MBARAKA MSHEE-moro jazz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • MAKINYA.BLOGSPOT.COM

КОМЕНТАРІ • 26

  • @alimdoe8307
    @alimdoe8307 2 роки тому +2

    Mumejitahidi sana, ukizingatia enzi zetu hatukuwa na video! Bali, kumheshimu Mbarak Mwaruka Mwinsheh, hii logo ya mpiga solo, iwekwe ya utulivu!! Hakuwa akiruruka hovyo! Nipeni kibarua!!

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 роки тому +2

    Mzee mwaruka utakumbukwa daima, rest in peace. 04.08.21.

  • @dismaswagana6458
    @dismaswagana6458 5 місяців тому +2

    "Matusi ya Nini' Mbaraka mpenda amani.

  • @husseinmbega4227
    @husseinmbega4227 2 роки тому

    Huyo sio mbarka ni mtambo wa kiluguru

  • @benjaminbyejwe5407
    @benjaminbyejwe5407 3 роки тому +1

    Niko kweli mbaraka mwinshehe atakumbukwa milele na milele

    • @stevek8318
      @stevek8318 2 роки тому

      Kuna video ya mbaraka? Ningependa Sana Sana ikiwa naweza ipata

  • @shabanimnondwa6094
    @shabanimnondwa6094 Рік тому

    Wanamuziki wa Morogoro embeni nyimbo za kuwaenzi wanamziki went wa zamani kama vile Mbaraka Mwishehe na Juma Kilaza kwa kuimva nyimbo zao kwenye majukwaa

  • @hermanmwandigiri2450
    @hermanmwandigiri2450 2 роки тому +1

    Nyimbo za mafundisho.

  • @davidkitoch6130
    @davidkitoch6130 2 роки тому

    Ni nani huyu ni Mbaraka kweli

  • @MatronaKilenga
    @MatronaKilenga Рік тому

    Yes mko vizur

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 5 місяців тому

    Huyu ni baadhi ya wale mashemeji mbaraka alikua hawamini

  • @rashidmakinya6484
    @rashidmakinya6484 3 роки тому +1

    Nakuona kijana unamuenzi mzee wetu

    • @stevek8318
      @stevek8318 2 роки тому

      Kuna video yeyote ya mbaraka? Ningependa

  • @husseinmbega4227
    @husseinmbega4227 2 роки тому

    Mlevi huyo

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 8 місяців тому

    Nimekubali hongereni

  • @mariamjingu5383
    @mariamjingu5383 2 роки тому

    Jina la wimbo?

  • @EliasMisana
    @EliasMisana 5 місяців тому

    Huyo alikuwa mmojawapo wa wanamuziki wa Moro jazz.Ndo alobakia ...Kwasasa pombe mtu...

    • @aliah1732
      @aliah1732 4 місяці тому

      😂😂😂😂

  • @hadhiroufakihi539
    @hadhiroufakihi539 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 5 місяців тому

    Chikito

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 роки тому +2

    BANGI HIYO

    • @davidkitoch6130
      @davidkitoch6130 2 роки тому

      Hoo ni mlevi

    • @aliah1732
      @aliah1732 8 місяців тому

      Kweli

    • @georgenyasudi4060
      @georgenyasudi4060 5 місяців тому

      Hamna bangi Kaka. Huyu kaamuwa tu kutukumbusha mzee wetu. Miye ni Mkenya niliye penda sana nyimbo zake Mbaraka. Hongera sana kutukumbusha.

  • @aliah1732
    @aliah1732 8 місяців тому

    Huyu anafanya nini sasa. Kutuharibia tu

  • @lugwetunje3896
    @lugwetunje3896 5 місяців тому

    Kata nyuzi