God bless ikwabe tv na pastor Peter kwa mafundisho yenye upako wa Roho mtakatifu pastor anafaa kuwa na YOU TUBE chanel yake anamafunzo yenye uzito wa Mungu
Mtumishi nimecheka sana huu ushuhuda wako akiii ni Yesu hii ndio maana halisi ya Neno alilosema Yesu sikuja kuwaita wenye bali wenye dhambi watape kutub
Amina mtumishi hakika Mungu aturehemu , Ubarikiwe Sana kwa SoMo zuuri linalohuisha mioyo yetu.
Mungu ashukuriwe.pastor Mungu wetu akubariki sana.Mungu atusamehe sana.
Amina pr Mungu akubariki Sana najifunza Sasa zaidi umenisaidia sana
Ameeen. God be Glorified. Powerful encouraging gospel. Congratulations Pastor. God Bless you to give us more.
Amen.
God bless ikwabe tv na pastor Peter kwa mafundisho yenye upako wa Roho mtakatifu pastor anafaa kuwa na YOU TUBE chanel yake anamafunzo yenye uzito wa Mungu
Barikiwa.
Barikiwa pastor..niombee naamini nitakuwa nayo soon
@@peterjohn1015 Amen amen.
Ubarikiwe sana pr. Unatubariki mno
i recommend Mahubiri Tv, mafundisho yake yote yako huko
Niceee,,,
Amina
Jamani mtumishi wa Mungu wewe ndiye object lesson yenyewe... Mungu akubariki sana maana unavutia wengi
Barikiwa pia
Amen
Unajua story zinakuwa tamu haswa ila ashukuriwe tu mungu wa mbinguni aliekuokoa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina🙏
Nimebarikiwa sana.
Amen Dinna Mgomi, share na mngine.
AMEEEEEN AMEEEEEN
Ameeen.
verseambayo musa alifufuka pastor
jude 9
Amen nahitaji number yako mchugaji
0768506096
Mtumishi nimecheka sana huu ushuhuda wako akiii ni Yesu hii ndio maana halisi ya Neno alilosema Yesu sikuja kuwaita wenye bali wenye dhambi watape kutub
Barikiwa mno
Amen