TUNDU LISSU AFICHUA SIRI NZITO KUHUSU NAPE NA JANUARY MAKAMBA | WANATUMIA MAJINA YA BABA ZAO "KUIBA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu amesema Nape Nauye na January Makamba waliondolewa kwenye Uwaziri hivi karibuni hawana nguvu CCM na kwamba wanaishi kwa majina ya Baba zao.
    Amesema hayo leo tarehe 26 Julai 2024 alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar-es-Salaam akitokea Nchini Ubelgiji

КОМЕНТАРІ • 43

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 місяці тому

    Kila mwanasiasa ajitahidi awaache wanae na wake zake kama RIP Mwl Nyerere na RIP Dr Magufuli walivyoacha familia zao. Kuwasogeza sogeza mbelembele ktk siasa ni kuja kuleta siasa za kimbari nchini. Waachwe wapambane kivyao kama wanataka siasa. Vimemo vitauwa siasa za nchi.

  • @murswadmussa1986
    @murswadmussa1986 2 місяці тому

    Ongea tundu lissu

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 2 місяці тому +2

    Kwakweli wanaenziwa wazazi wao

  • @amaniamani6391
    @amaniamani6391 2 місяці тому

    Msigwa ajielewi time will tell

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 2 місяці тому +6

    Samia hawez kumwacha nape.nikujikosha kusave kashfa.nape anamadudu yote ya ccm

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 2 місяці тому

    Hawana nguvu zozote kiongozi

  • @OmarAmran-t7k
    @OmarAmran-t7k 2 місяці тому +1

    Samia sjui kama atatoboa dah why kila mtu yuko against mama aisee muachieni na yeye . Nyinyi kuna muda wenu

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 2 місяці тому

    Na kinana je nalo waseme

  • @RAMNEinvestmentsltd-sl9qk
    @RAMNEinvestmentsltd-sl9qk 2 місяці тому +1

    Lissu unamuogopa sana Mbowe

    • @allyramadhani5320
      @allyramadhani5320 2 місяці тому

      Kweli

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 2 місяці тому

      ​@@allyramadhani5320mnataka wakosane ili CDM ife Mungu amewaumbua sasa mnasema anamwogopa Mbowe hivi hakumwogopa JPM itakuwa huyu Mbowe

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 2 місяці тому

      Unataka wagombane?

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 місяці тому

      @@leahmgunda4154
      Hapana ila amwambie ukweli.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 місяці тому +3

    Ebu ukiwa unaongea Magufuli mtowe mdomoni mwako.
    Maana hilo jina lina uzito mkubwa kama ulikuwa haujuwi.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 2 місяці тому

      Ujinga unakutesa wewe magu alikua ni msenge tu. Labda kama wewe ni msenge zaidi yake. Kama alikua ana uzito ndio huo.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 місяці тому

      @@zawadimbwambo1091
      Hekima ni dawa

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 місяці тому

      @@zawadimbwambo1091
      Ukweli upo nao moyoni ila chuki zikikuongoza lazima uongee hivi

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 місяці тому

      @FrancisChale-ks7gg
      Ila kazi zake sio vipofu tunaziona

  • @deohank5995
    @deohank5995 2 місяці тому

    Mh?

  • @hajirashidAmani
    @hajirashidAmani 2 місяці тому

    C C M sasa Kwa kuwa nafasi zipo wazi zamu hii mpeni mchungaji msigwa democracy sasa kaipata ndani ya C C M

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 місяці тому +3

    Msigwa ni mchumia tumbo

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 2 місяці тому

    Backing on genes 😅😅😅

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 2 місяці тому +2

    Majibu ya lisu ni Mzigo tani laki tisaaa😅😅😅😅😅

  • @muharamiesther5908
    @muharamiesther5908 2 місяці тому +1

    😅😅😅

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 місяці тому +1

    nape na makamba ni wezi majambazi wameitia kashifa ccm

  • @issakazi2758
    @issakazi2758 2 місяці тому +2

    Ni genge la wahuni

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 місяці тому

    Tundulisu kiongozi mkubwa unakuwa mnafiki hizo ndiyo Sera za mgombea ursis .

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 2 місяці тому

    Na kura za uwiz wa ccm,mbeba dhambi miaka yote.kwa hiyo nape ni lusufa wa ccm.siyo rahis juachwa.kuna njia mbadala wanatumia

  • @HalphaniAlbano
    @HalphaniAlbano 2 місяці тому

    Lisu nimsema kweri ccm wooote wezi bola hayati magifuli angetifikisha mchi ya ahadi

    • @MGUNDUZI
      @MGUNDUZI 2 місяці тому

      Na huy magu alitaka kumuua lissu unaona,, Dunia achana nayo kabsa

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 2 місяці тому +1

    Ni kweli kwa majina ya baba zao

  • @froma3732
    @froma3732 2 місяці тому

    Kwa hivo Magufuli Alimuweka Makamba kwa Sababu ya Mzazi

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 2 місяці тому

    Msigwa hana maajabu

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 2 місяці тому

    Wewe Nape ulimtukana Mh.Lisu wewe una Laana yaShetani Mungu anakuangaza hapa hapa nguruwe wewe Ulimtukana Mh.Rais Hata Adabu huna sijjui utakuwa mgeni wa Shetani Mwizi mkubwa mdomo mchafu kama Choo cha Stand

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 2 місяці тому +1

    Msigwa akawashtue wahehe wenzake,cyo kina mboye.akae mbali na chadema.tulojua ananjaa

    • @allyramadhani5320
      @allyramadhani5320 2 місяці тому +2

      Hamna noma tutastuka tu naukabila wenu je mnataka uchaga ndio utawale nchi hii?

  • @DaudMtafya-pg4fc
    @DaudMtafya-pg4fc 2 місяці тому

    😂😂

  • @mkude
    @mkude 2 місяці тому

    Wewe siku zote utakuwa mpingaji tuu hata jema atakalo fanya rais bado utapinga,hiyo ndo siasa.

    • @PiusKimaro
      @PiusKimaro 2 місяці тому

      Fala wewe njaa wa ccm.

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa 2 місяці тому

    Wezi wa kuku wanachomwa moto... wezi wa kuibia serikali na wananchi wanapongezwa...
    Hiyo ndio TZ