Rais Dkt. Hussein Mwinyi akabidhiwa Kombe la CECAFA na Karume Boys

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Tazama hafla yote ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi alivyokabidhiwa Kombe la CECAFA kutoka kwa Timu ya Taifa ya Vijana ya Zanzibar Chini ya miaka 15 (Karume Boys).
    Hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar ikiongozwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na mwenyeji wao Dkt. Mwinyi
    Karume Boys ilifanikiwa kulibeba kombe la CECAFA kwa mikwaju ya penati 4-3 mbele vijana wa Uganda.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 9 місяців тому

    Mnashangala ilo wakati Bora afya almaruhum alipo kwenda kuzikwa watu wamevaa nguo zachama mazikoni msiba mkubwa huu hawa CCM TENA to much mmezidi Bora tukupumzisheni Kwa hapa Zanzibar

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому

    Ulwa haumtupi mtu mama tabiya mlipochaguliwa mwanzo ulikuwa mwembamba na wenzio ila sasa mashallah mashallah 🎉🎉🎉

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 10 місяців тому

    Uzalendo kwanza jaman ,wezetu wanatukuza utaifa na sio uchama ukianza kuzungumzia nafac ya chama cha mapinduzi ndicho kilichotufikisha hapa nakuifanya Zanzibar kupoteza utaifa wetu kitu ambacho nikiu kubwa na kwa walio wengi ktk wanzanzibar asilimia 87

  • @amourshadhil2005
    @amourshadhil2005 10 місяців тому

    Indeed

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 10 місяців тому

    Upelekwe pengine au upumzike

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 місяців тому

    Good Zanzibar

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 10 місяців тому

    Hayo yooooote ni bure Zanzibar bila yakuwa na mamlaka kamili ni bureeeeeee Zanzibar imeshinda miaka mingap na imefikia wapi vipaji vipo vyakila aina ila chini ya CCM hatutoboi

  • @abuujureyjkhaniykhaniy9645
    @abuujureyjkhaniykhaniy9645 10 місяців тому

    Hayo masuala ya ucham hapo yana maana gani au ndio mwajikushanyia kuonekan munafany makubwa wakat uchumi haupo makelele mengi t😊

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому

    Kunasehem hayo mambo ya ccm oyeee hayana nafasi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому

    Nilitamani makamu wa kwanza na 2 wangeongeya japo kidogo

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 10 місяців тому

    Imegeuka kapeni ya CCM

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому

    Kila sehem kuna maongezi yake yanayohusu tukiyo

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 10 місяців тому

    Kidumu Chama cha Makuwadi na Wanyonyaji

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs 10 місяців тому

    Kumbe MC charles ni utopolo 🤣🤣🤣

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 10 місяців тому

    Ahadi zao na si yao

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 місяців тому

    Good president of Zanzibar