MKOBA WA MAMA Episode [ 4 ] {S2 } Tradition & Love story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 136

  • @mrbig2181
    @mrbig2181 53 хвилини тому +3

    Najiuliza maswali bado sipati majibu....kwa mujibu w s 1 ...Halima na wakina muhina ni waganga wasomi walio fika mpka elimu ya juu ..sasa inakuwaje halima anawashangaa uvaaji wa wadada wa mjini ilihali ni mganga msomi wa elimu ya juu....majibu tafadhali

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 Годину тому +1

    Haya wanganga wamefika mjini

  • @fahruq4486
    @fahruq4486 Годину тому +1

    Hilo buti limenimaliza😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😲😲mob love

  • @JescaDenis-d2r
    @JescaDenis-d2r 6 годин тому +24

    Wangap tumependa Buti la halima 😂😂😂😂

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 5 годин тому +6

    😂😂😂😂😂muhina pasua kichwa sana aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi team you tube 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

    • @SharifaMarusu
      @SharifaMarusu Годину тому

      𝐓𝐮𝐩𝐨 𝐭𝐞𝐚𝐦 𝐟𝐮𝐫𝐮𝐬.𝐬𝐭𝐫𝐨𝐧𝐠 𝐰𝐨𝐦𝐚𝐧

    • @SharifaMarusu
      @SharifaMarusu Годину тому

      𝐓𝐮𝐩𝐨 𝐭𝐞𝐚𝐦 𝐟𝐮𝐫𝐮𝐬.𝐬𝐭𝐫𝐨𝐧𝐠 𝐰𝐨𝐦𝐚𝐧

  • @swabramulanga2851
    @swabramulanga2851 4 години тому +7

    ❤❤❤❤kazi nzuri sana kama unapenda mkomba wa mama nipeni links yang

  • @BrayoGansly
    @BrayoGansly 2 години тому +1

    Hiyo wimbo ya mapenzi pesa umri nuber kaimba nani

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 години тому

    Mashallah ❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu

  • @Yesunijibuu
    @Yesunijibuu 6 годин тому +4

    hapa sasa picha ndo limeanza kunoga kama umefurahia kuwaona mwina na kundi lake weka like hapa

  • @salimkombora2742
    @salimkombora2742 32 хвилини тому

    Kazi nzuri sana tanu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 години тому

    Patam hapo halima uko vizuri

  • @AchuraAkeza
    @AchuraAkeza 3 години тому

    Tanu n'a teams Yako nawapenda sana movie zuri ❤❤❤❤

  • @ashurahamis5066
    @ashurahamis5066 7 хвилин тому +1

    Ongeza dakika bhn tanu

  • @RashidMedia_1
    @RashidMedia_1 47 хвилин тому

    Huyu Mpenzi wa tofa amenibore sana aliambiwa atulie kwao ila wapi haya imekula kwake

  • @brendah-qc8gw
    @brendah-qc8gw 5 годин тому

    Good job next itakua unyama sanaa💓💓

  • @jumannemalungo5018
    @jumannemalungo5018 5 годин тому

    Kazi safi

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande Годину тому

    Mwina umemuwa ndugu yako tanu pole sana 😢😢😢😢

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 4 години тому +1

    Sema dah Nataman itoke kipande kengine saiz😢

  • @pascalyalema6925
    @pascalyalema6925 6 годин тому

    Movie Kali, imesinama sana

  • @KarimAbdulNshimirimana
    @KarimAbdulNshimirimana 3 години тому +1

    Kutoka Burundi tunasubir ep5

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 2 години тому

    😂😂😂muhina tamaa sijui utaachalini daa ilahalina hilo buti

  • @CelineSalum-w2q
    @CelineSalum-w2q 7 годин тому +3

    Ila ukiwaangalia halima na tanu 😆😆🤣🤣mbavu zng mie

  • @LovelyDandelion-dv5ht
    @LovelyDandelion-dv5ht 6 годин тому +2

    Muhina nimependa mavazi yako 😂😂😂😂😂

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 5 годин тому

    lovely

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 години тому

    Jinsi walivyoingia mjini sasa😂😂😂 nmecheka jaman magunia alafu mavazi sasa mmeweza🎉🎉🎉

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 5 годин тому +2

    Funga funga tuondoke

  • @JamesKarenzo
    @JamesKarenzo 29 хвилин тому

    Halima ❤🎉

  • @OmarKadidi
    @OmarKadidi 2 хвилини тому

    Jmn Buti la halima

  • @Credokiwaga01
    @Credokiwaga01 7 годин тому +1

    Mimi wa kwanza kutoka Congo like yangu

  • @Nururizermusic
    @Nururizermusic Годину тому

    Jaman muhina kafika mjini na kijikofia chake 😂 .mjini pataharibika sasa 🇰🇪 😂😂😂

  • @RukiyaAbdillahi
    @RukiyaAbdillahi Годину тому

    Wanachelew kuthow n wakithow wanthow kidogo

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO 6 годин тому

    Mi hata nikijua ilikwisha kumbe bado kazi nzuri

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 5 годин тому

    Tofa pokea ua lako 🌷🌷

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 7 годин тому +3

    😂😂😂😂😂😂Yani hajaacha tabia yake ya kugawa zawadi muhina 😂😂😂😂😂😂

    • @ZaituniIddy-pi9yv
      @ZaituniIddy-pi9yv 6 годин тому

      Ataachaje 😂😂😂😂

    • @Yopeboe
      @Yopeboe 6 годин тому

      😅😅😅Yaniiiii😊

    • @AnnaLea-lq6ob
      @AnnaLea-lq6ob 10 хвилин тому

      Anajua umuhimu wa hiyo zawadi,kwaiyo anataka amtunuku kila mtu ❤😂😂❤kwani wewe hautaki kutunukiwa?

  • @indexchitanda4477
    @indexchitanda4477 7 годин тому

    Mkoba wa mama ni bonge movie ❤❤❤

  • @CelineSalum-w2q
    @CelineSalum-w2q 7 годин тому

    Akili ZETU WANAWAKE et upo na mwanamke😆😆😆🙌

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 6 годин тому

    Ila nmependa mabeg mlioingia nayo mjini kina Halima na muhina 😂😂na buti wow 🎉

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 6 годин тому

    L
    Mimi filenimeona halima najuwa kilakitu kikosawa😂😂😂❤❤

  • @alexsilvano332
    @alexsilvano332 Годину тому

    😂😂😂Mhina anataka atoe zawad kwa Hawa duuuh

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t Годину тому

    Mzee makoti kaingiya na kutongoza😂

  • @FARIDAMLOTWA
    @FARIDAMLOTWA 58 хвилин тому

    Hapo nimewaelewa huko nyuma ilikuwa haileweki

  • @Yopeboe
    @Yopeboe 6 годин тому +1

    Kaka mbn unachelewa kuzipost hizi jsmani😢😢

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 Годину тому

    Sasa nimeanza kuelewa kaka yake tanu ndiyo huyu mishen town tofa 😂😂

  • @AtembojeanLuc-dc9bt
    @AtembojeanLuc-dc9bt 5 годин тому

    Tofa munganga mwenye bahati

  • @LilianAchieng-j3x
    @LilianAchieng-j3x 3 години тому

    ❤❤❤❤

  • @AlineIradukunda-bs6mt
    @AlineIradukunda-bs6mt 7 годин тому

    Kz nzur jaman❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MOASLLY
    @MOASLLY 5 годин тому +1

    Mzee wa kutoa zawad kama kawaida yake

  • @youngtz8443
    @youngtz8443 4 години тому

    Mwamba zawadi mpaka mjini😂😂😂😂

  • @MercyJason-x1b
    @MercyJason-x1b 5 годин тому

    nimetokea kulipenda hili jambazi😮😮😮eeh mama wee

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 5 годин тому

    We mbwa unajua alaf unajua saaana🎉❤😂😂😂

  • @domingosmarianooreste
    @domingosmarianooreste 7 годин тому +1

    Number One mimi Leo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @MaurideFahamo
      @MaurideFahamo 6 годин тому

      🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏 pemba

  • @mariamumdoe1466
    @mariamumdoe1466 5 годин тому

    ❤❤🎉🎉

  • @busimebiringanine5800
    @busimebiringanine5800 58 секунд тому

    Wanawake ni shida uki waambiya ukweli wanaona unawadanganya ona sasa

  • @TightnotChome-fn2jy
    @TightnotChome-fn2jy 29 хвилин тому

    Hio ni kanvu au ni koti 😂😂😂😂

  • @IsraelMwanga-d4m
    @IsraelMwanga-d4m 5 годин тому

    Kunaseehemu hapo kama kuna shughili wanakula naona masufuria😂😂😂

  • @HuseinRuhoza
    @HuseinRuhoza 5 годин тому

    Aaaaaaa zawad zinaendelea adi mjini muhina wewe lak zenu wakuu

  • @mammyspecial2
    @mammyspecial2 6 годин тому

    Story imenoga kwakweli

  • @MuhammadMawe
    @MuhammadMawe 6 годин тому

    Umetisha san muhina

  • @Snow123-v6l
    @Snow123-v6l 7 годин тому

    Kweli zawad🎉🎉🎉

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 6 годин тому +2

    Muhina viatu vyako kakaa😂😂😂😂

    • @Yopeboe
      @Yopeboe 6 годин тому

      😅😅😅Atarii

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 5 годин тому

    Msiniambie hamjaona luku y mhina😂

  • @Awoshy
    @Awoshy 6 годин тому

    Kumekucha 🔥🔥🔥🙌🤣

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 3 години тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @luswagawamba2232
    @luswagawamba2232 7 годин тому

    KAZ nzur

  • @G_M22
    @G_M22 Годину тому

    Kwa wale walioona hii ep inascratch tujuane

  • @AnnSaidi
    @AnnSaidi 3 години тому

    aah jamani season 2 kanoga mno,🥰🥰

  • @sarahdonte2183
    @sarahdonte2183 Годину тому

    MhinA na hizo nguo😂

  • @WycliffNyariki
    @WycliffNyariki 4 години тому

    Wee tanu na hizo vitu vizito vitakuua

  • @MercyJason-x1b
    @MercyJason-x1b 5 годин тому

    mke wa Kapela atapona,wewe mwenyewe ni bonge la mtaalamu

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa 6 годин тому

    Nzuli.hatali

  • @ValentineChepkemboi-jt7it
    @ValentineChepkemboi-jt7it 4 години тому

    Finaly mwina na halima wamefika mjini😂

  • @arafasuleiman8943
    @arafasuleiman8943 7 годин тому +1

    Wa mwanzo miee

  • @lailalaila9114
    @lailalaila9114 5 годин тому

    Yani muhina n harima wameua 😅😅😅

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 Годину тому

    Sasa ndii nimeanza kuiyelewa hii km mkoba wamama

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 7 годин тому

    Kazi yang pendwa yan

  • @raineryponera3278
    @raineryponera3278 6 годин тому

    Jmn nimefrai kumuona da halima ila duh kanifurahisha muhina na ayo mavazi

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 6 годин тому

    Jaman sibomana unapaka nn uson mbona upo soft hivyooo

  • @CelineSalum-w2q
    @CelineSalum-w2q 7 годин тому

    Wa kwanzaaa

  • @MinzaMaduhu-f9r
    @MinzaMaduhu-f9r 7 годин тому

    Halimaaaa❤❤❤

  • @sixbetussebastian7990
    @sixbetussebastian7990 7 годин тому

    Haya laik zije kwa wingi Leo nimekuwa namba 1

  • @MustafaBallack-j5y
    @MustafaBallack-j5y 7 годин тому

    Wa 3 kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮✌️

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 5 годин тому

    Muhina mzee wa zawadi kubwa na ndogo 😂😂😂

  • @OmarShevo
    @OmarShevo 6 годин тому

    Muhina n halima waingie polepole apo Jiji lenywe

  • @winrosemzani
    @winrosemzani 6 годин тому +1

    Outfit ya muhina😂😂😂😂😂

    • @Yopeboe
      @Yopeboe 6 годин тому

      😅😅😅

  • @faizhassan5029
    @faizhassan5029 5 годин тому

    Ila Mihina kwa Kugawa zawadi 😂😂😂

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 7 годин тому

    From 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Nururizermusic
    @Nururizermusic 58 хвилин тому

    Muhina peana zawadi 😂😂😂😂

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 6 годин тому

    Jaman muhinaa hizo nguo na kofia kama mfilipino😅😅😅

  • @KitwanaRoger-y2b
    @KitwanaRoger-y2b 5 годин тому

    Episode5 wanatuonesha kipande kingne wakat hapo wanaonesha wamekutana

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 4 години тому

    Nyieee mtunzi wa hii movie nani nmtumie ela ya sodaaaa😂😂😂😂

  • @MinahKessy
    @MinahKessy 6 годин тому

    Vinaishiag patamu😂

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 20 хвилин тому

    ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @blaakprince5681
    @blaakprince5681 3 години тому

    Naona waganga wameanza kuingia sasa

    • @RashidMedia_1
      @RashidMedia_1 39 хвилин тому +1

      😅😅😅😅Washaingia hvyo 🤣🤣

  • @KinusuJuma
    @KinusuJuma Годину тому

    Wa 114 leo piga like yako hapo kama umesoma hiyo naomba ❤

  • @SalamaFrancis-yg7sr
    @SalamaFrancis-yg7sr 4 години тому

    Team mhina oyoo😂😂

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 7 годин тому +5

    Jamani tim tanu like zangu 🎉❤

  • @FabriceManirakiza-v4r
    @FabriceManirakiza-v4r Годину тому

    Tano iko wapi

  • @RakmaRakma-o9b
    @RakmaRakma-o9b 6 годин тому

    🙏🙏🙏❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮

  • @CelineSalum-w2q
    @CelineSalum-w2q 7 годин тому

    Ilaa muhina et mjini kutam😂😂😂😅

  • @ireneluoga5847
    @ireneluoga5847 7 годин тому

    Toka imeanza hii ya mjin hata siifatilii naona wala tanu umezingua

    • @RebeccaTereli-r8s
      @RebeccaTereli-r8s 6 годин тому +1

      Usipo angalia ww ss tunaangali, haujashikiwa fimbo,