NURU FOUNDATION YALETA FARAJA KWA WATOTO WA KIKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Taasisi ya NURU FOUNDATION ZANZIBAR chini ya mwenyekiti wake Mama Zainab Kombo yaleta faraja kwa wanafunzi wa kike wa kituo cha elimu mbadala Rahaleo kwa kuwapatia taulo za kike zipatazo boxi 20 ikiwa katika muedelezo wa kusaidia watu mbali mbali wenye uhitaji katika jamii

КОМЕНТАРІ •