Tambiko La Wahenga - Mbaraka Mwinshehe & Morogoro Jazz Band

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 72

  • @maregesifidel3810
    @maregesifidel3810 2 роки тому +4

    Mbaraka alikuwa mzalendo kwa kuitangaza vema Tanzania na hasa morogoro

  • @rmwashu
    @rmwashu 2 роки тому +3

    Mbaraka Mwishehe tutakukumnuka daima!! kwa mnaosikiliza huu wimbo 2095. mimi nilikufa zamaaanibsana!! ila muamini kuwa huyu mwamba hakuwa na mfano

  • @wolfgangsalia6367
    @wolfgangsalia6367 2 роки тому +4

    All historical songs should be digitalised

  • @husseinmgaya1805
    @husseinmgaya1805 2 роки тому +2

    Huu ndio mziki, sio nyimbo za sasa zinadumu miezi miwili tu. Mungu ailaze mahali pema roho ya mbaraka mwinshehe

  • @patrickd.akwilapo4336
    @patrickd.akwilapo4336 2 роки тому +4

    Marehemu Baba yangu hakuwa mtu wa muziki, lakini nakumbuka kumsikia akiuimba huu wimbo. Kumbukumbu kubwa ambayo hainitoki kichwani. RIP Baba yangu na Mama yangu pamoja nae M M Mwaruka.

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 3 місяці тому

      Ni sawa na hayat Mama yangu, alikuwa ni Mlokole mkereketwa Muhubiri mkubwa, lakini Mziki wa Mbaraka Mwinyi-Sheikh Mwaruka, alishindwa kuukataa !!

  • @martinchambai5460
    @martinchambai5460 6 років тому +15

    This is the song by Mbaraka Mwinshehe one of the famous musicians to have emerged in Tanzania. He was famous not only in Tanzania but the whole of East Africa and beyond. In this song Mbaraka is singing prising the tribal leaders of Waluguru tribe which is based in Morogoro town and mountains surrounding that town in the eastern Tanzania. The song is reciting tribal rituals in remembrance of the fallen tribal leaders. Mbaraka died in a car crash in Kenya in 1979. May his soul rest in peace

  • @khalifasaid7695
    @khalifasaid7695 3 роки тому +2

    Mbaraka Mwinshehe Mwaruka ameitangaza Tanzania alipoiwakilisha kwenye Maonyesho - EXPO 70. Japan. Naomba basi Serikali iweke kumbukumbu yake hata kumpa jina lake kwenye taasisi moja ya Utamaduni

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 3 роки тому +5

    This one was released in 1970! Over half a century ago! Chief Kingalu was honored by the Late President Magufuli by naming the ultra modern Morogoro market after him.

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 3 місяці тому

      Alilipata wazo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa ambae tulimfikishia hilo la kutaka liitwe Mwaruka lakini Magu ni Anko, yaani upande wa u-Mamani, Mbaraka kwa Morogoro ni MUHENGA! Unaigundua tofauty na kosa lilikuwa wapi? Kingalu na WAHENGA wote walitangazwa na yeye MUHENGA Mbaraka. Mbaraka ni Mkuu sana kuliko Kingalu, Kingalu ni Matombo, Mbago, Lukwele na kina Kabone na kina mzee Hega hao ni sehemu za Morogoro lakini Mbaraka yeye mbali na kuwa ni M'Lughuru ndie m'Morogoro no1.

  • @MathewDiyamett-le3oj
    @MathewDiyamett-le3oj Рік тому +1

    Mbaraka Mwinshehe Mwaruka loved his roots

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 Рік тому

    Kwa njia Moja hau nyingine , Kuna wahenga walio rusha bendera ya Morogoro juu, kiasiri. Tambiko watolea! Laza hao pahali pema peponi bila orodha ya maswali. Heko kwako Mwishehe kwa ghurudumu hili .Dr. Ogeto International

  • @anthonymarwa7823
    @anthonymarwa7823 8 місяців тому +1

    Nimeandika kitabu cha nguli huyu lyrics za wimbo huu na zinginezo zimo katika kitabu hicho nimeona vyema tumuenzi kwa njia hiyo. Kitabu kipo katika lugha ya kiswahili na kiingereza. Niliwasiliana na binti na kufanikiwa kurudia nyimbo 4 za nguli huyo hivi karibuni zitapatikana. Kitabu kipo Amazon online

  • @faustinohaule7677
    @faustinohaule7677 8 років тому +10

    The first time to hear Expo 70 by Mbaraka was in 1970 when I was in class 5( std V)and the impact of it still lingers on,so a big challenge to our young musicians and BIG UP TO UA-cam

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 6 років тому

      nini kilifanya wimbo expo 70 kupendwa sana? nimegundua ni baadhi ya top ya Mbaraka

    • @etesot001
      @etesot001 3 роки тому +1

      I loved the song so much. I would tune into the radio hoping it would play. I love Morogoro Jazz music!

  • @datchdatch3836
    @datchdatch3836 5 років тому +4

    kweli wakati si milele...............!! natamani kulia maana moyo wangu unahuzunika kadri wimbo huu unavyorudisha nyuma mawazo na fikira zangu, nilikuwa bado mdogo hata shule sijaanza enzi hizo tuko kwa babu yangu MZEE SAIDI ALLY MSUMI , mtaa wa mlapakolo............... NEVER CCOME BACK THIS AGE

    • @chomaroyalchiefdom1907
      @chomaroyalchiefdom1907 Рік тому

      Msumi wa Kwanza aliitwa Msumi mwana Kulinyangwa ni baba wa Chifu Kingalu wa Kwanza yaani Mleke Mwana Msumi (ni mtoto wake wa Pili), na pia ni baba wa Chifu Lukwele Mdimang'ombe wa Pili wa Choma yaani Salum mwana Msumi (mtoto wa 32). Mbaraka amejaribu kutaja wachache aliowafahamu na kwenye wimbo wa TAMBIKO LA WAHENGA, japo Msumi hakutajwa lakini ni miongoni mwa wahenga wa Uluguru akiwemo Bambalawe (aliyetungiwa wimbo na Moro Jazz kwa jina lake).

  • @ayubsalum5594
    @ayubsalum5594 8 років тому +10

    This is the greatest song for Luguru tribe!!. RIP Mbaraka.

    • @jacksonmulele4033
      @jacksonmulele4033 6 років тому +2

      Mbaraka akifufuka atashangaa sana kuona hajazikwa Morogoro, Paradise yake !! wamemdhulumu kwa kutomlaza pale Roho yake ilipokuwa, hajawahi kupaita huko 'maporini' alikozikwa "nyumbani' ila aliipenda sana na kuitaja kuwa ni nyumbani, Moro! Anyway, rest in peace Mbaraka !

    • @khalifasaid7695
      @khalifasaid7695 5 років тому +1

      @@jacksonmulele4033 kwa anaewajuwa wacharaza vyombo hasa huyu mpuliza mdomo wa bata- trumpet atupatie majina yao.kwa kweli wametulia sana

    • @AliAli-en2wp
      @AliAli-en2wp 4 роки тому +3

      @@khalifasaid7695 saxophone ni Kulwa Salum na Gideon Banda,trumpet Sully Bonzo na Mlizi Kilongola,Mbaraka solo gitaa,Gerad Nangati second solo,Samson Gumbo rhythm gitaa,Athuman bass,Maneno tumba,Choka maracas.
      M

    • @msambarakhalfani4848
      @msambarakhalfani4848 3 роки тому

      @@jacksonmulele4033
      Ni utamaduni wetu Waafrika/Watanzania pamoja na umaarufu wako utapokufa utazikwa kwenu asilia na si vinginevyo.
      1:Mbaraka ni alifia Kenya kikazi lakini ni raia wa Tz. Sharti arudishwe Tanzania.
      2: Mbaraka aliishi kikazi Morogoro lakini ni Mzaliwa wa familia ya Chief Mwaluka (Babu),Mtoto wa Mzee Mwinshehe(baba )kutoka Kijiji cha Mzenga,Kata na Tarafa ya Mzenga,Wilaya ya Kisarawe , Mkoani Pwani.Hapana budi kuzikwa ktk Makaburi yao ya Mzenga.
      ==>Nyumbani ni nyumbani.

  • @ngarambeprudence4418
    @ngarambeprudence4418 4 роки тому +3

    Mbaraka you are still in our hearts

  • @henrymaseko1557
    @henrymaseko1557 7 років тому +5

    Hii kitu tambiko la wahenga, si mchezo.

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 День тому

    Tambiko la wahenga ni moto

  • @saidijoka5851
    @saidijoka5851 8 років тому +5

    Mbaraka Mwishehe Mwaruka alama ya Morogoro isiyofutika.

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 7 років тому

      Huko aliko, wakiitwa haya waRuguru wote waje hapa! Atakuwa wa kwanza kwenye foleni! Lakini alikuwa mZaramo na wamemuonea kutomzika KWAO Morogoro

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 7 років тому +3

      Freddy !!? Nnakuhakikishia Mbaraka alijiona Mluguru kuliko Mluguru yeyote yule duniani! Hata huko kumzika Mzenga wamemuonea na wala kamwe siyo radhi yake hata kidogo. Mbaraka akiimba ''Nyumbani" alikuwa anamaana Moro!! Waingereza wana mithali inasema Nyumbani ni pale roho yako imepakubali na wala sio ulikozaliwa hata sie waSwahili tunasemaga Udugu si kufanana ila ni kufaana!

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 7 років тому +2

      Amejihusisha na Wahenga wa Morogoro! Mbaraka ni MUHENGA wa Mzinga !!

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 7 років тому +2

      Ni kosa la kijinga kabisa kumzika huko walikomtupa !!

    • @humphreybwanausi2900
      @humphreybwanausi2900 6 років тому

      ni kweli ila Huyu kwa asili kwao ni kisarawe Pwani na ndiko alikozikwa

  • @masanjamasanja3021
    @masanjamasanja3021 3 роки тому

    Mungu awapumzishe huko wa lipo Hawa ndy Walikua wakitunga nyimbo c Leo matusi

  • @rasbantu4835
    @rasbantu4835 7 років тому +4

    muziki wa Tz wenye ubora wa hali juu.

  • @khalifasaid7695
    @khalifasaid7695 4 роки тому +1

    Kingalu, Lukwele, mzee Helga, miamba ya Morogoro city kasoro Bahari ukitaka kufika upesi kaa karibu na dereva.

  • @khalifasaid7695
    @khalifasaid7695 2 роки тому +1

    Kulwa Salum on saxaphone! Fantastic.

    • @chomaroyalchiefdom1907
      @chomaroyalchiefdom1907 Рік тому

      Kulwa Salum alikuwa sio tu mpigaji vyombo, bali muimbaji na mtunzi mahiri, ujio wa mbaraka uliongeza nguvu sana Moro jazz na kumuacha kulwa kwenye vyombo na utunzi ilhali mbaraka akipiga Solo na kuimba, japo pia ni mtunzi.

  • @ngarambeprudence4418
    @ngarambeprudence4418 5 років тому +2

    Mimi site mruguru but because of mwinshehe I am identified with waruguru. I love morogoro I will visit you after my trip in USA

  • @jacksonkauga
    @jacksonkauga 8 років тому +2

    Asante sana Rama kwa kutupia hizi nyimbo.kweli old is gold zinanikumbusha mbali sana.From machungwa .

  • @chomaroyalchiefdom1907
    @chomaroyalchiefdom1907 Рік тому +2

    THANKS MORO JAZZ TO HONOR US I.E. CHIEF LUKWELE OF CHOMA / MOROGORO MUNICIPALITY, AND OTHERS I.E. CHIEF KINGALU OF KINOLE IN MATOMBO AREA, CHIEF MBAGO OF MGETA, SULTAN KINGO OF TURIANI, SUB CHIEF MWANDE OF KIBWE SUB CHIEFDOM MOROGORO MUNICIPLAITY, CHIEF MDENG'O OF MAGADU AREA, CHIEF HEGGA OF KOLERO / LUBASAZI....

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому +1

      That magnificent highlight, so Choma was the old name of morogoro town?

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      @@chomaroyalchiefdom1907 oooh I have to extend my word of gratitude having been well notified on such tremendous details that I never had an idea of prior to the very best information you have just give.

    • @dotomaendeleo4746
      @dotomaendeleo4746 Місяць тому +1

      Weka historia yao kwa simulizi au tamasha

    • @dotomaendeleo4746
      @dotomaendeleo4746 Місяць тому

      Kwakweli aliimba vizuri sana Mbaralaa

  • @chomaroyalchiefdom1907
    @chomaroyalchiefdom1907 2 роки тому +1

  • @khalifasaid7695
    @khalifasaid7695 2 роки тому

    Kingalu matombo Lukwele wa Choma Hosem Kabone na mzee Hega. Yani wakati huo Morogoro ilivuma sanaaaa

  • @maregesifidel3810
    @maregesifidel3810 2 роки тому

    Binti wa mbaraka yuko wapi.naomba muziki wake kny. ya baba yake

  • @maregesifidel3810
    @maregesifidel3810 2 роки тому

    History ya maisha ya mbaraka

  • @sentusdikwe6338
    @sentusdikwe6338 8 років тому +3

    Wimbo mzuri sana wa kuwakumbuka Wahenga. Naweza kupata wapi Lyrics za huu wimbo?

    • @husseinjudo8339
      @husseinjudo8339 7 років тому +1

      wahenga jamani

    • @jacksonmulele4033
      @jacksonmulele4033 6 років тому +4

      Leo tunawatambikia wahenga wetu mashujaa, ndio miamba ya hapo zamani, walioweka ukumbusho wa asili, ya waRuguru wa Morogoro. Kingalu Mbago na Kingo, Mden'go, Ng'wande na Lukwele , ni mashujaa wa hapo zamani, walioweka ukumbusho wa asili ya waRuguru wa Morogoro x2 Kingaru wa Matombo? Leo tunawatambikia, Mbago wa Mgetta? Eee eh eh!,
      Mwande wa Kigwe? Tambiko tunawatolea! Lukwere wa Doma? Kingo wa Turiani? Mden'go wa Magadu,? nae Mzee Hega? Wose mkagone (mkawase!) .............

    • @steveswakei9600
      @steveswakei9600 6 років тому

      +Jackson Mulele asante ndugu, umenifafanulia pia na mimi na kunilainishia majina na maneno yenye sikua nimeshika vizuri

    • @bonifacekobelo2752
      @bonifacekobelo2752 6 років тому

      Asante Jackson mulele hata mi sikujua hayo majina vyema hivyo..

    • @augustluanda7478
      @augustluanda7478 5 років тому

      wimbo uloutangaza mkoa wa morogoro enzi hizo lakini mpaka sasa bado unapendwa

  • @saidijoka5851
    @saidijoka5851 8 років тому +1

    Mbaraka Mwinshehe

  • @martinchambai5460
    @martinchambai5460 6 років тому +7

    Hakika hakuna mtu aliyeitangaza Morogoro kama Mbaraka Mwinshehe. Je Morogoro imempa heshima anayostahili? Mamlaka za Morogoro zingefikira kuupatia mtaa mmoja mkubwa jina la gwiji huyu.

    • @ramadhanichilumba7246
      @ramadhanichilumba7246 5 років тому

      Uko sahihi, anastahili kupewa jina la mtaa mmojawapo kwenye mji wa Morogoro

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 5 років тому +2

      Kaka umesema neno, hata sjui kwanini ile stendi ya mabasi isiitwe Mwaluka Mwinshehe na sanamu yake ikawawekwa pale Msamvu round about.

    • @khamisijuma5846
      @khamisijuma5846 5 років тому +1

      Vitu hivi haviishi utamu

    • @jacksonzebedee4668
      @jacksonzebedee4668 5 років тому +1

      Unajua kosa ni pale wale wabinafsi walipoamua kwenda kumtupa Msanga badala ya kumzika 'kwao', roho yake inahuzunika kwa kutolala nyumbani ('Niliota Ndoto' ya MoroJazz) kweli wamemdhulumu Mrugulu muhenga yule (born Mzaramo)

    • @edwardbudodi4497
      @edwardbudodi4497 5 років тому

      Ni kweli kabisa wala hukosei