Amen mchungaji unanibariki Sana Sana kwa mahubiri yako,ila hii ya kugeuza mtoto mende nimecheka Sana na nilikuwa na watoto wangu tunasikiliza wamecheka Sana pia
Maombi ni password ya kumruhusu Mungu atumie mwili wangu kutimiza makususudi yake hapa duniani📌🙏. For the first time nimemsikiliza huyu mtumishi na mimi sio msabato ila nimebarikiwa Sana na mfundisho yake. Kuna mahali amenivusha. Mungu aendelee kumtumia zaidi 🙇🙌🙏
Nakuelewa Sana mchungaji watu wengi wanaomba kwa kama shairi masaa 3 kumbe tuombapo tayari Mungu anajua hitaji lako unapaswa kumshukuru tu hakika nabarikiwa Sana na SoMo hili Mungu akubariki
Mwenyezi Mungu alibariki sana.
Amen mchungaji unanibariki Sana Sana kwa mahubiri yako,ila hii ya kugeuza mtoto mende nimecheka Sana na nilikuwa na watoto wangu tunasikiliza wamecheka Sana pia
Ubarikiwe sana mchungaji
Amen naomba maisha marefu,
Na kujenga nyumba yangu.
Barikiwa Mchungaji Roho Mtakatifu atusaidie tuliweke ktk vitendo
Amen dady
GOD bless you
Ameen baba mtumishi wallai tunafraiya somo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏ubarikiwe sana mtumishi
Pastor Mungu akubariki sana akupe maisha marefu ya afya . Hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana.
Mungu awe nawe paster nakupenda sana
amen 🙏 pr peter John ☀️
Mungu akusadie pr naelewa mpk bac
Amen 🙌🙏🙌
Ahsante mtumishi wa mungu hili son limenikumbush kitu juu ya mung wangu na min naungan nq wanafunz wa yesu nifundishwe kuomba
Mungu akubariki sana pastor kwa mafundisho yako mazuri 🙏
Japo kuwa nimekufahamu kwa siku za hivi karibuni KIHONDA NET EVENT
Amina
❤Asante sana pita
Nimegundua huyu mchungaji siku chache zilizopita na nimependa sana mafundisho yake. Mungu akubariki sana mtumishi.
Hata mimi Yani nimempenda sana
Pendeni mafundisho yawabadilishe muandaliwe kwa uzima wa milele mana yeye pua nimwanadamu na anaweza akanguka
Amen, neno zuri
Barikiwa pastor
Ameen nakuelewa sana
Mimi kwa nini sikukufahamu mapema,Mungu akutunze na akubariki sana mch Peter.nafuatilia toka Dodoma makole kituo cha Afya
Barikiwa dada Pendo.
Barkiwa mtumish wa mungu Kwa mahubr yako mazur
Pastor hata mm najion sijui kuomb naweza kujua namn zuri ya kujua kuomba
Unaweza kabisa
Barikiwa ujumbe huu unagusa wengi ni pamoja nami
Nimekuelewa vizur sana mtumishi waMungu, Mungu akubariki sana.
Amen
A good road does not make a good driver ,naguswa kwani unanigusa kiroho barikiwa mno
amina pasta peter
Amen
We jembe
Amina mchungaji
Amen, ni kweli wengi wetu hatuobi ila tunalalamika TU na kushitaka,SoMo hili ni nzuri na litufundishe jinsi ya kuomba
Ila nimecheka sana ushuhuda
Maombi ni password ya kumruhusu Mungu atumie mwili wangu kutimiza makususudi yake hapa duniani📌🙏.
For the first time nimemsikiliza huyu mtumishi na mimi sio msabato ila nimebarikiwa Sana na mfundisho yake. Kuna mahali amenivusha. Mungu aendelee kumtumia zaidi 🙇🙌🙏
Amen barikiwa sana Dada.
Natamani nipate namba ya huyu mchungaji
Nikutumie ni mchungaji anaejib kil Mtu han a kujickia namfaham toka 2018
Nicheki 0656999949
Huyu mtumishi namuelewa mafundisho yake yananifaa mengine hayanihusu
Barikiwa sana endelea kusikiliza tena na tena Dada Sara
Nimebarikiwa na somo Hilo nayaweza mambo yote ktk yeye anitiaye nguvu
Amen amen .
Je utatu ni fundisho la biblia msaada wapendwa
Mungu akubariki Sana mchungaji maana umekuwa mbaraka mkubwa sana
Nakuelewa Sana mchungaji watu wengi wanaomba kwa kama shairi masaa 3 kumbe tuombapo tayari Mungu anajua hitaji lako unapaswa kumshukuru tu hakika nabarikiwa Sana na SoMo hili Mungu akubariki
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen