Brother uko right nakunga mkono Zaidi . Rigathi mwenyewe na ruto wamegeuka tangatanga hawaeki tako kwa office wao ni kupanda ndege wakienda country jirani .wapambane na Hali Yao hapa Kenya🤣
Wakenya tu kae tukijuwa hoi maandamano si ya finance Bill bali ni mpango wa Gachagwa na wenzake kuiharibu Kenya.....kumbukeni alisema kutakuwa na giza....
Snitching always leeds to more snitching, before you know it everybody knows it. My Muslim brothers from another mother in Kenya, do not fall in WORSHIP IDOLS. Everything has a beginning and an end, yet there's no end to a good thing. Tie you camel and ask Allah for safety. Asalaam Aleykhum...
This is the nonsense we MUST stop in this country.Lets the individuals take responsibility and not the community claiming attacks for their own.We are tribeless,fearless and partyless
Tafadhali nawaomba watu wetu wa mombasa, ongeeni tu kumtetea Noordin Haji kuhusu Gashagwa....ila mambo yakumtetea Ruto hatutaki, because Ruto pia ni betrayer ame betray wakenya wote. So Ruto na Gashagwa wote MUST GO.
Alamin Somo hajataja Ruto. Titto ndio aharibu kujipendekeza na Ruto. Titto next time jirekebishe. Angalia mwenzako Alamin amezungumza point za Noordin na Riggy G hajajipendekeza kwa Ruto. Titto ondosha story za Ruto Alamin umezungumza vizuri. Haujajipendekeza kwa Ruto
Noordin Haji is a grown men! Why are you coming out guns blazing protecting him? Are you now going to teach DP how to work? Ni mwoka muno! Do you want people to come out and equally defend DP?? Style up people, kwendeni kwa kazi zenu, we all know how and why Nodi is in that position, it's a fact, he is incompitent in that position, wachana na central, Toa central kwa midomo yenu.
Mbona unabebe gachagua mzigo usiomhusu???? Chuki yenu na mt kenya it obvious.... Its not gachaguas job to tell the mps how to represent their people. Nyinyi ndio mnachuki, na ukabila na mt kenya. Juzi ilikuwa mogokaa, sasa gen z ni makosa ya gachagua. Gachagua sio kiongozi wenu, kura zake zilitoka mt kenya, nyinyi hapo mnaropoka kama nani?? Gachagua is not anserable to muslims or coastarians. Pelekeni makadiriko yenu huko wachaneni na wana mt kenya.
Coast peaple are so bitter with mt kenya, kila wakiongea midomoni mwao hawakosi kutaja mt kenya.....what does central has to do with tha hajj n gachagua?? Why involve tye whole community??? Chuki zenu kama nyinyi mezeni panadol. Kenya sio ya mana ya mtu. Na gachagua ni mkenya ana haki ya kuongea kama nyinyi hapo mnavyopayuka na mnafikiria pia mnahaki ya kueneza udini wenu na upwani wenu. Bure kabisa
Hatuja sahau huyu nurdin hajj ndio yulee mwaka 2012 alikuwa mkuu wa N.S.I.S ambalo liliwauwa sana wana mapenduzi wakenya hususan upande wa cost region hatuto sahau na cc hatuko pamoja na nyinyi wazee tumewagunduwa siasa hamuijui
Ewe Alamin somo.Acha bana hii maneno,Kenya ni kubwa zaidi ya Nurdin.Kama ni makosa aliyafanya na ni kweli aombe msamaha sio wakati sahihi wa kujibizana
The issue that is being talked about by the vice president is that the intelligence department did not find out in advance the scale of these protests so that the security agencies could organize themselves properly
Intelligence haruhusiwi kuongea. Aruhusiwa kutahadharisha SERIKALI what is coming... Si kazi yake kuongea Nurdin. Kazi ya ni kukusanya Intelligence. Noordin hajakosea. Msikize huyo kijana vizuri
I concur with although I don't with your ethnic stance. Kenya's problem is not Hajj but Ruto and Gachagua. The two want to sacrifice Hajj to save their faces.
Kwani nurdin jazi Yake kuwakilisha wananchi,KAZI ya kusikiliza raia ni ya wabunge,wabunge ni KAZI yao kuwakilisha wananchi,nurdin KAZI yake ni security against foreign threat kazi take hatakiwi kuingilia siasa.
Lahaula ! Wakenya wanatetea haki zao za kimsingi na kiuchumi, nyinyi ndugu zangu mushakubali kuwa distracted kutetea identity ya mtu binafsi tena? ...itawasaidia na nini kwa sasa? hamuoni wote hao wanaenda na maji?...
Even uhuru locked all somalis in kasarani irrespective if refugee or kenyan .wacheni ukabila how many did uhuru kill that day in 2014 at kasarani .wacheni ujinga and leave the young gen Zs do their work and don't take advantage .....
Hawa watu some of them dont have even 100 shillings. Am from garissa but this culture of mtu yetu will destroy this nation. They whole govt is corrupt. People know this yet they pick sides and defend them. Soo sad.
Huyu jamaa anaongea pumba sana. Sasa kazi ya director wa NIS ni nini!? Maana kama Rais na Makamu wake wanapaswa kuona vitu wenyewe, kwanini kuwepo na Director wa NIS?
Babako bora angetumia Condom. Lakin kwa vile hakutumia Condom ametuletea matatizo kwenye dunia. Mtu ambaye hatumii akili kama Wewe. Mungu akupe akili na uweze kuitumia usiwe utazungumza upuzi kama unaozungumza...
Somali communities have a right to serve this nation,they are kenyans, i support duale,noordin haji ,and dci director to serve our nation
Thank you 🙏
Noordin wetu . Allah atakuhifadhi.InshAllah
Brother uko right nakunga mkono Zaidi . Rigathi mwenyewe na ruto wamegeuka tangatanga hawaeki tako kwa office wao ni kupanda ndege wakienda country jirani .wapambane na Hali Yao hapa Kenya🤣
Wakenya tu kae tukijuwa hoi maandamano si ya finance Bill bali ni mpango wa Gachagwa na wenzake kuiharibu Kenya.....kumbukeni alisema kutakuwa na giza....
Snitching always leeds to more snitching, before you know it everybody knows it.
My Muslim brothers from another mother in Kenya, do not fall in WORSHIP IDOLS.
Everything has a beginning and an end, yet there's no end to a good thing. Tie you camel and ask Allah for safety. Asalaam Aleykhum...
😂😂 camel 🐪 😂😂😂
Gachagua amechanganyikiwa ile mbayabovu, in fact ata nur din si size yake atafute size yake ruto awachane na kijana mdogo Nur din hajji wetu
Gashagua is a scam!!! He must go
Gud excellent point mash Allah👍
This is the nonsense we MUST stop in this country.Lets the individuals take responsibility and not the community claiming attacks for their own.We are tribeless,fearless and partyless
We’re tribeless but older ppl are racist
Chuki na ukabila ndio chanzo cha hili janga la maandamano serikali imeshinda kabisa
NOORDIN IS AN ESCAPE GOAT.
Walipo vunja ahadi zao kwetu hawakujua yatatokea haya?chungeni ahadi zenu
Tafadhali nawaomba watu wetu wa mombasa, ongeeni tu kumtetea Noordin Haji kuhusu Gashagwa....ila mambo yakumtetea Ruto hatutaki, because Ruto pia ni betrayer ame betray wakenya wote. So Ruto na Gashagwa wote MUST GO.
Alamin Somo hajataja Ruto.
Titto ndio aharibu kujipendekeza na Ruto.
Titto next time jirekebishe.
Angalia mwenzako Alamin amezungumza point za Noordin na Riggy G hajajipendekeza kwa Ruto.
Titto ondosha story za Ruto
Alamin umezungumza vizuri. Haujajipendekeza kwa Ruto
😂
Noordin Haji is a grown men! Why are you coming out guns blazing protecting him? Are you now going to teach DP how to work? Ni mwoka muno! Do you want people to come out and equally defend DP?? Style up people, kwendeni kwa kazi zenu, we all know how and why Nodi is in that position, it's a fact, he is incompitent in that position, wachana na central, Toa central kwa midomo yenu.
How many are you.......shame on you.......stop being tribal bwana.....kama ana makosa ana makosa
RiggyG the 6th has spoken ,Continue to spread Peace , Love and Unity as per the national anthem and the preamble of the constitution.
Mbona unabebe gachagua mzigo usiomhusu???? Chuki yenu na mt kenya it obvious.... Its not gachaguas job to tell the mps how to represent their people. Nyinyi ndio mnachuki, na ukabila na mt kenya. Juzi ilikuwa mogokaa, sasa gen z ni makosa ya gachagua. Gachagua sio kiongozi wenu, kura zake zilitoka mt kenya, nyinyi hapo mnaropoka kama nani?? Gachagua is not anserable to muslims or coastarians. Pelekeni makadiriko yenu huko wachaneni na wana mt kenya.
Are you defending him because he is a Muslim or? Suppose christians also defend Gachagua??
Coast peaple are so bitter with mt kenya, kila wakiongea midomoni mwao hawakosi kutaja mt kenya.....what does central has to do with tha hajj n gachagua?? Why involve tye whole community??? Chuki zenu kama nyinyi mezeni panadol. Kenya sio ya mana ya mtu. Na gachagua ni mkenya ana haki ya kuongea kama nyinyi hapo mnavyopayuka na mnafikiria pia mnahaki ya kueneza udini wenu na upwani wenu. Bure kabisa
Hatuja sahau huyu nurdin hajj ndio yulee mwaka 2012 alikuwa mkuu wa N.S.I.S ambalo liliwauwa sana wana mapenduzi wakenya hususan upande wa cost region hatuto sahau na cc hatuko pamoja na nyinyi wazee tumewagunduwa siasa hamuijui
Aamiin yaa rabbi inshaallaah
Ewe Alamin somo.Acha bana hii maneno,Kenya ni kubwa zaidi ya Nurdin.Kama ni makosa aliyafanya na ni kweli aombe msamaha sio wakati sahihi wa kujibizana
Amblya dp hayo
Gachagua let president solve the issue 1st. Kaa pending for now.
The issue that is being talked about by the vice president is that the intelligence department did not find out in advance the scale of these protests so that the security agencies could organize themselves properly
Dp is ego stripping power hungry fool his all 4himself not even those kikuyus
Takbir Allah Akbar
ALLAH AKBAR
Awache kutumia Noru Hajji kama karatasi ya cho. Ruto must go, Resist Finance Bill Resist finance bill, Resist Ruto goverment. They must go home.
I thought even Gachagua has a tribe Haji transferred his seniors and it's okay coz those affected were from different tribe
Dp hana akili ya kuchunga hata mbuzi ni drama queen na fitina za kishenzi tribalist fool
Riggy G Ako na kwao pia
GACHAGUA AMEONGEA UKWELI MBONA NURDIN PIA NAE HAKUONGEA NURDIN AMETIWA MFUKONI NA RUTO
Intelligence haruhusiwi kuongea. Aruhusiwa kutahadharisha SERIKALI what is coming...
Si kazi yake kuongea Nurdin. Kazi ya ni kukusanya Intelligence.
Noordin hajakosea. Msikize huyo kijana vizuri
Mnaanza kuwatetea Kesho mtalia nao hakuna mwema wote ni nyoka
I concur with although I don't with your ethnic stance. Kenya's problem is not Hajj but Ruto and Gachagua. The two want to sacrifice Hajj to save their faces.
Ongera kwa kuongea kama watu kumi kwa mpigo.
Wote ni manyani tu
Wapatiye Dose yaho
Umesema kama wabunge 100. Wabunge ndio wa kulaumiwa
Aja ujinga bro. Ni yeye anafaa mwambie raisi
Kwani nurdin jazi Yake kuwakilisha wananchi,KAZI ya kusikiliza raia ni ya wabunge,wabunge ni KAZI yao kuwakilisha wananchi,nurdin KAZI yake ni security against foreign threat kazi take hatakiwi kuingilia siasa.
Tunakusaport
Nilishenzi lile li baba limejaa ukabila tu
Gashagua want to replace Hajj to replace Kikuyu ili afunike maovu yake,mwanzo Gashagua ndiye haelewi office yake kabisaa..
Gen Zs director ni naibu wa rais Rigi G
Tuache malumbano tujenge Kenya Tuache udini ukabila Mungu Bariki Kenya Mungu Bariki Afrika atutaki udini na ukabila
Lahaula ! Wakenya wanatetea haki zao za kimsingi na kiuchumi, nyinyi ndugu zangu mushakubali kuwa distracted kutetea identity ya mtu binafsi tena? ...itawasaidia na nini kwa sasa? hamuoni wote hao wanaenda na maji?...
Wajinga nyinyi Nurdin anatumiwa vibaya na serikali akipewa kazi. Kwendeni uko
Kwendeni huko
Gachagua wa kulaumiwa,she neede d 600 million,kurenovate his residence
Na wewe pia acha ukabila wa kusema eti amewakosea kama waislamu sema wakenya why are you taging waislamu
Noodine hajji is not member of Parliament.
Exactly 💯
People misunderstood
Huyo ni dini munaleta
All the Leader failed this Kenya Nation
Let him do his job this nonsense of mtu wetu must stop
Wewe kwenda , aliuwa watoto wetu
Even uhuru locked all somalis in kasarani irrespective if refugee or kenyan .wacheni ukabila how many did uhuru kill that day in 2014 at kasarani .wacheni ujinga and leave the young gen Zs do their work and don't take advantage .....
Uta uliwa usipo hishimu amani ya nchi
Mmesikia,tamaa ni mauti,ulafi ndio msaliti mkubwa nchini
One vote one man one shilling
☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻
Nurdin haji hana makosa niwetu ndio wanamuonea
Kwani kazi ya NIS ni nn? mbona munaujinga Nurdin. alikosea so haki haiangali dini acheni upuzi.
Kazi yake ni upi...ana ushauri tu lakini hawezi kulazimisha maono ya kisiasa na hii bill kila mtu alisoma
Jzs wanakunjia huyu mnapngekelea
Wote ni manyani tu
Mashaahu
Hawa watu some of them dont have even 100 shillings. Am from garissa but this culture of mtu yetu will destroy this nation. They whole govt is corrupt. People know this yet they pick sides and defend them. Soo sad.
Mtajibiwa from Nyeri kwa sababu sasa imekuwa tribal cards na sarakasi ya kisiasa kati ya Garissa na Nyeri🛒
Wakikuyu wake na wivu na wasomali juu tume chukua biashara zote...but guess what? Hkuna kitu munaweza fanya 😅
Ground ni business as usual wanasiasa pia wanfuata interest zao
Pia huyo haji ajipange ,yake Iko jikoni lerax bro,action
Huyu jamaa anaongea pumba sana. Sasa kazi ya director wa NIS ni nini!? Maana kama Rais na Makamu wake wanapaswa kuona vitu wenyewe, kwanini kuwepo na Director wa NIS?
Babako bora angetumia Condom. Lakin kwa vile hakutumia Condom ametuletea matatizo kwenye dunia. Mtu ambaye hatumii akili kama Wewe. Mungu akupe akili na uweze kuitumia usiwe utazungumza upuzi kama unaozungumza...
Gachagua spoke the truth
Nyangao nyinyi
Panya buku wewe nappyhead
Wa pwani tuache ujinga
Mjinga niwewe tumbiri
Huyu nyau si mpwani kamwe