Mais avant utowe wimbo ku studio kama ivi, hakikisha unafanya utafiti sana kusudi uelewe ukweli wa jambo kihundani, ni sawa kama njo ginsi mumefundishwa ila wewe kama wewe jitaidi kutafuta pempezoni kusudi uimbe iliyo kweli,ju iyo wimbo kwa sasa inasikilika dunia nzima,na wengine watachukuwa iyo iyo kwakujifunza,kuwa makini ndugu,na mungu akubariki.
Kazizuri sana❤❤❤
Asante kwa pongezi, unapatikana wapi hapo ?
Courage mais nyimbo inaimbwa vibaya sana surtout premier couple
Ndo tulivyo funzwa hivyo papa sio kosa letu pia helewa sio kila sehemu ambayo utakuta wanaimba kama unavyojuwa wewe
Mais avant utowe wimbo ku studio kama ivi, hakikisha unafanya utafiti sana kusudi uelewe ukweli wa jambo kihundani, ni sawa kama njo ginsi mumefundishwa ila wewe kama wewe jitaidi kutafuta pempezoni kusudi uimbe iliyo kweli,ju iyo wimbo kwa sasa inasikilika dunia nzima,na wengine watachukuwa iyo iyo kwakujifunza,kuwa makini ndugu,na mungu akubariki.
Sawa ushahuri mzuri Ndugu
Congratulations, na mungu wetu akubariki .
Asante kwa niombea baraka, pia na wewe uendelee Salama nani vizur kama utazisambaza kwa wengine
unaweza dg
Mungu akubariki sana kwakutufikishia neno lakweli kwasisi vifaranga ambavyo atuko karibu na kinanda
C'est mon église vraiment.
Évidemment mon frère
Kazi nzuri Mungu awabariki ❤❤
Courage pour la famille eujc
Asante kwa pongezi, unapatikana wapi hapo ?
South africa
Ma shanson mn combat 🎉
Hakika wimbo ni mzuri hakika
Asante sana, mazur yanakuja sema uwezo ndo shida tu ila nina maono makubwa papa
Courage papa
Eujc mon combat
Tukuza mungu wako papa etolo
Watoto wa Mungu mbalikiwe
God bless you
Neno la uzuma
Asante sana kabisa papa .Eujc
Mungu asifiwe milele
Merci batoto ya mungu
Moore Margaret Williams Richard Allen Richard