"nitakua wamwisho kumsaliti MAGUFULI" PAUL MAKONDA alakiapo mbele ya WANACHATO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi 11 місяців тому

    Ahsanteeeeee sana Makonda. Ubarikiwe sana na Bwana Yesu.

  • @selinaboyo5177
    @selinaboyo5177 6 місяців тому +1

    Asante sana makonda

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 8 місяців тому

    Barikiwa sana makonda

  • @HebronMwakyambiki-uq6cf
    @HebronMwakyambiki-uq6cf 11 місяців тому +1

    Makonda nakufananisha na Baba magufuli nakupenda bule kaka mungu akusaidie

  • @alexanderdustan8872
    @alexanderdustan8872 11 місяців тому +3

    Ata mimi naapa sitamsaliti Magufuli Jpm alinifundisha mengi kuhusu maisha. Yaani kiufupi alinifundsha kujiamin

  • @mushumbaeric4916
    @mushumbaeric4916 11 місяців тому +3

    Naungana nawewe kwenye kiapo sitamsaliti Magufuli nitampenda mpaka siku ya kuhama

  • @nyandaephraim4039
    @nyandaephraim4039 11 місяців тому

    Asante sana kututembelea na kumkumbuka mwamba wetu dr JPM❤

  • @gloriamwalongo3661
    @gloriamwalongo3661 8 місяців тому

    Asante makonda

  • @NgunoSangano-j2q
    @NgunoSangano-j2q Місяць тому

    Makonda hakika unaweza uko zaid ya kaz uliyo nayo mungu atakuinua zayid hakika wewe uwe rais wetu

  • @JacobWilson-q9c
    @JacobWilson-q9c 11 місяців тому

    Asante sana

  • @Worldunite
    @Worldunite 11 місяців тому +1

    Kamanda kuna watu walijisahau na waliamini kuwa umeshatoweka, yaani walikukana na walikusakama sana wakati ulivyochomoka serikalini hadi walitaka kukufungulia mashitaka,
    Sasa ni wakati uendeleze mapambano dhidi ya wabadhirifu na mafisadi na uwatie adabu waliokuwa wanakusakama

  • @MsumalAloyce
    @MsumalAloyce 3 місяці тому

    Ww ndo mwanaume

  • @lutegobusweru5949
    @lutegobusweru5949 11 місяців тому

    Naungana na wewe hata mm nitakuwa wa mwisho kumkana JPM 😭😭😭

  • @SimonMaregge
    @SimonMaregge 6 місяців тому

    Uyo ndo mwl wko na tunakupendaa kwa sabbu ya Hilo ww ndo magufuri no 2 tuna Imani na ww

  • @jofreysaimoni4964
    @jofreysaimoni4964 11 місяців тому

    Unasemaje kuhusu bandali magufuri namama yetu samia

  • @jacksonstephano8570
    @jacksonstephano8570 11 місяців тому

    Makonda Taifa hili hua lina maajabu hasa watu wake ushauli wangu hakuna haja yakuwa na vyuo maana eti mutu hutoka chuo kikuu anakuwa mwizi Je? Vyuo vikuu vya Tanzania hutoa kozi ya wizi.

  • @josephmturi6936
    @josephmturi6936 11 місяців тому

    Kazi ipo 2025

  • @RebekaWitale
    @RebekaWitale 11 місяців тому

    Malinda ziarabunda

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 11 місяців тому +2

    Nau Hana wewe
    Sitamsaliti JPMagufuri kamwe mpaka Mwisho wa Maisha yangu.
    Ulizaliea kuwa Kiongozi na kuwafundisha wasiojuwa kuw Kiongozi.

  • @kephamapogo5333
    @kephamapogo5333 11 місяців тому

    Uchu wa madaraka,uroho kujipendekeza,ulafi na upigaji
    Hata wewe wakati hujateuliwa walikusema vibaya kweli leo wanakuita mh.
    Waambie hiyo habari yao ya mitano tena waachane nao wasubiri fagio la chuma