Huyu mwamba ukimfuatilia unaona jinsi alivyo jaa hekima na harakati za kweli, siyo machawa tunao waona nchi hii watu watakapo pata uelewa WA kutosha itakuwa imeliwa sana na familia zilizojimilikisha mfumo uliokaa kiuficho ficho tu, kumsapot mambo kinafiki kusubiri vyeo vya aibu.
Namna nyingine inayowekukusaidia kuwka CCM bila nguvu ya Dola angalia hao askari magereza wote wamelat mtu mtuhumiwa mmoja tu. Utadhani ni gaidi au alitaka kupindua nchi. Matumizi mabaya fedha na rasilimali watu. Pole sana CCM
Yani mtu mmoja analindwa na maaska wa kutosha wanaonyesha Ni jinsi gani jeshi letu la polisi lilivo dhaifu. Safi Sana wanamkomoa lakini yupo supa kuliko Jana. Hana wasiwasi mwamba Ni jasiri kuliko wanaomlinda. Mmmh
Raff ungetafuta mtu iyo kesho akavaa uhusika wako yani mtu ajifanye ni wewe na unampea iyo gongo yako anatembea kwa kuchechemea then mummalize yeye uyu mama anaejifanya pasta
Jamaa anaumiza wates so kwa tabasamu hiyo. Ananikumbusha chaula😭
Huyu ndio atakuwa waziri mkuu
Wa Instagram au
😂😂😂😂😂qummke unaniuwa mbavu@@josephosborne3072
MUNGU akutangulie ,utashinda tyuu kaka, MUNGU ni mwema akulinde tunakuombea.
Huyu mwamba ukimfuatilia unaona jinsi alivyo jaa hekima na harakati za kweli, siyo machawa tunao waona nchi hii watu watakapo pata uelewa WA kutosha itakuwa imeliwa sana na familia zilizojimilikisha mfumo uliokaa kiuficho ficho tu, kumsapot mambo kinafiki kusubiri vyeo vya aibu.
I admire this guy true icon plus kibatala
People's Power ndio anamaanisha nini, dunia inaenda kasi nimeachwa mkiani 😂
Nakubali mwamba people pawaaaaa
Namna nyingine inayowekukusaidia kuwka CCM bila nguvu ya Dola angalia hao askari magereza wote wamelat mtu mtuhumiwa mmoja tu. Utadhani ni gaidi au alitaka kupindua nchi. Matumizi mabaya fedha na rasilimali watu. Pole sana CCM
Kwan afande, ingetakiwa wawe askari wangapi kisheria..?
Askari wa kitanzania buana sasa ndio nn kumzingira kama mfu na sare zenu zilizo kosa ladha
😂😂😂
Ajabu sana..
Very impressive.... ✌️✌️✌️
Siasa za Tz ni mbaya sana kuna haja gani kumlinda km kaua kiongozi wa nchi ila ni kuwatia watu ktk situation mbovu
Yani mtu mmoja analindwa na maaska wa kutosha wanaonyesha Ni jinsi gani jeshi letu la polisi lilivo dhaifu. Safi Sana wanamkomoa lakini yupo supa kuliko Jana. Hana wasiwasi mwamba Ni jasiri kuliko wanaomlinda. Mmmh
Wajina jina la mbele namkubari sana ex meya
Hawo maafande wanavyojifutua na kutuna kama wanamlinda netanyau
Netanyau yako Kali🤣🤣🤣
@@FatumaAli-y3y kaka hakosolewi akikosea hudokezwa kimya kimya sasa wewe lakini ok we nitanie si binam
@@MbwanaMdigo laaa binamuuuuu
@@FatumaAli-y3y aaah ila nishikusameh haya wacha fujo fanya ukalale jua Kali hili na usisahau kunisalimia hau kama yupapo
@@MbwanaMdigo Asante kunisameh nakoroma hivi sasa.mhhh tena nimsalimiye
Hawa jamaa watatoboa tu,mi simo lkni,
Sion kosa Lake mtu huyu😅😅😅
Bongo bana angekuwa wa ccm wala wasinge msumbua
Tuko pamoja
Sasa hao askari magereza wote hao ndio wanalinda asitoroke au? Askari wote karibu saba ndio nini? Tena mahakamani 😂😂😂
Yaani watu wote ao wanamlinda mmoja tu mbuzi awa police WA samia😂😂😂
Matumizi mabaya ya nguzo jamani huyo mtu mmoja askari kumi
Huyu Kibibi simuoni vizuri
Haki huinua Taifa
Kundi kubwa la mgambo mtu 1😁😁
Hawajiamini kama yupo mikononi mwao
😢
😂
Dawa yao yule mwamba hamza 😂
If confidence was a person then would be this gay
Boni Anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa katika Jamii.
Raff ungetafuta mtu iyo kesho akavaa uhusika wako yani mtu ajifanye ni wewe na unampea iyo gongo yako anatembea kwa kuchechemea then mummalize yeye uyu mama anaejifanya pasta
🐸👈🏼😃
Hana hat wasiwasi no dipuleshn
Ameshiba
Huo unene angeutumia kwa mambo mengine hakuna anaejali kitu
Kibaya zaidi jela kaenda peke yake,