MSANII wa BURUNDI 'LOLILO' Aomba Msaada Kwa DIAMOND na ALIKIBA - "MIAKA 20, SIJAFIKA POPOTE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • MSANII wa BURUNDI 'LOLILO' Aomba Msaada Kwa DIAMOND na ALIKIBA - "MIAKA 20, SIJAFIKA POPOTE"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 141

  • @BSSFUNNY
    @BSSFUNNY 3 роки тому +5

    Wanafki nyie wa Safi Mbwa kabisa ye yote Alie sikia hii interview vizuri na wasafi hawaja litaja jina la Alikiba tofauti na lolilo mwenyewe kulitaja Apige Like apa.

    • @Mpanda_boy_Tv
      @Mpanda_boy_Tv 3 роки тому

      Nimesoma comment yako nikafurahi sana kuona, mtu mjinga kakoment

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 5 місяців тому

      ​@@Mpanda_boy_Tvduh

  • @jospinobdi1207
    @jospinobdi1207 3 роки тому +8

    My Legend simba,my inspiration✌eshima kwako papaah

  • @mvuyekurevincent8923
    @mvuyekurevincent8923 3 роки тому +9

    Msani WA. Burundi niwetu a naitwa lizzo big up brother

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 роки тому +3

    Loliloo we love him karibu Sana Tz ikiwezekana piga kolabo za kutosha

  • @muhitiraamissy7198
    @muhitiraamissy7198 2 роки тому +3

    Lolilo ni simbaa na ana fanyaa vizuriii tuu siombayaa kuomba kolaboo

  • @justwayyesa6940
    @justwayyesa6940 3 роки тому +6

    Courage Courage sana Lolilo......Big up

  • @julescesarngendakumana9986
    @julescesarngendakumana9986 3 роки тому +4

    Sioni ubayaa wowote kuona mtu anaomba msada,yaani wengi walisonga mbere kupitia kwa wengini,acha aseme ukweli tukingali nyuma kimuziki ukilinganisha na inchi zingini

  • @kelvingameiro2066
    @kelvingameiro2066 3 роки тому +3

    Diamond msaidie msani wetu na sisi tunakubali unajua tangu zamani alikuaga juu yako apa we umeshaenda mbele push mwenzako anaomba

  • @andrealpha4546
    @andrealpha4546 3 роки тому +2

    Hakuna msani mwenye stareh kama diamond ila mbona mambo yake anazidi kwenda mbere

  • @tomsonthevoice
    @tomsonthevoice 3 роки тому +2

    Brother kweli unani angusha san Brother musahada kweli ☹️

  • @larsontyga3479
    @larsontyga3479 3 роки тому +5

    Mungu awabariki wcb / lolilo msani mkubwa kwetu kbsa mmsaidiy

  • @Mpanda_boy_Tv
    @Mpanda_boy_Tv 3 роки тому +3

    Nkarila ya DIAMOND PLATNUMZ ft Lolilo

  • @hypolitenicayenzi581
    @hypolitenicayenzi581 3 роки тому +3

    Unataka ujulikane kivipi Lolo mwenzangu Tanzania wanakujua Rwanda unajulikana acha maneno weka mziki

  • @twamp911
    @twamp911 3 роки тому +6

    Mbona wakina BIG FIZZO wanafanya vizuri tena zaidi! Fanya mziki mzuri kama big fizzo wakitaka wa support wakitaka waache wengine watasuport....
    rudi nyumbani bro.... umelogwa au? 😭😭😭😭😭 wao wenyewe kati yao ni vita.....
    They're just fakin the life uuliza watakuambia
    Gufashanya ni umuco wa barundi gusa. Ntu zosubire gusega man kuko ni ingeso mbi cane. Ni gagnant gagnant man! Ukwiye kuzosaba imbabazi abakunzi b'umuziki ndundi kabisa

  • @benboyburundi2429
    @benboyburundi2429 3 роки тому

    Lolilooo🇧🇮🔥🔥⛽🚬

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 3 роки тому +2

    Pole sana kakaa

  • @StivenNiyungeko
    @StivenNiyungeko Рік тому

    ❤❤

  • @raissamugisha1653
    @raissamugisha1653 3 роки тому +2

    Na ubaki uko umamani usirudi burundi.hatunaga iyo tabiya yakujizalilisha ubaki uko uko hatukutaki.na upate bahati iyo yimbo yenu iwe trending.

  • @mamurealman555
    @mamurealman555 3 роки тому +4

    Kuomba msada siyo kujishusha diamond aliomba davido colabo. Akaomba p. Square. Ne yo sasa sizani kuomba usaidizi nikujishusha apana unakuwa unataka malengo yako yafike pale unapo taka

  • @bouchofundishokesha2759
    @bouchofundishokesha2759 3 роки тому +6

    Tatizo Mziki wa Burundi 🇧🇮 umejaa kirund saana tunaitaji kiswahili ili east Africa tupat kuwaskia hili tunaomba mlichunguz kwaumakini

  • @gboymrgreen6618
    @gboymrgreen6618 3 роки тому +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮mziki wetu bwan sio poa yan.wasani wenzangu Burundi chukueni hii kama hutoi audio kal n video kal n uend nawakati bas kilasiku n vilio kam huy jama💫🇺🇸

  • @africansound0-342
    @africansound0-342 3 роки тому +3

    Kkkkk pole ila tulia uwache uwivu coz in burundi there are working good bro

  • @roddyfawaz6
    @roddyfawaz6 3 роки тому +2

    Ona walivyo kuwa na dharau wasafi wamekushuti mweusi wakati tunajua ww ni mweupe acha kujipendekeza wasio kupenda mpumbaavuu

  • @octomontana4214
    @octomontana4214 3 роки тому +2

    Safi saana mzee ukishindwa rudi matawi ya chini omba upigwe tafu ndio uwanaume huo!!

  • @kumurundi3743
    @kumurundi3743 3 роки тому +2

    ✊✊✊🇧🇮

  • @tekanezaviocheftv1949
    @tekanezaviocheftv1949 3 роки тому

    Kweri barundi hadupendi Mambo zamuziki🇧🇮

  • @nishimwegaddy9401
    @nishimwegaddy9401 11 місяців тому

    Lolilo unatuaibisha🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮msaada😮😮😮hatupendi🇧🇮

  • @theglobalreform
    @theglobalreform 3 роки тому +3

    Sisi tunamjua fizzo tu na sat b. Huyo lolilo mimi ni mara ya kwanza kumuona na kumsikia. Nafikiri huyo ni mtu wa huko Tabora Tz. Domo na wengine kama wamakomde na alikiba kamsaidieni mtu wenu huko na kampatie hifadhi huko huko asirudi Burundi

    • @pridencia2751
      @pridencia2751 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣uyikomenti iranyishe😂😂😂🤩🤩😂😂😂

    • @kadracliot5840
      @kadracliot5840 3 роки тому +1

      😂😂😂😂 mana 🙉

  • @francineniyonkuru741
    @francineniyonkuru741 3 роки тому +2

    🇧🇮🇧🇮🔥🔥

  • @chambotz9352
    @chambotz9352 3 роки тому +8

    Karogwa Huyo, Bora angeomba kwa mmojawapo

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 3 роки тому +2

    +257💪💪💪💪📡

  • @jimmysabu4382
    @jimmysabu4382 3 роки тому +2

    Amesha twambiya kwao na mama yake atwambiye na kwao ya baba yake
    Lolilo unazidiwa na Mr Champagne 💪

    • @Dah_or
      @Dah_or 3 роки тому

      Kwa baba yake ni Burundi tena unabijua acha kuzingua unatisha eti Mr champagne nyamaza wasikusikie

    • @jimmysabu4382
      @jimmysabu4382 3 роки тому

      @@Dah_or sema weye njo unyamanze ule chotara wakiarabu kabila zakirundi tunajuwana akuna wahindi ao warabu

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 3 роки тому

      @@jimmysabu4382 hmm mbona unadanganya !wakina yoyo jamali niwakina Nani? Mchanganyiko kwenye jamii aukosagi,ata ulaya mvange zipo itakuwa Burundi,mbona mnatakaga kujiona Bora na ilihali mngali nyuma ya wakati,kwani kuwa chotara ni dhambi?wacheni izo 😏

    • @jimmysabu4382
      @jimmysabu4382 3 роки тому

      @@fridasky1019 we ujuwe kama panakuwaga Original na Fong kong

  • @gerry_macopper3808
    @gerry_macopper3808 3 роки тому

    Daaah so sad my brother, kweli unapaswa kusaidiwa muda Sana'a kweli kwenye Game

  • @FIZIEMPIRE
    @FIZIEMPIRE 3 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @banin-bradaneirakoze9535
    @banin-bradaneirakoze9535 3 роки тому +4

    Ndo hivo mziki burundi unalipa ,lakini huo lolo hakujua kuwekeze hela anazo zipata,ameshindwa yemwenyewe

    • @btylove1870
      @btylove1870 2 роки тому

      Anakumbuka shuka wakati kumeshakucha!

  • @StivenNiyungeko
    @StivenNiyungeko Рік тому

    Lolilo namupenda saana nakazi zake zote

  • @viviloulouswag7221
    @viviloulouswag7221 3 роки тому

    The original simba lizzo mwenyew

  • @lionelopromoter3343
    @lionelopromoter3343 3 роки тому +4

    Lolilo unasema ukweli🙏🏾😭😭😭😭 lakini unatuangusha unatuangusha kabisaaa usibadilishe #nationalité🙄🤣

    • @vianneyvijos2264
      @vianneyvijos2264 3 роки тому

      Lolilo ndo rofa kutoka kwetu Burundi. Kuliko kupambana bahada ya myaka yote hiii. Anakuja omba musahada. Rofa.

    • @Dah_or
      @Dah_or 3 роки тому

      @@vianneyvijos2264 acha kusema ivo anajua anavyofanya ,bikimufikisha Bali sijuwi kama utakua ukisema ivo ,muache kasema ukweli

  • @onewize14
    @onewize14 8 місяців тому

    Bigapoo sana

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 3 роки тому +2

    Zamani ulikua napesa kuzidia ata Big fizzo lakini sasaivi Big fizzo anakuzidia mkwanja n'a kila kitu kwasababu lakupenda kula.bata

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 3 роки тому +2

    Vizuri

  • @kwizeralionel352
    @kwizeralionel352 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole sana lolilo

  • @فاطمهالشمري-د2ج
    @فاطمهالشمري-د2ج 3 роки тому +2

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 3 роки тому +2

    Lolilo watanzania wamemroga sijawahe kuona murundi waivo sisi Warundi Tunasifa yakujiamini nakujisimamaeko huyo labda muulize vizuli ni muTanzania mwenzenu huyu.Burundi asikanyage nikimuona nitamutia kofe

  • @ntihaboseadonis8746
    @ntihaboseadonis8746 3 роки тому +2

    Diamond anaweza kumsaidia ni msamalia mwema

  • @niyizonkizahashim1821
    @niyizonkizahashim1821 3 роки тому +4

    Courage lizzo n mtu wetu kabisa

  • @nkurunzizasarahsachou7977
    @nkurunzizasarahsachou7977 3 роки тому

    Lolo courage

  • @amour0072
    @amour0072 3 роки тому +2

    LOLILO una twangusha sanaaaaa

    • @Dah_or
      @Dah_or 3 роки тому

      Bora atwangushe aache kundanganya kasema ukweli amna kosa ukweli unaponesha

  • @mwandishimussa6319
    @mwandishimussa6319 3 роки тому +2

    LOLILO SIO MSANIII WA BURUNDI
    HATUMJUI KABIIISA
    NI MSANI WA TANZANIA 😂😂

  • @ishakatv3930
    @ishakatv3930 3 роки тому +2

    Ktk wasanii wa5 wakubwa Burundi LOLILO yumo,inakuej anakuja kutuabisha namna hyo bila aibu et miak 20 kwenye game hajafka popote😭Ni somo lipi analowapa ma underground?
    Pia ajifunze kutofautisha #MSAADA na #SUPPORT...anaomb msaada amekua chokora?Ni PSN?
    NOMUFATA NOMU YOOH

    • @amolam97
      @amolam97 3 роки тому

      Uwo ntawurimwo bana

  • @onanikubwimana479
    @onanikubwimana479 3 роки тому +2

    huwo niusenge babu wew vip mbona sikuelewi! msikubali sio kwel

  • @onewize14
    @onewize14 8 місяців тому

    Nikweli kabisa wasikilizaji kwakweri muziki wa bulundi haupai kabisa ila nazani kikubwa nikuongeza juhud

  • @EastCoasTGorilla90
    @EastCoasTGorilla90 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣😂😂😂 lolilo mbona msani mkubwa kuomba msaada lol...mbona anajishusha hivi..

    • @aishabrondi236
      @aishabrondi236 3 роки тому +1

      Toka leo namchukia duu yani hili nataka nilifikishe Burundi yani anatutia aibu sana ahadi gani yani wewe alie kushusha kimuziki nihuyo huyo jama wewe ulikuwa bora kuliko yeye leo eti unataka akusaidie Burundi hakuna kiki zakisenge hata lolilo alikuwaga chui na paka na fizzo ila waliona hayana mwisho maana burundio sio TZ wangeendelea na chuki Zao mmoja angemtoaemo mwenzake wakaamua waungane

    • @EastCoasTGorilla90
      @EastCoasTGorilla90 3 роки тому +1

      @@aishabrondi236 inabidi arudi tuh akajiset lakin kwa style hii
      Ya kua mnyonge..lol no way....

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 3 роки тому

    Lizzo mzizi wa jiwe
    @LILOLI SIMBA GANG

  • @amolam97
    @amolam97 3 роки тому

    Unatuaibisha walahi ww tumekuchoka bana unaibisha benzako eti wasan waburundi eti muko local toka ukooo iki kijama bwabundi ninjevyi ndakeee🙄🙄🙄Noé nkaho iyuguma bdi wari kuba iki kweri nkaho wavuziki🥺🥺

  • @classicbilali3043
    @classicbilali3043 3 роки тому +2

    Lizzo 🙆🙆

  • @zenahdallactv1799
    @zenahdallactv1799 3 роки тому +1

    Diamond Sidhani kama atakusaidia mana karoho kamegeuka,halafu jeshi kashatua mjini,

  • @irambonabigvena337
    @irambonabigvena337 3 роки тому

    Lolilo wew ni msani mkubwa my brother sio wakwenda tz kutafuta msada kimziki kipindi unato uyo diamond bado hana ndoto ya music sasa brother unapo omba msada kwa mdogo wako inabidi uombe collabo tuu mengine kama music umekushinda tafuta kazi ingine ufanye brand yako nikubwa other ways watakuchukulia poa awoo my brother

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 3 роки тому +2

    Lolilo umeenda Tz kufanya Nini wew msani mkubwa umeenda kulia tz wapi kweli

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 роки тому

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @saidchitanda2782
    @saidchitanda2782 3 роки тому +2

    Lolilo

  • @lucksonbonfilsbrown907
    @lucksonbonfilsbrown907 3 роки тому +2

    Lolilo became a made dmn I remember he pushed diamond when diamond was an up coming but now he is busy begging him like a homeless shitttt...

  • @dunixardamagomez600
    @dunixardamagomez600 3 роки тому

    Lolilo unahiabisha nchi wew sio wakwenda kulilia media za nchi jirani kweli leo ndo naamini saq kam Fizzo nimkubwa ki mziki na akili Fizzo awezi kufanya ujinga kam huyo kuomba collabo sio kwenda kuaibisha watu fala weeee 🤦🏼‍♂️🤦🏼‍♂️

  • @christnkurunziza688
    @christnkurunziza688 3 роки тому

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ndikumanapegbmashin1940
    @ndikumanapegbmashin1940 3 роки тому +2

    Lolilo we fala kabisa eti mama yako ni mtu wa tabora siyo wa ngozi tena?aca ujinga weye

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 роки тому

    Mbona anatia huruma... Huyo bob junior nae aliambiwa atapewa collabo na mondi mpaka leo kiko wapi... Anamjua mondi huyu 😁

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 3 роки тому

    Hata siamini lolilo ndio kawa ivi amekuwa mweusi kweli kwenye Dunia hii kuna kupanda na kushuka

    • @Dah_or
      @Dah_or 3 роки тому

      Mweusi ni ule anaendanganya apo Lolilo kasema ukweli hakundangany, weye unaetaka andangany aseme kwamba Burundi support ipo yakueneya we ndo mweusi

  • @hidayajonson8140
    @hidayajonson8140 3 роки тому

    AMEWAHI KUFANYA NAE COLLABO kitambo kipindi hicho hakuwa RASTA

  • @projazzpromoter7503
    @projazzpromoter7503 3 роки тому

    Lolilo Anatuangusha kweli

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 3 роки тому +2

    Sasa harmonize anatuchafua hatuna nguvu ya kusaidia

  • @sumuyaodawayao4775
    @sumuyaodawayao4775 Рік тому

    ᴸᵒˡⁱˡᵒ ᵐᶻⁱᶻⁱ ʷᵃ ʲⁱʷᵉ

  • @jaypablo
    @jaypablo 3 роки тому

    Ukweri huo
    So keep working utafika Bro #Lolilo

  • @andrealpha4546
    @andrealpha4546 3 роки тому

    Kushuka kwenye kazi waga inawezkana sio kisa stareh

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 роки тому

    Burundi oyee

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 3 роки тому

    Lollipop, situnapambana na jeshi afu nawewe unaleta shidazako? Ila unawezapigakwanza na babalevo ukisubiri vitaiisheuku.

  • @kwizeraimana8746
    @kwizeraimana8746 3 роки тому

    Lolilo urazankwereke ahowokoza ibirato kuko warushe cane uhebe umuziki. Kuko kwisarishankuko. Nukutiyemera

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 3 роки тому

    Daah unanihuzunisha yani inafika wakati unaomba msaada kwa mondi yani wewe mbuzi ikumbukwe wewe ndio ulikuwa unajituma ili sisi warundi tumjuwe zaidi domo mpaka ulikuwa ukikosana nawasani wengine kisa domo leozutasema hakujuwi wala Hana habari na wewe

  • @JumaaNdululu
    @JumaaNdululu 3 роки тому

    Angemsaidia hanstone sio poa walivyomfanyia

  • @ernestciza4315
    @ernestciza4315 3 роки тому +2

    What hell!!!!He is not patriotic !This Guy is not burundian !!!Stay in Tanzania we don't need you more !!!

  • @mrnish6287
    @mrnish6287 3 роки тому

    Warundi ni wachamungu na mziki nisawa na uvuvyi, so ushirikina unahusika. Na warundi hizo njia hawazijui ndio maana mziki wao haupigi hatua. Vinginevyo warundi wako vizuri kwa uimbaji. Na mfano, kwani hapo tanzania, unadhani hao top ten yenu, ndio wasanii bora wanaojua kuimba? Baraba is the number one but maybe hajihusishi namambo yagiza.

  • @emmanueldotto9535
    @emmanueldotto9535 3 роки тому

    Umeongea utopolo br kuwa na musimamo watu wa BURUNDI tz wako kibawo ko acha ujinga kuwa na msimamo

  • @بليزها
    @بليزها 3 роки тому

    Tanzania nihatar kwl

  • @maniramparodrigue6003
    @maniramparodrigue6003 3 роки тому

    Simba

  • @husseinramadhani7277
    @husseinramadhani7277 3 роки тому

    Huyu lolilo anatutiya aibuu kama wa Burundi

  • @Innocentciza
    @Innocentciza 3 роки тому

    Unanutazalilisha kabsa pole saaana

  • @dangotee5051
    @dangotee5051 3 роки тому

    Narushe umbwenge kweri wala ata hana hazake aibuu 🤣🤣🤣🤣

  • @michelinendayishimiye2861
    @michelinendayishimiye2861 3 роки тому

    Mmh anatuzalilisha kweli Lolilo sizani kwamba wew uko mrundi warundi awakuwagi hivo ila nikweli ukomu Tanzania kwasababu mrundi wa kweli awezi kusema hivo 🇧🇮

  • @josephmpawe5690
    @josephmpawe5690 3 роки тому

    Unasikitisha saana bwana mzika lolo.jitaïdi kama mme.sio kulilia medias.fikili mwanzo wa isani wako,utajitambuwa we ninani tomorrow

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 3 роки тому

    Haogopi kudaiwa huyu baada ya kusaidia?kwani umekwama wapi Lolilo?nimehudhuria shows zako mbili ndani ya Brussels tatizo liko wapi?

    • @jamil1547
      @jamil1547 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣 haogopi kurudisha fadhila na million 600 juu

  • @julescesarngendakumana9986
    @julescesarngendakumana9986 3 роки тому

    Lizo nakupali ukuwo embasador wa mziki waburundi,nakwamini myaka myingi

  • @saidyahya6392
    @saidyahya6392 3 роки тому

    Eti sasa ivi umekua mtu mkubwa simba apige kolabo na ww simba anakukataa humjui mondi ww

  • @gracek4668
    @gracek4668 3 роки тому

    Nikweri warundi awapedani

  • @shabanramadhan2181
    @shabanramadhan2181 3 роки тому +1

    Ok poa nguvu yake pia irimwo!!

  • @roddyfawaz6
    @roddyfawaz6 3 роки тому

    Kudadeki duuuuuh! Msaada tena mzee baba?!! Acha kujishusha hivyo puumbaaavuuuuuu

  • @amirokatvenligne919
    @amirokatvenligne919 3 роки тому

    Diamond Amujibu Harmonize Ki utu Uzima sipambani naye na pambana na King Alikiba na sio uyo munae mutaja 👇👇👇👇👇👇👇👇
    ua-cam.com/video/Awqp-pxJYcQ/v-deo.html

  • @hunterblack2574
    @hunterblack2574 3 роки тому

    Bro umeongea ukwel wako bana wakuache

  • @banin-bradaneirakoze9535
    @banin-bradaneirakoze9535 3 роки тому

    Ico kigugu nani,abarundi bagwaye iki?🤣🤣gushika naho urira vrmnt,emama mfise umugore wumutanzaniya nimumfashe, toka ugume hiyo utumeko numugore wawe agusange hiyo

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 3 роки тому

    Watanzania tumempokea

  • @itNeza
    @itNeza 3 роки тому

    Pumbavu kabisa lol, Lolilo uko mpumbavu leo we wakusema haya. 🤣🤣🤣

  • @ntiranyibagirasylvain3956
    @ntiranyibagirasylvain3956 3 роки тому

    Mond ndie alikuloga