BIG FIZZO afunguka kwanini ni msanii #1 BURUNDI, collabo na JUX, filamu na AWILO LONGOMBA na mengine
Вставка
- Опубліковано 6 кві 2021
- BANTUBWOY - SUGUA (OFFICIAL VIDEO) ft. BIG FIZZO, ELLY'S BOY, DOUBLE JAY, KIRIKOU A-KILI
• BANTUBWOY - SUGUA (OFF...
Big Fizzo - GOÛT YANJE (OFFICIAL AUDIO & VIDEO)
• Big Fizzo - GOÛT YANJE...
BIG FIZZO - UBUSA (OFFICIAL VIDEO)
• Video
KOKOTA (OFFICIAL VIDEO
• KOKOTA (OFFICIAL VIDEO
Big Fizzo - Abakenyezi (Official Video)
• Big Fizzo - Abakenyezi...
Safi saaana sky 👏👏 Burundi wanahitaji support yako saana👏👏 mwanzo mzuri na Big Fizzo...hope wengine watafuatia🔥🔥🔥
#vani Kama #vaniskaka u know what
Sana tuu uko kwenye kazi n'a wewe pia broo
Van iskaka unamchango mkubwa sana kwnye industry yetu Burundi tunakupenda
Van iskaka burundi pia tunaku itaji
van isikaka salama? asante sana kwa spot
Nampenda sana Big fizzo from Tanzania nipe like
Thanks
Asante kaka
@@divadaqueen6558 pw
Burundi tunafanya Mziki, Mziki ni Mziki tu nakubali✌️✌️👊👊👊👊🔥🔥🔥
Kati yawasani ambao hawana code kichwani ni Mr champagne ndomana nakupenda
Wewe na suport mziki kwasababu uko mtu mzuri huna bif namtu big up
Champagne wewe je utafika lini
Mista champagne musanii mwenye hana bifu respect kwako baba 🍻🎤🇧🇮🎧
Nakubali mister champagne hakika kwa mwendo huu tutafik
Fizzo kama Fizzo munipe Link zenu watu wa Trip FFF family🔥🔥🔥🔥🔥
Una ishi wapi Italy?
Fizzo wetu 🇧🇮🇧🇮nakubari kwa kusimamiya Mziki wetu eti Bongo Flava waace zao
Landry acha ubaguzi , that's stupidity man
Ata mimi pia namkubali fizzo kutetea inchi yake
Bongo Fleva bado hamuwezi kuifikia
Sky Mungu akubariki Saaaaana kaka. Fizzo Rwanda tunamjuwa kama mfalm wa Buja flava. 🇧🇮❤️🇷🇼
Asante
Asante sanaaaa❤️
Msani wa Kwanza kutokea BURUNDI anae jibu maswali kiiufaswaha ni Big fizzo
Umeona eeh
Kama sawa🇧🇮🇧🇮💪🏿💪🏿 Mfalme kama Mfalme
Big fizzo ni legend wa EAC
Burundian flag
We cannot say Burundian music without this gentleman ,we really do appreciate for all he had done to our music
May God grant him many years for living and making his dreams true
Ndiyo big Fizzo ni Shujaa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki !
Yani kama kuna interview tamu ambazo SNS mmeshawahi kuzifanya na zikawagusa watu wengi tena kwa mapenzi ya dhati kabisa basi hii ya Big Fizzo ni mojawapo. Thank you very much for your support and East Africa we are one so we need to support each other as brothers na kwa kupitia interview hii mtaenda kuona ni kiasi gani mmeigusa mioyo ya wengi na ya waliokuwa na kiu ya kuuona mshikamano kama huu ukifanyika kwa wana East Africa kama ambavyo ninyi SNS mmefanya leo.🇧🇮🇹🇿
Jamani from burundi tujuwane ♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
And thank you for the Simulizi, to give him an interview 🙏🙏🙏
✊🏿
✊🏿
It's been 4 years nikiwafatilia SnS mimi ni Burundi nawafuatilia nikiwa South Africa
Thank you for support I was Superstar from Burundi #esns #bantu boy 🇧🇮💪
@papasimbaDécor from bwiza live in Italy 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹
Sky uyo jamaa nimkubwaaa saanaaa
Toka nikiwa mdogo nilikua namfatilia adi wa sasa nyimbo zangu pendwa kutoka kwake ni "leave me alone, una chokoza nyuki & ndakumisinzeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥 Big fizzooo🙌✌️
Sasa hebu kuwa ni mkubwa tatizo liko wapi? Ninge shanga kama watanzania hamngekuwa na comments za uhuni. Maneno mengi alafu hakili ndogo. Poleni sana wabembe punguzeni usutwa
From Burundi abari zenu👌🇫🇷
SalaamA kalibu BUJUMBURA
ua-cam.com/video/8bs_9VGV_0k/v-deo.html
Safi
@@mwandishimussa6319 asante
@@yeboclassic9058 🥀
Bwana eee sisi huku burundi tunawapata tano kwa tano,na kuhusu kiswahili, bwana mbona tunakitwanga kama kawaida,na asante sana kwa kumleta big wetu tunampenda saaana,SNS big up sana
Exclusive kabisa na mtoto wa Home, big up sana Fizzo wiwacu
Bontu bwoy 🇧🇮🇧🇮✔️farious mm
Nimekuona sns na Mr sky ❤️👊☝️🇹🇿🇧🇮✔️
the real king of music of buja in the house!!!
#Sky umetukosha moyo kwakweli
All Burundian are proud of #sns
#Bigfizzo is our legend in🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Bwana SNS hapa umetisha kinoma, Le Grand Fizzo !!!
Ametuwakilisha kabisa Wa Burundi sote tunaipenda Sns Big up san
kabiiisa
ua-cam.com/video/8bs_9VGV_0k/v-deo.html
😅🤣
Sns ni nn et
@@selector728 Simulizi na sauti
Now I am happy to see that you are hosting the king himself from Burundi 🇧🇮
Leo SnS mmenifurahisha sana kwa fursa ya Kijana wetu Mugani Desire .Iyo ni fursa kubwa kbisa kuweza kujulikana sana kwa Tz
Big fizzo unaniangushaa unakata kama sio ww mfalme wa music in Burundi 🇧🇮ww number moja mpaka kumi hakuna wazaidi yakoo
Wewe acha uwongo King ni 1 tuuu
Uyu jamaa ndo kamkuza Lizer wa wasafi
Ndio apo umenuku fresh Lizer classic ndio kampa kuvuma hadi kufikia hapo wasafi
Kabisa
Well spoken
Kbs
Kabisa umeongea ukweli
walah kaka sky leo nimefurah kabisa mimi ni mrundi kutoka kuwait nakufatilia saan ,lakin leo umenifurahish kabis kwaku support mrundi wetu for really Thank you for u support burundi we love u # get another artiste #East africa
Thank you sky for yr support.God bless you🙏🇧🇮🇷🇼🇺🇬🇹🇿 and Kenya.One love
🇧🇮🇧🇮 i really appreciate for this king of Buja flaver 🤝
Tunaishi sana na nyimbo za kaka yetu hapa 🇺🇸. Big up, FIZZO and SNS!
Jamaa yuko makin kujibu maswalli!! Big up bro🔥💪
The really monster bantu bwoy
Big up my super star
Greatest of All time #BantuBwoy
@Bigfizzo dereva wa muziki wa Burundi for life
Mr yassin mimi ni shabiki wa damu wa Bantu bwoy from Rwanda @mushyaarodi instagram
Eba weye haukosekani kwenye utamu tunakutania apa tena
@@aphroovevo681 tunakbalii bro
The legend of Burundian music 🎶 #big fizzo # 🙌🙌🙌👐# 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮# He deserves it
Kanza niseme shukrani kwa Sky pamoja na team yote ya SNS kwa kutuletea kipindi kizuri na Mr Igikaju mtoto wa nyumbani.nami nawapata 5/5 from Zambia
Much love interview, from South Africa now.
Ukija Burundi 🇧🇮 unakutana na konzi ya king Kong 🤴 nikiwa tz dj fanny ndio kanifanya nikamjua fizzo
Big Fizzo mwenyewe!
The living legend!
The best singer...
The best rapper....
The best of EAC...
Asante sana SimuliziNaSauti kumleta Big Fizzo😍
kwanza niwashukuru sana ndugu zangu mmeongerea mambo muhimu sana undugu usiishie maneno ira tusaididiane kusogezana mbere muche respect kwa nianjema
🤝
🇧🇮🇧🇮🇧🇮 🔥🔥🔥 SnS m barikiwe sana kwa kumsapoti msani wetu Big Fizzo
Sky mambo vp? Umeona
Comment huku ciniiiiii
Burundi mmetubagua sanaaaa
Tunaumia 🇧🇮 ☝️😂🇹🇿❤️❤️❤️❤️
Oh yeah, ilikuwa ndoto yangu, kumuona Big Fizzo kwenye Tzt's media...Hakika nafurahi sana...Heshima kwa wadao wa Burundi, Bujumbura, specially, Makamba- Nyanza-lac
Big fizzo ndo désirée? Mimi kitambo bujumbura. @papasimbaDécor from Italy 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹
Of course Big fizzo ndo MUGANI DESIRE MZEE BABA
Desire uyuu
@@amolam97 ndiyo nimesha kusoma, sisi na wao ndo tumekuwa wachezaji waku odeon palace
Burundian king big fizzo love u brother
Big Fizzo for everybody.. thank you Tanzania 🇹🇿 - 🇧🇮
I like the legend the most. I wish they all accepted his collabo since Burundi we still need strong collabo even if we gotta have terrible musicians.
buja boy OYEEEE.
Legendary tunakubali kazi zako Fizzo 🇧🇮x🇯🇲
Thx sns kwakumup nafasi hiyo king wa buja flava
Love from BuRUNDI, keep promoting our burundians singers
Mugani desire
Gikundiro konzi ya King Kong ✔️❤️☝️🇧🇮👊🎤
big up saana kwa big fizzo, big fizzo sio mchoyo anawaombea na wengine wasani opportunities
From Burundi Buja 🇧🇮 kweli mna bahati sn
Wa burundi leo tuna comment peke yetu mamaaaaa 🤣🤣🥰😘🇧🇮🇸🇦🙌I love u SNS
😂😂😂😂 aiseee ni kweli tumekuja kma wote 🔥🤝
Kawaida 👍 😁😁ua-cam.com/video/mdFoVDrTFbw/v-deo.html
Bid fizzo mtuwetusana hakunamtuyoyoteule Burundi ataweza mshinda big fizzo courage wangu 💪💪💪❤️❤️🌹🌹🌹💕💕✌️👌👌
Thanks Sns for having Fizzo on air
Asante SNS, Uyo ndo best raper, best singer, best artist kinara,
nabuzukuru bazokwibuka mutama ( na wa toto wa watoto wetu wata kukumbuka mzee) wewe una love kabisa
LOVE FROM BURUNDI THANKS FOR SPRT
East Africa Icon 🦅🦅@bigfizzo 🏟️🏟️🇧🇮🇧🇮
Na hilo neno Burundi 🇧🇮 wapo wajuzi na kihindi tunaimba DADA ines 💪
Fizzoooo the true talented man
Sns Nakubali saana mmefanya kitu kikubwa Embu nende mkamskilize KINGORONGORO Mwana HipHop Bora wa Kiswahili Ambaye Tunamkubali na Anaweza Akatuwakilisha Vema Respect #SNS
Kbx
Safi sana sns mm nawashukulu sana kuona umemuhoji msani wetu fizzo alafu nimefurai kuona ww ndio umuhoji siku tegemeya ka ww ndo utamuhoji una roho nzuli sana kaka ndomana tunafatiliya sana sns huna zarau ww kaka thx so much from Burundi
Legend ume tuwakilisha vyema god azibatiki kazi zako ili utufikishe mbali zaidi bless you end bless sns 🇧🇮x🇹🇿x🇫🇷
Big up Sana kwawatanzania 🇹🇿iyo moja tunakubali kwahiyo sport mnatupa KBS uyo ndo king 👑🇧🇮nawala amna mpinzani wake ninachowaomba kama wandugu muwe mnatusaport kwakimziki waburundi🇧🇮mtakua mnatufanyia kitu kizuri naisis hua tunawakubali saaana kimziki
Sky mm nilikua nakupenda kwaili
Nimegupenda zaidi nipo
Hapa kulasini shimu laudongo
Najulikana Kama HAKIZIMANA Eric
Saluti kumuona hapo sns
🇧🇮🇹🇿🇧🇮🇹🇿🇧🇮☝️❤️✔️
Nice interview big fizzo and sns kwa pamoja sana
Wooow nimefurahi sana kumuona.one of my favorite artist from 🇧🇮akiwa ndani ya mjengo SNS
Komer muta
Asante sana kutupa Big fizzo in da house
Big Fizzo mtu wetu Sanaa 🇧🇮🇧🇮tunamkubari saana
Oooh my God thank you again tumefurahi sisi watu 🇧🇮 kabisa
From 🇧🇮 Saudia Alhamdulillah
King Kama big fizo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 good interview 🔥🔥🔥🔥
Tumefurahi sana sisi wa Burundi kumuona Huyo mwamba ndani ya mjengo aisee tumeshukuru sana kwa interview mmefanya tutawapenda sana ten zaidi Big Fizzo tuko nyuma yako wa Tanzania mzidi kuspot mziki wetu Bantu bwoy.
The king of buja flaver into Tanzania Kazi Kazi Mzee naamini Chombo kitam Na Jux Juma kinakuja Salut the king of buja flaver
Mambo mazuri sana big fizzo i'll support you🇧🇮🇧🇮
Big Fizzo number one 💪💪
Mada nzuri ya kupeana support za kiutamaduni(culture)
Daah.! Jama kajieleza vizuri King Gnrl him self @BigFizzo Asante sana mtangazaji kwa kutuleteya Msani mkongwe kwene music wa Africa mashariki.
Kupitia Link izi nimegundua mwana iko sawa sana JAMA NOMAA
Yeah Big Fizzo ni msani mkubwa. Anafanya mziki wa ki professionnal
umenifulihisha sanaaa kabisa endelea kupiga hatua
BIG FIZZO Nakubali bro🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤ wallah warundi uaga tunaonea kua hatuongei swahili tunaongea vizuri sana
Kiswahili cha Burundi ni nzuri sana
Proud of you MUGANI DESIRE our star🇧🇮🇧🇮🇧🇮💕❣️terimbere mutsamaaaaa
Respect Big Fizzo umejaribu kuteteya muziki wa Burundi 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Big up xana king big fizzo just keep it up bro
Rwanda sio wengi wanajua kiswahili alakini wanaokijua tupo kwa mfano mimi ni mfuatiliaji wa bongo flavor Music@ Konde Music worldwide#Harmonize namba moja
Big fizo
Number one in Burundi
Rwanda kiswahili hamjui
@@abouseleynzisabira5875 kinyarwanda rhuga tamu
Nimezaliwa Ufaransa lakini ninajifunza kiswahili. Kwa hiyo, Warwanda wanaweza kujifunza kiswahili pia
Leo kwa kweli wana sns from brurundi tunaskuru saaaana kwa kuwa umetuletea #desideratus big fizzo
Big fizzo the best in Burundi 🇧🇮 Bujumbura🇧🇮👊🏿 Burundi 4 UK 🇬🇧 tuna kubali Big Fizzo🇧🇮👊🏿 GOD bless Burundi and all Africa🇧🇮🇨🇩🇹🇿👊🏿
The monster #BantuBwoy🇧🇮🇧🇮🔥
Jamaaa kaongeaaa point leooo kiasii wakina platnamz wasisahauu kwenda hukooo
Fizzo is the first musician in BURUNDI and he's among the best singer in EAC.
Tunaweza Ila hatuna promotion ooh my country inauzunisha.
Fizzo mzee wa shozbiz hauwushobokey collabo
Thanks much SNS . Warm love from neighbor country Burundi.
King of kings Big Fizzo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
All the way from🇧🇮 We love u sns for welcoming our legend
Zambia we love fizzo ..Mr konzi ...man salute ..u are the best
THE BANTU BWOY, DESIDERATUS to the world #legendary
Plooo plooo nice pamoja SNS TZ
Journalist mkongwe ,,mwenye sifa zote akakutana na The best of burundian music ,,,!! Hii ni exclusive ,,interview ya kwanza ambayo inanifurahisha sana mwaka huu!! Asante sana Tanzania ,,Burundi tunawapenda sana!
Kingorongoro ft Country Wizy
Kingorongoro ft Baraka Tha Prince.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✅✅✅❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️✈️✅✅✅✅✈️✅✅✈️✈️✈️✈️✈️
Nimefurahi sana sky jitaidi kufatilia wasani wa🇧🇮🇧🇮 na wanajua sana kama fizzo ni king kabisa tunamukubali kinoma🙏🙏