ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru YAA ALLAH NAOMBA tuondolee madhila tuliyonayo baina ya waislam na waislam YAA ALLAH upendo umetoweka, AMAN,kheri,barka, YAA ALLAH kila jambo nikwa rehma zako yaa rabiy zilainishe nyoyo zetu Yaa Kareem 🤲💔🙏
Ya Allah Baraka Allah ya-ustathi. Mashaallah mungu akuzidishie umri mrefu ishaallah. Uzidi kutuelimisha.nitazingatia hayo uliyo twambia kiukweli watu huwa ni wagumu kusameheana❤❤❤❤this hutba asante 😊😊
mashallah mashallah waislam na watoto wa kislam ndo wanaogoza kufanya mambo ya ajabu duniani wengi wao hawataki kufata dini ya kislam wao wenyewe wanapenda mambo ya ibrisi na shetani miziki nawao na pombe nasaha zote wao wamo nakuva nguo nusu uchi wanajiona wamendelea hata wakiolewa awathamini ndoa zao nawala awaishi na waume zao sababu ya kuendekeza Zina sasa hivi kila mwanamke ana mtoto ukiuliza babaake sijui Zina ju ya Zina kila mtoto ana babaake mwanamke usha tembea na wanaume kibao utajua thamani ya mme ndo maana allah kakataza Zina na pombe anamaana kubwa
MAA SHAA ALLAH 💖 ALLAH AKUZIDISHIE NA UWENDELE KURUFUNZA IN SHAA ALLAH 🤲
ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru YAA ALLAH NAOMBA tuondolee madhila tuliyonayo baina ya waislam na waislam YAA ALLAH upendo umetoweka, AMAN,kheri,barka, YAA ALLAH kila jambo nikwa rehma zako yaa rabiy zilainishe nyoyo zetu Yaa Kareem 🤲💔🙏
Amin amin thumah amin
Ma Sha Allah Tabaarakallah Ubarikiwe Sheikh wng
Beby
Allah tujalie tuweze kupendana kwa Ajili yako🤲🤲🤲
Wallahi natamani AllAH anipe mtoto misri ya shekhe kishk
Mashallah tabarakalah!Kheri fii duniya wal Akhera Kaka,Allah atuongoze tuwe wenye tutendeana wema siku zote InshaAllah.
Mashaaallah ❤️❤️❤️
Sheikh Allah akupe umri mrefu ili uzidi kutufaidisha na kutuelmisha
Tungekuwa tunapendana kama mnavyomshangiliya shekhe wetu tungekuwa mbali sana waislam lkn chuki,hasad,uongo,n.k zimeturudisha nyuma
Ubarikiwe Sheikh wetu mpendwa
Jazakallah khayran
Mashaallah Mashaallah tabaraqllah ❤❤❤
wambie shekhe wetu waislam tuache kuiga tushike dini yetu tuache kuiga maisha ya kizungu tustili mili zetu
Ma sha allah
Allah akubariki na akuhifadhi
Sheikh wetu
SUBHANAALLAH Watu hatupendani Roho za usokolokwinyo😢Roho za korosho Zimetujaa SUBHANAALLAH ALLAH atuongoze🤲🤲🤲
Aamiin yaa Allah
Nakupenda kwajili ya Allah sheikh Nurdin kishki
MashAllah TabarakAllah
Shukraan sana sheikhe wetu
Maa shaa Allah,shukran shekh kwa ukumbusho
Ma sha Allah Tabarakallah majengo mtaani kwangu natamani ningekuwa 🇰🇪 nami nikatabaruku mkono wa sheikh
Mashallah Mawaidha mazuri Sheikh
Ya Allah Baraka Allah ya-ustathi. Mashaallah mungu akuzidishie umri mrefu ishaallah. Uzidi kutuelimisha.nitazingatia hayo uliyo twambia kiukweli watu huwa ni wagumu kusameheana❤❤❤❤this hutba asante 😊😊
Allah humma mamiin 🤲sheikh mashallah jazzaka Allah khery 🤲❤️
Barak Allahu feekum
Mashaallah, inapendeza Sana! Amani, Upendo
Mashaallah
Allah akuhifadhi shekh wetu naomba mwanangu aje kusoma quran kwenye madrasa yako naomba nitumie namba yako ili tuweze kuwasiliana inshaallah
mashallah mashallah waislam na watoto wa kislam ndo wanaogoza kufanya mambo ya ajabu duniani wengi wao hawataki kufata dini ya kislam wao wenyewe wanapenda mambo ya ibrisi na shetani miziki nawao na pombe nasaha zote wao wamo nakuva nguo nusu uchi wanajiona wamendelea hata wakiolewa awathamini ndoa zao nawala awaishi na waume zao sababu ya kuendekeza Zina sasa hivi kila mwanamke ana mtoto ukiuliza babaake sijui Zina ju ya Zina kila mtoto ana babaake mwanamke usha tembea na wanaume kibao utajua thamani ya mme ndo maana allah kakataza Zina na pombe anamaana kubwa
Mashallah nime jifunza mawili matatu waislam tuwe wepesi wa hasira na tusaidiane, inshallah pia nasi Allah ata tusamehe ahera.
Mashaallah Mashaallah shekhe wetu kishik mwenyezi mungu akulinde
Mashallah mawaidha mazru
Subhanallah 😢Ya Allah tustiri waja wako Madhaifu🥺!!!!
Mashallah allah akbar
Mashallah allah akulipe inshallah
❤
Mashallah
Allahuakbr
MashaaAllah ❤️
Mashallah Mashallah..
Mwenyezi mungu akuhifaIdhi yarab aramina
Mashaallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wallahi sheikh wanigusa moyo na mawaidha yako...
Sheikh njoo nakuru siku Moja inshaalah
❤allah akuweke sheikh.wetu
Shekhe mungu akujalie
Subhannallah innallillah waina ilaihi rajiun
MashaAllAh tabarakallAh
Allah akujalie sheikh amiin
Inshaallah
Allahu akba hakika Uma huuu umejaa chuki dhulma na manyanyaso wape Habari shekhe usiwaogope
Allah atusaende inshaallah watu hatupendani kabisa 😢😢
Kweli kabisa uwaduwi uhasama umetawala
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Mimbali baridi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Je khutba au muhadhara anaokuja atakuwa sehemu gani ?
Rogoshehe
🙏🤲
Mimbali ya sheikh wetu Abood rogo Allah Amrehem.
Ameen
Ameen
Amin mungu Amrehemu
Ona umaa wote wanataka kupiga picha nawe mashaallah
Nna shida na shekh kishik natamani nikuone nikueleze shida zangu wallAhi kwa jinsi ulivo na huluma nna imani tatizo langu lingeisha
Shekhe kishik mtu wa pepo
Kweli kabisa maneno yako watu tumekuwa kama wanyama
Mashaaallah ❤️❤️❤️
Inshaallah
Masha Allah❤❤❤❤