Mbaraka Mwinshehe - Matusi ya Nini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Mbaraka Mwinshehe - Matusi ya Nini
    Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
    The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

КОМЕНТАРІ • 77

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 3 роки тому +14

    Watu wa zamani mbona hamzungumzii sana hawa wanaopiga trumpet na saxophones, wengi mnazungumzia wapiga solo, rhythm na bass. Ila mziki wa zilipendwa ulipendezeshwa sana na trumpet na saxophones ambazo sikuhizi hazitumiwi sana. Wind instruments were iconic.

  • @bwochanyagemi2556
    @bwochanyagemi2556 10 місяців тому +2

    Mbaraka Mwinshehe na Moro Jazz walikuwa mabingwa kweli 😊😊! I often listen to their songs as I sing along 😊!

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 місяців тому

      Mi nmezaliwa 1992 ila nimekua mpenzi mkubwa wa nyimbo za Huyu bingwa wa muziki wa muda wote.

  • @temesimukani4962
    @temesimukani4962 Рік тому +4

    Easy Africa's finest. Kijana wa Kisarawe. Sad that he left at a young age of 34 years in a tragic road accident in Mombasa.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 місяців тому

      Kisarewe was his origin but born n raised in Morogoro he ofcourse been barried at mzenga village kisarawe .

  • @antarsangali4456
    @antarsangali4456 Рік тому +3

    Mbaraka Mwinyshehe ndiye mwanamuziki pekee atakayebaki katika siku za maisha yangu yote

  • @abdulazizabdillahkijaro3070
    @abdulazizabdillahkijaro3070 4 роки тому +8

    Baba ywaniambia alikuwa anapenda sana kenya. Kila akija ilikuwa kama desturi kuperform Voi. Kariakor. Nampenda saana

  • @RahmaHersi-s1k
    @RahmaHersi-s1k Місяць тому

    Moro Hoyeeeee.
    Old good day.
    Mungu akupe pepo
    Daima tunakukumbuka.
    Our old good days at
    School.

  • @NkongoriEustache-ve9ms
    @NkongoriEustache-ve9ms 2 місяці тому

    Mbaraka mwishehe,nakumbuka ujana wangu,nimependa sana sauti Yako nyororo.

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje5366 2 роки тому +3

    I didn’t see Mbaraka Mwinyishehe but his songs win’s mind joy wallah.

  • @phoebetaylor7172
    @phoebetaylor7172 2 роки тому +5

    Mbaraka we still listen to your song. R.I.P

  • @michaelodhiambo1942
    @michaelodhiambo1942 6 років тому +11

    Sio tu utamu wa nyimbo lakini pia ujumbe ulio wa maana na mafunzo muhimu kwa jamii...

    • @hajichungu9413
      @hajichungu9413 5 років тому

      Michael Odhiambo hakika huyu MTU nilitamani nimuone japo kwa jicho language tu

  • @sethmartin5789
    @sethmartin5789 6 років тому +21

    The genius at work, the man of great talent with exceptional vocal excellence and excellent swahili language. Thornton Heath London. August 2018

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 2 роки тому +2

    Gwiji gwiji hasa mataalam na mwalimu Asante kwa sauti asali

  • @NsajigoSamsokwa-zf1jw
    @NsajigoSamsokwa-zf1jw 2 місяці тому

    kiwango cha gitaa la Mbaraka M Mwaruka kilikwa sawa na cha Franco Lwambo na Docteur Nico Kasanda

  • @MURATHENJOROGE
    @MURATHENJOROGE Рік тому +1

    I could understand his music back (1970)

  • @JumaManyama-c8j
    @JumaManyama-c8j 8 місяців тому

    Mimi tangu kusikiliza nyimbo 1969 nikiwa Nansimo midle school mpaka leo sijaona mwamba wa mziki kama Mbaraka Mwishee Mwaluka uliondoka kidume unakumbukwa kidume

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 Рік тому

    Upinzani kwa Kila haina ya biashara ni ya ukweli. Nenda pole kwa ghurudumu la kishenshi, Kaka. Dr. Ogeto International

  • @geraldineishengoma5197
    @geraldineishengoma5197 2 роки тому +2

    RIP Mbaraka Mwishehe,tulifurahia mziki wako.

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 3 місяці тому

    Nasikitika watz hatupendi vyetu angekuwa mkongo huyu bwana angekuwa juu sana yaani tundu zuri soko bovu dah inauma sana

  • @lucasanzianzale2356
    @lucasanzianzale2356 9 місяців тому

    ❤🎉 hizo ndo nyimbo zenye mafunzo mema and ever green 🎉🎉🎉

  • @jumambaya1686
    @jumambaya1686 4 роки тому +2

    Tunatafuta sana nyimbo Za huyu baba akiwa na super volcano, kama heshima, mikasa harusini na sembuli,

  • @hamiduomari3101
    @hamiduomari3101 2 роки тому

    Hamidu Ibrahimu Mbaraka lala pema peponi kabisa

  • @leonardoddiaga4399
    @leonardoddiaga4399 2 роки тому +2

    Mtunzi mzuri sana na mpiga solo mahiri sana. RIP Mwinshehe

  • @ahmedjack4135
    @ahmedjack4135 3 роки тому +1

    mbaraka mwishehe na remmy ongala ni wanamuziki wangu wa muda wote ni wakali sana yani wanajua mpaka wanakera ile noma hawa ndo wanamuziki eeh bwana ee hawa walikuwa wanaujua mzikiii

  • @anthonymarwa7823
    @anthonymarwa7823 8 місяців тому

    🎉katika wimbo huu Mbaraka alikuwa akimsema Juma Kilaza aliyechaguliwa kuiongoza Cuban Marimba baada ya kifo cha kiongozi wa bendi hiyo aliyekuwa maarufu sana Afrika mashariki na ya kati Salumu Abdalah Yazide ama SAY. Kilza na Mbaraka walikuwa na kawaida ya kutupiana madongo kwa njia ya nyimbo hata wimbo kwako ni kwako wa Kilaza ulikuwa ni dongo kwa Mbaraka kwamba kwao ni Mzenga Kisarawe na sio Morogoro

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 2 роки тому

    Ujumbe kwa wasanii wa kizazi kipya kua hakuna wanamuziki, Kuna wasanii tu, muziki ni huu

  • @simulizizamwanaupwa2644
    @simulizizamwanaupwa2644 2 роки тому +1

    Wahenga misaidieni; Hapa alikuwa akimsema nani?

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 4 місяці тому

      Alikua anamsema Juma Kilaza aliyerithi Uongozi kutoka kwa Salum Abdalah wa Cuban Marimba Band

  • @memwana1
    @memwana1 Рік тому

    THAT RHYTHM GUITAR IS ABLSOLUTELY SICK!

  • @khamidukipira9039
    @khamidukipira9039 Рік тому

    Vitu vya maana vinavyosemwa

  • @kimsammy9457
    @kimsammy9457 2 роки тому

    I like zilizopendwa than myself. Watunzi waajabu

  • @saidwilsonnyabikwi.8242
    @saidwilsonnyabikwi.8242 2 роки тому

    Dah, yaani hiki kifo sijui Kwa nini kilimchukua😥😓😓😓

  • @yahyangakwela7168
    @yahyangakwela7168 5 років тому +2

    Nazipenda nyimbo hizi nikizisikilizaga akili yangu inawaza meng daa

  • @brianobwanga2382
    @brianobwanga2382 Рік тому

    Mrogorogoro jazz band mama's all time favorite

  • @mawazoaliselemani8909
    @mawazoaliselemani8909 2 роки тому

    kuna nyimbo nimesahau jina lake,anayeifahamu anitajie ina maneno yafuatayo;heshima kijana tanguliza sana mbele jeuri mbayo oooh,

  • @marcuscharles8824
    @marcuscharles8824 3 роки тому +1

    Hapo alikuwa anamjibu juma kilaza kwenye ile wimbo wa juma kilaza unaitwa subi subi

    • @dlasky
      @dlasky 2 роки тому

      Nilikuwa natafuta maelezo kuhusu huu wimbo. Asante!

  • @dismaswagana6458
    @dismaswagana6458 6 років тому +6

    Talent at it's best.

  • @hamiduomari3101
    @hamiduomari3101 2 роки тому

    Zilizopendwa oyeee

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 роки тому

    Jana nulickuluza historian za hawa jamaa c mchezo UFM 11/4/2020

  • @absalomaloo3022
    @absalomaloo3022 2 роки тому

    This man Mbaraka,...utunzi kweli

  • @Maria.7861
    @Maria.7861 3 роки тому +1

    Can't get enough of this track!!!

  • @MutindaMuthami-d8j
    @MutindaMuthami-d8j 11 місяців тому

    Sweet songs to enjoy

  • @rastalevai14
    @rastalevai14 Рік тому

    Kalii sanaa

  • @emmanuelj.mukanda1238
    @emmanuelj.mukanda1238 Рік тому

    Upto date in moral

  • @ellymzera2457
    @ellymzera2457 7 місяців тому

    ✨️

  • @tuntulusekelo4191
    @tuntulusekelo4191 4 роки тому

    Dongo kwa Juma kilaza mzee wa mitusiiii

  • @paulmwaura299
    @paulmwaura299 Рік тому

    Ecallence

  • @adammuki2831
    @adammuki2831 5 років тому +1

    Semeni ukweli tamu nyimbo

  • @mataka-y5z
    @mataka-y5z 2 роки тому

    Best 2022

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 3 роки тому +1

    Naomba kuuliza, by Salum anamaanisha salum abdallah!? Wa cuban malimba!?. So this was a dis song watoto wa siku hizi tunaita.

    • @rehemamsigwa4844
      @rehemamsigwa4844 3 роки тому

      Salumu iddy nyange

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 роки тому +1

      Yes Salum Abdallah ndio na hapo anamdis Ahmed Kilaza ambae alitake over baada ya Salum Abdallah ambae kimsingi alikua adui wa moro jazz

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 роки тому

      Juma kilaza sio Ahmed

  • @masterprimalaprimala2572
    @masterprimalaprimala2572 2 роки тому

    Mbaraka Mwishehe,o conselheiro social

  • @salmaramadhani3707
    @salmaramadhani3707 5 років тому

    Hizo ndo nyimbo sasa ht km za long mm binafsi yangusiwezi lala bila kusikiliza

  • @reonaldmchome1594
    @reonaldmchome1594 3 роки тому

    Nyimbo nzuri ujumbe mzur 2021

  • @masanjamasanja3021
    @masanjamasanja3021 4 роки тому

    Hizi ndy nyimbo

  • @nassonsakawa3370
    @nassonsakawa3370 5 років тому +1

    Napenda sana

  • @mausosiralisam3484
    @mausosiralisam3484 10 місяців тому

    Where has his daughter disappeared?

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 місяців тому

      Taji ? She is still playing base guitar at women's band.

  • @ernestnjogholo1472
    @ernestnjogholo1472 4 роки тому

    Soloist international rip

  • @davidnyamaistephen615
    @davidnyamaistephen615 6 років тому

    Just listen

  • @ezekielmkama4909
    @ezekielmkama4909 6 років тому

    Hatari

    • @omaryshaba5718
      @omaryshaba5718 6 років тому

      Wakali wetu.

    • @yusufuomari2835
      @yusufuomari2835 5 років тому

      Ezekiel Mkama nimekumis mubaraka

    • @edwardmseti7570
      @edwardmseti7570 5 років тому

      nyimbo nzr ina ujumbe mzr kwa jamii siyo nyimbo za leo hauwezi kuskiliza ukiwa na watoto wako

    • @kazikubomajonh6513
      @kazikubomajonh6513 5 років тому

      @@edwardmseti7570 sauti ya thahabul