MAWAKILI WA CHADEMA WAIBWAGA SERIKALI KESI YA MEYA JACOB, HATMA KUJULIKA OCTOBER 7

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 40

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 6 годин тому +14

    Isaya 10 mstari wa kwanza. Yehova asema. OLE WAO WATUNGAO SHERIA ZISIZO ZA HAKI

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma 5 годин тому

      Leta hoja acha za mawazo ya kijinga hayo mambo ndo yaliyofanya watanzia kuwa wajinga miaka yote mpk mwisho wa dunia

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 7 годин тому +13

    Nchi hii inahitaji ukombozi hii serikali. Imeshindwa kabisa kujenga Taifa kazi waliyonayo sasa ni kusingizia watu kesi za kijinga na kuuwa watu Amna kingine

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 7 годин тому +9

    Mungu mkuu

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 6 годин тому +2

    HAKI vs BATILI. Batili haijawahi kushinda popote pale.

  • @annamsaki3634
    @annamsaki3634 7 годин тому +3

    Eee. MUNGU ANGALIA HAKI KAA UPANDE WA BONIFASI/WANYONGE.

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 6 годин тому +7

    WANAUME TUNAONGOZWAJE NA DEMU 😂😂😂TUTAKULA MPAK PUMBA MWAKA HUU

    • @rosepaul7901
      @rosepaul7901 2 години тому +1

      Kwani ilikuaje mwanaume ukazaliwa na mwanamke? Si ungezaliwa na mwanaume mwenzio ili hili la kuongozwa na mwanamke li balance

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 Годину тому

      Ukimdharau mwanamke ni sawa umudharau uumbaji na viumbe wote waliozaliwa

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 41 хвилина тому +1

    Mimi ninachokiona mara nyingi serikali inakua inashindwa kesi,kwanini wasiwapate mawakili wazuri kama Kibatala,kuliko kusikia serikali imebwagawa kesi fulani?

  • @JohnSamwelsilungwe
    @JohnSamwelsilungwe 6 годин тому +2

    Haki Inachelewe ila itapatikikana tu

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka 3 години тому +1

    Boniface mdogo wangu njia nyeupeeeeee!!❤

  • @edmundhenrykagimbo9776
    @edmundhenrykagimbo9776 7 годин тому +4

    Yote hayo ni "Ujinga wa kupoteza raslimali fedha, muda" kwa mambo ya hovyo kusingizia Wananchi!

  • @ShevernadzeLenga
    @ShevernadzeLenga 7 годин тому +1

    Kushangaa na kucheka kisheria😂😂😂

  • @nkorankoranigwa4058
    @nkorankoranigwa4058 7 годин тому +6

    Mungu ni mwema!!

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 години тому +1

    Kwan huyu Jakob ameuwa au?

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 11 хвилин тому

    Naona askari kwa idadi apo wako sita 😂 mtuhumiwa mmoja kesi yake kusambaza taarifa za uongo , akiletwa jambazi konki atakuwa na askari wangapi ,

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 6 годин тому

    Akika kila mmoja ni mchunga tutsulizwa kwatuowachunga..

  • @ShaulizSeleman
    @ShaulizSeleman 6 годин тому +1

    HII NCHI TUTAKULA MPAK PUMBA😂😂😂, UKIONGOZWA NA DEM KUBALI KUPIGA DEKI NA KUPIKA, TUTAELEWA TU AKILI ZA WANAWAKE ZIKOJE

    • @NeemaSamueli
      @NeemaSamueli 5 годин тому

      Eeee kubabake mtaisoma namba na bado

  • @lucusshamte9161
    @lucusshamte9161 7 годин тому +1

    Free Jacob 😢

  • @Buhaya1tvtz
    @Buhaya1tvtz 7 годин тому +1

    Wakwanza

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 6 годин тому

    MAWAKILI WAO NI MAWAKILI VIZIBO

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 7 годин тому +2

    Serikali ya Dem hiyo

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 6 годин тому +1

    Sasa hapo kwani kuna kitu gani cha ajabu ni kwamba mpk trh 07/10/2024 ndio anaweza kuoata dhamana sasa hamuoni bado anasota gerezani?

    • @bujashidaniel5537
      @bujashidaniel5537 5 годин тому

      Siku ukijfunza kuandika vzur comment utakua na utimamu wa ku type vtu vya maana

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 5 годин тому

      @@bujashidaniel5537 bwege wewe kama hao unawasaport Doller hamtoisha mpk hii Dunia itaisha mtakuwa mnashindia mahakamani tu kila Miaka

    • @mkondomkondo4721
      @mkondomkondo4721 3 години тому

      Serikali na wanasheria wake ndo waajabu

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 2 години тому

      @@mkondomkondo4721 ukiwa unauelewa mdogo ni tatizo sana

  • @petromahava865
    @petromahava865 59 хвилин тому

    MUNGU MWEMA🙏

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 7 годин тому

    Gd😂😂

  • @prophetislael5265
    @prophetislael5265 6 годин тому +1

    Mawakili wanakula hela tu mana kila siku chadema na selikali wa kesi kwahyo mawakili wanazidi kupiga hela tu maana hawawez simamia kesi bule nakesi kama hizi sio zakulipwa milio 10 ni 50 kwenda juu maana huyo anae msimamia akiishinda selikali analipwa yeye mkuuu huwez nielewa kama huna d 3 sio 2
    Kazini kuna kaz

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 5 годин тому +1

    Chadema mumshukuru wakili kibatala vinginevyo polisi wangewanyanyasa sana na kesi

    • @AnaniaIsaya-z9g
      @AnaniaIsaya-z9g 5 годин тому

      Ni sawa
      Lakini pia kumbuka Chadema Wana mawakili wasomi wengi sana

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Годину тому

      Sasa police kuwanyanyasa Chadema bila sababu ni sifa njema au ni uzwazwa? police wanapaswa kumnyoosha mtu mwovu siyo anaye dai haki.

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 6 годин тому

    Wanakuaga awanaga jipya awajui kufungua mashtaka wanafungua kesi kwachuki ndio manawanagonga mwamba