ITAKUWA HEWANI JUMA HILI. PIA WAWEZA KU-SUBSCRIBE ILI IWE RAHISI KUPOKEA TAARIFA KILA NINAPOUPLOAD MASOMO. HII NI KWA SABABU WAKATI MWINGINE NAKOSA MUDA WA KUSHARE LINK
TAKUWA HEWANI JUMA HILI. PIA WAWEZA KU-SUBSCRIBE ILI IWE RAHISI KUPOKEA TAARIFA KILA NINAPOUPLOAD MASOMO. HII NI KWA SABABU WAKATI MWINGINE NAKOSA MUDA WA KUSHARE LINK
Wakolosai 4:14 Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu. Filemoni 1:24 na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami. 2Timotheo 4:10 Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda Thesalonike; Kreske amekwenda Galatia; Tito amekwenda Dalmatia.
Barikiwa Sana mchungaji nataman Sana siku moja ni kuone, maana me ni mmoja wa kondoo za Bwana Uliowaleta zizini katika mahubiri ya mwaka Jana ya Nyumban hatimaye. Kinyerezi Jijini Dar-es-salaam
Mchungajk kunasomo umefundisha kule kiteto nitakwenda nimepata majibu ya Mungu ulifundisha Sana masomo yalikua yapeke Sana nakupataje naitaji hudumu ya kiroho
Amen prs Paul Semba Nabarikiwa sana namafundisho yako 🔥🙏🙌
Amen mtumishi Kwa fundisho hili nimeelewa jinsi yakuomba
Aminaa, barikiwa Pr. kwa huduma njema, jina la Bwana litukuzwe kwa kukutumia kutoa ujumbe huu
Leo ROHO MTAKATIFU ameniamashisha sana leo nikusikie do nikakutana na somo lako Mungu akubariki sana pasta
AMINA
Barikiwa pastor.
Unanibariki kwa masomo yako mchungaji. Unachambua Biblia kwa ufasaha mkubwa .
Naomba sehemu inayofuata.
BARIKIWA SANA
ITAKUWA HEWANI JUMA HILI. PIA WAWEZA KU-SUBSCRIBE ILI IWE RAHISI KUPOKEA TAARIFA KILA NINAPOUPLOAD MASOMO. HII NI KWA SABABU WAKATI MWINGINE NAKOSA MUDA WA KUSHARE LINK
Asante mchungaji! Barikiwa sana
Nilisha subscribe!!!
Be blessed
Pr Semba, hilo fungu limenisumbua sana juu ya mwizi pale msabani... leo umenifumbua macho.
Ubarikiwe sana pr
Ubarikiwe sana Pastor, Kwakweli hili somo ni zuri sanaa
Now I understand how GOD he's and I learn how to pray.
I nothing to give but let GOD help us so we might meet in Heaven.
Barikiwa sana Pr Mungu aendelee kukubariki Sana huduma yako inabariki wengi, Mimi ni miongoni mwa watu wanaobarikiwa sana na huduma zako.
Uishi milele
Amina Pr.
Ameen the name of JESUS Christ 🙏🙏
Amen mtumishi. Mungu akubariki sana
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mchungaji Mungu azidi kukubariki
BWANA ATUJALIE KUMALIZA MWENDO SALAMA
Nashukuru Sana karibu Tena Turwa mchungaji
Mch Ubarikiwe kwa Somo nzuri
Ubarikiwe mnooo mchungaji
PR. Mungu akubariki
Amen
Mungu tusaidie Mwendo salama tumalize salama
Amen amen MUNGU wetu sio bahari
Aise huu ndo utamu wa Biblia.Shalom mwalimu wangu.
amen... mtumishi wa Bwana.
Hallelujah
Aminaaaaaaa
Mungu.wangu.sio bahari hakika
Be blessed pastor,
Naweza pata vipi vitabu vyako pastor Semba
WASILIANA NA MWINJILISTI WA VITABU ALIYE KARIBU NAWE POPOTE TANZANIA
@@paulsemba_TV
Samahani Pastor,
Unaposema Mwinjilisti wa vitabu ," unamaanisha nini, Mie nipo Bugulula Geita,
Ukitaka vitabu vyake nione 0715344262
@@AdolfManyanga ni mtumishi wa Mungu kwa njia ya machapisho ya kanisa la waadventista wa sabato
@@gracemwaipopo3209
Grace we unapatikana wapi?
Mungu akubariki
Somo hili limenifunza kitu kipya, ubarikiwe Pastor
BWANA ATUKUZWE
nabarikiwa na masomo yako
MUNGU akubariki mchungaji,aendelee kukutumia kwa kadri ya Rehema zake
Mungu aendelee kuku tumia pasta tufunulie maadiko
AMINA
Wewe niwamungu kabisaaaa Yani kuna nguvu Fulani kwenye hili ubili ubalikiwe na mungu akupiganie
Ok
Mpendwa katikabwa na haujambo
Watu wote na tumwaabu Bwana kwa kicho.
Imenigusa sana hii nondo mkuu...
UISHI MILELE!
Stay blessed Pastor...
AMEN
BWANA SANA TUMEBALIKIWA KWA MAFUNDISHO YAKO SANA
Ubalikiwe
Ubarikiwe
Pastor sehemu ya pili naipataje maana hili Ni neno la uzima.
TAKUWA HEWANI JUMA HILI. PIA WAWEZA KU-SUBSCRIBE ILI IWE RAHISI KUPOKEA TAARIFA KILA NINAPOUPLOAD MASOMO. HII NI KWA SABABU WAKATI MWINGINE NAKOSA MUDA WA KUSHARE LINK
Sawa pastor.
Mch huyu Dema habari zake zinapatikana kwenye kitabu gani la agano jipya naomba nikasome habari zake?
Wakolosai 4:14 Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.
Filemoni 1:24 na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami. 2Timotheo 4:10 Maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu huu wa sasa, akasafiri kwenda Thesalonike; Kreske amekwenda Galatia; Tito amekwenda Dalmatia.
Barikiwa Sana mchungaji nataman Sana siku moja ni kuone, maana me ni mmoja wa kondoo za Bwana Uliowaleta zizini katika mahubiri ya mwaka Jana ya Nyumban hatimaye. Kinyerezi Jijini Dar-es-salaam
Mchungajk kunasomo umefundisha kule kiteto nitakwenda nimepata majibu ya Mungu ulifundisha Sana masomo yalikua yapeke Sana nakupataje naitaji hudumu ya kiroho
WASILIANA NAMI 0784381835
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu naruhisiwa kupiga au Kutuma ujumbe hilinikimaliza kuangalia kwanza hili somo barikiwe sana
@@magdalenajuma6229 UNARUHUSIWA KUPIGA
Mchungaji BWANA akubariki sana kwa somo la pekee linalotutafakarisha safari yetu ya kiroho. Nimejifunza mengi kupitia somo hili
Amen
Amen