LIVE: YANGA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, JANGWANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @MichaelAlbano-ok5wx
    @MichaelAlbano-ok5wx 2 місяці тому +3

    Mungu atuongoze mwaka na sisi yanga kutwaa kombe hili lije tanzania kupitia yanga pamoja wananchi tuwe wamoja.daima mbele nyuma mwiko.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 місяці тому +3

    Nakukubali sana Ally Kamwe

  • @AnethAkyoo
    @AnethAkyoo 2 місяці тому +3

    Mungu awasaidie wote......I love ❤ yanga 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛

  • @SunshineMuhindi
    @SunshineMuhindi 2 місяці тому

    Asante kaka🥰

  • @UpinguOkello
    @UpinguOkello 2 місяці тому

    Yanga mkomboz wa Taiwan hili amin

  • @masenzacrevasses5834
    @masenzacrevasses5834 2 місяці тому +1

    keep moving Young Africa

  • @DominicBwanali-xl4wj
    @DominicBwanali-xl4wj 2 місяці тому

    Mungu yu mwema hatua ya kwanza itapita salama na kuingia kwenye nafasi nyingine mungu azidi kuwabariki viongozi wote na wachezaji wote ili malengo yetu yawe mazuri

  • @lucynachone8695
    @lucynachone8695 2 місяці тому

    Nakukubar sana semaja letu

  • @linahjackson5515
    @linahjackson5515 2 місяці тому

    Hakuna kama yanga

  • @rashidyardo7929
    @rashidyardo7929 2 місяці тому +1

    Uongozi wa Yanga akili nyingi sana'

  • @SamwelAmos-lz8pn
    @SamwelAmos-lz8pn 2 місяці тому

    Tuko pamoja mkuu sema tu. Majibu ni ushindi hiyo siku.

  • @OmaryUlaya-r8t
    @OmaryUlaya-r8t Місяць тому

    Mufanyie kweli tuwazime kilimilimi

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 2 місяці тому +3

    Kuna shida ya saut au simu yangu ya mchongo hii Google pixel ya elfu 75,000

    • @michaelmillinga5064
      @michaelmillinga5064 2 місяці тому

      Sio simu Yako, ni kweli Kuna tatizo la sauti mwanzoni hapo.. simu Yako ni nzima

  • @cosmasjulius
    @cosmasjulius 2 місяці тому

    Mama aweke goli deni, ukifungwa ulipe pia kwa kiwango kile kile😂😂😂

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 2 місяці тому +1

    Sauti

  • @saidmuhorwa9635
    @saidmuhorwa9635 2 місяці тому +1

    Nani kama YANGA? 1:03 🎉

  • @SaidAbdallah-cl5xr
    @SaidAbdallah-cl5xr 2 місяці тому

    Malizia goli4 kwa 0