NURU FOUNDATION ONLINE TV
NURU FOUNDATION ONLINE TV
  • 21
  • 36 498

Відео

WANAFUNZI WA NURU FOUNDATION WAKIANDAA SALAD YA PWEZA
Переглядів 16День тому
Wanafunzi wanaodhaminiwa na Taasisi ya Nuru Foundtion zanzibar katika chuo cha elimu mbadala Rahaleo wanaojifunza fani ya upishi wakionesha jinsi ya kuandaa salad ya pweza (octopus salad)
NURU FOUNDATION YALETA FARAJA KWA WATOTO WA KIKE
Переглядів 70Місяць тому
Taasisi ya NURU FOUNDATION ZANZIBAR chini ya mwenyekiti wake Mama Zainab Kombo yaleta faraja kwa wanafunzi wa kike wa kituo cha elimu mbadala Rahaleo kwa kuwapatia taulo za kike zipatazo boxi 20 ikiwa katika muedelezo wa kusaidia watu mbali mbali wenye uhitaji katika jamii
Taasisi ya Nuru foundation zanzibar imefanya ziara ya kuwafariji jamii katika kipindi cha skukuu
Переглядів 712 місяці тому
Taasisi ya Nuru foundation Zanzibar huwa inakawaida kila ifikapo eid ul adh-ha inawakusanya na kula nao chakula pamoja watoto mayatima, watu wenye hali ngumu na wenye mahitaji kwa lengo la kuwapa faraja na furaha ya skukuu, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa taasisi hakutakuwa na chakula cha pamoja ili kuepusha mikusanyiko amabyo inaweza kusababish athari moja ama nyengine, kwa kuwa taas...
Nuru Foundation Zanzibar yakabidhi vifaa vya masomo kwa wanafunzi 26 wanaowadhamini elimu mbadala
Переглядів 553 місяці тому
Taasisi ya Nuru foundation Zanzibar imekabidhi vifaa vya masomo kwa wanafunzi waliowadhamini katika chuo cha elimu mbadala raha leo , vifaa hivo vitawasaidia katika kuendeleza masomo yao kupitia fani mbali mbali wanazojifunza ikiwemo vifaa vya upambaji na uchoraji piko, umeme na ushoni.
TAASISI YA NURU FOUNDATION ZANZIBAR YADHAMINI MASOMO YA WATOTO 26 KATIKA CHUO CHA ELIMU MBADALA
Переглядів 853 місяці тому
Katika muendelezo wa kazi ya Taasisi ya Nuru foundation Zanzibar ya kusaidia watoto yatima na wenye mazingira magumu, Nuru foundation imewatembela wanafunzi 26 walioshindwa kuendela na masomo kwa changamoto mbali mbali wanaodhaminiwa na taasisi hiyo katika chuo cha elimu mbadala raha leo zanzibar , wanafunzi hao wanasomea fani tofaut ikiwemo upambaji na uchoraji piko, ushoni, ufundi umeme, upis...
MAMA ZAYNAB AWATAKA WANANCHI WA MAGHARIBI A & B KUSHIRIKIANA KATIKA MALEZI YA WATOTO -WATOTO WAIOMBE
Переглядів 84Рік тому
Mwenyekiti wa Taasisi ya Nuru Foundation Zanzibar Mama Zaynab Kombo Shaibu Amewahimiza Wananchi wa Magharibi A & B kuwalea watoto kwa mapenzi na kuwakataza kuwa na Tabia ya Kuomba Omba
Mama Zaynab Atoa Machozi ya Furaha kwa Utenzi wa Binti Huyu Mwenye Ulemavu wa macho
Переглядів 211Рік тому
Mama Zaynab Atoa Machozi ya Furaha kwa Utenzi wa Binti Huyu Mwenye Ulemavu wa macho
Mama Zaynab - Tutaendelea Kuzifariji familia za watoto yatima kwa hali zote Sisi Nuru Foundation
Переглядів 193Рік тому
Mama Zaynab - Tutaendelea Kuzifariji familia za watoto yatima kwa hali zote Sisi Nuru Foundation
Tunachokipata Hata kama kidogo Tutagawana kwa Ajili ya watoto wetu
Переглядів 62Рік тому
Tunachokipata Hata kama kidogo Tutagawana kwa Ajili ya watoto wetu
MAMA ZAYNAB:-TUMEKUSUDIA KUZIWEKA TAASISI ZOTE KARIBU ILI TUJUWE WATOTO YATIMA WANGAPI ZANZIBAR
Переглядів 79Рік тому
MAMA ZAYNAB:-TUMEKUSUDIA KUZIWEKA TAASISI ZOTE KARIBU ILI TUJUWE WATOTO YATIMA WANGAPI ZANZIBAR
MAMA ZAYNAB KOMBO AALIKWA RADIO ADHANA -AFAFANUWA MALENGO YA TAASISI YA NURU FOUNDATION
Переглядів 280Рік тому
MAMA ZAYNAB KOMBO AALIKWA RADIO ADHANA -AFAFANUWA MALENGO YA TAASISI YA NURU FOUNDATION
MAMA ZAYNAB:-JANGA LA UDHALILISHAJI LINAANZA KATIKA NGAZI YA FAMILIA NI JUKUMU LETU KUPAMBANA
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
MAMA ZAYNAB:-JANGA LA UDHALILISHAJI LINAANZA KATIKA NGAZI YA FAMILIA NI JUKUMU LETU KUPAMBANA
BINT MWENYE ULEMAVU WA MACHO AMGHANIA MAMA ZAYNAB UTENZI MZURI HAJATUNGIWA
Переглядів 9 тис.Рік тому
BINT MWENYE ULEMAVU WA MACHO AMGHANIA MAMA ZAYNAB UTENZI MZURI HAJATUNGIWA
MASHAALLAH BINTI ASIEONA AGHANI UTENZI WA NURU FOUNDATION HAJATUNGIWA UTAPENDA KUSIKILIZA
Переглядів 24 тис.Рік тому
MASHAALLAH BINTI ASIEONA AGHANI UTENZI WA NURU FOUNDATION HAJATUNGIWA UTAPENDA KUSIKILIZA
NIMEFURAHISHWA NA USIMAMIZI MZURI WA VITUO PAMOJA NA MALEZI BORA MUNAOWAPA WATOTO YATIMA
Переглядів 259Рік тому
NIMEFURAHISHWA NA USIMAMIZI MZURI WA VITUO PAMOJA NA MALEZI BORA MUNAOWAPA WATOTO YATIMA
MAMA MARYAAM MWINYI AZIPONGEZA ASASI ZA KIRAIA KWA KWA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT MWINYI ZNZ
Переглядів 42Рік тому
MAMA MARYAAM MWINYI AZIPONGEZA ASASI ZA KIRAIA KWA KWA KONGAMANO LA KUMPONGEZA DKT MWINYI ZNZ

КОМЕНТАРІ