Wanadamu sisi tunatabu sana, Diamond akipost nyumba mnaanza kumshambulia kwamba atakufa ataziacha tuu, mara mtafute Mungu ivyo vitu vyakupita, leo amepost kitale mnampa big up. Wabongo mnatatizo gan mamae
Hii ndio maana halisi ya mpambanaji na msanii kioo cha jamii. Funzo kubwa kwetu vijana wenye ndoto na nia ya kuishi maisha yetu. Very very impressive💪🙏
MIMI NIKIMALIZIA KUSIFIA NYUMBA YA KITALE CHAPILI NISIFIE KAZI MAHIRI YA RIPOTA NAMBA MOJA TANZANIA MILLARD AYO ,,KAKA LEO NAONA UMEINGIA MTAA MWENYEWE ..HONGERA ROLL MODEL WANGU
Hongera zaidi kwa milady Ayo.... Your inspiration to the youth is extraordinary. And i really appreciate that man anaigizaga kama jambazi ila ukikutana nae ni mtu peaceful sana tu. Keep up the good job well done guys.
Ninahasira na mafanikio aise. Hongera kaka kitale. Mungu nijalie na mimi nimalizie nyumba yangu
Respect 2 you sir.
Umeuza gari kisha ukanunuwa kiwanja.
Very very smart
Mungu akuonger natusiokua na nyumba km cc mungu atupe zenye kheri nasi inshallah
For the first time kumuona Millard bila kofia then Mashallah kafanya mwili Allah akufanikishe na kazi zako.
Waooh! Millard nimefurah kukuona Kpenz cha watu.. na Hongera Broo kwa Mjengo Mzur..mm jiran yako wa Malamba mawil
Wanadamu sisi tunatabu sana, Diamond akipost nyumba mnaanza kumshambulia kwamba atakufa ataziacha tuu, mara mtafute Mungu ivyo vitu vyakupita, leo amepost kitale mnampa big up. Wabongo mnatatizo gan mamae
💯💯
Ongera kitale, mjini kuna baba mwenye nyumba na sio baba mwenye gari allah akupe mafanikio tele, tuonyeshe yako bro millad Ayyo🙏🙏🙏
Hongera Sanaaaa Kitale,Maa Shaa Allah, 👏.
Aahhhh Kaka Millard leo umeingia mwenyewe kitaa. I like that👍
Sasa Unaitwa Baba mwenye Nyumba...safi sana Kitale.....Hongera sana bro
Mungu amzidishie asante kitale kwa kunitamanisha na kunifanya niendelee kupambana hakuna linaloshindikana chini ya jua
MaashaaAllah paambe saana tuu waache hao wasanii wengine wahisabu pombe na wanawake....
Such a beautiful place, Well done Kitale. So inspiring!
Ooooh safi sana ndugu yangu. Hilo ndio la maaana lakin wengine wanapta hela zinaishia kwenye Anasa hata kibanda hawana.
Hongarasan Sana Kaka pamban mungu akulindee
Big up mkali kitale
Hii ndio maana halisi ya mpambanaji na msanii kioo cha jamii. Funzo kubwa kwetu vijana wenye ndoto na nia ya kuishi maisha yetu. Very very impressive💪🙏
Hongera sana kitale mkude simba OG. Keep it up brother.
Hongera saaaaaana kitale sikuzani kama wewe ni mwerevu kiasi icho kwasababu kama pesa wengi tu wanazo ila mawazo ya kujenga wapi usiwaulize.
Hongera kitale ww kwel mluguru mana waluguru wanapenda kujenga
👏🏻👏🏻hongera sana bwakila👏🏻👏🏻
Hongera sana kitale masha Allah m mungu azidi kukubariki 🙏
❤❤❤aisee kama kuna vitu napenda sana ni nyumba
Saluti sana umekaza kaka mana siyo kazi ndogo kujenga siyo mchezo mungu akuzidishe akupe kila hitaji la moyo wako inshallah 🤲♥️
Muigizaji pekee wa kirugulu mwenye mjengo mkali big up sana waukae
Hongera Sana kaka umejitaaidi mnoo alafu ww sio km wasanii wengine mambo yko kimyakimya nimekupenda Sana kitale bgp💓
Mashallah mwenyezi MUNGU azidi kukuinua kitale
👏👏👏👏👏👏👏👏na mkubali sana kital
👏👏👏👏👏👏 mrunguru mwenzangu ya hongera xana ndugu yngu
Haya kitare pigapu sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera kwake kwakweli.kwasasa ukiona umejenga hata chumba kimoja unamshukuru Mungu
MIMI NIKIMALIZIA KUSIFIA NYUMBA YA KITALE CHAPILI NISIFIE KAZI MAHIRI YA RIPOTA NAMBA MOJA TANZANIA MILLARD AYO ,,KAKA LEO NAONA UMEINGIA MTAA MWENYEWE ..HONGERA ROLL MODEL WANGU
Asante sana Ndugu yangu
Pamoja bro....💪
@@millardayoTZA hongera xna unajtahidi sana
ua-cam.com/video/cbT-SoSPzNI/v-deo.html
Mashaallah hongera sana kaka bonge la mjengo
Nzuri sna❤❤
Apo sasa unavimba mjn bila waswas hongera bro
Hongera zaidi kwa milady Ayo.... Your inspiration to the youth is extraordinary. And i really appreciate that man anaigizaga kama jambazi ila ukikutana nae ni mtu peaceful sana tu. Keep up the good job well done guys.
Hongera sanaaaa duh simchezo
kazi na akiri utatoboa tyuu ayo umetulia sana
Mashaallh kaka ukovzr umejinyima kula migebuka
Mashaallha hongera
Dah! Big up sana dogo.
Si tumeambulia kucheka tu hayo ndio mafanikio ya uchekaji wetu hongera sana
Hongera mwaya
My dream... InshaAllah Mungu anijalie namimi... Nipate mjengo wa hatari na niumiliki kihalali ..
Sanaaa inahela tutakapo jitambua Sanaa na kutuli nakubali #Kitale na naamini kupitia sanaa
MashaAllah umejitaidi bba
Big up sana, wengine wasanii wafuate nyayo, miaka na muda haujirudii
big up Sana my brother nice work
Upo sawa mwanangu kitareeee
Wewe ndio kiyoo cha jamii sio wanaoonyesha cbupi hayo ndyo maisha mdogo wangu
Noouma sana Mzee✊✊✊🙌🙌🙌
Hongera kwake pole Kwa mshika camera 📸
Mashalllah nampenda sana bwakila anafurahisha
Daaah Mungu nusaidie na mm mwaka huu ninyanyue mjengo wangu
Allahumma amyn
Safi sana, vijana wengi wanauza viwanja halafu wananunua gari ila yeye amefanya the opposite which is good
Daah hongera kk big up sana
Hongera Vitale.
Waukae miangu simbusi sammo
Hongera gendo goyang'ani lumbu
Mashaallah mashaallah 😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tukimttoa Babutale kuna Mluguru mwingine anasumbua mjini hongera sasa Mkude Simba
Big up sana mirladAyo kuwapa moyo vijana wenzio
Daa yangu nikifikia hapa❤😂
Wakina Queen Darling kazi kupangisha tuu!
Hongera sana kaka mungu akupe riziki
Mashallah hongera sana
Wow that was great design , thanks to archicad designer👏
Rgguu
Hogera sana bro. Naomba yoyote anae uza kiwanja hapa karibu na kitale anijulishe. Kitale nampenda sana nataka kujega karibu yake
Designer ,🔥
Viateur Estate channol
Safi sana kaka nyumba yako nzur sana ayondio maendeleo
Mazamwawa waige mfano kupitia hapo, hongera kaka
Hongera saana Tena Sana kaka
Hongera sana kaa mkubwa
Mboje maduhu 🇹🇿🕊️🦜🌷🥀
Hongera Sana kitale iko pow iyo
Hongera sn
kaka mirad,ayoo nakuaminia kbc💪💪
Habari nzuri hio.
Hongera
Hongera,kitale..hongera sana.
Hongera sna kaka angu. Sio jambo Dogo Kitale🌹. Kila la kher Allah azid kukuzidishia🙆🙏
Ciao munira come va
Hidaya Adam aisee umeniacha hoi mtaliano
Munira sta bene anzi benissimo
Naomba ramani kitale plz na hongera sana kwako Ayo plz niombee ramani
Hongera kwake ila nmegundua wasanii wanatakiwa wapate haki zao stahik mm nilivyokuw nawaza umaaruf wake nlizazan anaweza kujenga jumba la mabilion
Daah brother hongera yake saaana kajitaidi Sana?
Sema kiukweli Drone master wako a natakiwa aongeze juhudi anatushusha brand kiasi
Mashallah kitale
Mashallah big up sana
Hongera sana mkuuuu
Mashallah, umetisha bro 🔥🔥🔥
Verry nice house
Hongera kaka kitale
Hongera yake
Hongera sana kakaangu
Inshallha one day tutafika uku muhimu kupambana tu ongera sana kitale nyumba mzuri mno
Hongera kitare wakee
mjengo mzuri Sana vp naweza pata Raman yake
erick suitbert acha umarioo kanunue Raman zinauWa 😁😁
sawa mkuu🙌🙌😅
Well done bro naona MB zetu hazifi bure za maneno ya kuambiwa
Hongera sana kaka huo ndio mpango
Flesh sana ,,,,,koz wengne wanalewa 2 ,,na wanafia guest,,,,,, house
Masha Allah, mafanikio hayaji kirahisi hasa hasa kwa maisha yetu yaKIBONGO
Mashallah Allah akuifadhie amiin yarrab 🤲
Hongera sana kakaangu!
Yani sahii nina usongo na Nyumba Mungu nisimamie nifanye kazi yangu pila kuchoka nimtimizie mwanangu ndoto yake
Bigap Brother kitale
Hongera mkude👏