Ogopa sana mtu anaepigwa vita iwe kwenye familia ma ofisini ama ma taasisini ukiwachunguza walo wengi kuna mambo huwa wananyoosha ndomaana kupendwa kwao MWIKO 😢😢
Kumbe lissu na heche walikuwa wanamtunzia mw/kiti sili nyingi leo lema kupitia maswali katwambia tusiyo yajua walio itwa walopokaji kumbe walibakiza la miyoni
Ok, it's high time now tht Mbowe should step down voluntarily as a good number of his friends are against him;Even Lema!!! Lema has politically inspired me for his openness level to the extent of denying any level of being a puppet to Mbowe/ his brother!
Wekeni debeti mdaharo muone kama mnaona kuwa mkuu wa taasisi ni sadaka mtaona kilicho mtoa kanga manyoya kama zito katoka mkumbo., slaa, molel, na wengineo walitoka tena wakati chama kichanga sasa hivi ni taasisi kubwa sana kuliko wakati mwingine wowote
Watu mnaumia anaposemwa MBOWE kwa mabaya yake kwa wenzake kwenye CHAMA...Hata MBOWE ni mroho ndo maana anawakandamiza wenzake kwasababu hakuna MWANASIASA asiye mroho wa madaraka...
Nafikiri au nitumie neno Nadhani sina hakika! Lema,lisu nawengine! Walikua Nje ya Nchi kutafuta Fedha kwawafadhili wao Ili waje wamuangushe mbowe kwasababu ambazo wanazijua wao wenyewe wakubwa wachama
ndio wanakua hivyo kupambana na rushwa si mchezo ccm imeikubali rushwa kama ni sehemu yake ndio maana huwezi kusikia Samia akikemea rushwa kwy chaguzi zao
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
HAPANA SHAKA BLAZA
1x1za
Good mweshimiwa lema nimependa sana hiyo pressy yako Good job
You're SMART!!!!
Nakukubali sana kaka Lema kwa tabia yako ya ukweli na uwazi na pia wewe ni mwanamageuzi wa kweli. Piganieni chadema yetu. Tuko nyuma yenu.
Lema kaongea vizuri mno. Sasa namuunga mkono Lisu
Umemaliza kila kitu. Kazi imebaki moja tu, kumtangaza TAL Mwenyekiti mpya CDM!!!!!🎉🎉❤
Anatangazwa je bila kupigiwa kura?
Kaka kiukweli nakukubali sana ni muwazi sana mungu ndo anapenda chapa kazi tupo pamoja
...ukweli una nguvu, huwezi sema ukweli na usitoe jasho hata kama ww jasiri....with this Mbowe is no longer...
Lema nipenda hiyo Big up my brother
Ukweli humuweka mtu huru ubarikiwe Lema
Mpenzi wa Mungu utamjus katika ukweli wake kama wa. Lema. Ubsrikiwe sana Ndungu Lema. Asiyemchagua Lissu ana Lake.
Jinga sana huyu Lema
Jinga wewe bongo lala. Kichwa kikubwa akili ndogo. Huwezi kuelewa watu wenye IQ kubwa na akili nyingi na maono kama Mh Lema
Nimekuelewa sana we ni mwamba
Lema hoyeere🎉🎉🎉
Ogopa sana mtu anaepigwa vita iwe kwenye familia ma ofisini ama ma taasisini ukiwachunguza walo wengi kuna mambo huwa wananyoosha ndomaana kupendwa kwao MWIKO 😢😢
Kumbe hakuna demokrasia ya kweli mnapasiana pasiana tu. Sasa wacha kuwe na ushindani wa kweli miongoni mwenu kama sasa.
Kumbe lissu na heche walikuwa wanamtunzia mw/kiti sili nyingi leo lema kupitia maswali katwambia tusiyo yajua walio itwa walopokaji kumbe walibakiza la miyoni
Hakika lema uko sawa🎉🎉🎉🎉🎉
nawapongeza chadema kwa kupambana na rushwa ndani ya chama chenu badala ya kuifanya kama sehemu ya uchaguzi kama CCM
Wekeni damu mpya. Kuku akisjakimbia akaacha vifaranga kama bata wachaneni na huyo kuku.
Lema now you are talking sense, it was paradox but now it is clear to every common sense!😂
Namboe Analijua Hilo kwamba kuna msukumo mkubwa wakumtoa madarakani zaidi ya Demokrasiya ktk chama
Tunataka amlinde legacy yake maana atashindwa vibaya uchaguz huru.
Bondia hashauriwi kurudisha mkanda.Hushauriwa akapigane ulingoni.
Kwa maneno haya mbowe amezeeka
Mimi lema nakupendaaaa
Ok, it's high time now tht Mbowe should step down voluntarily as a good number of his friends are against him;Even Lema!!! Lema has politically inspired me for his openness level to the extent of denying any level of being a puppet to Mbowe/ his brother!
Mbowe legacy ina drop sanaaa, hata akishinda it is not him anymore
Tatizo mnakuwa kimya sasa ss watu wangaz ya chin tutayajuaje haya kwann hamufunguki mapema? CCM watatusumbua sana
Wandishi mbona mnashidwa kuuliza maswali mazuri mfano je nyie mapambano yenu bila kua viongozi hamuwezi kua chadema nakua wanachama wa kawaida
Hawa wazee wanagongana mawazo na mkiwafuatilia sana mtagundua wanagombani kitu msichokiona ila wanakiona wao.
Kweli Yana mwisho
Ukweli wote umedhihiri
Mbona washindani wenu hawamwagi siri zao hadharani? Wajumbe hawa wazee wapumzisheni maneno mengi mno .
Kushneiiiii!
Mh kazi ipo
Chadema ikivuka kwenye kipindi hiki itakua imala kuliko ilivo kua Jana,
Hakika hiki chama ni sacos ya MTU binafsi😢
Broo nakuelewaga sana umenyooka
Huyo mboe ni ccm kazi kutuvuruga
Wekeni debeti mdaharo muone kama mnaona kuwa mkuu wa taasisi ni sadaka mtaona kilicho mtoa kanga manyoya kama zito katoka mkumbo., slaa, molel, na wengineo walitoka tena wakati chama kichanga sasa hivi ni taasisi kubwa sana kuliko wakati mwingine wowote
Mimi najua hata mtu afanye mema gani hakumbukwi ila bay moja tu ndo litamchafua
LISU NI MSEMA KWELI NA WENGI HAWATAKI KWELI
Ni hatariii
Mbowe ametusaliti jamani!
Yaani hii ni mwaga mboga nimwage ugali!😂😂😂😂 Muda utaongea tutaziona rangi halisi mwaka huu!😅😅😅
Lema tumeipenda hiyo
Maugomvi yote hayo ni fedha za CCM zinafanyakazi ndani ya chadema
Kumekucha'KUMEKUCHA???????😊😅😅
Lema ni tunu
Sema rema jaman Uko vizur
Lema akili kubwa
Mbowe ameyakanyaga
SASA HOJA SIYO MBOWE BALI MNASALITIANA;WEWE NA LISSU HAMTAELEWA NA NAKUAMBIA;MNAENDA KUKIUA CHAMA KWA UROHO WENU WA MADARAKA...
Watu mnaumia anaposemwa MBOWE kwa mabaya yake kwa wenzake kwenye CHAMA...Hata MBOWE ni mroho ndo maana anawakandamiza wenzake kwasababu hakuna MWANASIASA asiye mroho wa madaraka...
mwandishi huyu kila siku yeye
Ni kazi yake. Inampa kula.
Mwamba yuko pw
TETEMEKO LA ARDHI
Nafikiri au nitumie neno Nadhani sina hakika! Lema,lisu nawengine! Walikua Nje ya Nchi kutafuta Fedha kwawafadhili wao Ili waje wamuangushe mbowe kwasababu ambazo wanazijua wao wenyewe wakubwa wachama
Unajaribu kujenga hoja potofu/dhanifu/conspiracy theory kutishia watu . Una uhakika na hiyo dhana yako unayoigenga!!
Wakati umefika yatasemwa yote
Mbowe jembe mpeni mauwa yke ndg wajumbe
Hawa bado hawajakomaa wataendelea kugombana internal battles yao haitoisha kamwe
ndio wanakua hivyo kupambana na rushwa si mchezo ccm imeikubali rushwa kama ni sehemu yake ndio maana huwezi kusikia Samia akikemea rushwa kwy chaguzi zao
MBONA MAELEZO YOTE NI YA HISIA TU BADALA YA UHALISIA? LEMMA JITAHIDI KUWA NA DHAMIRI YA KWELI DHIDI YA MKITI WENU;MPENI HESHIMA YAKE ANAYOSTAHILI:
Kwahiyo wake wa Benson Kigaila na Salum Mwalim kuwa kati ya wale wabunge 19 nayo ni hisia?
Mhhh
Nasemaje tutagawana Mbao this time
Uyu mbwa Amna kitu nimnafiki sana
Lugha chafu ya nini ndg mtu hakujui,humjui dunia hii kumbuka Sasa imekuwa kiganjani
Unamaana gani wewe acha zarau wewe
Ukweli daima unauma hongera lema kwa kuwa mkweli 🎉🎉
Kumechangamka sasa
Ila huyu muandishi mchonganishi
Mwandishi yuko pw mno
Uroho wa madaraka unawatafuna ,wanafiki tu
Kila mtu mroho, ndio maana tunatumga sheria na taratibu ili kudhibiti silka ya binadamu ya uroho.
Anavyoongea inaonekana Huwa wanawekanaga tu kwenye nafasi no democracy at all