Historia ya Wanyamwezi na Waha, Yaelezwa na Makamu wa Baba Askofu Jimbo la Kahama.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Makamu wa Baba Askofu Christofa Ndizeye wa Jimbo KATOLIKI la Kahama Asema kwanini Wanyamwezi waitwa hivyo na Waha Kuitwa Waha. Ilikuwa katika SEHEMU ya Utambulisho alipokuwa akionesha mahusiano, urafiki, ujirani na Undugu kati ya Waha na Wanyamwezi aliamua kusema wazi Kwamba.
    Wanyamwezi walikuwa wakifanya biashara za kwenda Zanzibar Kila wakifika Huko mwezi ulikuwa ukionekana, hivyo wakaonekana Wana kunyamwezi basi wakaitwa Wanya mwezi.
    Kwa habari ya Waha pia alisema Kwamba walipokuwa wakipelekwa utumwani walikuwa wakiulizwa WEWE ni wawapi walijibu "Aha" yaani HAPA, Hivyo wakapewa jina la WAHA.

КОМЕНТАРІ •