SAKATA LA UKIMWI KWA MUIGIZAJI LULU, DAKTARI AFUNGUKA UKWELI WOTE, MANGE KIMAMBI ACHAFUA HALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 165

  • @asajileadamson3426
    @asajileadamson3426 Рік тому +7

    Nimependa jinsi ulivyojibu kulingana na maswali ya mwandishi your the professional doctor big up bro

  • @zamri2407
    @zamri2407 Рік тому +5

    Umepata funzo kubwa sana si kidogo tume jifunza mengi tulikuwa hatujuwi shukran kwa mtangazaji na kwa doctor

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 Рік тому +1

    Dr. Isaac Maro ni Muungwana sana pia ni mweledi lakini huwezi kuona akijisifu kuhusu hilo wala kujitunisha kifua, ila wengine sasa...!
    Namkubali sana Dr. ISAAC MARO

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 місяці тому

    Asante sana Dr umefundisha vinzuri na majibu vinzuri nimekupenda sana hongera

  • @CatherineJoachim-fr7yx
    @CatherineJoachim-fr7yx Рік тому +2

    Asante kwa mafundusho mazuri doctor,Ubarikiwe 🙏

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Рік тому +9

    Dr uko vizuri Mungu akubariki kwa Elimu unayoitoa

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 Рік тому +4

    Asante Dr issack maro, nimejifunza mengi hapa

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +2

    Nakupenda dokta upo vizur kazi nzur

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +2

    Mwenyezi Mungu tunusuru

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Рік тому +10

    watanzania munapenda sana kufuatiliana maisha shem on you

    • @stellanyello1955
      @stellanyello1955 Рік тому

      Tena sana watu badala ya kutafuta pesa umbea tu wamaisha ya watu pumbavu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 місяці тому

    Dr. Tuñashukru kwa elimu uliyotupa.👍👍🙏🙏🙏🙏❤❤

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Рік тому +6

    Mwanangu Lulu Muache huyo kimambe akuchafulie tu jina lakini Mungu hata kuacha kamwe

  • @zamri2407
    @zamri2407 Рік тому +1

    Thanks doctor

  • @vero57
    @vero57 Рік тому +4

    Darasa zuri sanaa leo, 👍👌👏👏👏

  • @elizabethmgina945
    @elizabethmgina945 Рік тому +4

    Mungu akutie nguvu wa jina wangu elizabeth michael

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Рік тому +15

    Mungu akutunze mdogo wangu Lulu/ Elizabeth Michael 🙏🙏

  • @mwanaidwakanai1125
    @mwanaidwakanai1125 Рік тому

    Asante sana doctor kiukweli nimeelimika

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 Рік тому +1

    Doctor umeelezea vizuri sana.
    U = U

  • @gracejoseph9451
    @gracejoseph9451 Рік тому +1

    Asante doctor

  • @khaledoman8266
    @khaledoman8266 Рік тому +1

    Asante sana kwakutufuza🇧🇮🇴🇲🙏

  • @stellakondo391
    @stellakondo391 Рік тому +1

    Hakika we ni Doctor unaelimisha vzr sana. Yaani hata mwenye mwenye ugonjwa wa ukimwi au mwenye maambukiz ya virus vya ukimwi akikusiliza atajiona yeye yupo kawaida Kwa maelezo Yako asante doctor.

    • @janerosempeta5662
      @janerosempeta5662 Рік тому

      So bad to judge someone! Better she knows her status what about you?

  • @kiatu
    @kiatu Рік тому +4

    Ahsante sana doc. Inaelekea baado elimu ya VVU na UKIMWI inatakiwa katika jamii. Ikipatikana nafasi fanya kipindi kingine kuhusu PEP na PreP(katika mazingira ya occupational exposure, rape, discordant couples, nk).

  • @BettyKereth-ov2bp
    @BettyKereth-ov2bp Рік тому +4

    Somo zuri sana.thanks

  • @jumakhamisiomari1733
    @jumakhamisiomari1733 4 місяці тому

    Nimekupenda mtangazaji , sauti tamu sana

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 Рік тому +2

    Niliwahi kusikia eti ukinywa soda ndani ya dakika 1 ukapima virusi havionekani asante dockt

  • @annamakome2979
    @annamakome2979 Рік тому +12

    mnanikasirisha sana kusema kuwa huyo mwehu ni dada wa taifa, tafuteni jina linalomfaa

    • @nurukwilabya2790
      @nurukwilabya2790 Рік тому +3

      Jina zuri ni Fala wa Taifa, au malaya wa Taifa

    • @shaniahrachma7767
      @shaniahrachma7767 Рік тому +2

      ​@@nurukwilabya2790 kabisaa dada haezi kuchafulia wadogo zake jina huyo ni malaya wataifa

    • @user-li7dc6ho5w
      @user-li7dc6ho5w Рік тому

      @@nurukwilabya2790 KABISAAAAAA

  • @ShayoLuke-pf9rm
    @ShayoLuke-pf9rm Рік тому +5

    Elimu nzuri doctor ❤

  • @hadiaomar4531
    @hadiaomar4531 4 місяці тому

    Allah akuhifadhi,fact

  • @ainsesseverest1136
    @ainsesseverest1136 Рік тому +4

    Yahan mkimjadili mange ni sawa na kujadili mtu ambaye hajuh hata nini anafanya nini maisha yake ni magumu kuliko huo mwili wake wenye vindimu 2 nyuma na mapapai mawili kifuani hanaga jipya zaid ya kuharibia watu furahaa zao wivu umemnyonyaaaaa nais Mange yeye ndiye mwenye ukimwi

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Місяць тому

    Siri huwa inafichwa Dt hatoi siri ya mgonjwa

  • @zawadimhando-3596
    @zawadimhando-3596 Рік тому +2

    Naogopa sana maralia kuliko ukimwi.alafu hakuna jipya .ht Kama lulu anao Nini shida yaani?

  • @grace-ru4sq
    @grace-ru4sq Рік тому +6

    jmn muacheni lulu aliyopitia yanamtosha ata akiwa nao si yeye aah mnakera😒

    • @EdithTelemark
      @EdithTelemark 4 місяці тому

      Kama anao wengine una wakera nini walimwengu daah! Aachwe Na Maisha yake.

  • @queenhenagu3496
    @queenhenagu3496 Рік тому

    Dk Isack maro🥰🥰nimeelewa ngoja nkaeleweshe jamii na mm 🥰

  • @EuniceWai-cq3gi
    @EuniceWai-cq3gi Рік тому +2

    Mange mbona chokochoko ivyo maisha y lulu inakuusu nini

  • @ShomarSalum
    @ShomarSalum 3 місяці тому

    Hv uyoo mange wanamuogop nn kwann wasimfunge

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Рік тому +2

    Hilo Mange linamuenea wivu mrembo Lulu sababu kaolewa na tajiri kuliko yeye anaishi na mzungu masikini na wamepanga inaonekana anawachokoza matajiri waliomzidi sababu ya wivu kama ilivyokuwa kwa mrembo Zari

    • @meryevance6744
      @meryevance6744 4 місяці тому

      Kwani yy km anahakimwi itapigika huyo lulu na kulukaluka.kwake nawanaume na km magizo kampenda wamekubaliana kwa kufata mashariti na ushauri mbona kawaida tu

  • @jennymtunguja
    @jennymtunguja Рік тому +3

    Huyu daktari anaitaji pongezi

  • @zuenafrancis9923
    @zuenafrancis9923 Рік тому +9

    Saa Kama ana ukimw inawaus Nini? Kuchafua tu Jin la mwenzenu.

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 Рік тому +1

      Nimtihan jamani yani anamshupalia mtu utafikiri anamsaidia kitu hata kama akiwa nae anamsaidia nini jamani

  • @bahatigeorge6155
    @bahatigeorge6155 7 місяців тому

    Samahani dk size Maro kwanin daw za ukimwi huwa namba tofauti tofauti kwa mfano l.75 nyingine l.124

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +1

    Ndio tuliambiwa tofauti

  • @rosaliembarikiwa592
    @rosaliembarikiwa592 Рік тому +8

    Sasa hali ya Lulu inamuhusu nini Mange?🤔

  • @user-uj8mn5fo7j
    @user-uj8mn5fo7j Рік тому +3

    Mimi naomba kuuliza jee inamaana mwenye virus vya ukimwi hawezi kumuambukiza mtu maradhi ya ukimwi mpaka awe na hayo maradhi yenyewe ya ukimwi???

    • @fatumayusuph8859
      @fatumayusuph8859 Рік тому

      Apana ukiwa na virusi vya ukimwi au ukimwi huku unatumia dawa kuna uwezekano wa kutoambukiza mwngine

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +1

    Kweli wa ukwelini

  • @rukiajuma8893
    @rukiajuma8893 4 місяці тому

    Mimi naomba namba yake ya sim naumwa nataka ushauli kwake au yuko hosptal gani?

  • @ray.ray808
    @ray.ray808 4 місяці тому

    Ndugu mtanganzaji umesahau swali 1 la msingi sana , kuhusu mwanaume kutahiliwa na swala la ukimwi kuna uwezekano wa kupata au ni imani tu ya wazungu waliotuaminisha kwamba wanaume wa watahile ili kupunguza maabukizi au kuambukizwa.?

  • @DainesMwapela-mr4wc
    @DainesMwapela-mr4wc Рік тому

    SI kweli hata utumie dawa vip kipimo hakitoacha kusoma kama ni positive na ukimwi ulianza Kwa Tz mwka 1961 huko Kagera mpo wa Tz.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 5 місяців тому +1

    Muandishi wa habari mungalie unaye muhoji sio unampelekea unae muhoji maic bila kumuangalia

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Рік тому

    Gonjwa la ukimwi mm nitasema mitihan kuna watu humu wahuni vibaya sana hapati ukimwi, lakin ana weza kuruka siku mtu ana unasa mm nimesha waona Wengi sana Wamepata wakat sio kawaida kuchupachupa ila kinga bora kuliko tiba

  • @DorisiLukinja
    @DorisiLukinja 2 місяці тому

  • @meryevance6744
    @meryevance6744 4 місяці тому +1

    Sasa kwani Lulu anakataaje hana ukimwi wkt kazaa kwa operation

    • @kiazikitamu3985
      @kiazikitamu3985 4 місяці тому +1

      Kuzaa kwa operation ni dalili ya ukimwi?? Naomba unifafanulie nimezaa watoto 3 kwa operation na sina ukimwi

    • @anithasemwano8276
      @anithasemwano8276 4 місяці тому

      YAANI WEWE NI MTU HATARI SANA KWAMI KILA ANAEJIFUNGUA KWA OPERATION NI MGONJWA WA HIV?

    • @MemorySamson-k4u
      @MemorySamson-k4u 4 місяці тому

      Jaman kuzaa kwa operation sio ndo anaukimwi mpotezee wakina kimambi weng

  • @dominicmwailubi5310
    @dominicmwailubi5310 Рік тому +4

    Eti dada wa taifa🤔labda la nyokoo

  • @annastaziakabupu-nq2ty
    @annastaziakabupu-nq2ty Рік тому

    Pongezi zikufikie Doctor Kwa ujuzi mzuri wa kujibu maswali kutoka Kwa mtangazaji.

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 Рік тому +1

    Kwenye ngumi za uso hapo docter nimekukubali

  • @user-es1tg5zu3d
    @user-es1tg5zu3d 10 місяців тому

    Kajifunzeni kwa TR msigwa iyo hbr ilishaisha

  • @user-es1tg5zu3d
    @user-es1tg5zu3d 10 місяців тому

    Dawa ipo sema cyo ya mzungu kama mulivyokalili ,Ila watu wanapona nyi pigeni ela za misaada

  • @edgamjena-xr5xb
    @edgamjena-xr5xb Рік тому +3

    Ila mange anachafua hali ya hewa jmn duu

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Рік тому +1

    Huyo mange kimavi baba yake alijiua sababu aliambukizwa ukimwi na wale wanaume wengi waliombaka

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 4 місяці тому

    Sio kwenda jela njo umaanisha kwamba unaweza ambukizwa virusi vya ukimwi labda kama mfungwa mwengine,aliye asirika,alitumiya vifaa mbali mbali kunyowa sehema fluni za mwili.

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Рік тому +3

    Ewe Allah tuepushe na laana hizi yaraby

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 місяці тому

    Kwani mnatutanganzia ili Nini pia ugonjwa ni siri ya mtu ninavyojua huyo mpuuzi wenu wa taifa ana shida Gani? Kafikia huko aliambia atanganze wagonjwa ? Awe nao aswe nao inamhusu Nini sikujua km ana shida kubwa hivyo dah kumchafulia mtu jina katumwa

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x 4 місяці тому

    Tokta kala kiapo hawezi kusema ushuzi wenu kwani ukimwi unawapata watu Gani???

  • @UmmratyJuma
    @UmmratyJuma 5 місяців тому

    Huyo anae sem anampenda je anayo fanya akifanyia wazazi wako utampenda

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +3

    Nimejifunza kitu❤

  • @timotheontibayaga-lq2xx
    @timotheontibayaga-lq2xx Рік тому +8

    Sasa mange anaakili kumujadili mang ni kupoteza mda maki mangi hana akili

    • @bukeyegunaguje2524
      @bukeyegunaguje2524 Рік тому

      Point...

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 Рік тому +1

      Mange yule ana laana.. Kwanza kwanini anafwatilia mambo ya watu ambayo hayamhusu.. Sasa nauliza ukijua nimeathirika ama sija athirika unanufaika na nini?

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 5 місяців тому

    Mange kimambi atabakia kuwa Dada wa Taifa tu, kwa sababu anafichua mambo kibao ktk Nchi ya TZ , t

  • @eestermos9933
    @eestermos9933 Рік тому

    Mbona kajbu.inamana vitapungua virus soooo hawataviona cz vimepunguza

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 Рік тому +2

    Pole Lulu wangu

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 Рік тому

    Hili lidada mnaliita lataif wapi nalichukia 🤔kwanini aingilie life la mtu

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +1

    Paka miezi mitatu

  • @momforone7946
    @momforone7946 5 місяців тому

    Dr. lay back sana na bonge ya brain. Mtangazaji nashauri usimsogezee mic karibu hivyo wakati mnashare. Hadi kajishika pua basi tu yuko polite hana makuu Dr wa watu. Mwingine angeisukuma😂

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +1

    DOKTA MIMI NAZANI HIYO SHERIA HAIPO TU KWA UGONJWA WA UKIMWI BALI NI KILA UGONJWA ; WEWE KAMA DOKTA HURUHUSIWI KABISA KUUTANGA AU KUWAFAHAMISHA WATU WENGINE BILA RIZAA YA MGONJWA. HIYO NI HAKI YA MGONJWA.

    • @abubakarbwika8397
      @abubakarbwika8397 Рік тому

      @Valena Komba !! Yataka ukumbuke kwamba kinacho ongelewa hapo ni ugonjwa wa Ukimwi !! Sasa tatizo lako liko wapi ??? Can you please follow up the interview keenly before you comment anything .

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Tulifundishwa hivyo kuwa vitaanza kuonyesha baada ya miezi mitatu ndo Mana wanashaul baada ya miezi mitatu ukapime

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 Рік тому

    Hizi ndizo baadhi ya aina za content ambazo mnatakiwa kuzirusha, jamii yetu ina uhitaji mkubwa sana wa Elimu ya afya, uchumi na biashara, michezo na mengineyo mengi, JITOFAUTISHENI NA WENGINE, UDAKU IWE NI SEHEMU TU YA SEGMENTS, JITENGENEZENI MUWE MOJA YA VYANZO VYA KUAMINIKA VYA HABARI MBALIMBALI.

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Dokta nimekupata sana

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Ndio mwanamke ndo wanasemaga yupo kwenye hatar zaidi

  • @JorbboyShabani-zs2um
    @JorbboyShabani-zs2um Рік тому +1

    Mange kimavi mjinga sana yan

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Mtangazaji nakipendaga pia

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Ndio tushawai sikia Kuna mmoja anawo mmoja hana na mmoja hajapata

  • @marthabura2266
    @marthabura2266 Рік тому

    Mtangazaji unakosea kumtaja huyo dada SIdhani kama maadili ya uadishi kama inaruhusu.

  • @dozzyfire
    @dozzyfire Рік тому

    Ataka Lulu akawa kwel qna virusi vya UKIMWI awawezi kusema co kila mtu abaki na maisha yake2

  • @navukalunavatanzi6227
    @navukalunavatanzi6227 Рік тому

    Kwanza mnamjadili vipi mtu. Ni wangapi mastaa wameathirika

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Wengine wanasemaga hivyo eti ukitumia dawa vizur havionekan

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Ndio asajile uwa anatowaga maelezo mazur

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 Рік тому

    Maswali mazuri sana big up somo zuri

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu Рік тому +1

    Kwani mkimtazama mage na lulu nani ataonekana amehasirika minaona mage kaanaishi kwa matumain si kwa kukonda kule😂

  • @NifashaSamiraSSS-yv5et
    @NifashaSamiraSSS-yv5et Рік тому

    Unazani kusema ukimwi ovio kwa mtu nivema

  • @ShangweSylus-nf6we
    @ShangweSylus-nf6we Рік тому +1

    Ila huyu mange nahisi atakuwa siyo binadamu wa kawaida litakuwa ni jini hili.

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Kwel tulifunfishwa hivyo

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Рік тому

    Mange ni choko tu . Sasa mange na lulu nani kaathirika kwa mtazamo .C mange mange acha kufuatilia maisha ya watu acha wivu .mange ww ni mpuuzi tu mbea mkubwa mange😂

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Kwel swali la mwisho muhimu na imetokea hiyo

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 Рік тому +3

    Ila mange anapenda sana kuingilia maisha binafsi ya mtu,ana mambo ya kiswahili halafu anajiita msomi,mfuuuu,msomi si angepataga kazi,sijuagi hata wapi aliwahigi kuajiliwa😏😏

  • @dotytydo2342
    @dotytydo2342 Рік тому

    Sasa watu wanashtuka na saratani nyinyi mwaongelelea homa

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 4 місяці тому

      Mwenzangu waambie hao kuna magonjwa ya kutisha duniani ukimwi unasubiri

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 Рік тому

    Ulaya ushasahulika watu wanaishi more than 40 years kama unatumia dawa

  • @pendomasag-ki2bi
    @pendomasag-ki2bi Рік тому

    Huu niujinga kukaa nakuja dili maisha yamtu kwani ukimwi niogonjwa mgeni kwetu mbona kawaida tu

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Siku hizi wanazaa watoto wazima

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 Рік тому +3

    Magonjwa ni Siri ya MTU BINAFSI hata kama anao hapaswi kutangaziwa BILA idhini yake huyo aliemtangazia amefanya kosa kubwa ni dhambi. Na ndio mana madokta hawaruhusiwi kutoa Siri ya mgonjwa wewe kama nani umuanike mwenzio mambo yake ya Siri. Tujifunze kujipunguzia wenyewe mizigo ya dhambi zisokua za lazima

    • @RajabuHayyan
      @RajabuHayyan 4 місяці тому

      Xaan jaman mwisho.mtu.aanakufa ghafla.kwa mawazo

    • @User7700
      @User7700 4 місяці тому

      Acha watupe udaku weweeee tuwajue wenye virusi mastar bwana kaa kwa kutulia basi😂

  • @Mina.15
    @Mina.15 Рік тому

    Haters 😊 the sone something to nandy

  • @hanamuson891
    @hanamuson891 Рік тому +1

    Kwani kuathirika mpaka uekeo vikao jamani mwachekesha

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 Рік тому

    Mmhh Sasa yoyote ya nini"uwe na ukimwiunakufa"hauna unakufa sasa tatizo nini"au ajabu nini We Mange??

  • @mwanjinzara8009
    @mwanjinzara8009 Рік тому

    Bado hajajibu je kama amwtumiandawa vixur akipima ataonekana negative au atakuwa.postive