Alooooohh...yaan mbali na kuwa jina la wimbo Ni mziki mtamu lakin bado mziki mwenyewe Ni mtamu😂🎉. Barikiwa sana. Binafsi nimependa vilemba walivyovaa Dorcasi❤
Hapa ndipo nilipomuona # Mwalimu katika mtizamo wa mbali - asante Geita kati namsifu Bwana kwa akili yenu, hapa ni mwanzo tu songeni mbele kwa namna hii
Nimebarikiwa na muziki mtamu. Dumuni kunyenyekea na Mungu awainue huduma yenu itukuke, na wengi wamwone Yesu hatimaye uzima wa milele.
Amina Pr
Amen pr Bwana akubariki sana kwa maneno mazuri ya kututia moyo🙏🙏🙏
Mbarikiwe Vijana wa Geita, Dumuni kutumika shambani mwa Bwana
siku zote, mwisho tupate uzima wa milele
Amen Mzee wetu wa kanisa tunabarikiwa na namna unavyotuhudumia
Alooooohh...yaan mbali na kuwa jina la wimbo Ni mziki mtamu lakin bado mziki mwenyewe Ni mtamu😂🎉. Barikiwa sana. Binafsi nimependa vilemba walivyovaa Dorcasi❤
😂😂😂 barikiwa sana mtu wa Mungu
Kazi nzuri sana hii
Hakika ni mziki mtam❤❤
Tubarikiwe sote mkuu wa mawasiliano atape ngbf
Mziki mtam BWANA AWAINUE SANA GEITTA YOUTH
Amina Sana
Hapa ndipo nilipomuona # Mwalimu katika mtizamo wa mbali - asante Geita kati namsifu Bwana kwa akili yenu, hapa ni mwanzo tu songeni mbele kwa namna hii
Amen amen mtu wa Mungu
Amina
AMEN
Amen..🎉
Well done my company.., God bless you so much
Amen🙏🙏🙏
Bonge la wimbo mbarikiwe sana
Amina sana
Barikiweni sana kazi nzuri sana Mungu awasimamie katika kazi yake
Amina
Amina sana
Bonge la song mubarkiwe sana
Amina Sana sana
Waooo mungu azidi kuwatumia
Jina la Bwana litukuzwe
Unyama mwingi msemo wa wahenga wahuni
Amen
Wimbo umenibariki sanaa
Barikiwa sana danny
Barikiweni sanaaaa vijana nmebarikiwa na wimbo huu
Amen Bertha Bwana akubariki sana
Director yupo vizuri kazi nzuri good movement good quality
Amen amen
Happy sabbath ,,,geita central family
Same to you
Ameeen Ameeen GC youth 🎉🎉❤❤❤❤
Amen tubarikiwe sote
Nabarikiwa,ameen🙏
Barikiwa sana
Amen
Barikiwa sana
Mungu awabariki
Amen pr tubarikiwe sote 🙏🙏🙏
Waoooooo
Kazi nzuri Sana Hakika nimebarikiwa sana
Amina Sana daisy
Hii imeeenda
RIP bro
Kazi nzuri sana-Director mpeni maua yake 🎉
Amen sana injili plus
Mbarikiwe vijana imbeni
Pr dotto barikiwa sana
Amina bwana awatie nguvu aminaaaaaaaaaa
Amina Sana mtu wa Mungu
Mbarikiwe sana wapendwa, Mungu awainue zaidi mumtangaze🙏🏼🥰
Amina
Amen
Mziki mtamu.. Happy Sabbath
Same to you
Barikiwa
Barikiwa pia rockcitytz
Director yupo vizuri kazi nzuri good movement good quality
Amina
Barikiwa sana