Vijana wengi sana hasa graduate wa degree na masters ambao hawajapata ajira pamoja na wale waliomaliza form 6. Hii video isikudanganye ukadhani jina la chuo ndio litakupa ajira hapana. Hakuna kitu kama hicho soma chuo chochote ila angalia course unayosoma kama ina soko na pia hakikisha unakuwa updated na technology. Siku hizi kuna watu kibao wanaajiriwa just kwa kuangalia umefanya nini (portfolio) yako. Na ili uwe na portfolio nzuri unatakiwa kujiongeza na elimu za kwenye mitandao ambazo ni free tu kulingana na ujuzi wako.
Asante sana Kwa maoni yako kwa Tanzania ni hivo kama usemavyo lakini ukienda nje ya nchi ya Tanzania mfano marekani mtu alie somea Harvard university anapewa priority au kipaumbele kwenye maswala ya Kazi flani pia ukiwa nje ya Tanzania ukasema chuo cha UDSM ni haraka sana kukijua haina haja ya ku Google pia Kuna taasisi nje ya Tanzania zilizopo marekani Wana zingatia chuo ulicho soma kwa nje ya Tanzania pia usisahau ku subscribe 🇹🇿
@@mswaxinfoTZ Labda tuna mitizamo tofauti na namna tunavyochukulia ajira. Mfano, kwa sasa kuna a lot of remote works na ukifatilia statistics za mitandao kama LinkedIn na Indeed utagundua wengi wanaopata ajira ni wale ambao wanaportfolio nzuri na sio waliotoka vyuo vikubwa. Wasiwasi wangu ni pale tu vijana wakijipa matumaini kupita kiwango halisia vyuo vinaweza kuwa na mchango ila sio asilimia kubwa. Subbed 🤠
sijadanganya Cha pili upo sahihi kwa nchi ya Tanzania niiivo usemavyo lakini ukienda nchi za ulaya , marekani Wana angalia vyuo ulivyo soma kwa mfano Harvard university anapewa kipaumbele zaidi kwa baadh ya taasisi za Marekani, pia Tanzania Kuna vyuo vinajulikana hata ukiwa Europe vinajulikana kwa mfano marekani ukisema Mimi ni graduate wa chuo Cha UDSM hapo Haina haja ya kwenda google ku tafuta chuo usisahau ku subscribe 🇹🇿
sawa asante kwa ushauri wako mzuri nita ufanyia kazi UDOM Ina miaka zaidi ya 15 Sasa kwa taasisi kua na 15 years + sio jambo dogo lakini UDOM haito collapse Leo au kesho tuna tegemea kukiona Miaka 50 mbeleni pia usisahau subscribe
UDOM kina zaidi ya miaka 15 Sasa hivi kwa taasisi kua na miaka 15 na kuendelea sio jambo dogo ila tunategemea kwa mkakati uliopo hicho chuo Cha UDOM ku survive miaka 50 mbeleni kina wezekana
Halow uchambuzi wako haujakamilika kama haujakitaja chuo cha DIT kwA wale wa Tech na ni chuo cha zamani kuliko Hiyo MUST. Na ni kizuri sana sana kuliko hicho cha Mbeya naomba muwe mnajiridhisha
Asante kwa maoni yako UDOM kwa taasisi kufikish Zaid ya miak 15+ sio jambo dogo lakini hichi chuo hakiwezi ku dondoka Leo au kesho tutarajie kukiona miaka 50 mbeleni pia usisahau ku subscribe
Kwa taasisi kua zaidi na miaka 15 sio jambo dogo , pia kwa mfumo uliopo UDOM tunategemea kukiona zaidi ya miaka 50 mbele ni ngumu kupotea usisahau ku subscribe
@@mswaxinfoTZ ila kunavyuo vikongwe mkuu tangu hata nchi haijapata uhuru mfano ushirika cha moshi hiko chuo adi kuja kuitwa ushirika kishabadilishwa majina mara kibao kimeenzishwa enzi za mkoloni huko pia kuna UDSM nacho nazani ni cha mwaka 62 au 64 na vingine sema mda tu hautoshi 😄😄😄 udom chuo kichanga sana
@@tss_recreation_fun upo sahihi lakini UDOM kwa utafiti nilio Fanya naweza kusema ni miongoni mwa vyuo Kila mwanafunzi ana ndoto ya kusoma hicho chuo kwa mfano hamna mtu alie maliza form 6 au Diploma asie ijua UDOM hapo tunapata picha ichi chuo Bado kipo sana
Asante kwa maoni Yako Kwa Sasa hivi UDOM kina miaka 17 sio haba kwa taasisi kua na miaka 17 lakini kwa mipango iliyopo hichi chuo mpaka kije kufa ni ngumu tuna tarajia hichi chuo ki survive miaka 50 mbeleni usisahau ku subscribe
Asante sana Kwa maoni Yako UDOM ni cha 2007 kwa taasisi kua na zaidi ya miaka 17 sio jambo dogo lakini hichi chuo kwa jinsi kilivo hakiwezi kufa au kuporomoka Leo tunatarajia kukiona zaidi ya miaka 20+ mbeleni kwa jinsi kilivo usisahau ku subscribe 🇹🇿
Hicho ni chuo kizuri sana na pia ni miongoni mwa vyuo vikubwa hapa Africa mashariki na kati pia watu wazito wamepita hapo kwa mfano Milton Obote, Mwai Kibaki na wengineo ni chuo kizuri
Ni kweli chuo nilichosoma mimi sasa kazi wala ajira hakuna, wamzumbe wote wanakazi, kwa hiyoʻkweli chagua chuo cha ajira au kazi
Asante sana kwa maoni yako kikubwa hakuna ku kata tamaa mpaka kieleweke usisahau ku subscribe
Umeona sis mmakolo sana aucy
fanya research viongozi wengi wa Tanzania wamesomea vyuo gani utani elewa nilkua nasema nin
Vijana wengi sana hasa graduate wa degree na masters ambao hawajapata ajira pamoja na wale waliomaliza form 6. Hii video isikudanganye ukadhani jina la chuo ndio litakupa ajira hapana. Hakuna kitu kama hicho soma chuo chochote ila angalia course unayosoma kama ina soko na pia hakikisha unakuwa updated na technology. Siku hizi kuna watu kibao wanaajiriwa just kwa kuangalia umefanya nini (portfolio) yako. Na ili uwe na portfolio nzuri unatakiwa kujiongeza na elimu za kwenye mitandao ambazo ni free tu kulingana na ujuzi wako.
Asante sana Kwa maoni yako kwa Tanzania ni hivo kama usemavyo lakini ukienda nje ya nchi ya Tanzania mfano marekani mtu alie somea Harvard university anapewa priority au kipaumbele kwenye maswala ya Kazi flani pia ukiwa nje ya Tanzania ukasema chuo cha UDSM ni haraka sana kukijua haina haja ya ku Google pia Kuna taasisi nje ya Tanzania zilizopo marekani Wana zingatia chuo ulicho soma kwa nje ya Tanzania pia usisahau ku subscribe 🇹🇿
asanteeeee umesimama kideteeeeeeeeeeee niko na wewe kabisa
@@commentslaughs Asante kwa maoni Yako pia usisahau ku Subscribe 🔥🇹🇿
@@mswaxinfoTZ Labda tuna mitizamo tofauti na namna tunavyochukulia ajira. Mfano, kwa sasa kuna a lot of remote works na ukifatilia statistics za mitandao kama LinkedIn na Indeed utagundua wengi wanaopata ajira ni wale ambao wanaportfolio nzuri na sio waliotoka vyuo vikubwa. Wasiwasi wangu ni pale tu vijana wakijipa matumaini kupita kiwango halisia vyuo vinaweza kuwa na mchango ila sio asilimia kubwa. Subbed 🤠
@@mswaxinfoTZ10:05
Wadanganyeni watu ajira haziendi kulingana na a chuo ulichosoma usipojoongeza itakula kwako daima
sijadanganya Cha pili upo sahihi kwa nchi ya Tanzania niiivo usemavyo lakini ukienda nchi za ulaya , marekani Wana angalia vyuo ulivyo soma kwa mfano Harvard university anapewa kipaumbele zaidi kwa baadh ya taasisi za Marekani, pia Tanzania Kuna vyuo vinajulikana hata ukiwa Europe vinajulikana kwa mfano marekani ukisema Mimi ni graduate wa chuo Cha UDSM hapo Haina haja ya kwenda google ku tafuta chuo usisahau ku subscribe 🇹🇿
Sawa
Wow!! Asante kaka umetusaidia kujua zaid
Asante sana 🇹🇿 endelea kuangalia video zetu zaidii
Mwanangu provide full details in deep and avoid repetition UDOM Ina ukongwe gani.
sawa asante kwa ushauri wako mzuri nita ufanyia kazi UDOM Ina miaka zaidi ya 15 Sasa kwa taasisi kua na 15 years + sio jambo dogo lakini UDOM haito collapse Leo au kesho tuna tegemea kukiona Miaka 50 mbeleni pia usisahau subscribe
Hata mm nashangaa udom ya 2010 tu hapo
Harvard's of Africa UDOM giant big up ❤
Asante kwa maoni Yako pia usisahau ku subscribe 🇹🇿
Nice
kuna watu humu wana mindi hawaoni vyuo vyao 😂😂😂😂😂 hiii list imekaaa safi sanaaa
Hujui kabisaa kupanga vyuo
Sawa
Steve makasiriko ya nin au chuo chako hakipo umu kwenye list😂😂😂😂
T. I. A daresalaam campus namshauri Kijana aende pale atanishukuru
Asante kwa maoni yako pia usisahau ku subscribe
SAUT
Asante kwa maoni yako usisahau ku subscribe
Umetupiga Kwa udom ina ukongwe upii wakati kimeanza miaka ya hv karibuni
UDOM kina zaidi ya miaka 15 Sasa hivi kwa taasisi kua na miaka 15 na kuendelea sio jambo dogo ila tunategemea kwa mkakati uliopo hicho chuo Cha UDOM ku survive miaka 50 mbeleni kina wezekana
acha kuwa na takwimu mbovu cbe hakiwezi kuwa Bora kuliko Mzumbe
Vyote ni vyuo vizuri mwisho wa siku maamuzi ya mtu mwenyewe ndio yatamsaidia kwa kozi za biashara CBE ni best option Tanzania usisahau ku subscribe
Halow uchambuzi wako haujakamilika kama haujakitaja chuo cha DIT kwA wale wa Tech na ni chuo cha zamani kuliko Hiyo MUST. Na ni kizuri sana sana kuliko hicho cha Mbeya naomba muwe mnajiridhisha
Asante sana kwa maoni Yako usisahau ku subscribe pia 🇹🇿
😂😂😂😂😂
@@mswaxinfoTZMUST kilianzushwa Miaka ya 80 wakati DIT kilianzishwa mwaka 1958 na ndicho Chuo Kikuu kikongwe kuliko vyote hapa Tanzania.
Ni kwel ila udom sio kikongwe chuo ata miaka 20 hakijafik
Asante kwa maoni yako UDOM kwa taasisi kufikish Zaid ya miak 15+ sio jambo dogo lakini hichi chuo hakiwezi ku dondoka Leo au kesho tutarajie kukiona miaka 50 mbeleni pia usisahau ku subscribe
Udom sio cho kikongwe
Asante kwa maoni yako chuo au Taasisi kua zaidi ya miaka 15 hio taasisi inakua imekula chumvi pia usisahau ku subscribe
Chuo cha uhakika ni arusha technical college
ni miongoni mwa vyuo vizuri pia usisahau ku subscribe
Udom umechapia. Chuo kimeanza 2007 kinakuwaje kikongwe.
Asante kwa maoni yako taasisi au chuo ikiwa na umri wa miaka 15 au zaidi hio inakua ni miongoni mwa taasisi ilizo kula chumvi usisahau ku subscribe
Je st.joseph college of engineering vipi?
ni chuo kizuri piaa
UDOM imekula chumvi gani??? Au kina uzamani upi?
Kwa taasisi kua zaidi na miaka 15 sio jambo dogo , pia kwa mfumo uliopo UDOM tunategemea kukiona zaidi ya miaka 50 mbele ni ngumu kupotea usisahau ku subscribe
@@mswaxinfoTZ ila kunavyuo vikongwe mkuu tangu hata nchi haijapata uhuru mfano ushirika cha moshi hiko chuo adi kuja kuitwa ushirika kishabadilishwa majina mara kibao kimeenzishwa enzi za mkoloni huko pia kuna UDSM nacho nazani ni cha mwaka 62 au 64 na vingine sema mda tu hautoshi 😄😄😄 udom chuo kichanga sana
@@tss_recreation_fun upo sahihi lakini UDOM kwa utafiti nilio Fanya naweza kusema ni miongoni mwa vyuo Kila mwanafunzi ana ndoto ya kusoma hicho chuo kwa mfano hamna mtu alie maliza form 6 au Diploma asie ijua UDOM hapo tunapata picha ichi chuo Bado kipo sana
Hakuna nenda patandi special umamahitaji
Asante kwa maoni yako usisahau ku Subscribe
Ajira ya nyokooo
😅😅😅 Usisahau ku subscribe
Utapelii
Habari utapeli wa kitu gani umetapeliwa wapi?
UDOM ni chuo Cha zamani ,au ww ndo GEN Z
Asante kwa maoni Yako Kwa Sasa hivi UDOM kina miaka 17 sio haba kwa taasisi kua na miaka 17 lakini kwa mipango iliyopo hichi chuo mpaka kije kufa ni ngumu tuna tarajia hichi chuo ki survive miaka 50 mbeleni usisahau ku subscribe
Suzaaa jee😢😢😢
Asante kwa maoni yako hicho ni miongoni mwa vyuo vizuri Tanzania pia usisahau ku subscribe
Unakula bando la watu tu bure
sawa
NIT vp?
kipo vizuri hicho chuo usisahau ku subscribe🇹🇿
Kumbe UDOM ni chuo kikongwe? Nilikuwa sijui😂
Ndio ni miongoni mwa vyuo vikongwe pia UDOM ili anzishwa mwaka 2007 rasmi , pia UDOM ni miongoni mwa vyuo vizuri usisahau pia ku Subscribe
Uchapakazi wako ndo ajira yako uku ukimtegemea muumba mbingu na nchi
Amiina upo sahihi kabisa mungu na uchapakazi wako ndio kila kitu pia usisahau ku subscribe
makasirikoo yanini UDSM ni chuo kikubwa Tanzania kweni kuna Shidoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe Tanzania kuna ajira bado !!!!
🔥🔥🔥 usisahau ku subscribe
Acha uongo
Asante kwa maoni yako pia usisahau ku subscribe
It's all about advertisements
Asante kwa maoni Yako usisahau ku subscribe
VIPI DIT?
DIT kipo vizuri pia ni miongoni mwa vyuo vizuri Tanzania
UDOM SIO CHUO KIKONGWE. MTOA POST KABLA FANYA UTAFITI KWANZA
Asante sana Kwa maoni Yako UDOM ni cha 2007 kwa taasisi kua na zaidi ya miaka 17 sio jambo dogo lakini hichi chuo kwa jinsi kilivo hakiwezi kufa au kuporomoka Leo tunatarajia kukiona zaidi ya miaka 20+ mbeleni kwa jinsi kilivo usisahau ku subscribe 🇹🇿
umejuajeeeeeeeeeeeeeeee
Team yetu ilifanya utafiti makini, usisahau pia ku subscribe 🇹🇿
Acha kuropoka wewe
sawa ropoka na wew hauja katazwa
Makerere cha uganda ni kizuri?
Hicho ni chuo kizuri sana na pia ni miongoni mwa vyuo vikubwa hapa Africa mashariki na kati pia watu wazito wamepita hapo kwa mfano Milton Obote, Mwai Kibaki na wengineo ni chuo kizuri
Pia ata ARUSHA tec. wako poa.
Asante kwa maoni Yako upo sahihi ni miongoni mwa vyuo vizuri sana usisahau ku subscribe
Mwenge catholic university Moshi je
na hicho ni miongoni mwa chuo bora Tanzania
kwa rank za Afirica Je orodha ipo je,Tanzania vipo vyuo vingap top 20
Asante blalha
Waholozeshe
G