Kwa kweli hata mm sijaelewa Jojo alikufaje au kilimuuwa nn zaidi ya kuona mamake kapeleka tu ujumbe kwa wale kaka na dada ambao wanadinyana kawambia tu kuhusu kifo Cha Jojo ila hawajaonyesha Jojo kafanje
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa COMEDY PLUS😊 aseeh yani katika series zote za youTube zenye dakika Nyingi ni hiii Watizamaji Tunaenjoy sana sana Mbarikiwe🙏🏻🥰 KAMA UNA ENJOY KAMA MIMI HAPA KWA HII SERIES YA SHETANI GONGA LIKE HAPA🥱😋
Tufanye sana ibadan shetani yupo kila kona😭
Atariiiii sana mama una roho mbaya km shetan
Nikajua nimewai kumbe wa 87 sio poa aya team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Kazinzuri sana
Nafsi yangu kiukweli inanyuma sana kuwona Naomi akichindana na shetani
Jamani❤❤❤❤🎉🎉
Wa mwisho hapa jmn😢😢
MUNGU Andelee kuwabariki team comedy plus❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri bro bhailam mariam Mzee simba kheirat big up sana
kifo cha Jojo kilikuwaje,hapo mwanizima data,alafu hii ya leo mmezingua,Bhailam na Naomi mmewaacha wapi.......stars wako wapi?
Angalia season one utaelewa jojo ilikuwaje
Kwa kweli hata mm sijaelewa Jojo alikufaje au kilimuuwa nn zaidi ya kuona mamake kapeleka tu ujumbe kwa wale kaka na dada ambao wanadinyana kawambia tu kuhusu kifo Cha Jojo ila hawajaonyesha Jojo kafanje
Naomi kwa sasa anatumia muonekano wa mariam,angalia vizur kuanzia mwanzo wa season utaelewa
@@beatricesamwel9133 ila hawo kaka na dada sjui tuwaweke ktk kundi gani,maana wamempita huyo shetan mwenyewe kwa uchafu wanaofanya.
Mwisho wa jojo niliskia kaenda boding mambo ya kifo hata mimi nilishtuka
Kazi nzr❤❤❤
Nice Babu mtefwengo
Kazi nzuri sana ndo huziri🤣🤣🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Next ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Fire in the house ❤🎉
🎉🎉🎉🎉 kazi zuri 🎉 wanangu
mimi kama zombie,ndo kuingia😂😂😂😂Bhailam sijui nimemkuta,mshauli wa ajabu😂😂😂
Napenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Hata sijaerewa
WA kwanza kucomment,nifuateni tafadhali 🙏🙏
Kazi nzur san🎉🎉
Noma sanaaa🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Kaz mzr❤❤
Asante sana uncle bailam
Big up vipenzi vyangu
Mzee hamza kazi n kula watu usiku tu kuoa aaaah 😂😂😂😂😂
Mshabiki wa shetani salamu za asubuhi 🎉 wa kwanza Leo 😅
❤❤❤❤
Gonga like Kwa apa team bhailam
Filam hii km hajaingia naomi na bairam siyoni kunoga 😂😂😂😂🎉🎉
Naomi yupo ndo huyo anaetumia umbo na sura ya mariam
@@glorymanga3650 huyo mariam wenyewe hakuwemo leo.
@@RaimamomedSaide naomi ni yule alievaa sura ya mariamu
@@RaimamomedSaide bairam ndo shetanii
Naomi anatumia umbo la mariam
Wakwanza mimi
🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Nimewah jamn😢😅
Tupo pamoja ✊
Wakenya wapii upendo wenyu jamanii ❤❤❤
Leo wakwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮 na niko karibu sana
Like zenu vipenzi❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤
Maskin jojo wetu
Leo nimewahi in kenya nipeni likes jamani
Leo nimewahi jamaniiiiiiiii like hata kumi2
Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 team strong mko wapi naomba likes zangu 😂😂😅😅😅
Unyama sana hongereni jamani ila naamini jojo na ramso hawajafaa mm😢😢😢
Asante ❤❤❤❤
Mda wa chai jamn kunyweni chai kwanza ndo tuangalie
Nan yupo pamoj namm km naomi ni mjamzito ndo maan wamemuwek maliam🎉
Hta me naona hvyo
@@RaisaDaudi ndy toka kweny mtt wa sheikh km alikuwag mjamzito yan
@@neemamichael-iv3jp Allah afanyie wpsi in shaa Allah tutamiss
@@RaisaDaudi ni kwel ndug yangu🙏🏻🙏🏻
Tuendele kuota Ili tuje tukapate katoto kanaomi
😂😂😂 mzee Hamza
Muhimu ibada kwa wingi ndio njia pekee ya kumshinda shetani
Mbna aisha mchoma vitumbua tena😅
Hapo grace umezingua hata kama ni Mimi ningeondoka askari anahoji vipi mtu ivyo
Jojo kafa aje,,,
Jamani ya 9
Team hamamu mko wapi like hapa 🎉❤❤❤ umoja n nguvu
Mzee Hamsa amekula kila kona
Hatimae leo nimewahi ndani ya lisaa limoja😊
Bhailam si Gumbo si recho, jojo, madam kiponge haya saaii Naomi unawapeleka wapi jamani???
Leo nimewahi naombeni like zanguu
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa COMEDY PLUS😊 aseeh yani katika series zote za youTube zenye dakika Nyingi ni hiii Watizamaji Tunaenjoy sana sana Mbarikiwe🙏🏻🥰
KAMA UNA ENJOY KAMA MIMI HAPA KWA HII SERIES YA SHETANI GONGA LIKE HAPA🥱😋
Mmmh! We humjui Kp wa Aquino na series yake inaitwa PLAN B anatoa dakika 60
@@EvodiaDominic bora umemjibu...hii kali ila kwa dakika hajasema kweli kuna kp na kuna doko ata 35mns anafikisha wakt mwengine
Jojo alikufa aje,lini😢😢
Nipo tayali n'a nyny! Toka DRC
Sija chelewa
Kun mt amemis Ramso kam Mim 🫂
🎉🎉😢😢😢😢
❤❤😂
Leo nimewahi naomben likes hata 10 jaman
Izo like zinawasaidia nini kirasiku naon wat weng wanaomb ma like yanini ten 😂😂😂
Tupe raha
Leonimewahi lindi nipeni likes jamani
❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Hii video ni kama umeundwa ju yangu
Kwani Jojo alifariki lini aja kutuzima data😢😢😢leo sijaona naomi mbona
Hajafa naona saiv hayupo kweny kundi hili ndo maan wakawek kafa
Bila naomy na bhailam😢
@@Sakina-m1s bailam ndo hyo shetani
@@GraceWilliam-qy5wn lkn aonekani mm nataka nimuone kabisa
@@Sakina-m1s😅
Kazinzuri sana
🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤