VIDEO: MWAKINYO AWEKA PICHA ZA WALIOGUSA MAISHA YAKE KWENYE MGAHAWA WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 Рік тому

    Bigup sana.
    Kila mtu aishi kwa namna anayoona itamfaa ktk maisha yake.Ili mradi tu ktk hilo,tuchunge mipaka Mungu aliyo tuwekea.

  • @bainolatino3412
    @bainolatino3412 Рік тому

    Mwakinyo anapenda sana misemo ya kitaarabu kisha kama anamajeraha sana moyoni mwake ya waswahili

  • @jseventz
    @jseventz Рік тому +1

    big up sana bro tusiwaogope kuwafanya wanafiki kama watu walio kufa ili tuweze kusonga mbele tuache uoga wa maisha💪🏿💪🏿

  • @robertpaul7714
    @robertpaul7714 Рік тому

    Inavyoonekana wabongo tunapenda misosi acha tule tu 🙌🙌

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +1

    Serious bro hiyo ni makumbusho!

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому +1

    Mwakinyo is a philosopher, boxing is just a hobby.

  • @medyaziz4806
    @medyaziz4806 Рік тому +4

    Sasa hiyo ni mwakinyo food point au ni mwakinyo Museum Point??!!🤔

  • @abdulminja7388
    @abdulminja7388 Рік тому +2

    Mbna ujamuweka king Majuto

  • @yassinmushi2671
    @yassinmushi2671 Рік тому

    keep it up broo

  • @alphonsebirikunzira3933
    @alphonsebirikunzira3933 Рік тому

    Weka pic ya Mandonga mtu kazi hahaha

  • @jumajumanne4997
    @jumajumanne4997 Рік тому

    We sinulisema myweither aliku tafuta?

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 Рік тому

    Mgahawa upo wapi?,location

    • @annehk8185
      @annehk8185 Рік тому

      Uko makorora sokoni tanga hahahaahaa

    • @kushimanmember1982
      @kushimanmember1982 Рік тому

      huyu jamaa napenda sana interview akikaa nyuma ya maic anajua sana kujieleza na ana knowledge huchoki kumsikiliza kwakweli

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    unazingua hassani maisha
    ya super star nilazima ujioneshe
    watu waamin unacho kifanya kuwa
    kina leta mafanikio kwenye kaliya ya kitu
    ulicho nacho SASA BASI MIMI SIPENDI
    LIFESTYLE YA CHINI CHINI mim uwa sifagili hata kidogo wengi wao tupo ivyo
    katika watu %100 basi 75 tunataka kuyaona mafanikio ya star yaonekane
    kuwa yeye ni nani hila hasiweze kuzarau
    watu na #dini yake %25 hiliyo baki ndiyo
    nyinyi musiyo penda kujionesha kuwa nyinyi ni nani STAR LAZIMA AONEKANE
    mzee unafeli STAR WA KWELI LAZIMA
    WATU AWAMINISHE KILE ANACHO KIFANYA UWA KINA ELLA hila asiwe
    feki pesa awe nayo kwel #NIMEMALIZA

  • @jajomc6445
    @jajomc6445 Рік тому

    Ni jambo jema kukumbuka waliotushawishi katika maisha.
    ua-cam.com/video/aY3W23pPe8Y/v-deo.html