Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi,Moshi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 27

  • @khalidedom1871
    @khalidedom1871 3 місяці тому

    Jamani Mama yetu Rais wetu. Mwacheni kazi yake ni kubwa kuongoza watanzania wewe sawa. Kajitahidi sana. Mfano ukoo wako upewe uongoze kweli umudu wote waishi ulivyopanga. Kaa mkao kuzungumzia ugali mambo nchi mwachie Samia

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 3 місяці тому

    Ahsante mama

  • @NovathAllanymarangirwaNamboy
    @NovathAllanymarangirwaNamboy 4 місяці тому +3

    Uchunguzi Uchunguzi Uchunguzi💔💔💔

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 3 місяці тому

    CHAPA KAZI MAMA SAMIA WEWE NDIO RAIS AKUNA MWINGINE

  • @malimachacha4500
    @malimachacha4500 4 місяці тому +4

    Hii ni moja kati ya hotuba Bora kabisaa ya Karne kutolewa mbele ya wakuu wa vyombo vya dola 👏

  • @jumazureah
    @jumazureah 3 місяці тому

    😊

  • @ZuliaOmmy
    @ZuliaOmmy 4 місяці тому +6

    Ingetokea kwenye Familia yako mtoto wako au Mumeo ndo katekwa na kuuwawa wala usingetoa hutuba kama hii ila sababu Hakuhusu wala sio ndg yako wala huwezi kujali bali Familia yake ndo inamaumivu

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 4 місяці тому

      Watu wanatekwa kabla huyu Mama hajawa Raisi na wengine wanauwawa Hutuba hii ni Bora Sana hasa wakati huu inameonyesha kabisa Raisi yupo na Mamlaka anayo na Yuko IMARA Safi Sana MAMA watu wanatukana serikari wewe Mwenyewe wanajiona wao ndio wao hakuna ADABU polisi wanauwa wananchi kisa Rangi huko Mnako abudu weusi tu ndio wanauwawa Tena wengine wanapigwa kabari Hadi kufa na police wengine Risasi halafu wanasema bahati Mbaya Mgombea uraisi wa upinzani nchini humo anapigwa Risasi Tena kwenye kampeni za ugombea uraisi Uchaguzi mkuu wa nchi eti jeshi Bora na lenye uweredi wanaharakati kimyaa eti nibahati Mbaya ingekuwa huku kwetu ingekuwaje

  • @JakoboKazilo
    @JakoboKazilo 3 місяці тому

    Hotuba hata haina mvuto😳😳

  • @aminieliobedy5103
    @aminieliobedy5103 3 місяці тому

    Mama kumbuka basi ahadi yeti wastaagu waliopigwa kikokotoo

  • @juvetony5046
    @juvetony5046 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @AwesaMtiningu
    @AwesaMtiningu 3 місяці тому

    Maguful alisema mtanikumbuka ndo kipindi chake iki

  • @charlesjuliusmarwa1636
    @charlesjuliusmarwa1636 4 місяці тому +2

    Hiyo table mbona haina bibi na bwana

  • @NovathAllanymarangirwaNamboy
    @NovathAllanymarangirwaNamboy 4 місяці тому

    🤔🤔🤔🤔

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 4 місяці тому +2

    Hiyo takwimu kuwa kipindi unaingia madarakani mwaka 2021 kulikuwa na uharifu ni uongo wa wazi. JPM alifanya kazi kubwa mno, wewe umelegalega sana.

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 3 місяці тому +1

      Hama tuachie amani yetu nenda uko Asante Rais wetu Samia

    • @nassorosadick9232
      @nassorosadick9232 3 місяці тому

      JPM alifanyakazi kubwa ya kuzulumu watu Co kulisaidia taifa.

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 4 місяці тому

    No comment yet

  • @Queennenelwa
    @Queennenelwa 4 місяці тому

    Asanteeeee mama

  • @GeboPeter-v6g
    @GeboPeter-v6g 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂

  • @JoanMakasi
    @JoanMakasi 4 місяці тому +2

    Mahurukutabu

  • @Hamisaibrahim-o7o
    @Hamisaibrahim-o7o 4 місяці тому +1

    😂😂😂😂huyu mbwaa yan halija.kutaa jaman hiv bado anasemaa niungoo jaman watu tuna

  • @abdallahzahor4687
    @abdallahzahor4687 4 місяці тому

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 4 місяці тому +1

    Hiyo takwimu kuwa kipindi unaingia madarakani mwaka 2021 kulikuwa na uharifu ni uongo wa wazi. JPM alifanya kazi kubwa mno, wewe umelegalega sana.