Mwana wa MUNGU nyimbo zako zina uvuvio make kila wimbo napokea yani leo nimebaki nanyimbo zako mpaka basi nimeskip taari nyingi kwasababu ya jumbe zako BABA,pia nimeona kwahabar ya kuondokewa na mtoto wako MUNGU awatie nguvu BABA, I LOVE YOUR STYLE OF PREACHING THE WORD OF HEAVEN' FATHER
Hapo kwenye katabia hako ka wanyakyusa umegusa penyewe ndivyo walivyo.Mwanyakhusa hata Akiwa ameokoka awe ni mshirika ama ni mchungaji bado hiyo tabia imewatawala.Jeuri,kiburi,dharau na kutaka kuwa juu.
Ndani ya kristo yesu tusipovumilia aibu,masimango,kejelina mengineo tunayowekelewa hatutamuona katika kiti chake cha enzi.isaya 35
Wangapi tumekuja hapa baada ya kuona hii clip kwa manara? Likes hapa
Amen mtumishi mwee twe banyakyusa mma bikujobha fijo mwee ila Mungu mwema sana
Mwana wa MUNGU nyimbo zako zina uvuvio make kila wimbo napokea yani leo nimebaki nanyimbo zako mpaka basi nimeskip taari nyingi kwasababu ya jumbe zako BABA,pia nimeona kwahabar ya kuondokewa na mtoto wako MUNGU awatie nguvu BABA, I LOVE YOUR STYLE OF PREACHING THE WORD OF HEAVEN' FATHER
Amena sana baba umepitiya kweli
Mungu kakutowa mbali sana baba kwa kufikiya hapo ulipo Mungu alijuwa una kusudi lake Mungu apewe sifa sana si kidogo
Ume hubili kwa gala ma yoyote mungu à tuwezeshe tupige hatuwa ya wokovu
Baba nakupenda sana nyimbo zako zinanibariki mno.
Babangu kipenzi umenibariki sana
Naloliii abhakyusa idhalau nyingi kweneee ukwitutumula ,hongera saana Mungu akusaidie baba na usikate tamaa ktk kumtumikia yy nawapenda
Ni kweli kabisa hiyo album imenigusa sana
Am in Kenya mwakipesile iwish you Kenya
Am one listening, great testemony.there is God who change our story.AMEN
Hapo kwenye katabia hako ka wanyakyusa umegusa penyewe ndivyo walivyo.Mwanyakhusa hata Akiwa ameokoka awe ni mshirika ama ni mchungaji bado hiyo tabia imewatawala.Jeuri,kiburi,dharau na kutaka kuwa juu.
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na Mungu akulinde.
Dharau za mnyakyusa akikudharau utazani umejinyea🤣🤣🤣🙆🙆
😂😂😂
Acha niwe mjinga lakini kwenye Ile njia nipite 🙏🙏
Mwaisa wewe ni noma sana kumbe miso misondo wamekuiga ww gear kukaja hay Makoti alianza ww
I like this song
Ameen
Amina Mungu akubariki ktk Kristo Yesu
Barikiwa broo
Nimekuja baada ya kuona Crip huko Facebook..... Mubarikiweeee
Mtumishi Wa MunguBarikiwa Sana.
Mungu n mwema asante
Wow amazing,be blessed
Mtumishi Nabarikiwa Sana
Pamoja NaWatoto Wangu Na Familia Yangu Yote
we baba wayugha zyamumwo💪💪💪
Amen
Oi sou do Brasil em Fortaleza 😂
god bless you pastor
Wimbo mzuri unamafundisho mazu nimebarikiwa nao
Amen Amen hakika hii ni ijil ya kwel kabisa isiyo goshiwa
Amen amen pastor
baba schokivkuangalia hii nyimbo imejaa ujumbe
Nipo hapa 2024
mungu mwema
Noma san
Napendaga mbarikiwa ukicheza
Tujapokua wajinga hatutapoteaaa mbarikiwe Sana nyimbo imenijenga imefurahisha imenipa kitu kikubwa kwakweli
Ubarikiwe tena
jamani schoki🙌🙌🙌🙌
Kweli😁😁😁😁
Ameeeen
Amina sana
Mtu naweza zani wamelewa changa.
Kwakweri hatutapotea
Haaaaaa
Ameeen
hatutapotea
Kwani chanel ya Mbarikiwa kilikwenda wapi?
Ile wenye dunia waliifunga kwasasa waweza kumpata kwa chaneli imeandikwa kikosi kazi cha injili
@@barakamwamtenga2448 ahsante sana, barikiwa
@@oyiloodhiambo7518 ameen
Ameni
Waliifunga kwasababu ya kuusema ukweli ila angehubiri mafuta na maji wala wasingeifunga
Tupeame muda time
Ameen
Barikiwa broo
Amen
Nabarkiwa mnoo