E.u.j.c Neno TZ Moyoni munamo huzuni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • wimbo unatukumbusha pia tusichoke kumuomba Yesu atusaidiye nguvu zake ili zitusaidiye kushinda nguvu Shetani

КОМЕНТАРІ • 20

  • @MaskaHortance
    @MaskaHortance 3 місяці тому

    Hortense Maki Kavira, nashukuru kabisa, Basi Mungu wa Mwambi na Milemba akutangulie sote na kutuwezesha

  • @KevinHope-ly9di
    @KevinHope-ly9di 7 місяців тому

    Wimbo wa nguvu sana Mungu mzima awazidishie bidii ya kumfanyia huduma

  • @SavonRashid-kx2cf
    @SavonRashid-kx2cf 5 місяців тому +1

    Iii sasa ndo yangu

  • @mariekapongo2041
    @mariekapongo2041 5 місяців тому

    Eujc ya mungu aliye hai, mungu wa papa kady azidi na kwangarisha jiwe yake ndani mwenu. 🙏🙏🙏

  • @majaliwakashindi804
    @majaliwakashindi804 7 місяців тому

    Eujc❤❤❤

  • @SelemaniMaisha
    @SelemaniMaisha 7 місяців тому

    Hongera sana Papa kwa hihi nyimbo.

    • @SeraphinEtolo
      @SeraphinEtolo  7 місяців тому

      Sawa sana papa Wangu nitumie namba yako ya whatsapp Yangu ni : +255766306553

  • @PitieJonhSelemani-bn7jd
    @PitieJonhSelemani-bn7jd 7 місяців тому

    God bless 🙏 .

  • @josephramadhani-b7z
    @josephramadhani-b7z 7 місяців тому

    Mwalimu ubarikiwe kabisa

    • @SeraphinEtolo
      @SeraphinEtolo  7 місяців тому

      Na wew pia, tunnaendelea na kazi japo sio wote wanao tusapoti ila ndo kawaida ya kazi

  • @nyotabarika342
    @nyotabarika342 5 місяців тому

    🙏🇹🇿

  • @PatientNgoy-ni6jk
    @PatientNgoy-ni6jk 5 місяців тому

    Merci

  • @doudoubanza-tz3ol
    @doudoubanza-tz3ol 7 місяців тому

    merci beaucoup mon frère ici PAPA Douglas p1

  • @wilondjaitongwa-u1s
    @wilondjaitongwa-u1s 7 місяців тому

    merci

  • @wdyempowerment3168
    @wdyempowerment3168 7 місяців тому

    👏👏👏👏👏👏

  • @hugoeujc758
    @hugoeujc758 7 місяців тому

    Nina ushauri kwenu ndugu zangu ,,,, ikiwa kama mtaimba nyimbo za maombi jaribuni kuzifanya ziwe n utaratibu sio haraka hivyo ,,, nimeona kama hamjatendea Haki huo WIMBO
    Lugha : jaribuni kufanya marekebisho ya lugha , msitumie lugha Moja sahihisheni lugha , kama ikiwezekana NAOMBA MNIWEKE NIWE MWALIM WAKO WA LUGHA , ILI IWE VYEPESI KUELEWANA
    Na wasio wa nchi ya Kongo hata Tanzania 🇹🇿 pia , tusiimbe kama tunawaimbia wakongo pekee

    • @SeraphinEtolo
      @SeraphinEtolo  7 місяців тому +1

      Nitumie namba yako ya whatsapp Yangu ni +255766306553 na pia wimbo huo unaohusema sio wa MAOMBI ni sa wafalme

    • @SeraphinEtolo
      @SeraphinEtolo  7 місяців тому +1

      Kitu kingine huku tuliko ndo Tanzania kuna kiswaili bora ila kanisa letu huwa halipendi kukosolea nilichai kusaicha wimbo nikautuowa studio lakini wimbo huo ulisemwa vibaya sana hadi nikaona kama hamna nilicho kifanya ndo shida hilo