We mjinga Sana acha kutumia Jina la baba Mungu unakasoro ondoa mtumishi Meshack na mbarikiwa kinywani mwako kuzimu kwa kusubiri ushindwe pepo mchafu na wale Wana kuita prophet acheni ujinga na Yesu awasamehe sana
Hekalu la Suleiman lipo ndani ya Yesu. Yesu hakuja kujenga matofali Bali alikuja kujenga watu na ndio Hekalu lake. Tatizo mnammega Yesu kama mkate alafu mnamtumia mnavyotaka
jamani nikuomba MUNGU akupe kibali na kutupa macho ya rohoni ,mana mtandaoni watumishi wengi wanasemana tu badala ya kufundisha neno la MUNGU,, Mwenyezi MUNGU aturehemu
Ww nawe umetokea Barbara gani mbarikiwe na mtume MALI YABWANA wako sawa Sana ww fata yako kilamtu nayake kama umefika apo umepoteya ambia MUNGU akusamee
Maandiko yanasema "Jitahidini kujionyesha kuwa mmekubaliwa na Mungu", hakuna cha kosa wala nini, nyie ni akina Elifazi mtemani, mna maneno mazuri ila hamjui hata njia za Mungu.
20:42 Mbinguni wapi mtu anatia jini kwa misukule uyo niwa mungu? uko juu shetani alitengeneza bingu yake akairembesha kiliko kitu chochote hapa duniani alafu akawapeleka manabii wengi wakadhani ni kwa mungu akamtengeneza yesu wake na roho mtakatifu jina mtu akipelekwa uko jamani sikia mungu hajaruhusu nabii wake kuomba pesa ya kusaport uduma ama kuomba sadaka fulani kufufua misukule hakuna io uduma kwa mungu you unaelewa hama huelewi
Musa wewe unijui Mimi nipita kiwango Cha juu bona sijajupata ulianza ijli lini? na ni mungu yupi aliekulazimisha kuabudu jumaamosi pekee siku site niza mungu unafikiri shetani haabudu jumaamosi wewe chunguza my friend I repeat chunguza
Amen
We mjinga Sana acha kutumia Jina la baba Mungu unakasoro ondoa mtumishi Meshack na mbarikiwa kinywani mwako kuzimu kwa kusubiri ushindwe pepo mchafu na wale Wana kuita prophet acheni ujinga na Yesu awasamehe sana
We kajinga kweli ondoa ujinga
Mwenye masikio na. asikie
Amen man of God
Roho wa Mungu leo ametupeleka kiwango kingine cha juu
Amen ubarikiwe nawe pia Prophet
Amen amen amen
Shalom Prophet
Hekalu la Suleiman lipo ndani ya Yesu.
Yesu hakuja kujenga matofali Bali alikuja kujenga watu na ndio Hekalu lake.
Tatizo mnammega Yesu kama mkate alafu mnamtumia mnavyotaka
Amina
Musa unajisikia sanaaaa fanya Kazi acha kuongea sanaaaa
jamani nikuomba MUNGU akupe kibali na kutupa macho ya rohoni ,mana mtandaoni watumishi wengi wanasemana tu badala ya kufundisha neno la MUNGU,, Mwenyezi MUNGU aturehemu
Ww nawe umetokea Barbara gani mbarikiwe na mtume MALI YABWANA wako sawa Sana ww fata yako kilamtu nayake kama umefika apo umepoteya ambia MUNGU akusamee
MUNGU azidi kukulinda
Maandiko yanasema "Jitahidini kujionyesha kuwa mmekubaliwa na Mungu", hakuna cha kosa wala nini, nyie ni akina Elifazi mtemani, mna maneno mazuri ila hamjui hata njia za Mungu.
Prophet mafundisho ya leo ya hali ya juu ya kimbingu
Mungu atowi maono ya uongo Mungu ni Mtakatifu
20:42 Mbinguni wapi mtu anatia jini kwa misukule uyo niwa mungu? uko juu shetani alitengeneza bingu yake akairembesha kiliko kitu chochote hapa duniani alafu akawapeleka manabii wengi wakadhani ni kwa mungu akamtengeneza yesu wake na roho mtakatifu jina mtu akipelekwa uko jamani sikia mungu hajaruhusu nabii wake kuomba pesa ya kusaport uduma ama kuomba sadaka fulani kufufua misukule hakuna io uduma kwa mungu you unaelewa hama huelewi
Meshak mali ya Bwana hajawahi kufiwa na mke wake mke wake yuko Hai aliyefariki ni bibi yake hizo story zibgine sijui watu wanatoaga wapi
Huyu Ames za kuwa Muongo kingine yuko busy na Mishaki kuliko kufanya kazi ya BWANA
Mh kazi ya Mungu silelemama ,unaenda sehemu kumbe umewekwa kwenye taget,macho ya rohoni yana hitajika
Mtu anadhani kila mwaliko ni mzuri
Kwani huyu anahubirigi au anasa watu
Musa wewe unijui Mimi nipita kiwango Cha juu bona sijajupata ulianza ijli lini? na ni mungu yupi aliekulazimisha kuabudu jumaamosi pekee siku site niza mungu unafikiri shetani haabudu jumaamosi wewe chunguza my friend I repeat chunguza
Mungu ni Mtakatifu atowi maono ya uongo shetani ndiyo Baba wa uongo 😂😂 wewe ni muongo
Amen