Dah! Ninatafakari kwa umri wako na shirika kubwa kama hilo likakuamini kukupa madaraka makubwa kama hayo ya coporate affairs and marketing... Kwa hakika hawajakosea kabisa. Una stahili kabisa hiyo nafasi. Unajua namna ya kuwa karibu na wenyeji wako na kadhalika! Hongera sana Juma Sharobaro!
@jumaSharobaro wakati naangalia hii nyimbo mwanzo mwisho nilikuwa nacheka sana na hiki kiswahili umetumia, Unapenda churaaa!! ngozi nyonoro, Dah safi sana, never give up! Mziki nzuri! laini ila
Wewe n bonge LA muimbaji hongera sana juma sasa chukua uraia wa Tanzania nakuonea mbali ktk waimbaji wa bongo ambao mtakua wakubwa miaka ya hapo badae ni we we juma uko vzur muimbaji mzur mwenye kiwango kikubwa sana kazana kuwa bora onyesha uborawako nmekubar
Asante juma a.k.a from China Kwel unaipenda Nchi yetu Achana na kuwa mkulugenz wa Startimes kwel unaipenda Nchi yetu na sisi tunakupenda Waite ndugu zako pia waje Kuiona TANZANIA ya kijan.na blue Bahari Thanks somuch MZEE WAKIJOGOO
Haaaaaaah au sio adi wachina, hakika kiswahili ipo juu big up Tanzania and China 😀😀😀😀😀😀
Kama pia wewe umekuja huku kuangalia baada ya kumuona Juma Sharobaboro akiomba nafasi ya kuimba Wasafi Festival Gonga Like.
Hahaha
Ahahahahahaha kumbe tupo wengi
Tupo wengi
Mwalily Exclusive mimi namba moja baada ya kuona akiongea na diamond platnumz
kama ni kiki ameipata huyu jomba
Good Sana Kama unamkubali sharoo naomba like zangu hapa
Juma tengeneza ngoma nyengine Kali kama tano hivi,am sure wasanii watakufuata wenyewe coz ww tayari ni kiki kwa mziki wa bongo.
Duh uyu mchina mkikaa vibaya atawafunika waimbaji uchwara Wa kibongo maana Bonge ya ngoma,juma safi sana nyimbo tamu sana
Ivan David hhhhhhhha
inayofata Juma weka na Lugha yako pia utuchanganye zaid 👏👏👏👏💣💣💣💥💥💥💥💥
Umejitahid sn jumasharobaro
Nextym uchanganye na kichina naona itanoga zaid 🔥🔥🔥,,
Km umesikia tucheze na ndombola gonga like
Nice melody, nice vocals, best courage, safi sana watanzania hatubagui rangi wala kabila tutaku support juma sharobalo never give up.
My bro you got talent I think ukiimba na Jux it will fit
"Akipita atingishe wowowo, asipake mkorogo".
Ngoma kali sana, hongera Juma Sharo
Umetisha sanaaaa
Dah!
Ninatafakari kwa umri wako na shirika kubwa kama hilo likakuamini kukupa madaraka makubwa kama hayo ya coporate affairs and marketing... Kwa hakika hawajakosea kabisa. Una stahili kabisa hiyo nafasi. Unajua namna ya kuwa karibu na wenyeji wako na kadhalika! Hongera sana Juma Sharobaro!
kama na wewe umesikia "ngozi nyonoro "gonga LIKE KUBWA🤣❤💎
🤣🤣🤣🤣 Ni noooooooooma
😂😂😂😂
Reyna Tz😂😂😂😂😂
@@veelookie8430 nilicheka sana
Reyna Tz hahahaaa
Juma Suluhu sharobaro Ngoma kali imekidhi vigezo vyote.Umetisha nakukubali...
Chaupepo ninomaaa nimesikia ngozi nyonoro .umetisha sana sharobalo Juma .utafika tuu chaupepo
Mwanangu we nyoko kweli, umenogesha mpaka rahaaaa
Kweli we juma sharobaro nyimbo nzur inavutia ongeza juhudi
Nice swahili all ze way from South Africa Cape town wynbebrg 🇿🇦
Juma uko Sawa ..ume mshinda ata hamisa mobeto 🔥🔥🔥🔥🔥
@jumaSharobaro wakati naangalia hii nyimbo mwanzo mwisho nilikuwa nacheka sana na hiki kiswahili umetumia, Unapenda churaaa!! ngozi nyonoro, Dah safi sana, never give up! Mziki nzuri! laini ila
kanifurahisha kwa kweli sharabaro kasha anza kujua kuimbia watoto wazuri good sana
Aisee sharoo baro ni nomaa sana good yani hi ngoma unaweza kula ugalii sufuria mbilii bilaa ata mboogaa ukisikiliza hii ngomaa t good saana
Hakuna matata!!
Wachina wamegundua fursa wabongo ni fundisho hili good job sharobaro
Hahahaaaa sikujua km ninyimbo nilijua nimbwembwe zake. Kumbe jingo bwana good boy
JAMANI jamaaa yupo vizuri. Tz raha JAMANI dah
Wewe n bonge LA muimbaji hongera sana juma sasa chukua uraia wa Tanzania nakuonea mbali ktk waimbaji wa bongo ambao mtakua wakubwa miaka ya hapo badae ni we we juma uko vzur muimbaji mzur mwenye kiwango kikubwa sana kazana kuwa bora onyesha uborawako nmekubar
Juma nyimbo ijayo nataka niione KUNG FU hapa
Umetishaa sanaa sharoo..ngoma tam mnoo
Well done Juma Sharobaro. This is what Tanzanians want in the music industry, keep it up!!
Una sauti kali sana
Mi shabiki yako namba moja....ngoma nzur
unajua sana....aina flaani ya mzki tamu sana....keep it up brother
Dahhh kama mirrad ayo amekucoment inamaana amekukubali mimi nisikukubali ninanini upo vzr mzeee
Juma hongera snaa umejitaidi snaa na unaweza kaza huuna kipaji
Daah!???? Ngomaa nmeikumbaliii balaaaaa
Dah ngoma nzuri kwanza inaujumbe kinoma❤️❤️❤️
Unaweza kaka sharo mziki sio mpka uwe china watanzania tunakuelewa
Nzur sana kaka
We Jamaa unajua good song broo one love j sharo
Go young chen. Uko vizuri san unaweza
Unaniuaaaa Juma song iko poa sana,
TZ BIG UP mzalamu mwezetu kalibu kwenye game 🔥🔥🔥
Kazi nzuri...keep it man!!
Engagement party yangu ntakukaribisha Aisee 😘
Congrat kwakuongea swahili sahihi mzeebaba
Ayaaa bnaa
Hahaha asipake mkorogo #@sharobaro hawa wapo wachache sana
ongera sana kijana ngoma nzuri endeleya.
Makini sana @juma sharobaro
I cant believe it. Umetisha chaupepo
waaaaaao amazinggg mzaramo wa kisarawe
Hii KALII sana juma big up😍😍😍😍😍😍
Good music keep working bro I want to support you and I like your music
Juma naomba I ngoma nifanyie cover mana ni ngoma kali
Asante juma a.k.a from China
Kwel unaipenda Nchi yetu
Achana na kuwa mkulugenz wa
Startimes kwel unaipenda Nchi yetu na sisi tunakupenda
Waite ndugu zako pia waje
Kuiona TANZANIA ya kijan.na blue
Bahari Thanks somuch
MZEE WAKIJOGOO
Congratulations juma.. It's a nice song
Tisha sanaa. unajua juma wewe nachokubali unajiamini sana kama jet lee
Fight tu mzee utatoka
Wabongo washakuelewa sasa tafuta manager mzuri Na promo
Na ka kiki kidogo
Mtongoze hata GIGY MONEY 🤙🤙
Bomba bombata.. HAKUNA MATATA😍🙌
dah ngoma IPO vizur j. sharo
Good music, keep it up. Fanya collaboration na jux
Daa umetisha ngoma kali sana
Safi, juma pambana maisha magumu sana.
Upo good mzaramo wa kichina 100%
Video ipo super quality 👍 good job brother.
Mafanikio hayaji haraka ila utafanikiwa usikate tamaa
Umetisha sana Juma sharobaro
juma shalobaro ngoma kali kinoma noma
ngoma kali sana sana
Juma umejitungia hii ngoma kweli. Hapani hii ngoma labda kakutungia Alikiba
Aaaaaa kisura weweee nice song
Kizazi sana nimependa hiyi nyimbo sana Mr juma S
Safi Fanya mpango mpeleke mondi China utapanda zaidi Kazi nzuri
Ngoma kali sanaaa ila ungechanganya na kichina kidogo ingekua noma zaidi
Wawooo ngoma nzuri sana
Fani imeingiliwa na Jack Chen
😂😂😂
HaahhahahaahhahahahhaahahahahH
Hahahahaha
😂😂😂😂😂😂
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 au sio
Hahahaha nampenda huyu Kaka jamani nyimbo hii nahisi kaniimbia mimi
Nice starting
Kuwanza kuzuri
Umetisha sana juma sauti nyororo nimepata utulivu sana,,,thanks for singing,,,,!!!
Msafiri Mtungwe h
Bit imeenda shuleeee
Hongera sana juma sharobaro unajua
waoooow sauti yko amazing😘😘😘😘 #Jumasharobaro
We fala sana! Good job
Hatariiii sana chaupepo
ngoma qalii sana asa fanya ngoma ingine na msanii mkubwa
Kuna huyu na Bongozozo Noma kweli
Ngoma kali sana #juma_sharobalo
Ngoma tamu sana, kanyaga sharo
Nyonyoro😂😂😂 upo vzur sharoo
Bro I really like it keep it up you have incredible beautiful voice
sijui kama ataludi China kwa hali hii
Ngoma nzuri Sana juma!! Big up
Anangozi nyonoro🙌🙌🙌
Hahaha bamba bamba taa hakuna matata big up wajina
Big upp Juma
Juma sharobaro umesuprise watu
Uko vizuri Juma
Ngoma nzuri sana juma
Hiii ukiwa stimuuu ndio inanoga zaidiiiiii 🔥🔥😂😂
Nomaaa jumaa ✌💯