JINI DARAJA LA SALENDA - PART 02

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • Suzana na rafiki yake Sharifa wanaamua kwenda kwa mtaalamu ili kuweza kupata msaada wa kutatua matatizo yao yanayo wakabiri, wakiwa njiani walipotea, ndipo wanapoa amua kuomba msaada wa kuuliza nyumbani kwa mtaalamu njiwa manga ni wapi.?
    walielekezwa njia, sasa hatujui kama walifika au la.... na kama walifika je walifanikiwa.? basi karibu kusikiliza sehemu hii ya pili ili kuweza kujua nini kilichoweza kujiri katika safari yao ya kuelekea kwa mganga
    ‪@ankojay_‬

КОМЕНТАРІ • 146