesmoskanyuto6715 10 місяців тому

    Nchi hii inaviumbe wa hovyo!!!

    • @QueenethNcube
      @QueenethNcube 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂 kweli kabisa😂😂😂

    • @QueenethNcube
      @QueenethNcube 9 місяців тому

      Asante sana na mimi nimekuelewa sana kila sehemu😂😂😂

  • @ArcoiriscelestialTv
    @ArcoiriscelestialTv 10 місяців тому

    You havnt shame ,kesho aibu OkOKA WEWE

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 10 місяців тому

    😂😂😂😂kwahiyo wewe na tengwa mmeanza mashindano sasa Mungu yupi mnamuwakilisha wapendwa juma pili tunasali na Mbinguni tutafika katk jina la Yesu

    • @hildageorge1781
      @hildageorge1781 10 місяців тому +2

      Kabisa tunasali na mbinguni tutaingia inayo ingia mbinguni sio siku ni roho mpya inayo mwamini MUNGU Alie hai

    • @christinephilip5043
      @christinephilip5043 10 місяців тому

      @@hildageorge1781 Amen

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому +1

      Hivi Sasa chagueni mtakaye mtumikia kasha waeleza ukweli kuhusu siku kiundani Sana Ni kuchagua jehnm au uzima wa milele

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +1

      @@hildageorge1781
      NAFIKILI TENGWA ATAKUWA NA MBINGU YAKE YA JUMAPILI ATAWAPELEKA HUKO. MBINGU YETU SISI NI SABATO.

    • @hildageorge1781
      @hildageorge1781 10 місяців тому

      @@unyakuotv.1391 wasabato ndo hao matendo Yao hata hayafai kabisa Yaan puu

  • @jamesjahasa4726
    @jamesjahasa4726 10 місяців тому

    😂😂😂😂umekula maharage yawapi wewe ngenda huko gaza ukaeleze ujinga huo

  • @hildageorge1781
    @hildageorge1781 10 місяців тому

    Biblia inasema ole wao manabii mpepewa ole nyingi sana nyie mimi sitokaa kuamini nabii kwakweli maana waongo sana ngoja tuote kama kitakacho timia na nikwanini mnatabiri mabaya tuu 😢na sio mema kama sio waongo nyie

    • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 10 місяців тому +2

      Kaa hvo hvo na upumbavu wako. Watumishi wa MUNGU manabii wapo, na wataendelea kuwepo. Unachotakiwa kufaham n kwamba manabii wapo wa MUNGU wanaohubiri kweli ya MUNGU, na pia wapo manabii wa uongo wanaopotosha kwel ya MUNGU. Sasa kaz kwako kuwatambua yup wa kwel na yup n wa uongo, maandiko yapo waz,,,,,,,, MUNGU mwenyewe ameshasema; kamwe hatafanya jambo lolote bila kuwajulisha/kuwaonyesha Watumishi wake. Huamini kaa hvo hvo ukisema hakuna Nabii

    • @hildageorge1781
      @hildageorge1781 10 місяців тому

      Siamini Mimi mwenyewe ni nabii

    • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 10 місяців тому

      @@hildageorge1781 Kaa hvo hvo

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому

      Izo ole zilitolewa kwa wale wauongo,za kupokea mankotena,kuuziwa maji na kupakwa mafuta ya binadamu ,wa kuchukua nyota,na kutoa kafara waumini wenye mipete mikubwa mikubwa na micheni ya kikuzimu,pokea magari ,nawakati dunia inaenda kupitia shida na hawawaambi hawasemi muache dhambi,kuna hukumu,

  • @JESUSISLO891
    @JESUSISLO891 10 місяців тому

    KUFURU kubwa sana hivi unajua tafsiri ya neno dahari ni umilele kwani unajifananisha na MUNGU umesikia nani katika hii Karne kaishi miaka 300 wewe kama si nabii wa mchongo soma zaburi 90:10 Siku zetu za kuishi ni miaka sabini,
    au miaka themanini ikiwa tuna nguvu,
    lakini yote ni ya shida na taabu,
    nazo zapita haraka, nasi twatoweka na bado wajinga wanacomment ati Asante nabii

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Ndio utajua kwa nini nimetumwa kujenga hekalu la kristo.

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Enock aliishi miaka 360, hakuwa mtu. Labda kama KATIKA biblia yako haijaandikwa au hakuna MTU Aliishi miaka 500,700,100, 900

    • @JESUSISLO891
      @JESUSISLO891 10 місяців тому

      @@unyakuotv.1391 YESU ameshindwa kujenga hekalu ukawa kipatanishi umaskini ni mbaya sana unaeza ongea chochote ilimradi upate tonge

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      @@JESUSISLO891
      UKIKUWA UTAACHA UTOTO

    • @JESUSISLO891
      @JESUSISLO891 10 місяців тому

      @@unyakuotv.1391 Nani kakuambia suleimani Yuko jehanamu balaa

  • @magangiralucas6516
    @magangiralucas6516 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @ericstratmax5083
    @ericstratmax5083 10 місяців тому +1

    Sasa naona nifanye UNSUBSCRIBE
    Tired of this Channel

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 10 місяців тому

      Kabisaa

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому +3

      Bado hujasema
      ULIDHANI MJUMBE WA AGANO LA MWISHO, ATAKUWA KAMA MANABII WENU WA UONGO MLIOWAZOEA NA INJILI ZAO ZA MAFANIKIO NA MAKONGAMANO, YA KUJIPATIA PESA. HAPA NDIO MWISHO WAO.

    • @ericstratmax5083
      @ericstratmax5083 10 місяців тому

      @@unyakuotv.1391 wewe wasema ulishawahi niona naabudu kwa nabii wa uongo yeyote yule..mimi ni Mkristo naamini katika neno na Maombi wala sio mafuta, vitambaa wala Picha
      Muangalie mtu anaitwa Mtume Meshak kutoka ukweli Ministries Channel ujifunze..shida unajibu kwa hasira na ndio upumbavu uliokujaa kichwani
      Laiti ungelijua maana ya Nabii ni nini ungenyamaza kimya.

    • @jorambranchofmud6299
      @jorambranchofmud6299 10 місяців тому

      Vipi iwapo kila anachosema Ni kweli tusubiri mwezi wa tano mwezi wa sita ukifika kitu hakichafanyika mbivu na mbichi itachulikana maadamu ungali hai bado tuna chance ya kujua kama ni nabii wa uongo au wa MUNGU tumsikilize tu tukiendelea kungoja mwezi wa tano na tuombe MUNGU tusikife kama bado hatujaweza kutegua hiki kitendawili sababu tukikufa na tusimwamini na ni nabii wa MUNGU kiberiti kinatuhusu na tukifa na tumwamini na ni nabii wa uongo kiberiti kinatuhusu tena tusubiri mwezi wa tano MUNGU atutegulie hiki kitendawili

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      ISAYA- 30:9 -11
      9 Kwa maana watu hawa ni watu waasi, watoto wasemao uongo, watoto wasiotaka kuisikia sheria ya BWANA; 10 wawaambiao waonaji, Msione; na manabii, Msitoe unabii wa mambo ya haki, tuambieni maneno laini, hubirini maneno yadanganyayo; 11 tokeni katika njia, geukeni mtoke katika mapito; mkomesheni Mtakatifu wa Israeli mbele yetu.

  • @laurencemaula3663
    @laurencemaula3663 10 місяців тому

    Wajinga na wasio na elimu ya Mungu watakusikiliza

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 10 місяців тому +2

      Sisi tunaelimu ya Mungu Mafumbo haya anavyo tuelewesha tunamuelewa

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391  10 місяців тому

      Wenye hekima tu ndio wanao elewa

  • @MsuyaWilliam
    @MsuyaWilliam 7 місяців тому

    Mbabaishaji wewe. Danganya wajinga

  • @sarahshani6513
    @sarahshani6513 10 місяців тому

    Amen