Idris Elba apewa Ekari 80 Fumba Zanzibar kujenga studio za kisasa za filamu, Zollywood

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 137

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 2 місяці тому +9

    Zanzibar oyeeee🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @Mohd-wl1tc
    @Mohd-wl1tc 2 місяці тому +1

    Mwinyi sio mzanzibar sema mungu tu hua analipa haphap duniani

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 2 місяці тому +2

    Daah Respect Mwinyi🙌🏼🙌🏼🙌🏼 yaani iwe Tanganyika iwe Zenji kote kote wa Zanzibar wametutawala

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 2 місяці тому

      Ndio eboo mtawale nynyi tu kwani yko pekeyako hii nchi

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 2 місяці тому

      Ndio eboo mtawale nynyi tu kwani yko pekeyako hii nchi

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 2 місяці тому

      Zollywood 😅😅

  • @RamadhaniMohamedi-de2vc
    @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 місяці тому

    Ekar 80mmmh mungu wangu

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉huu ndo wkt Znz kusimama🎉🎉🎉

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 2 місяці тому +1

    T.zollywood itapendeza

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 2 місяці тому +10

    Zanzibar imekwisha

  • @bizzoforreal8502
    @bizzoforreal8502 2 місяці тому +10

    Nani mwengine aliyeona zollywood imekaa poa Sana

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 2 місяці тому +1

    Yajayo yanafrahisha sana....

  • @kiatu
    @kiatu 2 місяці тому +6

    Tuna matajiri kibao hii nchi ambao wakihamashishwa na kuwa enabled wanaweza kufanya analolifanya huyo bwana. Akili zetu ndizo zinatufanya tujitengenezee mambo ya kushangaa. Yaani kwa utajiri wa ardhi tulionao, duh, inauma sana - I miss Magufuli RIP. Haya bara tumsubiri Denzel Washington

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      @@kiatu hanisi kweli kweli ww mtu aekeze pesa yake alafu aje arikodi nani wena sepetu au hebu tuache sie watu apo wanaeka mpunga sio pesa za mawazo mtu ana zichungulia

    • @kiatu
      @kiatu 2 місяці тому +1

      @@MohamedAhmada-ie7ke I know your type.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 2 місяці тому

    Watalipajina lamukewe SABRINA 😂😂😂AWEEE🤝🤩🤩🤩

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 2 місяці тому +3

    Znz ni ndogo watu hata sehemu ya kulima hawana jee apewe mtu mmoja erka 80 ni wendawazimu leo watu wana mashamba yao wananyanganywa ni msiba

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому +2

      @@saidalhinai1131 fumba ni eneo maalumu lililo ekwa kwa ajili ya uwekezaji tangu zaman na tunajua ilo

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 2 місяці тому +4

    WAMEUZA NCHI TAYARI. IMEISHA HIYO HAKUNA ZOLLWOOD WALA KULLFOOD. GERESHATU HIYO.😅

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 2 місяці тому +2

    Hapo zanziar Inaenda kuharibika sana 😂

  • @nobody07241
    @nobody07241 2 місяці тому +3

    Wazanzibar tujiandae kutolewa kwenye nchi yetu

  • @SaidMohamed-k9h
    @SaidMohamed-k9h 2 місяці тому

    Studio ekari 80 ni studio gan hyo mnagawa ardhi

  • @khamis9187
    @khamis9187 2 місяці тому

    Zanzibar kitovu cha utalii Tanzania, but maisha ya wanzanzibar wa kawaida ni magumu mno, kila kukicha vijna kutoka kisiwani pemba wanakimbilia Dar es salaam kutafuta goodlife..wakat idad ya wazanzibar haizid hata 4 milions, ivi hayo mapato ya utalii kila mwaka yanatumika wap!!????

  • @KanalIdrissah-dh5hj
    @KanalIdrissah-dh5hj 2 місяці тому +13

    Dah! Zollywood siyo Tollywood umeona hapo! Tatanganyika hatuna chetu bado mpaka tuseme 😢😢😢😢 simaanish muumgano usiwepo hpana!!

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 2 місяці тому +1

      Munataka kila kitu kiwe chenu?

    • @saidiaswani-rw2mm
      @saidiaswani-rw2mm 2 місяці тому +1

      Wacha kujipaguwa ingeitwaje sasa

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 2 місяці тому +2

      Kiufupi utaitwa Tollywood yn ni TANZANIA HOLLYWOOD kama hupendi sumu ya panya ni bei nafuu tu kunwa utupishe usituinginzie giza apa😂😂😂😂😂

    • @MashaMbwana
      @MashaMbwana 2 місяці тому +1

      Hee kila kitu pamoja 😅😅😅

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 2 місяці тому

      😂😂😂😂 Tang yenyewe twaongozwa na mzazibar

  • @jangabauertv8288
    @jangabauertv8288 2 місяці тому +2

    Yani hiyo zollywoord kwa sababu inafanyika zanzibar ila tanzania si muna bongo movies au

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 місяці тому

      😂😂😂😂Wambie

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 2 місяці тому +1

    NCHI YA HOVYO INAUZWA NA WAUNI WA ZANZİBAR 😮😮😮

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 2 місяці тому

    Mjiandae na ushoga

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 місяці тому +3

    Tushauzwa, Daaaahhh😢😢😢
    Yaa Rabby, Yani yote yanayofanywa na Hawa Jamaa, But still tunawakumbatia....😢😢😢
    Mwisho wataweka Kambi za jeshi, na hamtaongea chochote....😢😢😢

  • @djafro8729
    @djafro8729 2 місяці тому +5

    Marafiki wangu uniuliza ushinda million ksh300 utaenda wapi. Mimi ujibu Zanzibar lakini wao ushangaa sana.

  • @RamadhaniMohamedi-de2vc
    @RamadhaniMohamedi-de2vc 2 місяці тому

    Iyo si serus ya znz jamani

  • @mkalimala3564
    @mkalimala3564 2 місяці тому +1

    HUYU MWAMBA NI KIPENZI CHA DUNIA

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 2 місяці тому +4

    Congratulations my country ZANZIBAR

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 2 місяці тому

      Zanzibar is country??

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 2 місяці тому

      ​@BuhetySharia as your butok

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 2 місяці тому +1

      @@BuhetySharia tell me how many countries are in united republic of tanzania or it’s just since 1900s it’s was tanzania remember two countries united to make one nation by law not full fill

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому

      @@BuhetySharia ukitaka kujua kama Zanzibar ni nchi katizame umoja wa mataifa herufi gani ina simama ni U jiulize why iwe U na isiwe T, huu ni Muungano wa nchi 2 ambayo ni tanganyika na Zanzibar, nyie ndio hamna nchi maana tanganyika ndio haipo ila zanzibar ndio nchi maana ipo

    • @hadijamgambo-jn7kg
      @hadijamgambo-jn7kg 2 місяці тому +1

      ​@@BuhetySharia kwani muungano ulikua wa mkoa wa Tanganyika na Zanzibar au nchi ya Tanganyika na Zanzibar? Chuki zitakuuuaaa

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 2 місяці тому +4

    Ngojeni yanayokuja msipoyashuhudia duniani mtayasikia kabulin

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 2 місяці тому +1

    Acha tuone uwezo wa kisanaa wa Zanzibar maana so far hawa watu hawatugusi bara kwa ubunifu wala ushindani hata chembe.....time will tell.

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 2 місяці тому +2

    Itaitwa zaw hood

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 2 місяці тому

    Hao wazanzibari, hulalamika kua watanganyuka ndio wamebadili maadili yao, wakati huo huo, wanawapa maeneo watu wanasapor ushoga na mambo mengine yalio nnje ya maadili ya kizanzibar.

  • @vanessarichard4468
    @vanessarichard4468 2 місяці тому

    Very nice

  • @Abuu_Mundhiri
    @Abuu_Mundhiri 2 місяці тому +1

    Naona watanganyika wanavo lalamika wakiti wao bandari t ilikua nishida

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 2 місяці тому

    Majasusi Tu hayo

  • @uaeuae1871
    @uaeuae1871 2 місяці тому +1

    😃😃👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿

  • @NasriHamza-y8y
    @NasriHamza-y8y 2 місяці тому

    Mnajiuza na kuuza nchi bila kujua hakika fikra hazitumiki hakika naamini maneno ya triumph wenge akil hawatumii na ambao hawana wanaaminishwa nchi ya ahadi ambayo haiko...hakika so sad😢😢😢😢😢😢😢

    • @kiatu
      @kiatu 2 місяці тому

      @@NasriHamza-y8y inasikitisha sana bruh. Mimi Naomba viongozi wetu wakienda nje wakipata ideas zinazohusu matumizi ya raslimali za taifa walete mapendekezo kwa wananchi kupitia bunge, angalau halafu maoni pia yawe solicited from the public. Tunamiss input ya general public kwenye mambo haya. Hizo international film villages(studios) zilianza very humbly. Tanzanians can do this, come on washauri wa rais 😐

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf Місяць тому

    NA mimi niwe msanii

  • @zahornassor5420
    @zahornassor5420 2 місяці тому +1

    80 za nn watu wanektie kwenye chumba tu skuiz aloo Daah balala ya kujengwa kiwanda kikubwa cha samaki😢

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 2 місяці тому

      Tatizo labda studio yenyewe inaweza isiwepo lakini kama inawepo, Studio ya Filamu ni TOFAUTI na Studio ya Muziki! Na ukiamua kweli kweli, hata hizo Ekari 80 ni NDOGO SANA !!

    • @mohammedmaulid892
      @mohammedmaulid892 2 місяці тому

      ​@@MyplusbeeHuyo jamaa haelewi cku hizi watu wana act katika studio
      Kwani izo avengers zina actiwa mtaani au

  • @ProsperUlungi
    @ProsperUlungi 2 місяці тому +5

    Wajiandae na ushoga kuenea zaidi😀🤣🌈🤤🌈

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 2 місяці тому +6

      Wazanzibar sio mashoga ila hao mashoga unao wakuta asili yao ni kutoka bara huo ndio ukweli

    • @sagatv4306
      @sagatv4306 2 місяці тому

      Wanajuwa kuwa hayomambo hayapo kwetu

    • @masoudjuma8169
      @masoudjuma8169 2 місяці тому +2

      Wewe bwege Nini uko bongo Kuna mashoga kibao

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 2 місяці тому

      @@salumabdallah2990 asili ya mashoga ni watu wa pwani ni ngumu kumkuta shoga muhehe au mkurya msukuma ila wapemba wadigo ndio wamejaa mfano mauzinde ni mpemba kuzaliwa Zanzibar kakulia Zanzibar na anafirwa Zanzibar🤤🤣🤣🤣

    • @abdillahiharuna0029
      @abdillahiharuna0029 2 місяці тому

      ​@@salumabdallah2990 hakuna mbara shoga

  • @bsm47
    @bsm47 2 місяці тому +1

    80 yote atafugq namifugo au

  • @comics3437
    @comics3437 2 місяці тому

    Mwanasheria wangu haba cheti😅😅😅

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 2 місяці тому +6

    Zanzibar inaenda kuwa mlango wa mafanikio kwa Tanzania 🙏🙏🇹🇿

    • @Fatma-wi2co
      @Fatma-wi2co 2 місяці тому +1

      Ni kweli maneno yako , sisi Wazanzibar hua hatunufaiki , mapato huletwa Tanzania.

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 2 місяці тому +3

      Astghafiruwallah subhanallah labda watuletee uhuni na ushoga

    • @Peaceman-S
      @Peaceman-S 2 місяці тому

      @@RitbayRitbay acha kuwa na negative patheption
      Kama ushoga Zanziba upo mwingi

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 2 місяці тому

      ​@@Fatma-wi2coujiulzi hako ka kisiwa ukitoa hekali 80 mnabakiwa na mimi kwa ajili ya watoto wenu

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 2 місяці тому

      ​@@JKQGAMEkwani ukiwa mzazibar lazima ukaishi Zanzibar?

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 2 місяці тому +2

    Hapo wamenyang'anyw masikini kapewa mgeni😢dooo Africa aloturoga nani?

  • @blackyoungmaestro
    @blackyoungmaestro 2 місяці тому +1

    Ushoga, pombe na ufuska utaongezeka maradufu...ndugu zangu washirazi wajiandae

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 2 місяці тому +1

    🇹🇿🎉

  • @OdhiamboLazaro-y8o
    @OdhiamboLazaro-y8o 2 місяці тому

    Namimi nipewe eneo nilime karafuu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 2 місяці тому

    Jina Iiitwe zanzi hood ilo jina ndo nimelitunga mim apo

  • @حكايةغد
    @حكايةغد 2 місяці тому +2

    Mimi Mzanzibari naomba munipe ekari mbili tu nifuge kuku wa mayai 😅😅 yaani nchi yetu inagaiwa kwa wageni na sisi tunakufa njaa

  • @mandlasakhile9109
    @mandlasakhile9109 2 місяці тому

    Elba nae Hollywood? not sure!!!!

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 2 місяці тому

    Uyu mama anauza kote kote 🤣🤣🤣🤣

    • @hafidhissa4405
      @hafidhissa4405 2 місяці тому

      Mara hii si ameuza kwao, wee unaumia nini 😂😂

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 2 місяці тому +1

    Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar, lkn wageni wengine ruksa🤔🔨

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 2 місяці тому +1

      Ukikua utajua sie tuna jielewa zamani sana mgeni sisi tunampa lease

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc 2 місяці тому +1

      Sio kweli mbona wanajenga hadi ba mdogo wangu kajenga zenji maeneo tofauti tofauti.

  • @danielsostenes1640
    @danielsostenes1640 2 місяці тому

    Mmempa ama mmemkodisha yan nyie haaa aya na mm nipeni

  • @Mrdragoon85
    @Mrdragoon85 2 місяці тому

    Ila Mie Mzalwndo hata Kiwanja Sina 😂 nitaoza Hapa Zenji 😂

  • @mr.lawimagupa3914
    @mr.lawimagupa3914 2 місяці тому +3

    Kwann IWE ZOLLWOOD WAKATI STUDIO NI YA TANZANIA NA ALIONGEA NA RAISI WA TANZANIA? AU NI MUENDELEZO WA UBAGUZI WA WAZANZIBAR? 😮😮😮😮😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮😢😮

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 2 місяці тому

      Sioni kama kakusudia Ubaguzi hapa Ndugu katoa Maoni yake tu

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 2 місяці тому +2

      Wizara ya Sanaa zanzibar na tanganyika kila mtu na yake

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 2 місяці тому +1

      Mlianza nyinyi kwa kuita bongo muvi.

    • @hadijamgambo-jn7kg
      @hadijamgambo-jn7kg 2 місяці тому +2

      Kwakua studio ipo Zanzibar itakua chini ya Baraza la Sanaa la Zanzibar, Zollywood Habari ya mjini

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 2 місяці тому +1

    Watu bwana ,sasamwekezaji anakuja unaongea wajitayarishe na ushoga ? Wht does it mean? Signing logic hapo? Watanzania duuh

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 2 місяці тому

    Je wazee wa huko fumba watakubalii? 😂😂
    Maana naijua Zanzibar na vijiji vyake In an Out.
    Wazee wakijiji wakisema atutaki mambo yenu ya hanasa Iyo imeisha.
    Mkilazimisha mtajua hamjuii😂😂😂😂

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 2 місяці тому

    Kujenga studio tuu ndo ekari zote hizo? Wakat hata ekari moja na nusu ingetosha kabisa pamoja na eneo la car parking

    • @godfreykeita9804
      @godfreykeita9804 2 місяці тому +2

      Studio syo jengo moja au mawili,
      Studio ya movie ni pamoja na ujenz wa mandhari ya kila aina kwa ajili ya kurekodia movie. Haiitajiki waigizaji kwenda location

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 2 місяці тому +1

    Kwanini zollwood na sio tanzwood 😏😏😏 nonsense

  • @revocatusbahatibussiah
    @revocatusbahatibussiah 2 місяці тому +1

    Tanganyika Tanganyika Tanganyika Tanganyika Tanganyika Tanganyika Tanganyika Tanganyika Tanganyika
    Msilale

  • @wazi1991
    @wazi1991 2 місяці тому +1

    Tujiulize serikali imetoa wapi hiyo ardhi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому +2

      Kwn ardhi huwa ni ya mwananchi au ya serikali?

    • @حكايةغد
      @حكايةغد 2 місяці тому

      ​@@rumdeesonsoa1811Ardhi ni mali ya umma sio ya serekali

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому

      @@حكايةغد Ukishasema mali ya uma manaake ni ya serikali ndio maana madini yakigundulika kwenye ardhi yako serikali itakuondoa tu bila kukulipa chochote zaidi ya kifuta jasho tu

    • @hamzamussa7081
      @hamzamussa7081 2 місяці тому

      ​@@حكايةغدhuijui katiba ya Tanzania na katiba ya zanzibar ...ardhi yote ya muunganiko iko chini ya mamlaka Raisi na serikali yake....Uma umepangoshwa tu

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 2 місяці тому

      @@حكايةغد wazanzibar watapelekwa mwanarumango wakaishi maana tayari znz imeshauzwa kuna wananchi wanalalamikia ardhi yao kujengwa airport ya pili nchi ndogo