Nakutatilia sana kaka nyimbo zako mzuriii mno nakupenda nakukubali mno mungu azidi kukutunza ila beat za nyimbo zako azijai namanita mdudo wa nyimbo autoshii ila kuimba unajua
Atukuzwe Mungu mkuu, aliyefanikisha kufanya kazi hii. Haikuwa rahisi hata kidogo. Special Thanks to @Godfrey Steven for making this possible, to my brother #Nathan Geor for bringing the life to the tracks, mixing and mastering. Our Video director really did an amazing job. Mungu awabariki wafanyabiashara wote wa soko la Kimara kwa kuturuhusu kutumia muda wao kushoot video hii. Mungu awabariki sana. 🙏🙏🙏🙏
Mungu wabarki sana mskate tamaa mungu kweli askia.
Yaan huyu kaka ameubeba huu wimbo kama vile hajashirikishwa! Mungu awatunze
Kabisa kabisa... Ubarikiwe mno🙏
Mungu na azidi kutukuzwa 🙏🙌
Amen to that Diana
Najua huyu ni BWANA . Mungu awabariki watumishi wa Mungu
Amen.. Barikiwa piA
Mmefanya kitu powah jmn 🔥🔥🔥🔥acheni tumtangaze YESU wetu tuuuh tuzidi kumuimbia tu
Ameen utukufu kwa Mungu
Anae nirinda Ni yeye anae nitunza Ni YESU barikikiwa kwa mwimbo mzuri
Amen 🙏🙏🙏
kiJamaa kinajua hadi kinakera wallah.ana nyimbo kibao kali ile mbaya.somebody walichupa naye alishagaimbaga naye
Shalom shalom Godfrey Steven Mungu akutunze
Aeeee
Kaka unakipajiiiii akika bwanaa amekuchaguaa uimbee
I trust in you JESUS.. please be with those gospel singers may please don't change their good habits
Amen. Barikiwa sana
Nakutatilia sana kaka nyimbo zako mzuriii mno nakupenda nakukubali mno mungu azidi kukutunza ila beat za nyimbo zako azijai namanita mdudo wa nyimbo autoshii ila kuimba unajua
Next song.. hili suala lako litashughulikiwa dear.. 🙏🙏🙏
Hana tupenda yesu yeye ni mwema kila wakati mungu hakuongezee neema
Anayenilinda najua ni Bwana Yesu
🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo unabariki sana jmn najua wewe ni Bwana
Amina.. Mungu akubariki mno
Umebarikiwa saut nzuri ,nimebarikiwa na wimbo
🫂🫂huyu wimbo do tuhingiya naho 2023 umejaha mafuta yake Yesu 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ubarikiwe sana Mugisha.. 🙏🙏🙏
Godfrey safi san na mungu akulinde
Amen
Dada yangu sarah umechagua mtu sahihi wa kufit katika wimbo huu hakika nabarikiwa na wimbo huu.... HONGERA KWA KAZI NZURI.............
Amen and thank you minister.. God bless you sana
Sara uschoke kumuimbia mungu...coz siku zmebaki chache sana tutarejea kwake
Kweli kabisa..
Nakupenda buree
Najua huyu ni Yesu ametenda haya😊😊🙏🙏🙏
MUNGU azid kukuinua Zaid nabarkiwa Sa
Amina dear.. Mungu akubariki sana
Barikiwa Sana mwana wa Mungu Kaz yako njema Mungu azidi kukupandisha utukufu Hadi utukufu🙏
Amina.. Mungu akubariki pia.. 🙏🙏
🎶🎶🎶🎶🎶 dancing all time
Amen
Atukuzwe Mungu mkuu, aliyefanikisha kufanya kazi hii. Haikuwa rahisi hata kidogo. Special Thanks to @Godfrey Steven for making this possible, to my brother #Nathan Geor for bringing the life to the tracks, mixing and mastering. Our Video director really did an amazing job. Mungu awabariki wafanyabiashara wote wa soko la Kimara kwa kuturuhusu kutumia muda wao kushoot video hii. Mungu awabariki sana. 🙏🙏🙏🙏
Ameeeen ameeeen jina la BWANA libarikiwe
Amen glory to him
@@SaraNyongole amen amen, may his power take you higher according to his glory.
Be blessed
Amen
Wimbo nzuri sana
Amen Amani, Mungu akubariki
@@SaraNyongole ameni nimependa sana huduma yako
Barikiwa Mtumishi
Amen.. Mungu akubariki mno
Kweli ni Bwana Yesu🙏
Barikiwa Joy
Shalom. Hongera sana napenda sana uimbaji wako, nyimbo zako mungu akuvushe
Nashukuru sana my dear Gloria.. Mungu akubariki
A blessing jaman hii nmebarikiw sana ten sanaaa dada yang
Amen... Asante sana
Amen hongera Sana kwa wimbo mzuri Sana,🔥🔥🔥🔥🔥
Thank you.. Mungu akubariki
Nakuona mbali sana barikiwa sana na hongera
Thank you for your encouraging message. Mungu akubariki sana
Amen amen mbarikiweeee
Amen barikiwa pia
Broo unajua mpaka unakera😅
😂😂😂😂 🏃🏃🏃
Hongera Sana
Thank you 🙏🙏🙏
Sarah wangu Mungu akubariki kipenzi
🙏🙏🙏
Amazing sana...barikiwa mnoo
Thank you my dear sister.. 🙏 🙏 🙏
Mungu akubarki sana
Mungu akubariki pia
Nimebarikiwa
Mungu awaongeze viwango vya juu
Amina dada. Mungu akubariki sana
I love you this song from my heart
Ubarikiwe sana Justina 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kazi nzur dear barikiwa
Barikiwa pia dear.. 🙏 🙏
Namuita Baba, ananiita Mwana🙌🙌
YESU najua Ni wewe😭🙇🏽♀️🙇🏽♀️🙏
Ameen barikiwa
Ujumbe.mzuri.
Amen 🙏 🙏
The song is very cute,Mungu awaongeze viwango
Amen.. Mungu akubariki mno
Najua mmefanya kazi nzuri mno, najua nastahili kuwapongeza ..Bwana Mungu baba awabariki 🙏
Amina.. Mungu akubariki pia
Mungu awabariki sana wapendwa wangu wimbo huu umenigusa sana
Amina.. Mungu akubariki sana Naomi
NICE Barikiwaaa sana nimebarikiwaa na huu wimbo
Ameen..
Najua huyu ni Bwana🙏🙏🙏
Aminaa
Barikiwa sana watumishi wa BWANA.
Barikiwa pia Elias
Jamani hiii nyimbo tamu Sana uwiiiiiii
Jamani ubarikiwe
Wimbo unanibariki saaana huu
Barikiwa zaidi na zaidi Wema
Wow HONGERA SANA
Amen brother.. 🙏🙏🙏
Nakupenda bure kaka🙏🙏🙏
Ameeen
I loved this one ❤
Blessings
Blessings
Bonge la wombo mbarikiwe
Ameen.. Ubarikiwe pia Mussa
Amen 🙏 🔥🔥🔥🔥
Amen 🙏🙏🙏🙏
Shalom Shalom barikiwa sanaa
Barikiwa zaidi Loveness
@@SaraNyongole Amen🙏🙏
Kwa Yesu kuna kila kitu ooooh namuita dady this song blesses me sooooo much
Barikiwa Winifrida... haswa
Safi sana
AMEN🙏
Wow nice song
Amen 🙏🙏🙏🙏
God be with you forever and always
Amen.. Na wewe pia
Ameen
ameen
Wacha mungu atukuzwe
Amina Nancy
Just known about this song today waaa sijui nineisikia Mara ngapi,I looooot it
Mungu akubariki sanaa.. 🙏🙏
Kazi nzuri
Asante.. Glory to God
Barikiwa kaka yangu
Amen
Asante kwa ngoma tamu
🙏🙏🙏 Mungu akubariki
Wooow it's very Sweet song be blessed ♥️🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Be blessed my dear..♥️
Haujawah kukosea kaka, Mungu akubariki sana
💯💯💯
Powerful and beautiful....❤
Amen.. Be blessed
Huyu kaka nampenda jmn❣️
🌹🌹🌹
I Love this song from my heart I can't stop listening
Be blessed 🙏🙏
Barikiwa Kaka unanibariki mno🙏
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
uwiiii l like this song
Amen ubarikiwe mno
Bro nice nakubali sanaaa Tone
Amen
Kazi nzuri Sana
Thank you my dear brother
Mubarikiwe sana na Bwana
Amina mtumishi
Hongeraa kazi ni nzuri sana
Thank you dear.. Mungu akubariki
Still Hot....
Ameen.. Stay blessed
🥰🥰nimebalikiwaaa
Amen.. Barikiwa zaidi na zaidi dear
Good song I like
Amina.
☀☀kabisa kabisa ☀☀
Amen
Wow.. Sister Sara na Bro Godfrey great job.. Nawapenda..🤍
Tunashukuru sana Danny
Nimebarikiwa
Amen stay blessed 🙏🏿🙏🏿
Najua huyu n Bwana, Najua Hiyu ni Yesu Najua, Woooh nyimbo nzuri,🔥🔥🔥🔥 God Bless You Sister Sara and Brother Godfrey
Amina.. Thank you so much brother
MUNGU akusimamie ndg yangu
Amen. Nashukuru sana kwa maombi yako..🙏🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥ubarikiwe mmy ,kazi nzuriii
Amina mommy ubarikiwe pia
Wimbo unabariki sana,Mungu aendelee kuwatumia na kuwainua zaidi,Mbarikiwe.
Amina.. Mungu azidi kukubariki.. 🙏🙏🙏
Mungu awainue zaidi 👏👏
Amina Salma, Mungu akubariki sana
❤
Ameeen. Wooow
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera Dada angu mungu akubariki
Thank you dear..
❤️❤️❤️✨
❤️❤️❤️
Wooow #Najua nyimbo mzuri sana Mungu awabariki sana
Mungu akubariki pia Emmanuel
Nice song, am blessing
Amen, God bless you more and more
Congrats dear beutiful song
Thank you very much Mtumishi wa Mungu
I'm still here listening to this song. What a blessing song indeed!
Wimbo mzuri sana. Mbarikiwe sana❤️🙏
🙏🙏🙏🙏🙏