Seraphin Etolo
Seraphin Etolo
  • 30
  • 78 378

Відео

E.u.j.c Tz Moyoni munamo huzuni official video
Переглядів 1 тис.Місяць тому
Angalia wimbo huu unaokufariji Wakati wa vita vya wachawi wanao kutafuta, pindi vita unapoona lazma usimame kwenye maombi
tangulia Baba - E.u.j.c Neno tz (Official Audio)Tulia Jombo & Marcel
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
tangulia Baba - E.u.j.c Neno tz (Official Audio)Tulia Jombo & Marcel
Neno Tz_Tumevuka Bahari_ Fredy Etolo & Tulia Jombo (Official Audio)
Переглядів 2,5 тис.4 місяці тому
wimbo Mzuri Kutoka kwa Waimbaji Mahiri Kutoka kwa Kanisa la Neno Tanzania Kigoma Nyarugusu Refugees Camp Usikose Kusubscribe channel hii
e.u.j.c Neno tz TWAKUALIKA JEHOVAH (Official Audio)
Переглядів 2,9 тис.5 місяців тому
subscribe share & Comment Please
E.U.J.C NENO TZ-Kupata Roho (Official Audio)
Переглядів 3,6 тис.5 місяців тому
tazama wimbo Mzuri wa kanisa la yesu kristo ulimwenguni pote kutokea Tanzanie kwa waimbaji wenu Fredy Etolo na Tulia Jombo usisahau kusubscribe channel hii ili uwe wa kwanza kupata videos zetu pia like share na komenti Ubarikiwe 🙏
E.u.j.c Tz Mungu nipe uwezo. Official video
Переглядів 1,9 тис.6 місяців тому
wimbo unakukumbusha kwamba dunia ina vikwazo ao majaribu mengi yanaangusha watu, huwezi kuweza mwenye kwani ubinadamu pia unasumbua lakini kupitia nguvu ao uwezo wa Mungu utashinda vyote.
E.u.j.c Neno siku ya ajabu official video
Переглядів 6 тис.6 місяців тому
ni wimbo ambao unamkubusha Mtu kwamba kuna siku ya ajabu ambayo inakuja je jina lake limeshaandikwa katika kitabu cha uzima ??????
E.u.j.c Neno Yesu mimi mbele yako Official video
Переглядів 2,3 тис.6 місяців тому
kira mara usiache kuomba msaada wa Yesu katika maisha yako maana mambo mabaya yanatokea kila mara kukuagusha
E.u.j.c Neno Tz. Moyoni hamuna Amani
Переглядів 3,4 тис.7 місяців тому
wimbo unamkumusha mtu asiwe na amani moyoni mwake maana siku mbaya ipo na inakuja, azidi kuomba rehema za Mungu ziwe nayeye ili asiangamiye
E.u.j.c Neno TZ Moyoni munamo huzuni
Переглядів 6 тис.7 місяців тому
wimbo unatukumbusha pia tusichoke kumuomba Yesu atusaidiye nguvu zake ili zitusaidiye kushinda nguvu Shetani
E.U.J.C NENO TZ YESU MINI MBELE YAKO
Переглядів 2,4 тис.7 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ YESU MINI MBELE YAKO
E.U.J.C NENO TZ MUNGU NIPE UWEZO
Переглядів 2,5 тис.7 місяців тому
Wimbo huu unasaidia Kukubusha mtu kwamba asiwe anajisaau kumuomba MUNGU Uweza wa kushinda kazi za Shetani ili asitawi siku zote milele.
E.U.J.C NENO TZ shukurani kwa kazi
Переглядів 8519 місяців тому
Ndugu katika kristo tunawashukuru wote kwa kuangalia videos za nyimbo za injili na kuwakaribisha kutu sapoti kama mupo tayar, kumbuka bila wewe maono haya yanaweza kuishia njiani kabisa. hivyo tutafute kupitia Namba yetu ya whatsapp : 255766306553
E.U.J.C NENO TZ Unaenda wapi Mpotevu official Video.
Переглядів 4,4 тис.9 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ Unaenda wapi Mpotevu official Video.
E.U.J.C NENO TZ Parapanda ya Mwisho officiel video
Переглядів 2,5 тис.10 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ Parapanda ya Mwisho officiel video
E.U.J.C NENO TZ. YOBU Eehh, officiel video
Переглядів 2,3 тис.10 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ. YOBU Eehh, officiel video
E.U.J.C NENO TZ. Enyi Wapakwa mafuta afficial video
Переглядів 8 тис.10 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ. Enyi Wapakwa mafuta afficial video
E.U.J.C NENO TZ .Amenifunua Nguo afficial video
Переглядів 13 тис.10 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ .Amenifunua Nguo afficial video
E.U.J.C UTOFAUTI KATI YA SADAKA NA MCHANGO. Partie 2, #EujcNenoTz#
Переглядів 78811 місяців тому
E.U.J.C UTOFAUTI KATI YA SADAKA NA MCHANGO. Partie 2, #EujcNenoTz#
PARAPANDA YA MWISHO. ( official audio) #Eujc #Neno #Tz.
Переглядів 65811 місяців тому
PARAPANDA YA MWISHO. ( official audio) #Eujc #Neno #Tz.
E.U.J.C NENO TZ _Yobu(Official music Audio) Fredy Etolo
Переглядів 1,6 тис.11 місяців тому
E.U.J.C NENO TZ _Yobu(Official music Audio) Fredy Etolo
E.u.j.c Neno Tz Unaenda wapi mpotevu afficial audio
Переглядів 550Рік тому
E.u.j.c Neno Tz Unaenda wapi mpotevu afficial audio
E.u.j.c Neno Tz Unaenda wapi mpotevu afficial audio
Переглядів 994Рік тому
E.u.j.c Neno Tz Unaenda wapi mpotevu afficial audio
E.u.j.c Neno Tz Wapakwa mafuta afficial audio
Переглядів 2,2 тис.Рік тому
E.u.j.c Neno Tz Wapakwa mafuta afficial audio
E.u.j.c Amenifunua Nguo aficial audio
Переглядів 979Рік тому
E.u.j.c Amenifunua Nguo aficial audio
UJUWE UTOFAUTI NA UKWELI KATI YA SADAKA NA MCHANGO MAKANISANI. { MTUMISHI FREDY ETOLO}
Переглядів 818Рік тому
UJUWE UTOFAUTI NA UKWELI KATI YA SADAKA NA MCHANGO MAKANISANI. { MTUMISHI FREDY ETOLO}
Muimbaji wa E.u.j.c kutoka TZ na habari njema kwenu wote
Переглядів 534Рік тому
Muimbaji wa E.u.j.c kutoka TZ na habari njema kwenu wote

КОМЕНТАРІ

  • @BitangiSabiti
    @BitangiSabiti 2 дні тому

    God bless you

  • @celestinenyabintu5919
    @celestinenyabintu5919 4 дні тому

    Amina

  • @RaphaëlAnge-w7l
    @RaphaëlAnge-w7l 5 днів тому

    Tukuza mungu wako papa etolo

  • @KizaKalumbulwa
    @KizaKalumbulwa 6 днів тому

  • @Ackychivarara
    @Ackychivarara 6 днів тому

    Ma shanson mn combat 🎉

  • @Pilipiliebukyojean
    @Pilipiliebukyojean 7 днів тому

    Kazi nzuri sana watakatifu wa Mungu

  • @celestinenyabintu5919
    @celestinenyabintu5919 11 днів тому

    Amina

  • @UwezoShabani-v5z
    @UwezoShabani-v5z 25 днів тому

    Mubarikiwe San

  • @JessicaRoberts-d6e
    @JessicaRoberts-d6e 28 днів тому

    Moore Margaret Williams Richard Allen Richard

  • @andjelaniwelongo3577
    @andjelaniwelongo3577 Місяць тому

    Amena

  • @EstherZZZ-qf7be
    @EstherZZZ-qf7be Місяць тому

    Keep up guys ❤❤❤

  • @sevenhenrystephano6337
    @sevenhenrystephano6337 Місяць тому

    ❤❤

  • @KTZALBRONE
    @KTZALBRONE Місяць тому

    Félicitations mes frères 🙏

  • @HadassaKazadi
    @HadassaKazadi Місяць тому

    Que dieu vous accompagne à tous moments ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @bigmachine9899
    @bigmachine9899 Місяць тому

    papa seraphin, jambo nakusalimu. Jina yangu ni papa david. niko mu inchi ya afrique du sud nafurai sana kwa iyinyimbo nasikia nime barikiwa kwa ujumbe. Mungu wa israel azidi kuku jalia. ila nina ombi moja tu, nataka kama kuko mwaye ni pate number ya uyo mama ambae unaimba naye, nataka kuongea naye nimpe shukrani zangu pia tafadhali.

    • @SeraphinEtolo
      @SeraphinEtolo Місяць тому

      Jambo Habari za leo unitumie namba yako kisha nitaku connect naye

  • @LyndaMulunda-f6u
    @LyndaMulunda-f6u Місяць тому

    Eujc mon combat

  • @njerikaranja3885
    @njerikaranja3885 Місяць тому

    Ni vizuri..lakini Nyimbo mpunguze kiasi Kwa ajili ya usikilifu mwema wa Neno

  • @PackChumy
    @PackChumy 2 місяці тому

    Mungu awabariki nasikiliza nyimbo bora nikiwa south Africa tatizo uku sijaona kibanda

  • @PackChumy
    @PackChumy 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana kwakutufikishia neno lakweli kwasisi vifaranga ambavyo atuko karibu na kinanda

  • @EmmanuelElia-ub9um
    @EmmanuelElia-ub9um 2 місяці тому

    Mes frères en christ

  • @PascalPascale-u9v
    @PascalPascale-u9v 2 місяці тому

    C bien papa

  • @EmmanuelTshipumb
    @EmmanuelTshipumb 2 місяці тому

    Je suis content mes très chers frères

  • @EstherZZZ-qf7be
    @EstherZZZ-qf7be 2 місяці тому

    Na waona Papa Benoit na Papa Etolo🎉 Mubarikiwe sana

  • @KadikaKashindi
    @KadikaKashindi 2 місяці тому

    Amina mungu akubariki sana baba yangu🎉🎉🎉

  • @TsshegehHshdhe
    @TsshegehHshdhe 2 місяці тому

    Courage papa

  • @MkJacob-c2q
    @MkJacob-c2q 3 місяці тому

    Neno la uzuma

  • @SelemaniMaisha
    @SelemaniMaisha 3 місяці тому

    Mubarikiwe, nyimbo nzuri sana

  • @FrançoisMulendalebon
    @FrançoisMulendalebon 3 місяці тому

    Mungu wa papa kady atukuzwe

  • @Jeandedieumpanguhebirhala12
    @Jeandedieumpanguhebirhala12 3 місяці тому

    Naliya machozi !! Nyimbo ze pa2 Freddy anaimbaka siezi maliza Siku nasizifwate. Mungu ailinde nafsi yako Salama 4:18 4:20 4:24

  • @Jeandedieumpanguhebirhala12
    @Jeandedieumpanguhebirhala12 3 місяці тому

    Naliya machozi !! Nyimbo ze pa2 Freddy anaimbaka siezi maliza Siku nasizifwate. Mungu ailinde nafsi yako Salama

  • @Jeandedieumpanguhebirhala12
    @Jeandedieumpanguhebirhala12 3 місяці тому

    Naliya machozi !! Nyimbo ze pa2 Freddy anaimbaka siezi maliza Siku nasizifwate. Mungu ailinde nafsi yako Salama

  • @Jeandedieumpanguhebirhala12
    @Jeandedieumpanguhebirhala12 3 місяці тому

    Naliya machozi !! Nyimbo ze pa2 Freddy anaimbaka siezi maliza Siku nasizifwate. Mungu ailinde nafsi yako Salama

    • @SeraphinEtolo
      @SeraphinEtolo 3 місяці тому

      Usilie mama wangu bado nipo ila nimebadirisha mazingira tu nilitoka Tanzania 🇹🇿, kwa Sasa nipo USA 🇺🇸 niliwaacha naupweke ndo wakaamua kuniaga kwa wimbo huo

  • @Jeandedieumpanguhebirhala12
    @Jeandedieumpanguhebirhala12 3 місяці тому

    Naliya machozi !! Nyimbo ze pa2 Freddy anaimbaka siezi maliza Siku nasizifwate. Mungu ailinde nafsi yako Salama

  • @MaskaHortance
    @MaskaHortance 3 місяці тому

    Hortense Maki Kavira, nashukuru kabisa, Basi Mungu wa Mwambi na Milemba akutangulie sote na kutuwezesha

  • @majaliwakashindi804
    @majaliwakashindi804 3 місяці тому

    Nyimbu mzuri Sana 🎉🎉🎉 Messages jean de dieu mwambi kadima Mlaya nyimbo mzuri sana

  • @majaliwakashindi804
    @majaliwakashindi804 3 місяці тому

    ❤❤ eujc

  • @theophilekabongongoy5842
    @theophilekabongongoy5842 3 місяці тому

    he mungu pokea mutoto wako kwa majabu ili alitutendea ;mungu umu kumbuke

  • @mdemutito4071
    @mdemutito4071 3 місяці тому

    Kazi nzuri Mungu awabariki ❤❤

  • @JacksonKatsurana
    @JacksonKatsurana 3 місяці тому

    Sikiliza wimbo papa

  • @Swahilitech257
    @Swahilitech257 3 місяці тому

    Waeleweshe papa mpaka wa elewe🎉

  • @NamumbaKatoka
    @NamumbaKatoka 4 місяці тому

    😭 jameni uyu papa Freddy Etolo yuko mzima wa afia kweli, mwimbo huyu unanipa machungu sana nipeni jibu wa ndugu

  • @MbokaLomona
    @MbokaLomona 4 місяці тому

    Hongereni sn ndugu zangu mungu azidi kuwawezesha kwa kazi yenu

  • @MatafaliKayumba
    @MatafaliKayumba 4 місяці тому

    Sauti nyororo mtoto wa mungu

  • @mariekapongo2041
    @mariekapongo2041 4 місяці тому

    Wow, mungu azidishe hudumu hu. Sauti nzuri yenye kuja pumzi ya mungu ndani. Shukwani iwarudilie waimbaji wetu wote na mungu wetu azidi kuwawezesha hili mutupatiye nyimbo zingine. 🎉🙏🙏

  • @FRANKMOTDEPASSE-il6om
    @FRANKMOTDEPASSE-il6om 4 місяці тому

    🎉tume kupenda 🇨🇩

  • @duniayawherson3435
    @duniayawherson3435 4 місяці тому

    Ongereni sana ndugu zangu🎉🎉❤❤

  • @Habarinjema12
    @Habarinjema12 4 місяці тому

    ❤ Vizuri sana, Mungu akuwezeshe mukila jambo

  • @KizaKalumbulwa
    @KizaKalumbulwa 4 місяці тому

    Sauti ya mayayi

  • @SadikiIlunga
    @SadikiIlunga 4 місяці тому

    Tulia jomdo😅

  • @MuhindoamosNzoloko
    @MuhindoamosNzoloko 4 місяці тому

    Merci batoto ya mungu