MKWAJU Sehemu ya kwanza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Filamu hii ya kitanzania inafundisha ukakamavu kwenye Ndoa na Jinsi ya kukabiliana na Changamoto kubwa bila ya shuruti itakayoonesha wewe ndie unafanya ....Je unajua nini kimetokea ungana nasi katika kufuatilia mkasa huu wa MADEBE na MKEWE CHANUO Filamu hii imetengenezwa na MALIMEDIA
    Kwa maoni /ushauri
    +255769000762
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 412

  • @daimafikra7045
    @daimafikra7045 2 роки тому +54

    Baada ya MATUSI ii ndo move nzuri zaidi baada ya miezi kupita. Allah awaongoze washiriki wote wa MADEBE LIDAI.

    • @madebelidai10
      @madebelidai10  2 роки тому +9

      INSHA ALLAH

    • @abuusirleh8196
      @abuusirleh8196 Рік тому +2

      @@madebelidai10 madebe wewe unangalia zaidi kipaji kuliko mwonekano❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @khamismohamedidrissa9353
    @khamismohamedidrissa9353 2 роки тому +18

    Heshima sana kwako Madebe na wenzako wote, kazi iko poa sana, Mungu awe pa1 na nyinyi aiseee

  • @allanlusweti7643
    @allanlusweti7643 2 роки тому +21

    Kweli madebe ni msanii ambaye nimetumia kauli zake kuendesha maisha yangu,,
    Nipe likes zake

  • @k37tv
    @k37tv 2 роки тому +11

    Yani nimeipenda hii ...tena imeongelea sana maisha karibu yanikute hivo hivo yanazingua wengi

  • @bonnetambweofficial
    @bonnetambweofficial 2 роки тому +134

    Naomba likes za madebe hapa wakubwa👏👏

  • @nasranasra361
    @nasranasra361 2 роки тому +92

    Nzuli sana wanaye mukubali madebe kama mim Linke nizipate 🇸🇦🇧🇮

  • @Fihim1
    @Fihim1 2 роки тому +24

    Safi Sana Madebe. Umerudi tena. Film ni nzuri Sana. imeanza na UJUMBE yakinifu

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 2 роки тому +34

    Boss madebe hakika kazi zako zinahaja ya kumaliza mb zetu , maana tunapata elimu na mafunzo muhimu kwa afya zetu .

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 роки тому +30

    Tulio kuwepo kwenye matusi na ss leo tupo kwenye ukwaju please naomba tujuane hapa kwa like🔥🔥🔥🔥

  • @silasasensiobazode9961
    @silasasensiobazode9961 2 роки тому +10

    Kazi njema sana bwana Madebe 🙋🏽‍♂️🙋🏽‍♂️

  • @batatukatotolabikay5296
    @batatukatotolabikay5296 2 роки тому

    toka mwenyezi mungu kamuchukuwa kipenzi wetu kanumba, hila mungu ni mungu tu.
    kwa hivi katuleteya madebe lidai.
    nabii muswahili
    mwenyezi mungu akutulindiye

  • @benedictomaujamtutui8693
    @benedictomaujamtutui8693 2 роки тому +28

    Much to respect kwa timu nzimaaa... Hakika hapa elimu itapatikana yakutosha... Keep it up guys🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fatumamwayawe7598
    @fatumamwayawe7598 Рік тому +2

    Hii nayo Kali ya mwaka I say 💝🥰💝💝 wanaomkubali madebe likes jaman..

  • @hawasandale5936
    @hawasandale5936 2 роки тому +5

    Huwa nikimuona chanua na madebe nafurahia sana uwepo wao kiufupi nawapenda kupita kiasi❤️❤️❤️💋💋💋

  • @kheriramadhan4603
    @kheriramadhan4603 2 роки тому +12

    Series Kali🔥Kaka Madebe Haujawahi Kutuangusha#Mkwaju🔥🔥🔥

  • @mokiwasaid6871
    @mokiwasaid6871 2 роки тому +7

    Madebe hajawahi kukosea kwenye kazi zake 👏👏👏👏💎

  • @ayoubjuma122
    @ayoubjuma122 2 роки тому +2

    Sinema nzuri sana ombi rangu msichelewe Sana kutuletea mwedelezo

  • @swaibahamidu1891
    @swaibahamidu1891 Рік тому +7

    Madebe ni mfalme katika tasnia ya movie mukubari mukatae👑

  • @godblessyexaudnkyale20
    @godblessyexaudnkyale20 2 роки тому +9

    Mkwajuu umetufikia WAP like za mkwajuu👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️🙏

  • @nelsondismas4355
    @nelsondismas4355 2 роки тому +5

    Huyu mwamba madebe big up sana. Napenda kaz zAko sana zinaelimisha sana 💪

  • @Dagreattimz
    @Dagreattimz 2 роки тому +3

    Madebe nikuaminia sana kazi safi ...ningelikuwa skuli maneno Yako ningeyatumia kwa kuandisha insha

  • @merrymeenah8539
    @merrymeenah8539 2 роки тому +4

    Madebe na mkewe mashaallah had raha ❤️😍 sio hawa wasanii wengin tabu tupu kwakweli 🤣🤣🤣

  • @alfredomatiascasimiro7087
    @alfredomatiascasimiro7087 2 роки тому +3

    Nyimbo izi tunapataje kwa mfano
    Nyimbo zote za movies zangu mzuri sana kaka

  • @officialjacobs5556
    @officialjacobs5556 2 роки тому +12

    On different level.
    Mob love from Lodwar, Kenya

  • @ambwenendapisi1318
    @ambwenendapisi1318 2 роки тому +5

    The background song is on 🔥🔥

  • @khamissalim56
    @khamissalim56 2 роки тому +8

    Ni thamthilia yenye mafunzo na busara kwa mwanzo wake tuu, Mungu Akuwezeshe kuendelea kuwa na hikma na busara ya kunufaisha jamii .

  • @kigenimohammed7847
    @kigenimohammed7847 2 роки тому +7

    Assalam alaikum warahmatullahi wabarakaatuh everyone ❤️ thank you so much madebe kwa hii bonge la movie iko amazing Tu Sana mungu akuzidishei uzidi kutufunza mengi👏👏 lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️👌

  • @nsengumuremyisylvester4950
    @nsengumuremyisylvester4950 2 роки тому +3

    basi nichukue nafasi hii niwapongeze ndugu zangu kwa kazi nzuli mulio ifanya.
    ki ukweli hii filamu imetengenzwa vizuli sana sana tena sana "high quality" filamu taamu sana.

  • @nathanmtata8473
    @nathanmtata8473 2 роки тому +8

    Ujawahi niangusha MADEME good job jah bless you

  • @jacinterakumu9106
    @jacinterakumu9106 2 роки тому +2

    Watching from Saudi mob love madebe keep it burning 🔥 😬

  • @tatuomary824
    @tatuomary824 2 роки тому +7

    Shukran sana Madebe kwa kaz nzur na team yako

  • @zeddydefirst888
    @zeddydefirst888 2 роки тому +2

    Kitu Moto 🔥🔥🔥🔥😂😂kweli mkwaju gonga like kama ulikuwa watazama MDA umefika au 🤣 bdo mkwaju uwanjani ,,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 together iko love madebe

  • @josephinemakumwangala9460
    @josephinemakumwangala9460 2 роки тому +3

    Much love,from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗🤗

  • @merykisilu9946
    @merykisilu9946 11 місяців тому

    Ongela sana madebe❤ yaani filamu zko hazichoshi nazipenda kinoma walai

  • @asap-kevy5040
    @asap-kevy5040 2 роки тому +1

    Mungu awajalie afya njema tuzidi kupata burudan na mafunzo kupitia vipawa alivyowapa team nzima 🔥🔥🔥🔥

  • @martinchawala4471
    @martinchawala4471 2 роки тому +1

    Daaaaah madebe anajua Sana,bonge Moja la series

  • @nicholasomurunga7269
    @nicholasomurunga7269 2 роки тому +3

    Kazi nzuri,,fun number one from Nairobi Kenya,much love

  • @adamyazid5794
    @adamyazid5794 2 роки тому +3

    Nakubali Sana picha zako kaka zinafundisha Sana hongera Sana na mungu akuzidishie San Sana

  • @kassimjames6376
    @kassimjames6376 2 роки тому +3

    Kazi zako nzuri sana from Paris

  • @issamustafa1565
    @issamustafa1565 2 роки тому +4

    Aya mambo uwa yanatokea sana kwenye maisha ya mausiano

  • @cletusanzigar834
    @cletusanzigar834 Рік тому +1

    Kazi nzuri,nimemuona homeboy muuza genge

  • @emmahtamara4542
    @emmahtamara4542 2 роки тому

    Yaani madebe ungekuwa hukawii sana bila kuachia movie saii ungekuwa talk of the town, kaz nzuri sana

  • @mawidamusictz5152
    @mawidamusictz5152 2 роки тому +3

    Kuanziaa leo Father Mimi Niruhusu Tu Nikuitee @MadebeMkwaju🙏
    Mana Hii Movie Hii Daah inatrend Mtandaon na kwamitaa Yote Bonge Moja la Kazi Baba Angu Shikamoo💓💓💓🎥📸

  • @OmanOman-pt2nx
    @OmanOman-pt2nx 2 роки тому +5

    Hongera Madebe kwa kazi nzur

  • @saunanzige4314
    @saunanzige4314 2 роки тому +1

    hongera sana madebe kwa kazi nzuri hakika unatufundisha mungu akubariki kwa kazi zako

  • @mamafaridi5178
    @mamafaridi5178 2 роки тому +1

    Move nzur hongera madebe

  • @dicvanofficial
    @dicvanofficial 2 роки тому +1

    Nakubali sana kazi zenye uhalisia wa asili ya KITANZANIA na AFRICA

  • @edinabanda2925
    @edinabanda2925 2 роки тому

    Hongera madebe yaan mnajitaidi kutumia kiswahili fasaha kazi nzuri

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 Рік тому +1

    Asnteni sana timu mzima Allah akupeni wepesi wa kila jambo

  • @musaleopards1850
    @musaleopards1850 2 роки тому

    Filam hii kali episodes nzuri kbs, mengi yakujifunza kwa movie 🎥 hii: 👏🏼👏🏼👏🏼

  • @kigulabasil525
    @kigulabasil525 2 роки тому +1

    Mkwaju hauboii... Asante ML

  • @mahatawesojimeri8060
    @mahatawesojimeri8060 2 роки тому +11

    Mkwaju ni lazima iwe na dakika hamsini
    Mambo ya 16 minutes acheni please

  • @AdellaMwita-xz5zm
    @AdellaMwita-xz5zm 28 днів тому +1

    Kazi mzuri snaa 🎉

  • @safarisafari7388
    @safarisafari7388 Рік тому

    Chanuo mama...chemsha hio ndimu natangawizi🤣🤣🤣😍😍😍Mr madebe @m's madebe nawapenda sana

  • @faidhalitaka7323
    @faidhalitaka7323 2 роки тому +2

    Una story nzuri sana maisha halisi tunayoishi kila siku

  • @husseinshaban4266
    @husseinshaban4266 2 роки тому +7

    Kazi nzur sana MADEBE pamoja na TEAM YAKO 👏👏👏👏👏👏

  • @japhetmweke52
    @japhetmweke52 2 роки тому +2

    Madebe unajua ndugu yangu keep it up 💪💪💪💪

  • @tumainlenad5141
    @tumainlenad5141 8 місяців тому

    Jmn tuambien wimbo huo Nan kaimba kupanga sy kuchagua maumiv Sasa nitafanyaje sikutalajii kuziona mbivu Sasa nitatemaje Amina rab Amina tutaonana kiama

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 2 роки тому +5

    Kazi Safi sana team nzima

  • @othmanhajji4700
    @othmanhajji4700 2 роки тому +3

    Ahsante sana kaka madebe kwa kutuburudisha na kutuelimisha mungu awabariki nyote

  • @kimboniz3886
    @kimboniz3886 Рік тому +5

    Big up to Madebe lindai

  • @salhamlanz9806
    @salhamlanz9806 2 роки тому +7

    Madebe anaweza mapaka anaweza tena❤️❤️❤️

  • @amyclassic
    @amyclassic 2 роки тому +1

    Nakubali sana kk mwalimu wangu mungu azidi kukupa marifa na ubunifu

  • @abassisamania8399
    @abassisamania8399 2 роки тому +1

    Nakufatili san madebe najifunza vitu vingi san kupitia ww mungu akubalik san🙏🙏

  • @fatumamussa6966
    @fatumamussa6966 2 роки тому +1

    Mashaallah kaka madebe move nzuri sana

  • @karemakarema8260
    @karemakarema8260 2 роки тому +2

    Kazi nzuri sanaa

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 2 роки тому +1

    hongera sana madebe Allah.akuzidishie afya njema na kundi lako

  • @Tsimbi
    @Tsimbi 2 роки тому +1

    Mimi nimkenya nafatilia sana kazi zenu ninzuri napenda kweli

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 2 роки тому +1

    Umetisha mkukwaju

  • @damisonely4765
    @damisonely4765 2 роки тому +2

    Kawimbo kanani ako jmn pleas 🥺 ira ujumbe mzuri Big up

  • @ibnyussufmsafiri7855
    @ibnyussufmsafiri7855 2 роки тому +2

    Big san mkubwa madebe love u from🇧🇮🇧🇮

  • @aishahussein1261
    @aishahussein1261 2 роки тому +1

    Nimeisubili hiii san kwa mda ni nzuriiii

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому

    Jmn mbona chanuo wetu kapungua ivo. Alikuw anaumwa nin au? nakupend sn chanuo ♥️♥️♥️kak madebe jitahid chanuo wang arudishe kamwili kake bana. Nawapend mno kz zenu nikali mno👌👌👌🌹☘️👌

  • @shawnnjuguna8855
    @shawnnjuguna8855 2 роки тому +1

    Ndio kwenye kuikalia hii sinema chini...Naamini itanifurahisha....254 👊

  • @bakarimbonjo7182
    @bakarimbonjo7182 2 роки тому +1

    Nannjenu nkumonanga ii nne ngunapupa,,,shilombani apanjile jo ni nnyene majele,,,,Big up bro,,,,kazi nzur

  • @rehemachedi1869
    @rehemachedi1869 2 роки тому +1

    Masha Allah umenifurahisha sana

  • @agnesspeter6170
    @agnesspeter6170 2 роки тому +1

    hongeren kwa kaz nzuri😍

  • @eliezel6103
    @eliezel6103 2 роки тому +2

    Shukrani xana. Love from Msawa Boy 🇧🇮

  • @mustaphahemedy9447
    @mustaphahemedy9447 2 роки тому

    Madebe Allah akuhifadh Mana ni mbora kwet sis vijn unatusihi meng Sana kwa vitend

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому

    Movie nzuri San nawapenda nyie be watu

  • @abednego149
    @abednego149 2 роки тому +1

    Lp media nikwel mnaleta kilicho bora very nice

  • @kaluludecorations1166
    @kaluludecorations1166 2 роки тому

    Mtaalam daahh Mungu akuwezeshe uzidi songa

  • @ramakajembe6484
    @ramakajembe6484 2 роки тому +1

    madebe jamani mm nishabiki wako kutoka mombasa naikubali sana mkwaju

  • @juliusfesto9251
    @juliusfesto9251 2 роки тому +1

    Ujumbe mmoja matata sana nimependa kazi yako madebe

  • @sautimojaproduction5714
    @sautimojaproduction5714 Рік тому

    From kenya madebe unaweza kaka Big up bro good work kuja pia kenya support Young talented

  • @bonnetambweofficial
    @bonnetambweofficial 2 роки тому +4

    Kali kuliko aka Lidai✊😎

  • @fatumalugazo9513
    @fatumalugazo9513 2 роки тому +2

    Kazi iyendelee kaka mungu akusaidie

  • @irenewilla8975
    @irenewilla8975 2 роки тому +3

    Kazuri❤️❤️❤️❤️❤️epsode ya pili pls

  • @officialzengomedia
    @officialzengomedia Рік тому +1

    Wangapi tunamkubali madebe gonga like

  • @johnchitete
    @johnchitete 2 роки тому

    Mswahili halali......najifunza mengi hapa......

  • @marriegrace3284
    @marriegrace3284 2 роки тому +2

    Kaliiiiiii☑️

  • @hassanihusseni3193
    @hassanihusseni3193 2 роки тому +1

    Kaz nzur sana kaka madebe pamoja na Tim nzma

  • @allykisspro4080
    @allykisspro4080 2 роки тому +1

    Kazi nzuri mimi nimfatiliyaji wa kazi zako nikiwa drc mjini beni napenda sana kazi zako mimi kama mwingizaji napata elimu kukupitiya ume shimama kama mwalim kwangu ongera sana na imani kupitiya hii kazi labda nita baatika kukuona inshalah

  • @donmvunjambavu3453
    @donmvunjambavu3453 2 роки тому

    Nice bro, idea nzuri xana

  • @jccjjxjc3705
    @jccjjxjc3705 2 роки тому +1

    Nawakubali sana hamuna kazi mbovu

  • @aloycelijega4650
    @aloycelijega4650 2 роки тому +2

    😂😂..mkwaju... nipo hapa lidai..mwamba..

  • @mwadimejuma4598
    @mwadimejuma4598 2 роки тому

    Bonge la movie kazi nzuri sana kaka madebe lidai

  • @michaelcassian1635
    @michaelcassian1635 2 роки тому +3

    Tunapata Kitu sana mzee

  • @Goldsule
    @Goldsule 2 роки тому +3

    Nice movie

  • @faridahahmad9513
    @faridahahmad9513 2 роки тому +1

    Inshaallah naimani ipo siku na mmi nitaigiza na huyu mwamba dahh Allah akulinde na mahasidi bro,hizi ndio muvi sasa madebe number 1 wengine wakalale