Mathias Walichupa huwa unaimba na roho yako yote na unatoa wimbo kwa namna ambayo siwezi simulia inaguza hadi ndani ya viungo vya mwili wote. Blessings 🙏🙏🥺🫂🥰
Mathias,una kipaji kikubwa kikubwa sana.this song msalabani,aisee..unajua kuna nyimbo zina pumzi ya Mungu ndani yake.whenever I sing this song,mpaka nywele zinanisisimka.acha kabisa,the song is powerful,#mtawala unatakiwa uwe wimbo bora wa mwaka.cha kufanya tu jitahidi uupe haki yake,fanya tour kwa ajili ya wimbo huu.kama umewahi sikia wimbo unaimbwa wagonjwa wanasimama wanaponywa ndio hizi nyimbo sasa.Mungu wa mbinguni akubariki sana
Siwezi kuwa muongo na mnafiki maishani mwangu katika kitu kizuri na cha Mungu. Huyu ni muimbaji ambaye nilikuwa simjui ila nimebarikiwa sana na wimbo huu uliopelekea kufuatilia nyimbo zake ...BIG UP MATHIAS WALICHUPA ..... I wish to collaborate with you one day. THANKS FOR THIS NICE AND BLESSING SONG
Mzee wa kuvunja, baba angalia isije watu wakaja kukuokoa wakadhani unataka kujinyonga maana sio kwa kuvunja huko. Ubarikiwe sana mdogo wangu Mungu akuinue zaidi na zaidi.
What should I should say then🤗......Oooo my God my Dad my Lord my seviou my everything....haleluyaaaa a Broo may God lift you up by his anointing, more Grace Kaka and respect kwa maishairi ya kina yatafakarikayo
Unaimba vzr sn. Nimekujua kupitia Godfrey kwenye wimbo wa ni wewe. Mna kipaji kikubwa sn! Naupenda sn wimbo huo! Tafadhali malizeni tofaut zenu na mwenzako ili tuendelee kupata nyimbo zenye mguso kutoka kwenu wote. Barikiwa.
Waooo....this song make me to worship God......congratulation my brother Mathias....God guaranter u more melody and new songs for his Glory..........❤😍
Son this is powerful.... Impact the heart of worship Go son Go son Go son.... I'm so happy and super proud of God 4 u. Umeweka wimbo mpya wa sifa kwangu kwa Mungu wng. Ubarikiwe sn mathias
Nani anaangalia huu wimbo muda huu na kuimba pamoja nani gonga like yako hapa
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Amen
God bless your anointing soul
AMEN may God bless you
Amen
Mathias Walichupa huwa unaimba na roho yako yote na unatoa wimbo kwa namna ambayo siwezi simulia inaguza hadi ndani ya viungo vya mwili wote. Blessings 🙏🙏🥺🫂🥰
Mathius na Godfrey Mungu amewapa kipaji atal nawapendaa sanaa
Nimeusikiliza huu wimbo usiku karibu wote jamanii ubarikiwe mtumishi huu wimbo umenivusha sehemu...Mungu aendelee kukutumia
Aminaa aminaa ubarikiwee Sana Aisee 🙌
Ameni ubarikiwe mtumishi mungu akutunze milele
Naomba usije badilika katika ladha ya gospel ya aina hii inatubariki sana.
Aminaa aminaa
Una karama sana kaka yangu ukweli nyimbo zako zinanibariki sichoki kuzisikiloza nakuzitazama MUNGU akuinue juu zaidi
Tunashukuru Mungu wetu kwa wimbo mpya, hakika my daddy mtawala. Barikiwa chombo Cha Bwana
Mathias,una kipaji kikubwa kikubwa sana.this song msalabani,aisee..unajua kuna nyimbo zina pumzi ya Mungu ndani yake.whenever I sing this song,mpaka nywele zinanisisimka.acha kabisa,the song is powerful,#mtawala unatakiwa uwe wimbo bora wa mwaka.cha kufanya tu jitahidi uupe haki yake,fanya tour kwa ajili ya wimbo huu.kama umewahi sikia wimbo unaimbwa wagonjwa wanasimama wanaponywa ndio hizi nyimbo sasa.Mungu wa mbinguni akubariki sana
Aminaa aminaa YESU akubariki Sana kwa mafunuo makuu🙌
Blood Hii sio vidio hiii ni movie umetisha sana hakika MUNGU nimwema kila wakati hakika yeye ndie MTAWALA hongera sana sana sana kwa kazi nzuri
Barikiwaa Sana Nina heshimu mchango wako hakikaa 🙌
Go go goo man of God
Unanikonga nyoyo Sana mtu wangu
Mungu akupe maisha marefu
Kama imekubali like zengu
Wimbo unanibariki sana Mungu akutunzee ufke mbali katika huduma yake
Siwezi kuwa muongo na mnafiki maishani mwangu katika kitu kizuri na cha Mungu.
Huyu ni muimbaji ambaye nilikuwa simjui ila nimebarikiwa sana na wimbo huu uliopelekea kufuatilia nyimbo zake ...BIG UP MATHIAS WALICHUPA ..... I wish to collaborate with you one day. THANKS FOR THIS NICE AND BLESSING SONG
Barikiwaa Sana Minister 🙏
@@mathiaswalichupa Amina
Wew kati ya wasanii wangu bora wa nyimbo za injili Tanzania kaka
Wimbo unamguso wa Kimungu na una nguvu sana .. ubarikiwe mdogo wangu tunazidi kukuombea 🙏
Aminaa aminaa mama nashukuru Sana
Msalabani ni yeye aliye nifilia! Kafanyika furaha ndani ya vilindi vya mtima wangu. BARIKIWA
Bwana akuinue zaidi kazi yako Ni njema
😭😭😭😭hii nyimbo inanitoa machozi kabisaa
wow amaizing en beautfl song,,God bless u,,much love here from East Africa Tanzania,,#Mtawala
Mtumishi ujawahi kukosea amen and amen
Baba baba ni nomaa
Mzee wa kuvunja, baba angalia isije watu wakaja kukuokoa wakadhani unataka kujinyonga maana sio kwa kuvunja huko. Ubarikiwe sana mdogo wangu Mungu akuinue zaidi na zaidi.
😂😂😂😂😂😂
Barikiwaa Sana Aisee
What should I should say then🤗......Oooo my God my Dad my Lord my seviou my everything....haleluyaaaa a
Broo may God lift you up by his anointing, more Grace Kaka and respect kwa maishairi ya kina yatafakarikayo
Huu wimbo hunibariki kila wakati🙏🙏🙏🙏
Kaka Mungu azidi kukuinuaa mkuuu
Ubarikiwe mno,Mungu azidi kukupandisha viwango kwa viwango uyafikie mataifa
Aminaa aminaa
Wooow Ubarikiwe Mtu wa Mungu 🙏
Wow wonderful message barikiwa sana kaka 🤗🤗🤗🤭🙌🏾🙌🏾🙌🏾😊
Aminaa aminaaa
Yeees man! Hallelujah! From Florida USA
Glory to GOD
May God Almighty expand your gift forever and ever Amen Duncan from kenya
Unaimba vzr sn. Nimekujua kupitia Godfrey kwenye wimbo wa ni wewe. Mna kipaji kikubwa sn! Naupenda sn wimbo huo! Tafadhali malizeni tofaut zenu na mwenzako ili tuendelee kupata nyimbo zenye mguso kutoka kwenu wote. Barikiwa.
Kama hawako sawa sio nzuri naomba Mungu awapatanishe hawa vijana ili kazi ya Mungu isonge mbele
My brother, Mungu akuinue zaidi na zaidi kwa Utumishi shambani mwake. Utukufu hata Utukufu uinuliwe na Baba. Huduma yako ni njema na Mungu awe nawe. 🙏
AMINAA AMINAAA
Bro unajua saf san Mungu azid kkbark Amen #mtawala
Barikiwa mtumishii kwa kazii nzurii that was good song which have been blessed by God.Mungu akuzidishie kaka mathias
My brother #MathiasWalichupa #Mtawala ni nyimbo kubwa tamu sana ilikuwa audio now video asee ubarikiwe sana kwa huduma yako
Barikiwaa Sana
Barikiwaa Sana
Amen
twangojea
Walichupaaaa🔥🔥🔥🔥
Kazi kubwa mno congratulations kijana
Asante Sana aisee
Amazing song bro Mwenyezi Mungu akutunze daima milele ... 🙏
Nice song my brother Mathias 👏👏👏 Mungu azid kukulinda na kukutunza hili kazi yake izidi kusonga mbeleeeee 🙏🙏🙏🙏🙏
Kaka kaka, Mungu akubariki sana kaka mkubwa.
Kazi njema sana mkuu
Ameen ameen my brother 🙌
Nakukubali sana kaka Amen kubwana
So sweet 🙌🙌♥️🥰
So emotion song may god bless our work bro
Hongera kak
Kaka na hudumiwa sana na huduma yako Mungu azidi kufungua zaidi na zaidi milango na mipaka ya huduma yako
Aminaa aminaa Barikiwaa Sana Aisee 🙌
Waooo....this song make me to worship God......congratulation my brother Mathias....God guaranter u more melody and new songs for his Glory..........❤😍
Utukufu kwa YESU Kristo hakikaa 🙌
Mathias hii nyimbo haijawahi pita siku nikaacha kuisikiliza 🔥🔥umebarikiwa mtumishi wa mungu nyimbo inanibariki sanaa
God bless my brother powerful song this song bless me
Your choral group is just superbly golden. Sauti za malaika nakwambia! Na vyombo na sauti yako kaka, Mwenyezi amekuneemesha kipawa
Mungu Atukuzwe kaka mkubwa....Mungu akutunzee huduma y'ako n njema Sana...
Aminaa aminaa naheshimu mchango wako katika hili🙌
Barikiwa Sana Hommie the Song Is Very Powerful 🎊🎊
Motoooo
Son this is powerful.... Impact the heart of worship Go son Go son Go son.... I'm so happy and super proud of God 4 u. Umeweka wimbo mpya wa sifa kwangu kwa Mungu wng. Ubarikiwe sn mathias
Nashukuru Sana kwa maneno ya Faraja 🙌
Ubarikiwe sn Kak
What amazing song 😍 God bless you 🙏
Your songs bless my heart. More grace
This is one of those powerful songs! Big up!
Barikiwa kaka wimbo mzuri saaana
Brother you did it brother, God bless you
Uwe juu neema ikubebe
Anointed gospel singer,keep on it sir!
🔥🔥🔥🔥🔥 Hongera brother
Wow kazi nzuriiii sanaaa
Mziki mpole mzuri sana
your style of worship music is just amazing brother . keep the good work on.
So powerful it really moves me until l started speaking in tongue ,stay blessed 🙌 brother
Akiii glory to God
Amen kubwaaa, hakika kwa Neema yake anawaruzuku walio onewa
Ubarikiweee bro
Good song be blessed mtumish
This classical gospel music is what we want waooo..its nice song to my playlist keep it up and always stay blessed you have a classical tallented!
Aminaa aminaa
Hakika yeye ni EBENEZER
Kazi mzur kak daaa nimeipenda
Blessed ✊🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥
Keep it up my brother, excellent work
Mungu azidii kukutunza . Njimbo zako zinabariki sana . Uzidii kutangaza ukuu wa Mungu.
Am full of groly and God's presence derived from this song be blessed friend may God continue to lift u up for his kingdom
Barikiwa Sanaa🙌
Finnally is out now aisee ni 💥💥
Yesu aendelee kukutunza sana my brother in Christ🙏🙌
Aminaa aminaa 🙌
Mungu akubariki sana 😭😇😍
Very powerful song bro,,, barikiwe sana
Ahahahah Kaka Kaka Kaka NIMEKUITA MARA tatu lazima cover ahaha , MTAWALA MY DADY
Ameen ameeen ameen🙌
Amen amen barikiwa sana 🙏
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Being Blessed brother ❤
This song is amazing , should have at aleast 50k views
May God keep on Blessing you.,
You are talented 🙌
mungu akubark Mathias ufke mbali katka uimbaji wimbo huu unanibarki sana
Safi sana kijana
The Lord bless you for this beautiful song. Been searching for this song the whole day. Enjoying this worship in Paris
It's very nice song
Mungu azidi kukukuza zaidi brother this is coolest gospel flavor where presence of Holly spirit is seen
Kwa utukufu wa YESU hakikaa🙌
Huu wimbo una nguvu yaajabu tulipata ajal gari ikaloli mara 3 tukatoka wazima huku gar inaimba tawala na haijazima
Bendera yake ntaipeperusha pepeee 🙌
Am waiting manzee
Talent Exposed, Excellent
Much blesssing 💥
Sorry late anyway nice song
Ubarikiwe na Mwenyezi Mungu na Roho Mtakatifu ukujaze
THIS SONG THOOOUUU 😍
Amen from 254 inanibariki sanaa